ONE ON ONE ALI KAMWE PART 4: HAJI MANARA ALINIDHALILISHA MBELE YA WATU/NAAPA SITOMSALIMIA TENA.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น •

  • @isaackaitira7654
    @isaackaitira7654 2 ปีที่แล้ว +2

    Pole Ally Kamwe umejaribu njia zote za kumweleza kilichotokea imeshindikana wewe samehe suala la riziki anatoa Mungu hata kama usingepata kazi Azam kupitia Haji Mungu angekupa kazi mahali popote

  • @denismvula300
    @denismvula300 2 ปีที่แล้ว +6

    Bila shaka Hii media ni ya Ally kamwe
    Congrats bro

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 2 ปีที่แล้ว +22

    KAKA NAKUPENDA KWA AJILI YA ALLAH,TABIA YAKO YA UPOLE NA IFAHAMU WA JUU
    NAKUSHAURI ACHANA NA MPIRA KASOME MASOMO YA DINI,UPATE UTUKUFU DUNIANI NA KESHO AAKHERA!!
    AHSANTE KAKA

  • @kamishina7853
    @kamishina7853 2 ปีที่แล้ว +18

    Ally Kamwe mdogo wangu kwanza nikupe saluti kwa kumsoma mtu, umepambania sana urafiki na Hajj lakini yeye mwenyewe amekukataa,naimani kama dhambi umeivua,riziki yako mungu aliipanga hata kama asingekuwa Hajj Manara ungeipata tu amini hilo,Mzee Said Salim Bakhresa mungu alimpa mali na yeye anatugawia kwa uwezo wa mungu hivyo huyo Hajj siyo mungu.

  • @faustinombilinyi9809
    @faustinombilinyi9809 2 ปีที่แล้ว +4

    Pole Sana Kaka nimekusikiliza SN pole mtu Kama kweli Hadi salami mbele za watu mmmh shida pia haji Kaka msamehe elimu Hana kwa hiyo ANATUMIA nguvu kubwa SN ktik Mambo yke lkn cjapend mtu anakukataaa Hadi salamu aaaaah no shida pole kaka kaza fanya kazi kwa juhud ilimradi yy hajapenda kakukataa Mungu atakupa marafik wengine nimeumia SN MTU kukataa mkono ukiwa hai ukifa huyu hawez kukuzika lkn msamehe haji shule Hana vitu vingi anaforce sn

    • @drkasudia9921
      @drkasudia9921 2 ปีที่แล้ว

      ally uko vizuri ila pia umekosea kumbuka haji alikuchulia kama mdogo wake

  • @eshasaid7516
    @eshasaid7516 2 ปีที่แล้ว +22

    Kufadhiliawa kubaya,,,,but ni mungu ndio aliokufikisha hapo💚💛💚💛🇰🇪

  • @yonasmrope9372
    @yonasmrope9372 2 ปีที่แล้ว +16

    Kagombana na prisca kishamba, jemedar said, shafih dauda, maulidi kitenge, Wilson oluma, geof lea na sasa Ali kamwe du sasa nimeamin manara ana shida tena so ndogo aendelee kula bani ya miaka 2

    • @dommycash1
      @dommycash1 2 ปีที่แล้ว +1

      KILAZA wew

    • @mugishagweedwine8860
      @mugishagweedwine8860 2 ปีที่แล้ว

      Hajagombana na huruma ,geof Lea na kitenge

    • @jareengeorge5478
      @jareengeorge5478 2 ปีที่แล้ว

      Ameshawai kusema yeye kasomea unafiki.kwakweli manara amefukuzisha watuwengi kazi.

    • @thendindindithendindindi1601
      @thendindindithendindindi1601 2 ปีที่แล้ว

      @@mugishagweedwine8860 Wewe utakuwa ulikuwa mdogo sana. La kitenge mpaka wazaz wao waliingilia kati. Fatilia Ama Andika TU TH-cam kuhusu kitenge na manara

    • @georgesteven5185
      @georgesteven5185 2 ปีที่แล้ว

      @@dommycash1 wew kiazi

  • @franciscomasungulwa3575
    @franciscomasungulwa3575 2 ปีที่แล้ว +48

    Mimi ni MWANANCHI ila HAJI sikuwahi kukubali ujio wake YANGA... Ni mswahili mnoooooo

    • @bokekaone2516
      @bokekaone2516 2 ปีที่แล้ว +3

      Hata mimi sijawahi mpenda yule kiumbe

    • @narrissajackson3869
      @narrissajackson3869 2 ปีที่แล้ว

      Kawaida hawezi kukubalika na watu.

