SHK.OTHMAN MALIM ARAFA INA HISTORIA KUBWA KWETU NDANI YAKE KUNA UKARIMU KWA WAISLAMU.
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 11 มิ.ย. 2024
- #riyadhTvZnz #zanzibar
Follow Us On:
INSTAGRAM: / riyadhtvznz
FACEBOOK: / riyadhtvonlineznz
TIKTOK: / riyadhtvonlineznz
TH-cam: www.youtube.com/@RiyadhTvOnli...
Allah akukubalien hija zenu akufanyieni wepec kwakila Zito naakupeni afya njema allah akusameheni mahujajji woote dunia nzima
MashaAllah sheikh hajj mabruk from sweden
Asalam alykum allahmdullih kwa waliopo nas YaaRab tujalii tufika ameen ♥️
Maa shaa ALLAH 🇰🇪💚. ALLAH awatakabaliye hijja zenu pili INSHA ALLAH mkumbuke kuwa Ombeta Dua ndugu zetu wa palestin pamoja na inchi zetu
MashaAllah ❤❤❤tujaalie nasisi yaa Allha tujaaliye tufike
Mashallah allah awarudishe salama
Mashaall mwenyezi mungu amijaalie hijja mliofanya mungu amijaalige nasi mtuombee tuwe miongoni tunatarajia kufikia mji huwo wamakka inshaallahu
Allah awafanyiye wepes
Shukrani Sana sheikh
Allah awafayie wepesi
Allah awatangulie awakubalie ija zenu
Mashallah Allwah awstakabalie hija zenu atujalie na sie tufike uko tukiwa waxma wa afya
Aamin Yaarab 🤲
Ameeni
Yarab tupelo hatua na vizazi vyetu
Shekhe otmani naomba ukirudi uje utufafalie arafa maana tunakokwenda si salama mpaka unaswali itikafu ili tupate ufumbuzi
Hiyo yote inamanisha watu pia wakifuliwa watafiwa na mashuka pia mungu atujaliye mwesho mwema
Aamin Yaarab 🤲
Amin ya rabilaalamin