OGOPA INTERNET: Kauli ya zamani ya RAIS RUTO yaibuliwa! Mambo ni mazito

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 116

  • @zuwenarajab6675
    @zuwenarajab6675 3 หลายเดือนก่อน +15

    Shukran sana Sma ila kwa upande wangu naona wakenya wanaunganisha doti. Mambo yanayoendelea ni kama wamepata sababau. Allah awafanyie wepesi si mambo yakushangilia na kushadadia hata kidogo.
    Yote wafanye lakini wasivunje amani. Mungu ibariki Afrika Mungu pamoja na watu wake.

  • @Musa-dv5yj
    @Musa-dv5yj 3 หลายเดือนก่อน +22

    Yani apo anatangaza amani na nyuma ameficha panga.... Ogopa

  • @aminaali792
    @aminaali792 3 หลายเดือนก่อน +24

    Mmmmh mambo ni mengi muda mchache Dj Smaa tunasubiri makala yako mimi hata comment yangu siiamini kama ninavo kuamini wewe kaka etu Allah akutunze akujaalie Afya njema na siha njema 🤲🏼love from UK 🇬🇧🤍

    • @djsma255
      @djsma255 3 หลายเดือนก่อน +4

      Amin kwa sote

    • @billskeez92
      @billskeez92 3 หลายเดือนก่อน

      Tunamkubali Ally Masubi ila dogo inabidi apunguze kutaka kuleta ubishi wakiana ​@@djsma255

    • @paulinewangila-cs6ys
      @paulinewangila-cs6ys 3 หลายเดือนก่อน +1

      ​@djsma255 Ni bunge ndio iliyopitisha sio Rais,the president work was to go through the finance bill and sign brains at work

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 3 หลายเดือนก่อน

      ​@djsma255
      WAENDELEAJ KIAFYA?

  • @KALUGOWAMENZA
    @KALUGOWAMENZA 3 หลายเดือนก่อน +10

    BINGWA WA UONGO.
    JAMAA ANA KIPAJI CHA KUDANGANYA

  • @stivinsenso2336
    @stivinsenso2336 3 หลายเดือนก่อน +5

    Aliongea akiwa hajui kuwa ili serikali iende inahitaji fedha kama fuel😂nasio neno la Mungu pekee sasa ameingia kajua nini anahitaji zaidi uongozi unahitaji busara ,maarifa na subra hapo hekima itumike 🙏

  • @brianbaltazar6198
    @brianbaltazar6198 3 หลายเดือนก่อน +17

    Ukitaka kuwatapeli watu vizuri tumia neno la mungu tuu..

  • @GilbertJuma-e6l
    @GilbertJuma-e6l 3 หลายเดือนก่อน +1

    Rais,nimwana siasa yy haja yake ni kupata surport apate kile anataka,kwa wakati huo.

  • @hopechidera
    @hopechidera 3 หลายเดือนก่อน +3

    Ndo politicians hao,wanakuaga na maneno matamu wakati wanatafuta kura za watu,wakisha pitishwa hua wanasau agano zote walizoahidi. Sasa ataona cha mutema kuni na wakenya...

  • @ARNOLDKARISA-fs3ht
    @ARNOLDKARISA-fs3ht 3 หลายเดือนก่อน +4

    mwenyewe haamini Mungu anaamini jeshi kulinda cheo chake badala ya jeshi kulinda wananchi🤣🤣🤣🤣🤣

  • @brianbaltazar6198
    @brianbaltazar6198 3 หลายเดือนก่อน +3

    Ukitaka kuwatapeli watu tumia neno la mungu

  • @rasheedthabity3852
    @rasheedthabity3852 3 หลายเดือนก่อน +1

    Alichokikisema juzi..leo hii ndio amekitenda..hii ndio fimbo ya mwenyezi mungu

  • @ianjohn797
    @ianjohn797 3 หลายเดือนก่อน

    Can't understand this hizi vyeo sma I think kuna kitu kimejificha nyuma sijui ni mashetani ama nini maana mtu anaingia iongozini akiwa mzuri mwezi haupiti anabadilika sielewi kabisa😢😢 ruto was our hope sahii siamini kama n yeye I swear siamini 😢😢

  • @Africaamkenitznawenuso
    @Africaamkenitznawenuso 3 หลายเดือนก่อน +4

    Kudaadeck anafaa kuuawa tena hadharan wananch wamgawane kabisa

  • @butyknho4995
    @butyknho4995 3 หลายเดือนก่อน

    Hukumu ya Mungu imemfikia sasa!
    Ngoja apangwe juu alisema hapangwingwi!kimeumana!