    • @khadijamisayo7476
      @khadijamisayo7476 2 ปีที่แล้ว

      kimwaga udugu

    • @gibsonjosephat6352
      @gibsonjosephat6352 2 ปีที่แล้ว +1

      Mimi simtaki kabisa na hasa alivyosema wanayanga wote hatuna akili isipokuwa Kikwete na Baba yake tu.

    • @bulugubujashi6378
      @bulugubujashi6378 2 ปีที่แล้ว

      Kwakweli mimi mwenyewe simkubali kimsingj siku akitoka yanga ataisema pia

  • @janaakimu6171
    @janaakimu6171 2 ปีที่แล้ว +7

    Ally Kamwe thE Boy from #TEMEKE💪💪💯%.

  • @edinamgulila8827
    @edinamgulila8827 2 ปีที่แล้ว +18

    Piga kazi ndugu ...hizo ndo changamoto za kazi , ww piga kaz Mungu atakupambania

  • @aliyumuhammed6054
    @aliyumuhammed6054 2 ปีที่แล้ว +9

    Ally ni geniuos🙌

  • @sashahauke2032
    @sashahauke2032 2 ปีที่แล้ว +27

    Kwakweli hata Mume wangu hapendi kusema uongo hongereni sana wenzetu waislam ila Ally uko vzuri bro usijali kabisa

  • @ramadhanizaki272
    @ramadhanizaki272 2 ปีที่แล้ว +4

    Ally unaongea vitu vikubwa sana Allah aendelee kukuhufadhi

  • @tizomkonga7859
    @tizomkonga7859 2 ปีที่แล้ว

    Dogo upo sawa sana sema haj mswahili sana .

  • @mwitamalwa2773
    @mwitamalwa2773 2 ปีที่แล้ว +1

    Tayar hapa mm nimejifunza kitu kutoka kwa manara manara inaonekana ajafunzwa nahis ata maisha yake yatakua magumu sana make yeye kila mtu Ashagombana na watu yeye mtu gan

  • @michaelmabawa4951
    @michaelmabawa4951 2 ปีที่แล้ว +3

    Mwanzo nilidhan marana ana roho mbaya kumbe ni mtu mzur sana hadi anatagutia watu kazi! Hongera sana Haji. Ally unafanya kazi nzur lkn mtu kama nakupa maisha huwez kumnanga. Ww familia yako na ndugu zako wanakula kwasababu yy kakupa kazi. Usimkosee heshima bila sababu.

    • @alexanderjustine1523
      @alexanderjustine1523 2 ปีที่แล้ว

      Safi

    • @martinajuma8401
      @martinajuma8401 2 ปีที่แล้ว

      Huko ni kutaka Ali awe mtumwa kisa kasaidiwa, Haji kafanya kitu kizuri sana kumtafutia mwenzie kazi lakin isiwe fimbo ya kumchapia ,asitake asujudiwe sana , inshort sion kosa la Ali hapo

    • @hassanirajabu5453
      @hassanirajabu5453 2 ปีที่แล้ว

      Kwa hiyo wewe ukimtafutia mtu kazi basi wataka akusujidie kwa kila jambo asikwambie ukweli dah

    • @justinmkumbwa2330
      @justinmkumbwa2330 2 ปีที่แล้ว

      Huoniupuuz wakumshukuru no MUNGU pekeyake kwani huyo manara ndiyealiye leta kaz zotehapa dunian mpuuzi tu huyo wangap wanawatafutia watu kaz hawawafanyi watu watumwa waheshima

  • @JumaMartin-e4v
    @JumaMartin-e4v 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa mtazamo wangu upo Azam kwanza uwezo wako ila na upo kwa ajili ya heshma ya manara.kama uwezo wako tu mbona Azam awali hawakuku ajiri?mpaka manara alipo tia kauli yake ndio ukapata ajira.hivyo c uwezo wako pekee na haji pia anahusika tena pakubwa.

