HAJI MANARA AKOSOLEWA/ MANENO YAKE YATAMUONDOA YANGA/ UVUMILIVU WAMSHINDA/ APAMBANA HADHARANI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.ย. 2021
  • KUFUATIA KAULI ZA KUSEMA ALIKUA ANAIDANGANYA SIMBA KWA KUTOA TAKWIMU ZA UONGO, HAJI MANARA AMEKOSOLEWA VIKALI NA KUAMBIWA AJIREKEBISHE.
    MANARA ALITOA KAULI HIYO YA KUSEMA ALIWADANGANYA SIMBA ALIPOHOJIWA NA KITUO CHA RADIO EFM SEPTEMBA 09/2021.
    --
    Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
    JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
    ⚫️ Email: dar24news@gmail.com
    ⚫️ Website: www.dar24.com
    ⚫️ Instagram: @Dar24Tz
    ⚫️ Facebook: @dar24news
    ⚫️ Twitter: @Dar24News
    #yangasc #simbasc #hajimanara

ความคิดเห็น • 94

  • @mbaroukrashid6201
    @mbaroukrashid6201 2 ปีที่แล้ว +3

    Mwenye kumueka Mungu mbele hasemi uongo

    • @noorbazaar9063
      @noorbazaar9063 2 ปีที่แล้ว

      Mnafiki na Mungu wapi na wapi?!

    • @godfreymasele8853
      @godfreymasele8853 2 ปีที่แล้ว

      Jelly muro alimuweza sikuile mpk akakimbilia uislam na Waislam wakamdharau tu kuwa Haji msukule manaka ni domo kaya linachokoza na kukimbilia kinga ya ulemavu wake

  • @husseinkarim6745
    @husseinkarim6745 ปีที่แล้ว

    Aonyeshe certificate za uandishi wa habari tapeli mkubwa.

  • @suleymankingo7867
    @suleymankingo7867 2 ปีที่แล้ว +2

    Hivi Uto bado mna imani na Manara ? Kesho yenu nanyi itakuwaje ? Kama aliweza kuwadanganya SSC kwenu je ? Kaeni chonjo

  • @beniyaredi2038
    @beniyaredi2038 2 ปีที่แล้ว

    Samweli hana mana manala jeshi mnaumia sana na manala

  • @mossessimbaleoanashinda3-220
    @mossessimbaleoanashinda3-220 2 ปีที่แล้ว +1

    Haji manara hawezi kuishusha blandi ya Simba sc hata siku moja anajiharibia mwenyewe?

  • @husseinkarim6745
    @husseinkarim6745 ปีที่แล้ว

    Unaamini alivyo mshenzi assurance cheape, mlevi na anasema mtoto wa.kiislamu, Juzi alikwenda muziki na wake zake nusu uchi.

  • @emmanuelisimpemba8399
    @emmanuelisimpemba8399 2 ปีที่แล้ว +2

    hhahahahahahhaa ani apo sawa na kumuacha mwanamkeee anaekupendaa ataropokaaa adi baci

  • @bahatikimanywa5939
    @bahatikimanywa5939 2 ปีที่แล้ว +1

    Kama ulitokwa na machozi baada ya kuona dalili za kuondolewa Simba, leo hii unajikosha??? UTAWAPONZA WANA YANGA

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 ปีที่แล้ว

    Mtu mwongo atamtanguliza Mungu mbele kivipi. Anafikiri Mungu ni mjomba wake?

  • @lucksonkaleshi539
    @lucksonkaleshi539 2 ปีที่แล้ว +2

    Moyo wa Msukule umejaa chuki kabisa na sio upinzani. Poleni Yanga kwa kuajiri huyo mtu.

  • @jabarikapindya7080
    @jabarikapindya7080 2 ปีที่แล้ว +1

    Maneno yasiyo na afya ,unapiga ramli kuwa maneno ya Manara yatamuondoa Yanga.Yanga ndo wamekwambia hivyo?utakufa bure na kijiba Cha roho.achahizo Mambo hubadilika.una uchungu Kisha unamshauri?tukuamini?