  • @xfamefatetv
    @xfamefatetv 3 หลายเดือนก่อน +1

    ❤ Dj Sma #famefate

  • @joachimlema
    @joachimlema 3 หลายเดือนก่อน +2

    Pengine ruto ukute yupo sahihi ila chuki ya viongozi wake imekuwa kubwa sana

  • @kirwaisa8772
    @kirwaisa8772 3 หลายเดือนก่อน

    Ruto ni mnafik sana

  • @macksonjuma5180
    @macksonjuma5180 3 หลายเดือนก่อน

    Huyo tumemchoka ana uwezo wa kudanganya akikuangalia kwa macho hivo 😂 saa hii kimemramba

  • @AliDulla
    @AliDulla 3 หลายเดือนก่อน

    Mwanasiasa yoyote duniani akikumbia asaiv mchana toka nje kwanza angalia kweli mchana maana anaweza kukuambia mchana kumbe ni usiku mwanasiasa asili yao ni uongo

  • @lightnessmussa5934
    @lightnessmussa5934 3 หลายเดือนก่อน

    nchi nyingi za africa zimebkiza ufisadi , unright,kiongoz anateuliwa na wananch ana ahid meng kweny kampeni wakishmpa madark anakuwa msalit

  • @mbuyaelyaoni6266
    @mbuyaelyaoni6266 3 หลายเดือนก่อน

    Jamaa mwizi huyu

  • @wkjshsxbbsbs6392
    @wkjshsxbbsbs6392 3 หลายเดือนก่อน

    Mr tumepanga sh billion mia tano za uongo tumetenga tumepanga tutafanya, mr batman mr hostess flying every now and then hana time ya kukaa chini afanyie country kazi

  • @JumaSaid-g5u
    @JumaSaid-g5u 3 หลายเดือนก่อน

    Afrika hatuna viongozi tuna wanasiasa.

  • @kingcopper_tz
    @kingcopper_tz 3 หลายเดือนก่อน

    I stend with Ruto, nchi imejaa madeni, tena yeye ameyakuta atalipa vipi? Wananchi ndio wakulipa, watalipa vipi, watalipa kwa kodi. Nchi za Africa zimekosa viongozi wabunifu hivyo maraisi wanafanya maendeleo ya nchi kwa mikopo ambayo itakuja kugharimu vizazi vya mbele,, subirini bongo miaka 20 mbele mtaniambia

    • @catchall9364
      @catchall9364 3 หลายเดือนก่อน

      Kabla kuongeza kodi, kwanza punguza matumizi / expenditure ya ubadhirifu..
      Wananchi wa Kenya wanacholalamika sio kukataa kulipa kodi bali ubadhirifu na ufisadi unaoendelea..

  • @abdulkadirgafla3889
    @abdulkadirgafla3889 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu ni panya buku ndo maana sijawai mkubali hata siku moja... Namchukia kinoma😏

  • @walidalboasy7990
    @walidalboasy7990 3 หลายเดือนก่อน

    Viongozi wanachanganya Dini na siasa. Na hii inathibitisha kushindwa kwa demokrasia kwani haiwezi kujisimamia. Kwahiyo wachague wanataka kuendeshe nchi kwa dini au siasa.
    Swali linarudi, je demokrasia ni mfumo bora kwa waafrika?

  • @kalengashoppingcenter1108
    @kalengashoppingcenter1108 3 หลายเดือนก่อน

    Zakayo

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 3 หลายเดือนก่อน +1

    Hamna kiongozi hapo

  • @robertmzizima9621
    @robertmzizima9621 3 หลายเดือนก่อน +1

    Eti ruge jinias duuu😅😅😅😅

  • @Latifahhassan-lr8ew
    @Latifahhassan-lr8ew 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wa Afrika wengi wanaamini Mungu, alijifunika mwamvuli kwa neno la Mungu kupata wafuasi wengi. Baada ya kuingia madarakani akalewa madaraka. Sma kwa mtazamo wako nini suluhisho la Kenya?