  • @charlesmbena9121
    @charlesmbena9121 2 ปีที่แล้ว +1

    Kamwe pole lakn kikubwa nimepanda kazi Nzuri ya kujituma kutoka kwako nimekusikiliza sana lakn kikubwa ww ni dhahabu inayowaka gizani

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n 5 หลายเดือนก่อน

    Manara ana roho mbaya huwa hapendi mengne apate na hta ikittokea kamsaidia mtu dunia itajua

  • @ivankadaudi8161
    @ivankadaudi8161 2 ปีที่แล้ว

    Tatizo la watu ambao Mungu huwatumia kua madalaja ya sisi kufika mahali hufikili waoooo ndio wamesababisha ,wakati Mungu tu aliona wawe wao kufikia tulipo, sasa hutumia ule msaada kutuchapia kisa tu mtu alikusaidia kiukweli inaumiza,kisa mjini umenipokea ww ndio unitawale kwenye kila kitu jaman.utasikia bila mm usinge kua apo aaa kwan ww ujawai kusaidiwa maishan masimango yanaumaa jaman kuliko Kofi

  • @allymtungunyu2425
    @allymtungunyu2425 2 ปีที่แล้ว +32

    Lakum dinkum waliyadiini: surat al qaafiruun.

  • @bimbaboy816
    @bimbaboy816 2 ปีที่แล้ว

    Uyujaa anahakiri nyingi sana mungu azidi kumurinda nakumubariki

  • @hammy7664
    @hammy7664 2 ปีที่แล้ว +8

    Classmate we always like that.

  • @rajabumrope8732
    @rajabumrope8732 2 ปีที่แล้ว +9

    manara ana shida haiwezekani kila mtu akosane nae sijajua anajitengenezea mazingira ya aina gani sasa,zamani watu walijua anaonewa sasa hivi wanajua,TFF haina ugomvi na Yanga,wala Yanga na TFF bali yote yanayojiri ni manara binafsi

    • @mugishagweedwine8860
      @mugishagweedwine8860 2 ปีที่แล้ว

      Mbona hajakosana na baba ake au mama na we umekosana nae kwan

    • @rajabumrope8732
      @rajabumrope8732 2 ปีที่แล้ว

      @@mugishagweedwine8860 BALANCE SHOBO AFU PITA HIVI

  • @yusuphjilala846
    @yusuphjilala846 2 ปีที่แล้ว +5

    Kichwacha habari yakohukupashwakumjibu^😴mpumbavu akinyamaza huhesabiwahekima😎😎

  • @roviykamage5423
    @roviykamage5423 2 ปีที่แล้ว

    Ali kamwe unabusara sna kaka

  • @catherinecostantino2034
    @catherinecostantino2034 2 ปีที่แล้ว +3

    Nakukubali Sana Ally sanaaa

  • @browncheyo5554
    @browncheyo5554 2 ปีที่แล้ว +7

    Simba ni ile ile kilichopungua ni makelele hahahaha

  • @najmahhassan7853
    @najmahhassan7853 2 ปีที่แล้ว +2

    Pole but your very smart boy.👌🤲

  • @habisnasalum-nz4zo
    @habisnasalum-nz4zo ปีที่แล้ว

    Umezidi ushoga wew nishoga na uyo manara wote ni mashoga

  • @sifamushi1747
    @sifamushi1747 2 ปีที่แล้ว

    Ali Kamwe.. ACHANA NAE UYO jamaa.. wivu umemjaa ata kama kakusaidia . ACHANA NAE MBLOCK WALA USIMJALI.

  • @JimokuMhela
    @JimokuMhela หลายเดือนก่อน

    Alli Kamwe ulimkosea Haji, kitu kama kinamkwaza mtu usikifanye hasa aliyekusaidia.

  • @RobbyDejan1234
    @RobbyDejan1234 2 ปีที่แล้ว

    Maarifa makubwa mwili mdogo mdogo wangu Ali kamwe achana na huyo Kimwaga udugu kila siku yeye anaonewa yeye anadharirishwa mpuuzi huyo akabrashi meno yake domo Kaya huyo mtu mzima anashindwa kujielewa..

