MwanaFA - GWIJI ft Maua Sama & Nyoshi El Saadat (Official Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2024
- #MwanaFA #Gwiji #NyoshiElSaadat #MauaSama #SlideDigital
(c) Slide Digital
MWANA FA SONGS ARE AVAILABLE WORLDWIDE ON ALL DIGITAL PLATFORMS
ffm.bio/ao7drgr
Follow Mwana FA on;
/ mwanafa
www.facebook.c...
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: slidedigitaltz
dunia haitasimama ukigoma kutembea nayo... wapi likes za Mwana falsafaa🔥🔥🔥🔥
Mhhhhhh mobutuuuuuuu!!!!!!
Mbwa mpumbavu ndo anaweza bwekea ndege 😆😆😆❣️❣️❣️Sema mm nampenda huyu kaka jaman .Dear lord bless him for me please 🙏🏻🙏🏻
Safi dua yako fa anajua
Njooo kwangu kijana
Mm na ww mpacha
Sijui niombe like ama nicoment!!.... Aaaaah acha tu nicoment.. This a hit bro kuanzia legend mpaka Chorus imetisha hii ngoma... yani ni💥💥💥💥💥
Tulio ludi tena baada ya mama samia kukazia mbwa mpumbavu ndyo anaweza bwekea ndege❤
Akili yako mwanaFA inafaa kuongoza baadhi ya ofisi kubwa z kiserikari ebu vaa akili ya kanye west yakutaka one day awe prezidaaa ukishidwa basi usikose ubunge. (Ngma iko hot)
Mawaz yako yalikuwa ya mbali comment yk imetendewa haki
King unaona future Sana naomba namba yako
Mtabiri❤❤
Nani yupo apa August 2024🎉
tupo kak
Tupo nae mpaka atuue
Alie kujua kuwa nyosh el saadat kuwa kaimba sehem ndogo lakn kaua balaaa bas mlike hap
"Mbwa mpumbavu ndo anayeweza kumbwekea ndege".... Keeping the good music alive🔥🔥🔥🔥.. GWIJI kama GWIJI
Mtu kwao mwenye wivu ajinyonge tanga kwanza na ubunge tutakupa binam wetu tanga hoyeeeee√
2024 twnde sawa 😂
Falsafa: kama ulishawahi kusukuma mlango uliyoandikwa VUTA gonga like hapa
Kwa tuliokataliwa kazi tu🤣🤣🤣🤣🌍
Na inafunguka
You killed it papi. All the way from 🇰🇪.. Weka likes hapo chini mwanaFA fans 🙌🏾🙌🏾💯
T
Yes,yes,yes, Jamani mimi nataka like 100 tu #FalsafaJr8
Unataka uzipeleke wapi wewe me nataka nikupe izo likes 100
@@hallmenaboud3192 said. Finally,.,
We za nini?
@@mohamedmatalaulaya9081 na mimi nataka niachie ngoma yangu
@@hallmenaboud3192 🤣🤣🤣
Mungu wetu Halali,wala haendi rikizo, hatuchoki kumuomba,kudadeki Kamjibu Nay Wamitego “Mungu yupo wapi?
Hii nyimbo y ney inaonkan me ty ndo sjatak kuianglia HD leo
Who is watching this 2024🔥🔥
yeah
"naota ndoto hazina rangi naamka nazipaka".....unbelivable..ujumbe mzito kwa wanaofikiria vizuri
Shida hazikwepiki zipo kukupima hustle🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Dunia haitasimama ukigoma kutembea nayo!!..
Kukupima muscle( misuli)
Nimesha sukuma milango iliyo andikwaa vuta niamini na inafunguka..💯 kifo kiniuwe au maumivu yani komaze Ila upumbavu usini pumabze🏋️🤾💯 Shida hazi kwepeki
Like kwa mwana fa bonge la wimbo
Ngoma kali bro nipe like kama unamkubali mwana fa🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Huyu ni kichwaaaa haswaaaa
Brother together Huu sio music wa mafalaaaaa
Anatisha sana
Darasa limekutana na ticha konde lazima uelewe tuuu Ngoma🔥🔥🔥🎶🎵🎶🔥🔥💯💯💯
Ukiuutaka Acha dunia uhakika❤❤❤❤ adika talakaaa
Bana congo 🇨🇩 piga like hapa twende mpaka nyumbani DRC
MOTEMA NA NGAI
Omeki okangami
Motema na ngai
The only rapper who spits reality or rather punchlines like this guy in Tanzania is Rostam bro Yani huyu jamaa rapper kibabe🙌much love from +254 KENYA 🇰🇪 Mwana FA +254 tupite na likes♥️🤜
Listen to Prof Jay
@@emmanuelbetuel8024 Btw also him🙌🤜
Very different people, Roma cant rhyme with FA ,likewise Mwana FA cant flow with Roma mkatoliki, professor J outdated
Real bars ....