  • @gibonykiyao9698
    @gibonykiyao9698 3 หลายเดือนก่อน

    Politics

  • @Gerardirankunda2885
    @Gerardirankunda2885 3 หลายเดือนก่อน

    Unaongea ukwel Ruto🙏🙏🙏❤🇧🇮😂

  • @remiomar7154
    @remiomar7154 3 หลายเดือนก่อน

    Yeye naona Yuko kanisani anakusanya sadaka kupitia kondoo wake

  • @abdulmagido5444
    @abdulmagido5444 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa ukimsikiliza mikutano yake mingi anaonekana kama mtu mmoja muadilifu sana alafu ni muafrika aliyetimia kumbe ni kibaraka wa nguvu ndio wale mwalimu aliwaita viongozi malaya malaya snitch rogi bwege mtozeni yote yanamfaa

  • @lizzerkariuki3645
    @lizzerkariuki3645 3 หลายเดือนก่อน

    Atajificha wapi hivi ghadhabu ya Mungu imemfika?

  • @ChalsesMadata
    @ChalsesMadata 3 หลายเดือนก่อน

    Mh Ruto amejikaaga kwa mafuta yake mwenyewe. Kauli yake na ufahamu wake wa maandiko na matendo yake ni tofauti. Mwezi Mungu hazihakiwi Ruto alimdhihaki Muumbaji.

  • @johnbrown3235
    @johnbrown3235 3 หลายเดือนก่อน

    ruto ni mbwa jike ya wazungu wa magharibi yaani kikaragozi.

  • @Jibambeshow254k
    @Jibambeshow254k 3 หลายเดือนก่อน

    Zakayo kinacho mfelisha ni uongo 😂kila siku TUTATENGA tumefanya tumejadili hajawahii fanya chochote chamaana liche yakusafiri n madege tu kapumbavuu kafupii

  • @kepharichard4183
    @kepharichard4183 3 หลายเดือนก่อน

    Gen Z wa Bongo tunajipanga, waambie tumeanza kuwaza kimoyo moyo kwa miaka mingi sasa tumekaribia kuwaza kwa sauti, hamuwezi amini Tz itakavyokuwa. Ogopa mtu mkimya akichoshwa na vitu anageuka Mbogo.

  • @Muba-Gucci-TV
    @Muba-Gucci-TV 3 หลายเดือนก่อน

    Akuna mwanasiasa muaminifu anaweza kukwambia mkinichagua nitawatengenezea Restaurants za kula bure

  • @stivinsenso2336
    @stivinsenso2336 3 หลายเดือนก่อน

    Jamaa sio kiongozi bora hilo ni waz nchi itamshinda very soon

  • @ivankadaudi8161
    @ivankadaudi8161 3 หลายเดือนก่อน

    Inamla mwenyewe sasa

  • @michaelwanyama2954
    @michaelwanyama2954 3 หลายเดือนก่อน

    Ruto ni conman

  • @JonathanMatembo
    @JonathanMatembo 3 หลายเดือนก่อน

    Tapeli mkubwa sana uyo,hana tofauti na tapeli mkubwa mwampo

  • @FelixOchieng-ue6cn
    @FelixOchieng-ue6cn 3 หลายเดือนก่อน

    Ni wwe Tu zakayo utajicha wapi

  • @RashidRajab-oz5ec
    @RashidRajab-oz5ec 3 หลายเดือนก่อน

    Sasa atajificha wapi ghadhabu za wananchi zina mtafuta

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi 3 หลายเดือนก่อน

    Nimeelewa kuwa, Siasa Siihasa🤣🤣🤣

  • @getrudechishenga3281
    @getrudechishenga3281 3 หลายเดือนก่อน

    Huyu tunawaletea ndugu watanzania😅😅😅

  • @KemboAnselim
    @KemboAnselim 3 หลายเดือนก่อน

    Hakika siasa mchezo mchafu

  • @abubakaromarkhan1398
    @abubakaromarkhan1398 3 หลายเดือนก่อน

    Uyu jamaa anatunyanyasa mbwa sanaa

  • @amanimazera3124
    @amanimazera3124 3 หลายเดือนก่อน

    Ame jijibu mwenyewe kabisa...😂😂😂

  • @AllaudinMeghji
    @AllaudinMeghji 3 หลายเดือนก่อน

    Hapo alikua sio shoga kama muda huu

  • @JosephOgola-mm6iw
    @JosephOgola-mm6iw 3 หลายเดือนก่อน

    This is Ruto, the thief conman of the century. Speaks from two ends of his mouth. Very dangerous guy

  • @haidarabeid6796
    @haidarabeid6796 3 หลายเดือนก่อน

    NDUMI LA KUWILI..