  • @martinsamatajr7972
    @martinsamatajr7972 2 ปีที่แล้ว

    kwann baada ya ali kamwe kusema hii ishu ndo yy aje ajibu kwaiyo haji manara anamatatizo piga kaz broo kikubwa hauli kwake aaahaa we fanya yako

  • @suleimanjuma1872
    @suleimanjuma1872 2 ปีที่แล้ว

    Subir jamaa likikujibu utajua hujui mzee baba

  • @footballtv9988
    @footballtv9988 2 ปีที่แล้ว +6

    Manara Hata Mimi Amenibrock🤣🤣🤣 Cjui Kwann..

  • @stanleyhenrish4114
    @stanleyhenrish4114 2 ปีที่แล้ว +16

    Haji ni mnafiki Sana anataka akimsaidia mtu lazima ulimwengu ujue

  • @mwanduedward3833
    @mwanduedward3833 2 ปีที่แล้ว

    Bro pole sana ww piga kaz hiyo nikaz yako usiangalie mtu

  • @kaundasutikaunda7769
    @kaundasutikaunda7769 2 ปีที่แล้ว +2

    Haji kinacho msumbua ni elimu..hana elimu ndio anagombana na kila mtu mjinga yule.

  • @ayubleo
    @ayubleo 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa anapenda sana sifa

  • @hamiduhk3856
    @hamiduhk3856 2 ปีที่แล้ว +1

    haji hapo kweli alikosea lkn ni kweli ali kamwe unanafkia sana💯

  • @suleymanally1465
    @suleymanally1465 2 ปีที่แล้ว

    Ally Yuko straight Sana haji rudi kwa mola wako ally hakuwa na nia mbaya na Allah hapendi hali hii, wekeni pembeni tofauti zenu ss tunawapendeni Sana nyote

  • @salumshomv6293
    @salumshomv6293 2 ปีที่แล้ว

    Haji nae binadamu kikubwa kusemaana kaka

  • @lukasanga685
    @lukasanga685 2 ปีที่แล้ว

    Pole sana Ali kamwe ila haji mmmmh 😢😢

  • @charlessomeke8992
    @charlessomeke8992 2 ปีที่แล้ว

    Manara ni jembe aisee . Jamaa yuko good. Sana

  • @issakwisamwakisambwe4080
    @issakwisamwakisambwe4080 2 ปีที่แล้ว +5

    Hilo sukule lisikutisheee kabisaa bora wewe alikusudia kuliko yeye kaolewa anatoa mpododi 😂😂😂😂😂

  • @hannanommy302
    @hannanommy302 2 ปีที่แล้ว

    Kosa na Wewe ulikuwa unamwandika sanaaa, hilo ndo kosa lako,

  • @andreaachille1276
    @andreaachille1276 2 ปีที่แล้ว

    Pole mh kamwe achana na huyo manara ni mkorofi.

  • @emmanuelzwallo3933
    @emmanuelzwallo3933 2 ปีที่แล้ว +2

    Kumbe na ww unamaneno ya kifara.mara coastal mara MANARA.

  • @raybirry3816
    @raybirry3816 2 ปีที่แล้ว +14

    WEMA WAPONZA,bwamdogo jifunze MAISHA! urafiki ni LAZIMA maishani huwezi kufaidika na FADHILA za watu halafu UWAHUJUMU na waendelee KUKUCHEKEA! DUNIA HAIENDI HIVYO!!! MTU YEYOTE ANAETAKA KUJIUA ANA MATATIZO YA KI AKILI (PSYCHIATRIC ISSUES) ALI KAMWE UNAONYESHA KILA DALILI ZA PSYCHOLOGICAL ISSUES.