@@Moses-Kuria Nuuuuh Proff still be fire.....
"Tusha sukuma sana milango iliyo andikwa VUTA, niamini na inafunguka....."
Hii ndio ile inaitwa third doors....niamini inafunguka
Hii ndio ile inaitwa "third doors"....niamini inafunguka
❤❤❤ huwa naiangalia kila siku hili goma nafurahi kuona champion wangu Tz one respect nyingi kwake pale anapolipiga punching+beg langu mlirisha sana apo mikocheni nikaja kucheki kumuona champion wangu Tz one nikaona kweli na mm ninaheshimika kwani nililitengemeza kwa akili nyingi sana adi grave padi daaah nawakubali sana watu wangu wa nguvu FA na brother Mwakinyo tuendelee kulike na kucomment hili goma la taifa
To me Mwana FA is the Best is best kwa sasa kwenye uandishi
"Naota ndoto hazina rangi naamka nazipaka, watoto wa uswahi hwezi kutwekea mipaka..."
"Mungu ndo alotaka Jongoo kawa Nyoka... tushasukuma sana milango iloandikwa vuta niamini na ikafunguka..."
uliona hatujasikiliza au>>>? acha binamu afanye yake....
😂😂
Mwana FA Gwiji wa Magwiji
❤from Zambia
@@brainbuzzsystemtech.9408😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣jmn
Chumaaaaaa Atuachi kumuombaa gonga like apa kama umeiyelewa Gwiji twende sawa Ila mauwa umekuwa uwa la Jangwani uku umetisha uku Rose 🌹 wa jangwani
We mkali na utabaki kuwa mkali Big up brother.
jaman naomba ninaomba nikutanenae
Huu sio mziki wa mafala . Mad love from 🇰🇪
Uyu ndio hamisi mwijuma ninae mjua ktk maisha yangu yamakuzi mpk leo 😍 atabaki kuwa mkali wa madude aya acha kabisa
Huu co mziki wa mafala🙏mwana fa
Ney wa Mitego hii inamuhusu, Mungu yupo! Safi sana F.A
This is what we need . PURE TALENT AND MEANINGFUL LYRICS FROM A PURE ARTIST ✊🏾
th-cam.com/video/Ruy5KQCmEAM/w-d-xo.html ya kwako hii..💫🎉
th-cam.com/video/DV-7vO9mEro/w-d-xo.html
You never get old master
@@biasharanamafanikiotv.8561 Baddest
💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣💣
F. A UWAAAAA XANA ALAFU pendezesha kwa kumuweka champion Mwakinyo saluti zote kusapotiana ndo mizuka boy endeleza arakati kk
Ngoma kalii saan Mungu wetu halali
Kama na ww unakubali like hapa
"Kifo kiniue au maumivu yanikomaze" well said💃🏽
Katisha
Mwana FA he’s sound like the best rapper ever for me BIG Appreciation 👊this song is 🔥🔥🔥🔥🔥
th-cam.com/video/DV-7vO9mEro/w-d-xo.html
Real Classic bongo flava🇰🇪🇯🇵
"tushasukuma sana milango iliyoandikwa vuta, na inafunguka"
Eti?!.. mapanchi mengi yata-touch-i Kizima mdundo? Aaaahhh!… hii nzuri zaidi
Mwwnafalsafa bro sina chakusema kwenye hii ngoma ila hapo ndipo tunapopataka pure talent hakuna kichujo hapo oyoooo waiteeeeeee!!!
Bonge la mdundo hujawah niangusha fa 👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻
Shida hazikwepeki ziko kukupima muscle 🔥🔥🔥 Legendary💯falsafa
Mbwa mpumbavu ndo anayeweza kumbwekea ndege".... Keeping the good music alive #FALSAFAAAAAAA
❤assistant minister of music,arts,sports and culture Mwana FA
Legend pekee aliyefanikiwa kuweka wimbo trending tena ni hiphop ile enyewe daaaadek🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nakubal.
*Huyu ndo MWANA FALSAFA aiseee anajua mpaka homa*
🔥🔥🔥🔥
Haha
th-cam.com/video/DV-7vO9mEro/w-d-xo.html
Mwanafunzi wa shaban robert ....saaaafi saaana
Kali 🔥💥💥 “Wewe ni gwiji wa ma Gwiji 😍😍”
Huyu ndo Mwana Falsafa bana, Respect Sana.
ni majembe tu ..mbwa mpubavu ndiye anayebwekea ndege wajanja wanarada from 254
Creativity 100%
Bounding 100%
Screen play 100%
🔥🔥🔥🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Kama muv vile nimepnda sijui bongo muv wanafeli wap
Watoto wamechezea Bongo fleva acha legend FA awahongoze tu
Mm ni nan nigome kukupatia heko Mr Shaban Robert wa generation yetu!!!! Tisha sana
mwana FA vs mwakinyo na punch kaliii...
