Mimi ni muislamu lakini Nabii Issa si alisema kutokana na mafundisho ya Mungu, usiibe, usidhini, usichukue wake za watu na wafanyie watu mambo mazuri usijifikirie wewe mwenyewe. Naamini Wakristo wanajua na wanachokitaka
Uislamu haumuokoi Mtu na Mauti bali Matendo Meema ndo humuokoa mtu na Mauti we jione umemaliza kwasababu ni Mwislamu baadala yakutubu zambi zako .Hakika utachomwa moto usipo badilika wahi sasa ujiponye nafsi yako. Mwite YESU
Huyu mkuu wa mkoa hafai. Kabisa kabisa cjui zumbukuku gani aliemuweka huyu hata madaraka uliyopewa huyajui? Kaah !!!vioja hivi kwani ungewaita ofisini kwako wasingekuja? Au ndio unajionesha sasa kakuchenjia gia angani. Umemkimbia
Serikali inataratibu na kila agizo la serikali huwa kwa maandishi ili kuwe na kumbukumbu. Kwa staili aliyoingia Mkuu Wa Mkoa inamaana kuwa Askofu ameshotoa taarifa sasa kwanini asifatwe Askofu kama alivyofatwa muumini?
@@chiwangoezekiel1921 hajahaha sasa njo huku baa kwenye njia ya aman na mbigun achana na din walizo anzisha wazungu maana majina ya dini zenu ni mita au watu wakale ambao n wazungu mkaletea nyie had sasa mnafata mkumbo
Mku wamkowa kakosea sana kwenda bilaya ulinzi huyo alitaka apate kibano kizuuuri halaf aende huko ubalozi wao. Huyo hatakiwi kuikanyaga Tena Tanzania anamvimbia kiongozi wetu kwetu. Kenge sana huyo jamaa
Ukweli unakua hauna kuzunguka, kiongozi anatakiwa awe anaridhiwa na anaewaongoza, Ukiona jambo linapelekwa bila ujuzi basi subiria kiama watu wanafanya viongozi wa dini lakini maadili hawana.
Maneno Agrey sorry alie kwambia kuwa mussa aliendesha bajeti kwa mfumo nani?serikali inarushwa ndo mussa aliendesha hivo acha kuongea upotevu ,,biblia yenyew maneno ta wat ingekuwepo taurat iliokamilika hapo sawa Kazi kusingizia mitume ya mungu,,..
mkuu wa mkoa mambo ya kanisani yanahitaji busara sio nguvu,huyo kasoma taarifa iliyotolewa na wazee wa kanisa na wapo hapo kwa nini umkamate na wako eneo la kanisa?hiyo si sawa hata kadogo,mambo ya imani ni magumu hakuna jinai katika kuelezea uchafu wa kiongozi wa dini toka kwa waumini wake tena kanisani,yeye kapewa taarifa asome kosa lake nini?
Watu wote walioongea hapo Mkuu kamuona mtu mmoja tu wa kumchukua? achukue wote au aende ofsini kwao kulifatilia hilo swali kwa umakini, la sivyo itakuwa kweli naye kanunuliwa na huyo Askofu. waumini ndio walichagua Askofu na waumini ndio wanamtengua huyo Askofu kwani tatizo nini tena hapo? Ajihudhuru anatuaibisha waumini
Tofauti ya Ayoub na wakuu WA mikoa mingine ni kuwa Ayoub anaskiliza sana, wala Hana tempa kwenye kufanya maamuzi, hapo mkuu WA mkoa ulikosea, ulipokuwa ulikuja kwa force then ukamgeukia kibao, ila kwa vile jamaa kakaa nje sio mwoga Tena km wazanzibar WA kwetu, alivyomjibu ni jibu zuri kabisa, hapo engelikuwa mzanzibar WA huku kwetu, angetokwa na mikojo, kwanza tuna ule woga WA mtu ukimuona kiongozi tu unaogopa, na wameshatujengea huo udhaifu, so wanatufanya wanavyotaka, penye ukweli usemwe Ayoub ndo kiongozi at least anayejua kuwaongoza watu wake, wengine tuna hasira Sana, yaani sijui yunapass vipi hizo cozi za uongozi au sijui ni nature ya mtu🤔
We RC mpumbavu kuna mambo mengi ya kufanya ya kimaendeleo acha kutumika kwa bei chee,alafu baada ya jamaa kuseme yeye ni raia wa marekani mkia ukautia makalioni 🤣😄😄,apo wewe ata hujaitwa ushafika huku mitaani tuna shida chungu nzima ata mkipigiwa cm hamji wapumbavu nyinyi
Ni makosa kumtukana kiongozi wako mbona umekosa nidham kijana? Au kuna kitu unakitafuta? Tumia vizuri mitandao ndugiangu usijifanye jabbari ukajipa sifa ya Uungu. Na ikibidi hata hiyo text yako futa.
