LISSU AWAGEUZIA KIBAO WAANDISHI WA HABARI | AWAPIGA VYUMA VIZITO | NILISHAWAHI KUWAPIGIA SIMU NYINYI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 76

  • @barryrioba3934
    @barryrioba3934 9 วันที่ผ่านมา +2

    LISSU HECHE
    LISSU HECHE
    LISSU HECHE

  • @franckmaya4068
    @franckmaya4068 หลายเดือนก่อน +12

    Kwa maoni yangu kama mwanachama wa chadema nashauli mh freeman Mbowe akae pembeni na kuwapisha wenzie kwa maslahi mapana ya chama hiki🙏🙏

    • @raymondclaud6026
      @raymondclaud6026 หลายเดือนก่อน +1

      Kabisa awe mshauri tu itakuwa vizuri sana

    • @ibrahimomari2458
      @ibrahimomari2458 หลายเดือนก่อน +1

      Ushaur huu pia unawafaa LIPUMBA...JOHN CHEO N.K...

  • @VascoMlimakifi
    @VascoMlimakifi หลายเดือนก่อน +9

    Nchi hii bila vyama vya upinzani tusingefika hapa. Lisu mungu azizidi kukutunza uendelee kulipigania taifa hili

  • @brightergermanus2163
    @brightergermanus2163 20 วันที่ผ่านมา +1

    MH; WEWE UNAZOBUSARA UNAYO HEKIMA YA KIMUNGU NA SHERIA YA MUNGU PIA IMO NDANI YAKO NA MUNGU AKUBARIKI SANA NA KUKUINUA NA KUKUONGOZA NA KUKUPA MAONO, MAFUNUO NA KUKUWEZESHA KATIKA YOTE ILI KUSUDI LA MUNGU LITIMIE KWA JINA LA YESU KRISTO AMIN AMIN

  • @NashonMatinyi
    @NashonMatinyi 22 วันที่ผ่านมา +4

    Chaguo letu ni lisu

  • @KamwandaNzowa-eo4ur
    @KamwandaNzowa-eo4ur หลายเดือนก่อน +2

    Point sana Mh, Tundu Lisu kwa majibu mazuri

  • @NashonMatinyi
    @NashonMatinyi 22 วันที่ผ่านมา +3

    Ni wakati wa tundulisu kukaa ktk nafasi hii ya uenyekiti.

  • @justusmukurasi4383
    @justusmukurasi4383 หลายเดือนก่อน +6

    Safi saan❤😮

  • @goodluckkamaghe3871
    @goodluckkamaghe3871 หลายเดือนก่อน +11

    Napenda sana uwepo wako na ndio maana Mungu alikutetea na ataendelea kukutetea na kukuinua.

  • @PatrickNgwaulanga-x2u
    @PatrickNgwaulanga-x2u หลายเดือนก่อน +8

    CCM haya sasa chuma hicho kinakuna kaeni mkao wa kuweweseka

  • @FaridSaleh-i8b
    @FaridSaleh-i8b หลายเดือนก่อน +10

    Mr Lissu akili kubwa sana na vision ya hali ya juu sana, Mimi binafsi nakuelewa sana sana na kwa mtazamo wangu hakuna mtu ye yote kwa sasa anaefaa kuwa Rais wa TZ tofauti na Mr Lissu.

  • @mashaurikihute3369
    @mashaurikihute3369 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu mwamba akishinda kuwa mwenyekiti, Ntarudia kukipigania chama changu hiki✌️

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 หลายเดือนก่อน +4

    Huyu jamaa hapindishi maneno::: ananyoosha

  • @davidyongolo8102
    @davidyongolo8102 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu ana mpango na kusudi maalum kwa ajili ya hii nchi.
    Ni hatari sana chama kutokuwa na utaratibu maalum.