    • @andersonjamal7523
      @andersonjamal7523 2 ปีที่แล้ว +2

      Kwani hakuna kingine Cha kuandika Hadi umguse alikupa fadhili,basi kama yeye mkweli awe anamchana Bakhresa alafu tuone itakuwaje au awe anaichana Azam pakubwa alafu tuone itakuwaje ,mwambie aache unafiki ,kila kitu kina mipaka

    • @ahmadnakwilinga8260
      @ahmadnakwilinga8260 2 ปีที่แล้ว +1

      Mbona yeye anamsema sana Mo na Simba wakati ndo wamemfanya awe mkubwa acheni hizo kama vipi Kila mtu afanye anachokiona Bora amuache Ally afanye kazi yake

    • @fredaboud7838
      @fredaboud7838 2 ปีที่แล้ว +1

      Hujawahi kupata matatizo ww

    • @emmanuelzwallo3933
      @emmanuelzwallo3933 2 ปีที่แล้ว +2

      Mm nakuunga mkono.haiwezekan hata mm nimekupa shavu harafu uanze kunichura? Kwanza huo ni unafiki mkubwa na hufai kabisa.Unakoswa watu wengine wa kuwaandika mpk uandike Mambo yanayomhusu mtu Wako wa karibu?

    • @mwikamwika4851
      @mwikamwika4851 2 ปีที่แล้ว

      Kweli Ray ni manara typical. Yani nawe unaongea kama zeruzeru badala ya kudigest hojo ya kamwe ikuingie kichwani.

  • @ufugajiwetu7782
    @ufugajiwetu7782 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole sanaa

  • @issaibrahim7797
    @issaibrahim7797 2 ปีที่แล้ว +1

    Mbona alipokua ana kutafutoa kaz hukuweka mtaon afu mbona alipokua ana kutafutia kaz hakukuweka mtandaon

  • @jareengeorge5478
    @jareengeorge5478 2 ปีที่แล้ว

    Ndio mjue manara alifukuzwa Simba kwaajiri ya uongo na unafiki.Mungu ameshamlaani yule

  • @harunmruma2291
    @harunmruma2291 2 ปีที่แล้ว +1

    Acha kumtangaza mtu kwenye online TV matatizo yenu mbona mlipo kwazana huko hatukujua

  • @alexmadimo4299
    @alexmadimo4299 2 ปีที่แล้ว +6

    Kamwe alikosea na pia manara amekosea zaidi kwa kutotaka kuambiwa ukweli na kuombwa radhi

  • @omarytajiry7913
    @omarytajiry7913 2 ปีที่แล้ว

    Ally muandike huyo kwanza anatimuliwa yangu

  • @habibrwegoshora6624
    @habibrwegoshora6624 2 ปีที่แล้ว +3

    ACHANA NA MANALA CHA KUFAHAMU UJUE UTAPOTEZA MARAFIKI KINA SS KWSSB HUYU MANALA KWETU NI MUHIMU SANA SANA SANA

    • @pixels_tech
      @pixels_tech 2 ปีที่แล้ว

      Nimuhimu kwako wewe.kwake sio muhim.kwaiyo wewe chagua tu

    • @andrewmadaga7913
      @andrewmadaga7913 2 ปีที่แล้ว

      Penda Mpira maana ndo umetukutanisha p1 watu huja na kuondoka Alf maisha ndo yalivyo mtu asifanye kitu kizur kisa et yule atanionaje. maisha/kaz ya waandish hayachagui upande.

  • @bonifacemizambwa2251
    @bonifacemizambwa2251 2 ปีที่แล้ว +1

    Uwezi kumaliza tofauti kwenye media kamwe huungwana ungemtafuta hata ungekutana na baba yake angemuita mmalize tofauti zenu ndio dini inataka cyo ivyo tunaona km kiki

  • @G.r.e.a.t.I.Q
    @G.r.e.a.t.I.Q 2 ปีที่แล้ว

    Umekiri kuwa ulivyo andika "Simba ni ileile, kilicho pungua ni makelele tu" ulimlenga yeye. Wewe unalialia Eti unafanya kazi yako. Kazi ya unaye muongelea unaiita "makelele! Adabu mbovu!

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295 2 ปีที่แล้ว

    Huwezi kusema uwongo?

