P Funk aliniponda kuanzisha Bongo Fleva, Dully Sykes ni Msafi kitambo. Master Jay Part 1

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 36

  • @OnesmoEphrata
    @OnesmoEphrata หลายเดือนก่อน

    MAJANIII TEMBA HAPA
    Nakumbuka sana enzi zetu miaka ya akina mh TEMBA tangu enzi za mpenzi nime kumaindi uwe wangu ma anani

  • @OmaryNgitu-io6sz
    @OmaryNgitu-io6sz ปีที่แล้ว +6

    Mika mwamba kali na beat ya tamala hardmard,na nyimbo za saida karoli,respect...

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 ปีที่แล้ว +3

    Nampendaga Sana master j interview zake,,uyu jamaa anamadini Sana,, nakupenda master j

  • @OnesmoEphrata
    @OnesmoEphrata หลายเดือนก่อน

    MAJANIII TEMBA HAPA

  • @khalidibero
    @khalidibero ปีที่แล้ว +9

    Ila yote kwa yote miika mwamba alifanya yake katika huu mziki.Alifanya Classic song ambazo ni kumbukumbu tosha.
    Kwenye chati ya Balozi
    Kamanda ya Daz nundaz
    Salome y dully
    Elimu mitaani ya D knob
    Eno mic ya mganda ziggy dee
    Hizo ni baadhi ya ngoma kali na zilikuwa na touch tofauti kabisa.

    • @husseinhussein9971
      @husseinhussein9971 ปีที่แล้ว

      Mika ni bonge la producer.

    • @sabanajunior3243
      @sabanajunior3243 ปีที่แล้ว

      S2KIZZ zombi bby ndo baba lao😅😅

    • @mtatapharaoh5174
      @mtatapharaoh5174 ปีที่แล้ว

      @@sabanajunior3243 mtoto wa gheti Kali ...mica mwamba - noma Acha Master J...

    • @nyotamy3678
      @nyotamy3678 ปีที่แล้ว

      Oiii umetishaa

  • @FranklinMtei
    @FranklinMtei 5 หลายเดือนก่อน

    Are You Down bonge la track aisee. Noma sana!

  • @kagirasta1476
    @kagirasta1476 ปีที่แล้ว +1

    Diplomacy walkua noma sana kina saigon Balozi enz izo wako secondary 1997

  • @mtatapharaoh5174
    @mtatapharaoh5174 ปีที่แล้ว

    mtoto wa gheti Kali - Babu Inspekta haroun...mica mwamba - noma Acha fitina Master J...

  • @NelsonNorman-hm9vi
    @NelsonNorman-hm9vi 5 หลายเดือนก่อน

    Big up master j and Pmajani

  • @alkaullahmediaTz
    @alkaullahmediaTz 4 หลายเดือนก่อน

    msingi wa muziki ni Hip hop, watu wakumbuke
    hapo nimekupata master

  • @DUL69
    @DUL69 ปีที่แล้ว

    MASTER J You are the BEST. BIG HUG BRO 🙏🙏👍👍

  • @ezysky
    @ezysky ปีที่แล้ว +3

    Nmependa alivosema " mshenzi uyu p funk😂😂😂

  • @zuberyaunda5263
    @zuberyaunda5263 ปีที่แล้ว +2

    P Funk na Master J wahenga

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 9 หลายเดือนก่อน

      Haina ubishi mwanangu. Hawa ndio map ya Bongo flever

  • @penueldjuma2845
    @penueldjuma2845 ปีที่แล้ว

    Chukua mauwa yako 🌹🌹🌹

  • @whitemusic1419
    @whitemusic1419 3 หลายเดือนก่อน

    Mikka alianza 97,,hy j kaanza 93,, Sema inaonyesha hy j ni miongoni mwa watu waliomfitini mikka asepeshwe,,mikka ndo alibadili muziki wa bongo

  • @kilimohub580
    @kilimohub580 ปีที่แล้ว

    Classic ya maisha 😂

  • @user-ht4ek5lo5t
    @user-ht4ek5lo5t ปีที่แล้ว

    Safi sana

  • @ezysky
    @ezysky ปีที่แล้ว

    😂😂 Master j mnyama sana😂😂😂

  • @elimuvisioncenter
    @elimuvisioncenter ปีที่แล้ว

    😂😂😂 ELF 5000 ILIKUWA KUBWA ... HUYO DADA ANAPAYUKA TU 🤣🤣🤣
    RAHA YA MJ SOMETIMES N MSEMA UKWELI ... SAFI SANA😂

  • @nyotamy3678
    @nyotamy3678 ปีที่แล้ว

    Nimecheka sana 😂😂

  • @bavonmwaluko8916
    @bavonmwaluko8916 3 หลายเดือนก่อน

    prof jay

  • @franklawrence5452
    @franklawrence5452 ปีที่แล้ว

    old is gold

  • @erastomwakalukwa3946
    @erastomwakalukwa3946 ปีที่แล้ว

    Mj umeua 🤣🤣🤣

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 ปีที่แล้ว +1

    Kiukwer tumpeni maua yake master j na p fank jamani,, they're deserve that,,and they're wakongwe

  • @komboruga4271
    @komboruga4271 ปีที่แล้ว

    Legend

  • @martinmunyuko
    @martinmunyuko ปีที่แล้ว

    KR Mullah 😂😂😂😂

  • @kiatu
    @kiatu ปีที่แล้ว

    Tunaelewana hapo? Arabic scale 😂. Interview na msomi poa sana

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything ปีที่แล้ว

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️👍.

  • @mdachiog5211
    @mdachiog5211 ปีที่แล้ว

    Dully

    • @mdachiog5211
      @mdachiog5211 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/LYlDptjFxNg/w-d-xo.html