  • @johnsindayigaya9485
    @johnsindayigaya9485 3 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa kwahuyu muda yeye atajificha wapi😂😂😂😂Raisi ni JP Magufuli wengine sijuwi

    • @DeusRobart
      @DeusRobart 3 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

  • @MoussaSelemani-c8z
    @MoussaSelemani-c8z 3 หลายเดือนก่อน

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @AlexKimani-jt6pe
    @AlexKimani-jt6pe 3 หลายเดือนก่อน

    Ruto is hypocrite

  • @abdibrown5591
    @abdibrown5591 3 หลายเดือนก่อน +4

    Akuna watu waongo kama wana siasa

  • @Gerardirankunda2885
    @Gerardirankunda2885 3 หลายเดือนก่อน

    Unaongea ukwel Ruto🙏🙏🙏❤🇧🇮😂🙏

  • @alhajjwaupe4593
    @alhajjwaupe4593 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ruto ni muongo hata akiongea jambo lolote nzuri hata aksoma kitabu gani dunian munafiq. ruto anajali maslahi uake wala sio maslahi ya wakenya kama kiongozi

  • @MAHAN-SMART
    @MAHAN-SMART 3 หลายเดือนก่อน +3

    Viongozi wengi wa Africa ndio wanaoiangamiza Africa yetu

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 3 หลายเดือนก่อน +5

    Neno la Mwenyezi Mungu limetimia kwake

    • @ntakirutimanaetienne592
      @ntakirutimanaetienne592 3 หลายเดือนก่อน

      haki yamungu rimetimia da remetimiya kama alivyosema mwenyewe

  • @ankalmzito254
    @ankalmzito254 3 หลายเดือนก่อน

    Wewe mpuuzi tu tunaomba hio adabu ya MWENYEZI MUNGU ikufikie kwa kutudhulumu na kufanya vijana wauwawe

  • @Amani-k9h
    @Amani-k9h 3 หลายเดือนก่อน +3

    Sma Ubarikiwe sana, unatupea sana motisha na habari za ulimwengu, hata hili la jana limetokea baada ya wewe kutuhabarisha kuwa ule mkopo alipewa si bure, na kweli jamaa anataka kugeuza sheria za uchumi zitukamdamize, hata mashamba ya urithi anataka tulipie kodi

  • @roi2554
    @roi2554 3 หลายเดือนก่อน +1

    Naona umejamba ukatuachia shuzi ukapita hivi tushaelewa tulosoma cuba hatuhitah D mbili apo😂😂😂😂

  • @lightnessmussa5934
    @lightnessmussa5934 3 หลายเดือนก่อน

    nchi nyingi za africa zimebkiza ufisadi , unright,kiongoz anateuliwa na wananch ana ahid meng kweny kampeni wakishmpa madark anakuwa msalit

  • @rashidyunus1835
    @rashidyunus1835 3 หลายเดือนก่อน

    DJ SMA NAKUKUBALI ILA JITAHIDI KUMUWEKA MBALI NA KITU CHOCHOTE KUA HAFANANI KWA HIYO
    KAULI YA RUGE UKIITAMKA SEMA HIVI " KTK DUNIA OGOPA KUNA MUNGU, NA TEKCKNOLOJIA" USITAMKE KUNA VITU VIWILI KWA SABABU MUNGU SIO KITU HAFANANISHWI WALA HAFANANI NA KITU CHOCHOTE

  • @maryamabdallah2702
    @maryamabdallah2702 3 หลายเดือนก่อน

    Binaadam tunadhuruka kwa kauli zeru na wkt nafsi zetu huwa chafu. Ndio kinachomkuta hyu binaadamu

  • @FabianAlex-y8c
    @FabianAlex-y8c 3 หลายเดือนก่อน

    Duu! Viongozi wetundivowalivo wakiwa wanaingia madalakani Wana manenomatam ngoja waingiasasa utawasahau