  • @faridhassan6834
    @faridhassan6834 2 ปีที่แล้ว

    Kwa haraka haraka huyu dogo anaonekana ana roho mbaya ingawa simkubali manara

  • @jefrineliaselias691
    @jefrineliaselias691 2 ปีที่แล้ว

    Hata Mimi manara nishambrock kitambo sana

  • @hajiwaziri4357
    @hajiwaziri4357 2 ปีที่แล้ว

    Kutofautiana ndio asili ya binadamu, hatuwezi kuwa na fikra sawa, mbora zaidi yenu ni yule aliyemfichia binadamu mwenzake mapungufu yake. Naamini wote mmekosea ila ally umekosea zaidi.

  • @johnlihawanipoiringa6339
    @johnlihawanipoiringa6339 2 ปีที่แล้ว

    Ww tako sana ally

  • @ladislauslingwentu9670
    @ladislauslingwentu9670 2 ปีที่แล้ว

    Samehe 7,70! Ally!

  • @omarytajiry7913
    @omarytajiry7913 2 ปีที่แล้ว

    Haji anajikuta Malaika huyo achaneni nae huyoo anajikuta yeye ni kila kitu. Akikosea piga nyundo

  • @michaellyeme7397
    @michaellyeme7397 2 ปีที่แล้ว

    We mwandishi fisi!huna maadili wala Adabu?!Jitoe basi Azam kama utapata kazi ."UNAMNYANYAPAA"

  • @ilhamswaleh3428
    @ilhamswaleh3428 2 ปีที่แล้ว

    Dah haji roho mbaya

  • @sheikhhusseinsuleimani2755
    @sheikhhusseinsuleimani2755 2 ปีที่แล้ว

    Niatari kweli achanae Allah yapo kwajili yako

  • @ezrakenyanya7399
    @ezrakenyanya7399 2 ปีที่แล้ว

    Ally kamwe umezid sometimes unaboa japo manara wamoto

  • @georgesamwelchacha7680
    @georgesamwelchacha7680 2 ปีที่แล้ว +7

    Tatizo Wachambuzi hamchambui michezo mnachambua watu

  • @mussacoudoger9750
    @mussacoudoger9750 2 ปีที่แล้ว

    Lakini Ally pamoja na yote...hatujawahi kusikia Manara anasema kwenye media kuwa alikusaidia kupata kazi....! Sababu ya wewe kuja public na kushitaki...mengine ungemuachia Mungu uendelee na maisha yako

    • @suleimansalym7537
      @suleimansalym7537 2 ปีที่แล้ว

      Ni kweli kaka inaweza kuwa Manara hajawahi kuandika wala kusema sehemu kuwa amemsaidia Ali lkn ni afadhali angesema au kuandika kuliko kumfuata inbox kumwambia nimekusaidia kiukweli inanyima raha na aman ukizingatia Ali ni mwandishi maana mtu kukusaidia halaf akakunyima uhuru pia unaudhi na kukera sana ni bora Ali alipofunguka mwenyewe kuwa kasaidiwa kuliko kuwa ''MFUNGWA HURU'' kwa Manara

  • @abdulgeuka3985
    @abdulgeuka3985 2 ปีที่แล้ว

    Majigambo mengi eti mm mtu wa ibada.. sijui nn.. unazingua dogo unavimba

  • @rahimuomari4147
    @rahimuomari4147 2 ปีที่แล้ว +1

    Manara kichaa aaache bangi

  • @charlesmpagama7117
    @charlesmpagama7117 2 ปีที่แล้ว

    Dah yani

  • @msimbazijr7725
    @msimbazijr7725 2 ปีที่แล้ว

    Haji punguza bwana uadui na kila mtu cyo mzuri

  • @justusmukurasi4383
    @justusmukurasi4383 2 ปีที่แล้ว

    Nyote ni wananchi msiendeleze mjadala huo

  • @yunussaleh8493
    @yunussaleh8493 2 ปีที่แล้ว

    Ww msalimie tu

  • @papaadialoo
    @papaadialoo 2 ปีที่แล้ว

    Utajutia unafiki Mungu atakulipa hapa hapa

  • @lucasmlele6748
    @lucasmlele6748 2 ปีที่แล้ว +6

    Ali kwa imani za dini zote usipoweza kusamehe maana yake unaiambia dunia na mbingu kuwa nawe usisamehewe na Mola