Am proud to see ma two Tanga brothers hip hop legend and Boxing legend
FA and mwakwinyo👊🤛🤜
Nilivyo Kua naitegemea sondogisi ilivyokuja!!! Respect bro
Km unaachana na dunia wew ndo uandike taraka
Sondogisi..hahaha
Falsafa The onE
Gonga Like twende sawa
Mwana Fa ujawai feli mwana kwa hizi mambo!
Hakuwahi kukosea tangu namfahamu mwana falsafa king of score in game of music umengeneza njia katika milango migumu mpk sasahivi music wa bongo umepaa anga lingine 🔥🔥🔥🙏🙏🙏👑👑👑
Mwana FA 7️⃣🔥🔥🔥
Ngoma kali more hits songs, i'm here after seeing post from alikiba on instagram
Me too
Maua umeuaaa 🔥🔥🔥
FA he knows what the people need
th-cam.com/video/Ruy5KQCmEAM/w-d-xo.html ya kwako hii..💫🎉
th-cam.com/video/DV-7vO9mEro/w-d-xo.html
Ngoma Kalii Video kalii na Story pia Nzurii🔥🔥🔥 Maua Sama anauwaga sana kweny Viitikio ndo maan anashikirishwa sana tofauti na wasanii wengine wakike
Piga like kwa Fa Wake Huyooooh! 💥💥💥💥
Kali san mwana
Maua vocals on point...FA always run Dsm...Ingawa wanachukia ila ndio walivyo binadamu.
Mwakinyo na wew umeua sana humo ndani 👊👊👊
Shaban Robert WA leo, ingekuwa na walau ten minutes 💪💪
Yaan imeisha haraka..
Best voice from MAUA
Hili goma ni dawa ya corona.... Mwakinyo ni shida 🔥🔥🔥🔥🔥
Huyo ndio mwana farsafa .
Au mwana f A ... Noma sana mzee ngoma kali
Naota ndogo hazina rangi,
naamka nazipaka,
watoto wa kiswazi huwezi ukatuweke mipaka, Mungu ndo ametaka jongoo kawa nyoka,hakuna kiunze hatuwezi ruka..TUshasukuma sana milango iliyoandikwa vutaa vutaaaw,.niamini inafunguka we daily player...
Bala jingine kutoka kwa legend Jems Bond Bless up my Brother
This is real hip hop 🔥🔥🔥
haya haya wale ndugu zangu wa muheza like zenu hapa
🔥✊
Mungu wetu alali wala haendi likizo!
Mbeya city tujuane hapa
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥mamaeee huyu mzee fundiiiiii
Daah 🔥🔥🎶 Song Mazee Gong like kama 2unakubalian n hili
_chama la wanatupia like kwanza ndio tuwende sawa_
Mungu mwenyewe ndo anataka....uko makin bro ..i appreciate ur work
Tushasukuma sana Milango iloandikwa VUTA Falsafaaaaaa
The Legend.. Icon.. Goat
The heavy weight MC, le Gwijiii... Smash hit song.
Gwiji! Another classic from Muheza Tanga! “Is a foolish dog,barks at a flying bird” moja ya mstari ulionivuatia pia kwa wimbo wa Bob Marley unaoitwa “jag leave” Mgosi wewe ni Gwiji haswa big up
Kifo kiniue ama maumivu yanikomaze
Muheza tunacoment wp 😁😁😁
Bigap mbunge wetu mtalajiwa mungu akusimamie
Mwana FA the legendary himself
Naomba tufikishe 1m views in 2days. Keeping the good music alive
Mwana FA AKA King FA , Maua, Mwakinyo make me proud to be a Tanzanian
Gonga like kwa fa twende sawa👋👋
Legend. Pas comme les autres🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Dah aise uyu jamaa nimkari saana bigap mwana alakati mwezangu eshima kwako broo
The eye behind the camera ..... "Salute"
Duh !!! Acha tuoneshane makali! Wataelewa tu 🔥 🔥 🔥
Fa Nyirenda...keeping good music alive
Shikamoo fa binamu mwanafarsafa umenigusasana nilimic sana ivi ndovituvyangu uwanafipata toka kwako I like this song
Naota ndoto zina rangi naamka nazipaka.. Falsafaaa Binam choir master World to the map..
Mwana Fa Waz Inspired Me.. Most Of The Words He Speaks Always Got A Milions Of Meaning.. "Mbwa Mpumbavu Ndo Anaweza Mbwekea Ndege"
Mwana FA has never disappoint me with his music ...love you bro from Kenya
Tushasukuma sana milango iliondikwa vuta 🔥🔥🔥 2021 🇶🇦🥂
Bonge la ngomaaaaa ,daaaah waliopush milango iliyoandikwa vuta pigeni kelee
Mwenyezi Mungu azidi sana Kukulinda bwana ili udumu sana kwenye Gemu,,make mziki huu siyo wa mafara,,na hautetemi kama jeneleita.