  • @ellsonmkonyi1319
    @ellsonmkonyi1319 ปีที่แล้ว

    Kama ulidanganya ukiwa simba utashindwa vp huko bro ,dhambi ya uongo haishi itaenda mpaka home

  • @mierin8456
    @mierin8456 ปีที่แล้ว

    Haya tayari yameshatokea ...mbinu za kuchafua brand za wengine na watu binafsi kwa madhumi ya kujijengea umaarufu ...sio mkakati endelevu ...

  • @hulilodonard5524
    @hulilodonard5524 2 ปีที่แล้ว

    Unafiki siyo mzuri

  • @faidhisaid8256
    @faidhisaid8256 2 ปีที่แล้ว +1

    Sio bure haji ana mgggapungufu ya ubongo,

  • @ellsonmkonyi1319
    @ellsonmkonyi1319 ปีที่แล้ว

    Dua. Wakati we n muongo Dua tena?

  • @tzfarming3742
    @tzfarming3742 2 ปีที่แล้ว

    Acha kupamba story

  • @twalibunyemba1014
    @twalibunyemba1014 2 ปีที่แล้ว +1

    Haji alikataa kabisa kuongerea makolo waandishi niwachonga Nishi amesema sitaki kuongerea Hilo Jambo au hamjasiki au ndio kiwewe kimewakuta kusifia timu yake ndio tatizo acheni roho mabaya yupo katika kutafuta riziki mki kereka msimsikilize fanyeni yenu

  • @omarymwenebatu
    @omarymwenebatu ปีที่แล้ว

    Hatahapo akitoka atazungumzahivo hivo huyo ni AMNAZO.

  • @omaryhasani6786
    @omaryhasani6786 2 ปีที่แล้ว

    Kumbe haji manara nimulevi duuh amakweli hatakizazi chake linakazi

  • @malelabmalela5016
    @malelabmalela5016 2 ปีที่แล้ว

    jaman

  • @mbaroukrashid6201
    @mbaroukrashid6201 2 ปีที่แล้ว +1

    Simba alifanya vizuri ila yanga anatuharibia hatutaki mtu muongo asieaminika watu sasa washakuwa na mashaka nae

    • @linuskyando4155
      @linuskyando4155 2 ปีที่แล้ว

      Wewe Simba unajifanya Yanga ili afukuzwe imekula kwenu mtazodolewa mpaka BASI

  • @BlcMamba
    @BlcMamba 7 หลายเดือนก่อน

    Wewe sijeuri ila simba ndio wajeuri domo

  • @adam-saffi211
    @adam-saffi211 ปีที่แล้ว

    Huyu zeruzeru Ana kichaa msaidieni

  • @noorbazaar9063
    @noorbazaar9063 2 ปีที่แล้ว

    FIFA ranking kati ya Simba SC na Yanga SC ikoje?

  • @shamisalryam4775
    @shamisalryam4775 2 ปีที่แล้ว +3

    UNAFIKI HAUJAWAHI KUMUACHA MTU SALAMA BORA MUUWAJI KULIKO MNAFIKI

  • @barikimwampamba1454
    @barikimwampamba1454 2 ปีที่แล้ว

    Huyo haji hajitambui huyo ni kichaa

  • @mbogofrank1154
    @mbogofrank1154 2 ปีที่แล้ว

    Manara aliekuwa Simba alikuwa mzursana lakin manara aliyeko yanga kwa Sasa anajarbu kumchafua manara aliekuwa Simba lakin bahati mbaya manara aliyoko Simba alishaongea kila kitu na aliweka mitandaon kwahiyo manara wa Yanga akiongea tu mitandao inamjibu moja kwa moja na kujikuta anaongea upuuzi tu