    • @amanimwaifunga6524
      @amanimwaifunga6524 2 ปีที่แล้ว

      Mungu tu ndo husamehe ila mwanadamu alizayezaliwa na mwanamke tena mwenye Moyo wa nyama anaweza samehe na alachoka kusamehe na asisamehe tena kwa ufupi Mungu pekee ndo husamehe ila sio mwanadamu

  • @simonmadiba2053
    @simonmadiba2053 2 ปีที่แล้ว +1

    Haji ana roho ya kichawi mno

  • @olaislukumay2208
    @olaislukumay2208 2 ปีที่แล้ว +2

    Manara anatakiwa kuwa mnyenyekevu aache kujikweza

    • @queenraphaher7736
      @queenraphaher7736 2 ปีที่แล้ว

      hapana ñenda nyumbani nyumbani mkaongee, haki ni mcha Mungu. tuone kama atakuwa kama Karia? kusamehe ni lazima sio hiari.Mungu. anatujua ndio maana usipo samehe, Mungu hawezi kuku samehe.

  • @frankmhamilawa9334
    @frankmhamilawa9334 2 ปีที่แล้ว

    Mmmh

  • @sebmalunde5945
    @sebmalunde5945 2 ปีที่แล้ว +6

    Tatizo kubwa kabisa la Haji ni kukosa Shule. Mambo ya vijiweni naweza kumpa 9/10 lakini ktkt football Technical aspect nikimpendelea sana basi 2/10. NO OFFENSE

    • @jamesgustav196
      @jamesgustav196 2 ปีที่แล้ว

      well said

    • @elochoyakobo7809
      @elochoyakobo7809 2 ปีที่แล้ว +2

      Usimba unawasumbua, based on this stupid pundit views niwazi huyu Hana ethics za kikazi huwez kwenda hadharsni na kuongea Vitu kama hivi nandomana Haji Kwa kuheshimu Hilo aliamua kuwa anamtext DM lakini hili pumbu linakuja kuongea hadharani then what?? Anataka public sympathy ama ni nini ??kwani Haji sio binadamu ambae hawezi kuonyesha hisia zake hususani pale anaoohisi anauwezo WA kufanya hivyo? ..acheni uKUMA na ushabiki maandazi

    • @elochoyakobo7809
      @elochoyakobo7809 2 ปีที่แล้ว

      We Ally ni kuma sana na hauna ethics za kikazi huwez kukurupaka nakuanzs kueleza personal issues na MTU hadharani, KUMA SANA WEWE

  • @mwakipundahenry5235
    @mwakipundahenry5235 2 ปีที่แล้ว

    Ally Kamwe umezingua, najua watu wako wa karibu hawawezi kukwambia UKWELI, Unakiri kwamba Haji alipambania AJIRA yako, mbaya zaidi umekiri kwamba ulikuwa Mchambuzi tu bila AJIRA rasmi pale Azam, hapo hapo unasema uliwauliza Azam km upo pale kwa Uwezo wako au kwasababu ya Manara? Sasa km ilikuwa kwa Uwezo wako kwanini hao Azam walisubiri hadi aje Manara kuwaomba wakuajiri? Mtu wa THAMANI kwenye hii Dunia sio ndg yako wa damu Bali ni yule aliekupa au aliekuunganisha na KIPATO kwasababu hicho kipato ndio UHAI wako + kusomesha watoto wako + kulisha mkeo + kusaidia wazazi wako + kusaidia wengine, Je! Huoni km hao wote wananufaika na MSAADA wa Manara? Wewe ulitaka kukuza JINA au kupata FOLLOWERS wengi kwenye acc zako za social networks kupitia Manara, kibusara ungemuomba tu, "bro wewe kwa sasa ni jina kubwa, wewe ni Content, naomba nikutumie kukuza JINA langu"

  • @emmanuelzwallo3933
    @emmanuelzwallo3933 2 ปีที่แล้ว +1

    Tuoneshe sms alizokukandia .pengine na ww usije ukawa kanjanja tu

  • @prosperjuma905
    @prosperjuma905 2 ปีที่แล้ว +1

    Me mtu asipotaka salam zangu nashukuru kweli. Maana kanipunguzia kazi ya kusalimia salimia watu weng