Kiutaratibu RC huna mamlaka ya kukamata mhalifu chombo chenye mamlaka ya kukamata mhalifu ni Jeshi la Police ambalo kisheria hawatakiwi hata huyo mhalifu kuoneshwa wamgunduwe wenyewe.
Kila dini ina shida zake na mapungufu yake mengi ndomaana kurikua torati ya Mussa yaani sheria. Japo askofu kafanya vitu kinyume na Utaratibu wa dini yetu sisi daima hua tunamiliki mashule mahospitali Hivyo razima tuwe na hazina ya kutosha
Isipokuwa uislamu tu huwezi kutoa mapungufu yake na shida zake . Mfano mdogo tu tunajuwa ya kwamba wanawake ni wengi duniani kuliko wanaume ndio mana tukaambiwa tuowe mke zaidi ya mmoja hivyo hapo usilamu umeshatatuwa tatizo hilo je ukristo umeweza kulitatuwa hilo . Mapadri hawaowi na masister hawaolewi kwani wao hawana matamanio au hawatamani ? madhara yake utasikia ndio hayoo aloyafanya tito . Na mambo mengi sana yamo ktk ukristo ambayo yanakwenda kinyume na mazingiza ya mwanaadamu . Usilamu ni dini iliyojitosheleza na inaenda sambasamba na maisha ya mwanaadamu .
Watu ni mali ya mungu,Mungu ndo ana balance takwimu ya watu sasa kwanini sehemu zenye Uislamu wajane wengi zaidi kuliko waliko wakristo mfano hapa Zanzibar walipo wanawake 10 ,4 wajane kwinini kk angu wakati Munson wanne kuoa wanne sio kutatua zaidi ni kutesa watoto tu.
Masister na mapadri wameamua wenyewe toka moyoni kwamba wanaweza halazimishwi ndomaana tangu zamani kabla ya yesu na Muhammad wapadili walikuwepo hata huko saudia nyumbani kwa akina Mhamadi.
Hahaha Mkuu wa mkoa alipoambiwa mimi ni Raia wa Marekani na Balozi wangu nimeshamtaarifu naona kaanza kigugumizi hakumsubiri tena RPC kaingia mitini kidizain. KTV tupe kinachoendelea hakia hii ni fahari yetu.