  • @mohamedbadbess6230
    @mohamedbadbess6230 2 ปีที่แล้ว

    HE HAS COME OUT IN HIS TRUE COLOURS. UKIMTIA CHUPANI

  • @saidalsalmi9313
    @saidalsalmi9313 2 ปีที่แล้ว

    Haji una haribu bro

  • @iddymsagalile5371
    @iddymsagalile5371 หลายเดือนก่อน

    Samweli hana akili hata wewe mtangazaji huna akili wote

  • @pastormoses7080
    @pastormoses7080 2 ปีที่แล้ว

    Msukule huuuu unatabu

  • @sharifamkandidi6104
    @sharifamkandidi6104 2 ปีที่แล้ว

    Hiyo ameferi hana kazi

  • @iddymsagalile5371
    @iddymsagalile5371 หลายเดือนก่อน

    yanga ndio kwake acheni ujinga nyie watangazaji

  • @allyabdallah4357
    @allyabdallah4357 2 ปีที่แล้ว

    Mbona leo haja shangilia kaweka mikono mfukoni🤣🤣🤣🤣🤣

  • @mikidadimuhando2315
    @mikidadimuhando2315 2 ปีที่แล้ว +1

    Haji ni mnafiki, ni mjinga, ni mpumbavu, asiye na mbinu hivyo tizama standards unazo buni upuuzi wa kishamba, mbw

  • @bahiyalumelezy3016
    @bahiyalumelezy3016 ปีที่แล้ว

    Wanafik wakubwa mahasid yanga wanaelewa huo ni moja ya utani ktk soka kuburudisha jamii tu.mlovamia mchezo huu kwa kukurupuka au njaa kila kitu mnachukulia serious tena kiadui.wapumbavu.

  • @mbogofrank1154
    @mbogofrank1154 2 ปีที่แล้ว

    Ila yanga tuwe Makin Ni huyu takataka Mana simuelewi kabisa naona Kama manara wa yanga anapambana na manara wa simba manara wa yanga akiongea manara wa simba anajibu yani haekeweki anaongea nn

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 ปีที่แล้ว

    Huyu hana dini. Ni mtu wa kwenda motoni. Huu ni ugonjwa wa uzeruzeru unaomsumbua. Anakula matapishi yake kama mbwa.

  • @stephanomgallah6358
    @stephanomgallah6358 2 ปีที่แล้ว

    Kuahamia sehem nyngne ni jambo zr ila onyesha bidii yako ya kfanya kaz ili wakuelewe zaid kulko mwanzo na akmbke leo hii Tim ispochukua makombe au ikifanya vbaya asije jisahau lawama zitamjia ktokana na tambo zake. Omb lang tu ajarb kfanya kaz na sii vijmaneno vya kwenye kanga.

  • @ericsallu5331
    @ericsallu5331 2 ปีที่แล้ว

    Huyo kweli Ni Mwanahabari???Efm kweli munamuonaje huyo

  • @saidiabu2057
    @saidiabu2057 2 ปีที่แล้ว

    Zeluzelu naitaji kichwa chako nikipeleke mahar fulan

    • @bahiyalumelezy3016
      @bahiyalumelezy3016 ปีที่แล้ว

      Inshaallah mungu atakupa kutoka ndani ya damu yako ukipeleke huko.ameen

  • @omaryjuma1276
    @omaryjuma1276 2 ปีที่แล้ว

    Kashaishiwa huyu sasaiv anahasira tu

  • @keffajacob8952
    @keffajacob8952 2 ปีที่แล้ว

    kumbukeni hata uongozi ndani ya ccm ulimshinda kwa uzwzwa wke...

  • @kheryalfred691
    @kheryalfred691 2 ปีที่แล้ว

    Manara ameshakuwa chizi, bado kuvua nguo na kutembea uchi tu.

  • @jacksonmtenga1276
    @jacksonmtenga1276 2 ปีที่แล้ว

    Huyu karibu anaokota makopo!

  • @tellyandrew7030
    @tellyandrew7030 2 ปีที่แล้ว

    Hivi Sasa hivi Hassan Bunbuli ni nani Yanga? Maana kaingia Msukule hatujui nafasi zao.