  • @ChristianLameck-f5b
    @ChristianLameck-f5b หลายเดือนก่อน +15

    Una mdomo mkubwa na unajua kuutumia sawa sawa 😅😅😅😅😅❤

  • @RemissionSangatiti
    @RemissionSangatiti หลายเดือนก่อน +4

    Safi sana lisu mungu hatakuacha

  • @JohnKulwa-o7f
    @JohnKulwa-o7f หลายเดือนก่อน +2

    Very good

  • @HassanManga-n8j
    @HassanManga-n8j หลายเดือนก่อน +2

    Safi sana mnyampaa

  • @shadrackjuliuskaboya5239
    @shadrackjuliuskaboya5239 หลายเดือนก่อน +5

    Hiki chuma kiki shika chadema cc hawata pumua

  • @MUSAMWAMBENE
    @MUSAMWAMBENE หลายเดือนก่อน +1

    Safi sana lisu

  • @mosesibmshangamshanga7885
    @mosesibmshangamshanga7885 หลายเดือนก่อน +8

    Kwahuyu lisu. Akishinda msigwa analudi chadema

  • @evodiusantony2115
    @evodiusantony2115 หลายเดือนก่อน +2

    Lisu tunakpenda sn wa mleba

  • @BashiriMzimbili
    @BashiriMzimbili หลายเดือนก่อน +6

    sasa nitaanza kukipenda chama

  • @nasibugunda7927
    @nasibugunda7927 หลายเดือนก่อน +1

    Chama hakina hela ila mwenyekiti na makamu wake wanahela 😢 panafikirisha hapo

  • @MauBonde
    @MauBonde หลายเดือนก่อน +1

    Ccm ishawaweza kama kipindi kile cha cuf divide and rule ,siasa za Tanzania bado Sana.

  • @leonardramiye8207
    @leonardramiye8207 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu ni muelewa saana

  • @gervas58
    @gervas58 หลายเดือนก่อน

    Hapa Chadema wanacheza na akili yetu mbowe anataka kutuaminisha kuna ugomvi ila mwisho ni Lissu...huu mtego😂😂

  • @HassanMakili
    @HassanMakili 22 วันที่ผ่านมา +1

    Sasa kwenye chama chenu Bado unaogopa kutokuwa na uchaguzi wa haki huko kwenye uchaguzi na ccm utaweza kweli mh lisu mana huko ni kugum zaid

  • @isayamwashibanda5819
    @isayamwashibanda5819 10 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤🎉🎉

  • @yudachelango6824
    @yudachelango6824 หลายเดือนก่อน

    Kuna majitu hapo naona yanapata tabu sana sijui kwann

  • @manipipo2024
    @manipipo2024 หลายเดือนก่อน +3

    Tuunde tume huru ya uchaguzi ndani ya chama. Mimi nihitaji kuwa mjumbe

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 หลายเดือนก่อน

    Ni balaa kuwa na.mdomo mrefu😢😢

  • @JacksonJoseph-zo4ht
    @JacksonJoseph-zo4ht 6 วันที่ผ่านมา

    Tunakukuba kwa kujikubali kwako mwamba /uhuru haki na maendereo ya watu

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 หลายเดือนก่อน

    Huyu sasa hivi ameshawatumia mabalozi kuwaarifu kuwa kuna mtu anataka kumuua😮Mabalozi a n awaamini kuliko watanzania😮

  • @RubenIbraim
    @RubenIbraim หลายเดือนก่อน +3

    Siku kama hii nilikua naisubili sana mbowe mshenzi sana

    • @romanilyimo
      @romanilyimo หลายเดือนก่อน

      Mshenzi baba ako

    • @MerryWilliam-r4l
      @MerryWilliam-r4l หลายเดือนก่อน

      Mbowe kakijenga chama ad mnavo kiona Ila kwa sasa tunafaa tuwe na lisu CCM hawapendi siasa za ustaarabu

    • @bahatielias6443
      @bahatielias6443 หลายเดือนก่อน +1

      Kuwa na heshima wewe, mbowe kakijenga chama Kwa nguvu sana, semà ni mda wakupumzika

  • @renatusmtakyawa594
    @renatusmtakyawa594 หลายเดือนก่อน

    MSIMAMO WA KUAMINIKA
    UMNIFU USIO NA SHAKA
    MTADAO WA KURUBUNIANA
    W

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji หลายเดือนก่อน +3

    NJOO HUKU UTAPEWA UBALOZI BURUNDI 😢😢😢😢😢

    • @franckmaya4068
      @franckmaya4068 หลายเดือนก่อน

      Kama msigwa kapewa hata kazi ya kufagia saw😂😂

  • @Stevenmakelesilutonja
    @Stevenmakelesilutonja หลายเดือนก่อน +2

    Mbowe tunaomba ustaafu sasa ili tuwe na chama.halisi cha upinzani kuliko kuwa na chama cha mbowe

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 หลายเดือนก่อน

    Lissu nenda.Mirembe😢

  • @AbuuAli-nf4fb
    @AbuuAli-nf4fb หลายเดือนก่อน +1

    Tundu lissu ni commedy sio kiongozi hana tajriba ya uongozi

  • @MohamedibrahimMwatembo
    @MohamedibrahimMwatembo 25 วันที่ผ่านมา

    Tunakuombea upite uwe mwenyekit taifa

  • @josephmpemba8004
    @josephmpemba8004 หลายเดือนก่อน +2

    WAPO WATU HAPO WALIOTUMWA NA CCM NA MACHAWA WA WATAWALA. WANAOGOPA SANA MSIMAMO WAKO LISU. SONGA MBELE MKUU. TUKO MYUMA YAKO.