@@manenoagrey1090 sasa nisaidie kidogo . Kwa utaratibu wenu wakristo munaowana mmoja mmoja . Je wale wengine waolewe na nani ? Au wao wakiwa wazinzi hakuna tatizo . Hamuoni kama huko kunasaidia kueneza wazinifu ktk jamii
Munapenda kuficha maovu ya mashekh zenu ila munaongoza kukosoa dini za watu mana sijuwi vinawawasha nini hasa msoeenda kutatuwa yanao wahusu muna matatizo kibao ula sijawao ona mukasema sasa tumechoka kuharibiwa watoto wetu na mashekh na maukhti , hamuna ,mtoto aaenda kusoma elimu ya dini badala kuipenda anaichukia kisa kupigwa sana walimu wa madrasa wanawapiga sizani kama neno la MUNGU linasema hivyo,ndo mana hamuendelei kutokana mupo tuu kutaka kujuwa ya jirani wakati yako yanateketea
@@hamidahamida1473 mwenzio sishindani mwenyewe nashindaniwa na MUNGU baba ,mwenzio sipiganagi mwenywe napiganiwa na baba ,mimi sipambani mwenywe mimi na pambaniwa na baba haleluyaah amen
@@hamidahamida1473 mungu ni pendo apenda watu mungu ni pendo anipenda ,nikawa mtumwa wa shetani ,akaja YESU Kunikomboa sababu hii namtumikia katika yeye siku zote ,njooni kwa yesu mtaondolewa mizigo yenu yote mizito mwamini yeye siku zote na utauona ufalme wa mbingu haleluyaaha msifuni kristo🙌🙌🙌
Mambo Kama haya hutukumbusha wakristo kuimarika zaidi mbali ya kujisahau juu Ya toba kwani ukristo uko sahihi bila shaka yoyote ila watu ndo tuna matatizo yetu binafsi na Tamaa zetu wenyewe mafundisho ya biblia yako sahihi na ya viwango vya hali juu kabsa maisha bila changamoto hayo siyo maisha huwezi komaa kiimani
Wale wanao sema kuwa Zanzibar ni nchi ya waislamu mna kosea sana! “Sikilizeni” “Usiwe mjinga wewe” 😳! “Namna hiyo ndiyo una onyesha ulimbukeni na ukosefu wa elimu”! Zanzibar siyo nchi ya waislamu ni nchi ya Wazanzibari, wa Tanzania 🇹🇿 na Waafrika halisi! Hata Uarabuni kote Iran 🇮🇷, Turkey 🇹🇷, Oman 🇴🇲, Dubai, Iraq 🇮🇶 Syria 🇸🇾, India 🇮🇳 Saudi Arabia 🇸🇦 na kungine kote, kuna waarabu Wakristo, Wahindi wakristo na kadhalika. Wageni walio kuja na kuleta utumwa na ukoloni ndiyo walio leta dini, kwa hiyo haimaanishi kuwa ndiyo na ardhi waichikue sababu wali leta dini, “HAPANA ✋🏾 🛑! Tena ukae ukijua kuwa na ardhi ya Zanzibar siyo mali ya waislamu, “La hasha” bali ni mali ya wana nchi wote na wa dini zote na wapagani wasio na dini! Hapa Tanzania 🇹🇿 hususani Afrika nzima na kungine duniani watu wote wana haki na wako huru kuamini na kuchagua dini yoyote wai pendayo na wana haki ya kuwa wapagani bila kulazimishwa na kiumbe wa aina yeyote ile 🤪! Kwenda motoni jehanamu au Mbinguni, ni uchaguzi wa mtu mwenyewe na hata MWENYEZI MUNGU hamlazimishi binadamu kumchagua yeye, isipokuwa ame sema “Mchagueni wenyewe yule mtakaye mtumikia kati ya shetani na MUNGU! Ila siku ya mwisho ndiyo utakapo jua cha mtema kuni, kwa maana uta kiona cha moto” 🔥❗️💪🏾✌🏾
Mtajijua wenyewe mayahud mm napta 2 hpo hayanihusu mana cku zote mnalnganiwa muingie kwenye dn ilio2lia ya uislam dn iliokua haina bajet hamna ila ubsh
Hakuna shirika lolote lisilo endeshwa na bajeti ,jengo la msikiti litatunzaje kama c pesa ehee nyinyi siku zote mwategemea cha mjomba sio kufnya kazi ndio dini ila pia yaitaji kuwa na miradi kusaidia kama watu wasojiweza sasa nyie dini yenu mwashia kwenyew maneno sio kusaidia matatizo ya ndugu zenu zaidi mwasubiri waarab wa oman awasaidie twajuwa kila leo serekalin kuna gawaio ila hilo lapewa kwa waisilamu tuu kiasi musijuwe kuhusu bajeti ,sivyo hivyo mwatakiwa kupambana kwa jasho lenu sio kutegemea miswada ,nenda kaulize misikiti mikubwa kama haijakupa bajeti ya mwaka acheni kubwabwaja
