Asante dada elimu kubwa sana tena wazimu ikimpanda ata muosha vyombo anapigwa juu mke kamkatalia kwa uchoyo asione mme kaangalia kushoto ofu kubwa atafaidi
Allaah akuhifadhi ukhty una maalumati sio hawa wanoleta vikemu vyao vya kipumbavu vya kuwadanganya wanadamu wenzao mfano kuchoma sindano na kuzuia uzazi
Allah akujalie kheri nyingi Ukhtiy Shad'yah
Asante dada elimu kubwa sana tena wazimu ikimpanda ata muosha vyombo anapigwa juu mke kamkatalia kwa uchoyo asione mme kaangalia kushoto ofu kubwa atafaidi
Mashaallah allah akuongoze wanawake wenye elimu yandoa kama wewe niwachache sana
mashaallah nisahihi
MASHAA LLAHU HONGERA SHAIKHAT BUSSARA UNAZO KWELI
Allaah akuhifadhi ukhty una maalumati sio hawa wanoleta vikemu vyao vya kipumbavu vya kuwadanganya wanadamu wenzao mfano kuchoma sindano na kuzuia uzazi
Maashallah. Shukran Allah atufanyie wepes Ameen
Masha ALLAH ❤ ♥ 🎉🎉
Jazakallah khayran