  • @pablochris7809
    @pablochris7809 2 ปีที่แล้ว

    Umeulizwa swali Jibu swali, alie Uliza hakujionyesha yeye nisimba au yanga

  • @mahadshekh398
    @mahadshekh398 2 ปีที่แล้ว

    Sasa hivi full moon huwa inawadhuru wenye bipolar.Msukule anaumwa.

  • @vascokasambala2159
    @vascokasambala2159 2 ปีที่แล้ว

    APOAPO LINASEMAUONGO LIMESEMA HALIWEZI KUTAMKA NENO SIMBA NAUKU LIMEONGEA NENO SIMBA MDA UOUO

  • @saidalsalmi9313
    @saidalsalmi9313 2 ปีที่แล้ว

    Manara anaharibu yale aliyo ya jenga simba ana haribu legacy

  • @imtidaw
    @imtidaw 2 ปีที่แล้ว

    Duh Dua Aliyosomewa inamdhuru mpaka anajisifu alikuwa anadangaya

    • @olipambwilo6055
      @olipambwilo6055 2 ปีที่แล้ว

      HAJI ANAJITOA UFAHAMU WAKE ,KAMA KINYONGA HANA RANGI

  • @beaugosseadam6831
    @beaugosseadam6831 2 ปีที่แล้ว

    KUMBI YANGA TAWI LA CHAMA CHA MAPINDUZI. NDIO MAANA HUWA WANAZURU MAKABURI YA AKINA KARUME.... 🤔🤔

  • @isayashemsika4102
    @isayashemsika4102 2 ปีที่แล้ว

    Manara anajiondolea umaarufu kwa kuropoka kuiongelea simba

  • @mdimimdimi4282
    @mdimimdimi4282 2 ปีที่แล้ว

    Achaneni nalo zeruzeru iloooo

  • @josephmahubemaro7406
    @josephmahubemaro7406 2 ปีที่แล้ว

    Haji manara lazima yanga ata waharibia tu hana tambo za ushawishi kimpira ame kwisha

  • @shaphiasabani5760
    @shaphiasabani5760 2 ปีที่แล้ว

    Komaa we alibino we usiweke mambobya kifilauni ukamtanguliza mungu

  • @gulamomar6394
    @gulamomar6394 2 ปีที่แล้ว

    KWELI MANARA NI MSUKULE MBONA LINAONGEA UTUMBO🤣

  • @noahmathew7987
    @noahmathew7987 2 ปีที่แล้ว

    ukiona mtu anamponda na kumrudisha nyuma mtu aliyemfanya awe kama alivyo na amemtoa chini kamweka juu ujue huyo ni mbaya na asiaminike popote maana ndio roho yake popote aendapo akikasirishwa atafanya hivyo

  • @sharifamkandidi6104
    @sharifamkandidi6104 2 ปีที่แล้ว

    Asubili hiyo simba aone uwanja utajaa ajue simba ni kubwa kuliko hiyo bumbuwazi

  • @vascokasambala2159
    @vascokasambala2159 2 ปีที่แล้ว

    KAMAULIWAPA UKUBWA KWANN UMEFUKUZWA WEWEMSUKULE ONGEA POINTI

  • @husseinkarim7663
    @husseinkarim7663 2 ปีที่แล้ว

    Wanayanga wamepata msemaji mvutabangi au mlevi kama anavyosema mwenyewe alikuwa mlevi. Anajiharibia muislam kukubali kunywa pombe.

  • @denisdaliusislaeli150
    @denisdaliusislaeli150 2 ปีที่แล้ว

    Aji manara uyo nifala2 ajui ajui anacho kiongea uyo ni yuda yan msaliti ni msaliti2 afanye kazi kaz iliyo mpeleka utopolo na sio kudangaya watu apa

  • @michaelthobias9967
    @michaelthobias9967 2 ปีที่แล้ว

    Kwasasa mnatowa habari mno kipindi yanga anasemwa hamkuja kusema huu ni uzwazwa

    • @mbaroukrashid6201
      @mbaroukrashid6201 2 ปีที่แล้ว

      Yalikuwa yakiaminiwa ambayo aliwaambia simba kumbe feki

  • @michaelthobias9967
    @michaelthobias9967 2 ปีที่แล้ว

    Kakosolewa na Nani makolo wake wazamani

  • @emanuelkilinga9196
    @emanuelkilinga9196 2 ปีที่แล้ว

    Amesahau hao hao utopolo walimchora akiwa amevaa dera mara mjamzito. Gari bovu linasubiriwa mlimani wewe ngoja tu.

