BONI YAI AMPIGA MADONGO LISSU: MAMBO YA CHUMBANI UNAONGEA HADHARANI ' CHADEMA HAIFI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 25

  • @godsson5954
    @godsson5954 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hv mbowe wenu hana aibu kuwa mwenyekiti wa maisha hana aibu ningekuaa yy niachia ngaz aise hana haya khaaa sabab ni saccos 😅

  • @RwechungulaBegumisa
    @RwechungulaBegumisa 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Bony mnajenga nyumba Moja

  • @samwelkavwanga4491
    @samwelkavwanga4491 8 นาทีที่ผ่านมา

    Bony hii vita usiingilie kwa maneno Yako unaonesha una upande wa mbowe wew ndo unavuruga chama

  • @johnmaumba9110
    @johnmaumba9110 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Unaweza kujipeleka mbele huko CHADEMA halafu viongozi wenyewe ndo hawa, wanasema ni bora kuliko ccm sasa huyu anaongea nini hapa

  • @molenicharles9107
    @molenicharles9107 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hivi Hawa ni wanachama au vibarua kwenye mashamba yamikonge tanga

  • @onlythestrong8659
    @onlythestrong8659 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tundu lisu🔥

  • @RevocatusGabriel-n9w
    @RevocatusGabriel-n9w 28 นาทีที่ผ่านมา

    Mbowe milele daima Ccm wanamuogopa

  • @piusjuma7384
    @piusjuma7384 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hacha uchawa

  • @Felix72282
    @Felix72282 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Lissu amewapiga vibaya sana

  • @kilianmtotowamungu3885
    @kilianmtotowamungu3885 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Lisu ni chuma

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Boni 👍

  • @andrewassey5108
    @andrewassey5108 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kwanza waliokuwa wanamshangilia kwa nyimbo ya CCM sio wa kwetu alipewa na ndio maana hawajui shangilia ya Chadema. Aende zake amesahau aliponaje marisasi na kwa pesa ya nani.

  • @AiserAli-mq6sz
    @AiserAli-mq6sz 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Chama cha baba mkwe ameridhishwa kwa lugha yenu kichagaa

  • @piusjuma7384
    @piusjuma7384 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wew ndio mchonganishi

  • @kirungekirunge5920
    @kirungekirunge5920 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    siasa sio mipasho ni kawaida kugombea ni katiba ya chama wewe sasa unatuletea ya wale wa fomu moja tu heshimu katiba mheshimiwa boni na hiyo ndio iliyompa moyo lissu kuchukua fomu na siku ya uchaguzi wewe una kura yako moja tu zingine zitapigwa na wengine kuna siri gani ambayo unaiita ya ndani kuweka udhibiti wa fedha hata za michango,au kuwa na vipindi vya kugombea kwa ukomo, na kuwe na chaguzi za ndani zenye haki na uwazi hapo hakuna shutma kwa wala kamati kuu ni mitazamo ya kukijenga chama kamanda tupinge ya ccm kwa vitendo mkuu.

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mnatetea ugal tuu lisu kapiga kwenye mshono

  • @deoselcom9701
    @deoselcom9701 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Lisu hamumuezi mbowe apumzike

  • @usafiaps318
    @usafiaps318 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wewe Bonge Acha Kugawa Watu.

  • @SuolFat
    @SuolFat 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tunaenda na mwamba anatosha

  • @dennisungonella205
    @dennisungonella205 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huyu Hana busara, mwanzoni nilimfukiriafikiria

  • @EagerOasis-ld8kq
    @EagerOasis-ld8kq 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Unaongea utumbo, Tundu lisu ni mwenyekiti chadema taifa

  • @George-jz3jg
    @George-jz3jg 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Unamsema lissu wewe ni chawa wa mbowe

  • @daudimchileg307
    @daudimchileg307 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbowe apumnzike

  • @dericksembwana8352
    @dericksembwana8352 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    umeeleweka Kamanda tupo pamoja sanaa