  • @KakaMois
    @KakaMois 3 หลายเดือนก่อน

    Mimi naitwa Kaka Moses,nipo Zambia Lusaka Kweli naona kama Ruto yuko na kipaji chakuongea na siyokutebda

  • @hassanimustafa-x3m
    @hassanimustafa-x3m 3 หลายเดือนก่อน

    Rais Ruto anawakati mgumu sana ingwa ugumu huo kautengeneza mwenyewe anataka kushindana na wenye nchi awe makini asije kukimbia nchi😮

  • @newgarden8036
    @newgarden8036 3 หลายเดือนก่อน

    Huwezi amini.hii ndiyo dunia.usimwamini MTU

  • @richardburundi3090
    @richardburundi3090 3 หลายเดือนก่อน

    Arifika madarakani Sasa tayari ameshasahau

  • @TrinaRoman345
    @TrinaRoman345 3 หลายเดือนก่อน +1

    Wana siasa sio watu wa kujali nyuma walisema nini ..huyo huyo atarudi tena kuwaomba kula na kauli yake #hustle 😂😂 na watampea ..Tena watasifia baba tuvushe tunakwenda na zakayo 😅😅😅😅😅

  • @bagumandongwe8566
    @bagumandongwe8566 3 หลายเดือนก่อน

    He got response from his own biblical quotes

  • @KingMoses-i2v
    @KingMoses-i2v 3 หลายเดือนก่อน

    Ruto Mutumishi wama beberu

  • @nancykole9268
    @nancykole9268 3 หลายเดือนก่อน

    Kesho tuko state house

  • @karamahfoudh8
    @karamahfoudh8 3 หลายเดือนก่อน

    Siasa ni uwongo

  • @rehemathoya8754
    @rehemathoya8754 3 หลายเดือนก่อน

    Kigeugeu

  • @yahayaannu3663
    @yahayaannu3663 3 หลายเดือนก่อน +1

    Never TRUST POLITICIANS 💯

  • @victorngulwa2311
    @victorngulwa2311 3 หลายเดือนก่อน +1

    Fuck

  • @isaacimbisi9696
    @isaacimbisi9696 3 หลายเดือนก่อน

    😢

  • @Evnce007
    @Evnce007 3 หลายเดือนก่อน

    😂

  • @Jitumasta
    @Jitumasta 3 หลายเดือนก่อน

    Siku zote hafadhari ya muhuni kuliko kushika dini na kwenda kinyume chake
    Hata hayo maandiko yanaelekeza kuchagua uwe moto au baridi na si vuguvugu coz mungu huwatapika

  • @DamasiMushi-bf6tf
    @DamasiMushi-bf6tf 3 หลายเดือนก่อน

    Viongozi wachache sana wanao mjua Mungu ubarikiwe Raisi Ruto

  • @hanifa9153
    @hanifa9153 3 หลายเดือนก่อน

    Ukitaka kuchkua cha mtu tumia maneno ya mungu😂😂😂😂😂😂

  • @salama1113
    @salama1113 3 หลายเดือนก่อน

    Yani cc wananchi mindumi ya kuwili kweli kila kitu makofi tuu😂😂

  • @kinggazo144
    @kinggazo144 3 หลายเดือนก่อน

    Mwana sihasa si kiumbe cha kuamini hata siku moja

  • @petronilamtei7470
    @petronilamtei7470 3 หลายเดือนก่อน

    Amelipwa kuendana na mazungumzo yake

  • @DaudFataki
    @DaudFataki 3 หลายเดือนก่อน

    Ukiwamuongo usiwemsahalifu

  • @Africaamkenitznawenuso
    @Africaamkenitznawenuso 3 หลายเดือนก่อน

    Happ hakuna rais ni maluweruwe tu.

  • @NepporSabith
    @NepporSabith 3 หลายเดือนก่อน

    Duhhhhhhhhh hali nitete

  • @MohammediKihimbwa-bj4pf
    @MohammediKihimbwa-bj4pf 3 หลายเดือนก่อน

    Ruto mwanamke

  • @BenPeter-vp2cy
    @BenPeter-vp2cy 3 หลายเดือนก่อน

    Its Dj sma again ❤