  • @jeremiaaugustino7187
    @jeremiaaugustino7187 หลายเดือนก่อน

    Haya maneno ndo yameisaidia Tz inasogea

  • @samwelmwinyi1893
    @samwelmwinyi1893 หลายเดือนก่อน +3

    Kwan kunan jmn, Mbona km kuna mgawanyko? Anaejua naomba anfahamishe kwa hekma

    • @herbertnzowa8657
      @herbertnzowa8657 หลายเดือนก่อน +1

      Hakuna mgawanyiko...mheshimiwa anaeleza namna siasa kwa sasa zilivyobadilika na kuwa ngumu, kwahiyo sanjari na siasa za chama chake, inahitaji kiishi na kutoa marudi yenye nguvu pasipo kuogopa (si kwamba hayapo hivyo, ila bali anaamini na anajiamini yeye kuwa ataweza hayo)
      Kwahiyo, ili kutekeleza hayo, ndiyo maana anatolea mkazo "uchaguzi huru na demokrasia" kwanza katika chama chake.
      N.B Mwingine ajazie jazie hapo 😅

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 หลายเดือนก่อน

    Kipindi huki kinahitaji watu. Wagumu kama lisu na sivinginevyo

  • @shadrackjuliuskaboya5239
    @shadrackjuliuskaboya5239 หลายเดือนก่อน

    Na wanao mpinga niwafuasi wa fcm

  • @IburahimamraniMagadi
    @IburahimamraniMagadi หลายเดือนก่อน

    Mbowe hafai Tena kuwa mwenyekiti wachama chetu

  • @kasimukayanda2701
    @kasimukayanda2701 หลายเดือนก่อน +2

    Kwani mbowe Hana roho ngumu

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 หลายเดือนก่อน

    Lissu peleka ujumbe kwa.mabalozi wa nchi za nje wakusaidie😮kama kawaida yako.😢😢

  • @FredThomas-q8g
    @FredThomas-q8g 23 วันที่ผ่านมา +1

    Kama tu mnagombaniana madalaka hivo hamwezi kuitoa c c m itatuongoza milele

    • @jumamathias8903
      @jumamathias8903 7 วันที่ผ่านมา +1

      Watu hamna shukran kabsa hiki ni chama Cha demokrasia Kwa nn mnataka pasiwepo na uchaguzi ndani ya chama

  • @Bilioneabichwa331
    @Bilioneabichwa331 หลายเดือนก่อน +1

    Anti pasi huna hela kama mbowe ,mwachie mbowe uenyekiti

  • @usitocassian3286
    @usitocassian3286 หลายเดือนก่อน

    Huo ndo ugonjwa wa chadema makundi timu

  • @ramadhaniOsujacki
    @ramadhaniOsujacki 24 วันที่ผ่านมา

    Tundu lisu wewe ni jembe unatakiwa kuiongoza chama hicho mbowe wakati wake utakumbukwa kwa mahali alipo ifikisha inatosha sasa aachie ngazi sasa inatosha

  • @OmarSeafood
    @OmarSeafood หลายเดือนก่อน

    Lisu hiwezi kushindana na mboe wacha kuendelea na hayo ambayo unaendelea nayo tumia busara kujenga taasisi bora

  • @Bilioneabichwa331
    @Bilioneabichwa331 หลายเดือนก่อน

    Umwenyekiti chadema apewe mnyatulu wapi na wapi? Mbowe auache uenyekiti? Kweli! Anti pasi anataka kuhama chama

    • @bahatielias6443
      @bahatielias6443 หลายเดือนก่อน +1

      Huo ufinyu wako wa akiri

  • @Hemedally-o9x
    @Hemedally-o9x หลายเดือนก่อน +3

    Lisu unajisumbua hakuna mwananchi atakae kuchagua wewe mwenye akili ya mangaribi

  • @songeza
    @songeza หลายเดือนก่อน

    Unatamaa lissu huna maana unaweza hata kuongea uongo ili uonekane mwema wakati huna wema wewe