  • @jescaamani3774
    @jescaamani3774 2 ปีที่แล้ว +1

    Point

  • @muhsinsalum8009
    @muhsinsalum8009 2 ปีที่แล้ว +1

    Muhimu ungelimtafuta mkayamalizia hukohuko mitaani.
    Sio kumleta hapa MTANDAONI

  • @tintz3157
    @tintz3157 2 ปีที่แล้ว

    Hivi huyu kitimoto a.k.a hajimanara anajikuta nani kwa mfano

  • @shukurumotima6846
    @shukurumotima6846 2 ปีที่แล้ว +1

    Haji ni chapombe usishindane nae

  • @ezrayohana3541
    @ezrayohana3541 10 หลายเดือนก่อน

    Khaaaaa nmeiangalia mwaka hii interview leo baada ya Cr belouzdad kutolewa na Yanga ilaaa kusema kweli
    Nmegundua uyu Alikamwe anatisha sana

  • @kassimhashi49
    @kassimhashi49 ปีที่แล้ว +1

    Ali kamwe

  • @awalinabakilile2427
    @awalinabakilile2427 2 ปีที่แล้ว

    mmmh

  • @manisuley9240
    @manisuley9240 2 ปีที่แล้ว

    kwaiyo kuandika unaona nijambodogo

  • @anithawidambe670
    @anithawidambe670 2 ปีที่แล้ว +1

    We achana naye huyo. Kwani ukimsaidia mtu lazima akulipe? Huo ni ufinyo wa mawazo

    • @selemanirashidi1620
      @selemanirashidi1620 2 ปีที่แล้ว

      Mtu mweupe kuliko mzungu anashida we achana naye

  • @footballtv9988
    @footballtv9988 2 ปีที่แล้ว +4

    MANARA KUGOMBAN NA WATU NI KAMA KUNYWA CHAI TU🤣🤣🤣🤣🤣

  • @kondeabeid6295
    @kondeabeid6295 2 ปีที่แล้ว +2

    Manara anaroho mbaya

    • @elochoyakobo7809
      @elochoyakobo7809 2 ปีที่แล้ว

      Hacha ukuma , angekuwa na roho mbaya angemsaidia aajiriwe??kuma kweli wewe

  • @abdallaali5467
    @abdallaali5467 2 ปีที่แล้ว +2

    Kama ukitafakari kwa kina zaid utagundua huyu Ally yupo na matatizo mawili
    1. Kibri, kwa mfano suala alilowauliza waajiri wake kuhusu mchango wa Haji au uwezo wake wa kiutendaji ndo ulomfanya kuajiriwa? Hichi ni kibri
    2. Kuto kuchunga heshima ya mtu alokusaidi, hio article aloandika kwamba 'simba ni ileile kilichopungua ni makelele' hapa kwa mashabiki na wafatiliaji wa masuala ya michezo tz hakuna atakaepinga kwamba mlengwa sio Manara.
    Kwaio suala la uhuru wa uandishi ni jambo jema ila kutafakar nini unaandika ni jambo jema zaid. Na nina imani aliandika article hii baada ya kuhakikishiwa kwamba yupo kazini kwa uwezo wake na sio kwa msaada wa Manara, hii ilimpa kiburi sana.
    Pia Ally anatakiwa achunge mipaka ya uandishi, kama Juma Mgunda pia alikutafuta maana yake wewe ni kawaida yako kuandika article zenye zinazo leta kero
    Ila kwa upande wa pili Manara pia ana makosa yanayofanana na hayo ya Ally.
    1. Kibri, kwa kukataa hata salam ya muislam mwenzako.

  • @mswahbeka4668
    @mswahbeka4668 2 ปีที่แล้ว

    Ukweli utabaki palepale kwamba Ali umemkosea Manara,hizo kelele ulizozimaanisha wewe ni kelele gani?? Na ndio mana hata juma mgunda alikasirishwa na maneno yako tofauti ni kwamba mgunda alikuchana,elezea mpira ila usitamke maneno yenye kuibua hisia mbaya kwa watu,na hapo Katika hyo media hukutakiwa kuonyesha SMS za mgunda,hilo pia ni kosa umefanya.