Huyu jamaa aeleweki, ukimsikiliza hadi mwisho hujui alikuwa anazungumzia nin .....THEME; anaongea akiwa na machungu moyon lakin anataka afikishe ujumbe ila hataki kuwagusa wahusika anaogopa yaliyomkuta kwakifupi MNAFIKI
Nyie nae mna mamb dah kwani miqison akiachwa ndo jobe nae aache2 wewe nae chawa sana unazidi nyie mnaaribu mpira wewe mnateswa na mzimu wa chama sasa chama ni mchezaji wa ndoto za simba kweli kwa sasa iv chama yule.
Gb 64 hizo ndio zako kuropoka ulishawahi kusema Yanga akienda makundi unahamia Yanga,tatizo mnapangia majukumu hela ya tajiri.unajidanganya sana kama mnazo pesa viingilio vya nini?

Miqsone mtu ila viongozi wanamihemko,ingependeza Miqsone kama mshahara mkubwa wamuombe upungue kama atagoma ndio wampige chini
Viongozi wa Simba mnamtoa Micksoni mnamwacha Jobe mtoeni Jobe
Thank you ya jobe itakuwa suprees ya mwixho
Jaamaa anaongea vizuri sana naukweli mtupu kama kunamtu anampinga atakua kichwani zimeoza😂
Acha kudanganya wana simba.mnayo matambo lkn mkirudi uwanjani mnaonda mapema
Kuma madunduka alafu Kuna lidunduka ndo huyo mzee ivi mnamuelewa kweli anacho kiongea😂😂😂😂😂
Leo ndio nmekuona mwehu😂😂Ngoja tusubiri mudau utasema
Jobe hataondoka pia
Mikson ame kuja tumeshushwa no 3 mwache huenda akapata Dili kwingine maisha n popote
Luis asinge enda banh ila bas kuna wengine atuja ona thanks you yao kama wakina kibu na paa Omar
Hovyo
Mshahara wa miquisone ni mkubwa sana wacha aende
Hili jamaa linafki kweli wametoka kuliweka ndani juzi juz tu leo linalotoka limepewa pesa nn
Nyie nae mna mamb dah kwani miqison akiachwa ndo jobe nae aache2 wewe nae chawa sana unazidi nyie mnaaribu mpira wewe mnateswa na mzimu wa chama sasa chama ni mchezaji wa ndoto za simba kweli kwa sasa iv chama yule.
Wewe ni kichaa jifaliji
Ukipelekwa ndani hatukutoi tena nyau wee
Kwa chama umeongopa
Gb 64 hizo ndio zako kuropoka ulishawahi kusema Yanga akienda makundi unahamia Yanga,tatizo mnapangia majukumu hela ya tajiri.unajidanganya sana kama mnazo pesa viingilio vya nini?
Jamaa mgonjwa waakili sana huyu ngoja tuone Ngoma inakoelekea
Viongoz wanazinguwa xana
Ww mgonjwa kweli unapigia hesabu yanga kuondoka sahau tunasubiri wakwenu tunaowataka tuengeze zaidi😅
Hifazi maongezi yako usije kuyakana eti Azizi k hayupo unaotaa ww
Kaka tulia watu wajenge timu
Kramo yupo na anawauwa
Unafilwa nilikuwa naona unaongea vitu kumbe mavitu hakuna ubingwa tena
Acha mboyoyo wewe.we ndo unapproachable wanasimba
Duuh et gharib at namb kumi Tanzania hayupo,, uyu
Kweli mickison kuondoka ata mimi sijapenda.
Hivi huyu ndugu mbona anajichosha anaomgea weee sijui anapata faida gan SI atulie tujenge tim yetu
Unataka akae kimya ili babu yako mangungu aendelee kupiga ela
Kwani akiongea wewe unapungukiwa nini au kunakitu kibaya amezungumza si Anazungumza ukweli