  • @kassidpandu866
    @kassidpandu866 2 ปีที่แล้ว

    Haji Simba Ni kubwa kabla kujazaliwa wacha kudanganya Nafsi yako kenge wewe

  • @vascokasambala2159
    @vascokasambala2159 2 ปีที่แล้ว

    ZOOOOOOMBIII ILOOOOOO

  • @smonmbamba1528
    @smonmbamba1528 2 ปีที่แล้ว

    Hanajizihirisha kuwa yeye muongo

  • @linuskyando4155
    @linuskyando4155 2 ปีที่แล้ว

    YANGA IKO JUU,SIMBA LAZIMA IPONDWE

    • @mbaroukrashid6201
      @mbaroukrashid6201 2 ปีที่แล้ว

      Nikweli yanga tupo juuu lakin nina wasiwasi sana na huyu msemaji wetu nahisi hajanikalia vizuri unajuwa kinachomfanya binadam akubalike ni ukweli na uaminifu hivi vitu huyu jamaa hana asije akatufanyia aliyowafanyia simba wakati huyo anaitaka azam

    • @linuskyando4155
      @linuskyando4155 2 ปีที่แล้ว

      Anaoongea sasa ndiyo UKWELI,SIMBA ALIWADANGANYA TU

  • @bennymochiwa4800
    @bennymochiwa4800 2 ปีที่แล้ว

    hili jamaa ni juha na mwehu

  • @hamadiayossy190
    @hamadiayossy190 2 ปีที่แล้ว

    Hauna lolote wewe ni mnafiq tu,yaani hapo machoni ni utopolo lkn moyoni ni simba,pumbaaaavu,

  • @yusuphually5561
    @yusuphually5561 2 ปีที่แล้ว

    wewe una jipya unayumba kk

  • @siwonikewiliam5104
    @siwonikewiliam5104 2 ปีที่แล้ว

    Hili jamaa sio bure uenda punga chele

  • @chikually3467
    @chikually3467 2 ปีที่แล้ว

    Watwangeeeee atakae chukia poa tu

    • @suleimanalihaji9386
      @suleimanalihaji9386 2 ปีที่แล้ว

      Haji inaelekea hajui tofauti baina ya PR na propagandist.....sasa hapo tumechukua bua

  • @genardmkude9598
    @genardmkude9598 2 ปีที่แล้ว

    Upungufu wa akili

  • @kiungomkabaji603
    @kiungomkabaji603 2 ปีที่แล้ว

    Kwel ww ni mkubwa fek

    • @ustadhsudi2297
      @ustadhsudi2297 2 ปีที่แล้ว

      Huyu Malaya hajielewi anauwa karia yake mbinu chafu na njaa ndio inamsumbu huyu jamaa

    • @samsonkaitira6685
      @samsonkaitira6685 2 ปีที่แล้ว

      Huna jipya,Subiri matokeo

  • @lucksonkaleshi539
    @lucksonkaleshi539 2 ปีที่แล้ว

    Huyo Msukule ni Cameleon Sana

  • @egnomsigwa8418
    @egnomsigwa8418 2 ปีที่แล้ว

    Manara nimtu walu walu .mwoga wa maswali .mwepesi wa hasira .mwepesi kuliya kama mtoto

    • @mwanakuwamwinyimkuu1248
      @mwanakuwamwinyimkuu1248 2 ปีที่แล้ว

      Amna lolote mwanzo alipokuwa Simba alokuwa atunanga sana ila Leo yupo yanga ndiyo wajifanya maneno mengi