Dini ya kwanza ni ukristo mnayoiita ukafili, na kitabu kitakatifu ni kimoja tu Biblia. Quran haiwezi shindana na biblia ikiw Quran yenyew baadhi ya vitabu wametoa kwenye Biblia. Yesu Kristo ndo wa kwanza kabla ya mtume, aliekuja miaka kibao mbele. Na kuna baadhi ya aya kwenye Quran Uyo mtume wenu amewaambia mtufuate sisi wakristo ambao tumewatangulia. Shida yenu ndugu zangu ni wabinafsi mno na ni wajuaji kupitiliza. Yesu Kristo hakuwhi kuoa wala kumuolea yoyote ukiacha wanafunzi wake. Wewe UOGOPI. Ila ajabu nawapenda sana waislamu sijui kwanini! Eeh Mungu nisaidie.
Mtu pekee anaeruhusiwa kumuita mwingine kafiri ni yule mkamilifu, aya ww dada angu apo! Sijui nikuulize au nikuache, mana najua fika haujakamilika bali ila hila ndo umebarikiwa! Hahaha, uwiii! Ongezeni nguvu na nia ya kumuomba Mungu mwingi wa rehema, na sio kunyoosha vidole kwa wengine. Ninakumbusha tuu...... Amani ya bwana iwe nanyi ndugu zanguni.
Mashallah tabarakallah makumbusho mazuri ukhty mngu akuwezeshe utuelimishe.ni ya ukweli mtupu tukubali ndugu zetu tujirekebishe
Djazakallahubka ira a ukht .. akramakilllah walykum hafadhwakillah amin
Ma shaa Allah ukhty wetu kapendezaa 😍😍
Jazakallah khayran
MASHA ALLAH ALLAH AKULIPE KWA DARSA LENYE MAFUNSISHO MEMA YA KIISLAM
Shukurani Ukht wetu Allah akuzidishie kheri nyingi😊
Ma Sha Allah ukhty nimekuelewa.
Maashaallah Allah akulipee kheri khuty
maaashaAllah Allah akulipe kher kwa Elmu unayotupa
Mashaa Allah ukhty daras nzur san shukuran
MASHA ALLAH DARSA NZURI SANA ASANTE KWA KUTUKUMBUSHA
TabarakAllahu.. nimejifunza
Mashallah sadakta
Ungekua hujaolewa ningekuoa kwa kuitafuta pepo unakila kitu ulichopewa na Allah unanikumbusha marehem ras wa lindi alhaji mdidi
Mashallah
Ukty uposahihi sana
💙
Good
🙏
Kweli kabisa
Ni full makelele sasa hivi.
Mauno, madoido, bi harusi havalishwi kwa sitara, shida shida tu.
siku hizi ma bi harusi hawana aibu labda wa vijijini
Masifa mingi na vijino vako.sheikha alitoa darsa hadharani.huo wako uzinifu.watafuta umaarufu na likes.shenz kabisa
Waelezee haswa
Swadakta huyu ustadhat yukomakini