ALI KHAMIS “Jina siyo dini na hali mpeleki mtu Mbinguni” Upo? “Wale wanao sema kuwa Zanzibar ni nchi ya waislamu mna kosea sana! “Sikilizeni” “Usiwe mjinga wewe” 😳! “Namna hiyo ndiyo una onyesha ulimbukeni na ukosefu wa elimu”! Zanzibar siyo nchi ya waislamu ni nchi ya Wazanzibari, wa Tanzania 🇹🇿 na Waafrika halisi! Hata Uarabuni kote Iran 🇮🇷, Turkey 🇹🇷, Oman 🇴🇲, Dubai, Iraq 🇮🇶 Syria 🇸🇾, India 🇮🇳 Saudi Arabia 🇸🇦 na kungine kote, kuna waarabu Wakristo, Wahindi wakristo na kadhalika. Wageni walio kuja na kuleta utumwa na ukoloni ndiyo walio leta dini, kwa hiyo haimaanishi kuwa ndiyo na ardhi waichikue sababu wali leta dini, “HAPANA ✋🏾 🛑! Tena ukae ukijua kuwa na ardhi ya Zanzibar siyo mali ya waislamu, “La hasha” bali ni mali ya wana nchi wote na wa dini zote na wapagani wasio na dini! Hapa Tanzania 🇹🇿 hususani Afrika nzima na kungine duniani watu wote wana haki na wako huru kuamini na kuchagua dini yoyote wai pendayo na wana haki ya kuwa wapagani bila kulazimishwa na kiumbe wa aina yeyote ile 🤪! Kwenda motoni jehanamu au Mbinguni, ni uchaguzi wa mtu mwenyewe na hata MWENYEZI MUNGU hamlazimishi binadamu kumchagua yeye, isipokuwa ame sema “Mchagueni wenyewe yule mtakaye mtumikia kati ya shetani na MUNGU! Ila siku ya mwisho ndiyo utakapo jua cha mtema kuni, kwa maana uta kiona cha moto” 🔥❗️💪🏾✌🏾
Majina ya kiislam kivazi Cha kiislam lafdhi ya kizanzibari Mambo haya vipi? Wakiristo Aina hii Ndo kwanza niwaone Leo hapa Zanzibar nimezazoea kuwaona wakiristo wa hapa kua wote ni kutoka nje ya Zanzibar huku wamehamia tu na utawajua kwa kivazi majina na ladhi zaoza kibongo
Huyu mkuu wa mkowa huyo Askof ni mshirikina mwanga. Mana hana moja analolifanya ktk mji wa zanzibar mkuu wa mkowa na Askof wote masonic lengo lao moja washirikina
Nakukubali asanteeeee mana hawa viongozi wanajiamini sana wape madongo yao maboya hao Nenda zako huko kuna sheria wapi hapa zanzibar wewe muongo wajinga nyinyi viongozi wa serikali ya zanzibar
😂😂 Huyu jamaa vip? Kwaiyo akiwa ni Raia wa Marekani ndo iweje? Aje aitishe Serikali? Asipanic ivo bhana..kama watu Tanzania wanapotea aende kupotea kwa mkuu wa mkoa? Au mi nahisi Serikali ingewaachia wenyewe maana Serikali haina dini
@@julianpeter7165 wapo lkn wameathirika na mazingira ya kizanzibari ukiwaona km waislam lkn tunawajua sana tu maana wengi wao miaka ya 70 walikuja kutoka bara na wengi nakumbuka walikua ni wamakonde ,wapo na ndo washakua wazanzibar sisi km wazanzibari waislam ni jirani zetu na wakiishi vizuri tu kwa amani ila ndo ivo sasa mambo yameharibika ulimwenguni kote watu wanaishi roho juu tu.
yaani jamaa anakiburi najeuri hatari,eti ninii anajiamini koz nimmarekani, ila ujue tu bahii niserikali yama0induzi huwezi kufanya ubabe,kwani nayo inataratibu zake
No anajiamini raia wa kigeni ana taratibu zake kweli lakini hata hao wasoraia wa kigeni pia kuna taratibu za kumchukuwa basi tu kwa kuwa utawala wa kwetu wanapenda kutumia ubabe
Abdul abass “Wale wanao sema kuwa Zanzibar ni nchi ya waislamu mna kosea sana! “Sikilizeni” “Usiwe mjinga wewe” 😳! “Namna hiyo ndiyo una onyesha ulimbukeni na ukosefu wa elimu”! Zanzibar siyo nchi ya waislamu ni nchi ya Wazanzibari, wa Tanzania 🇹🇿 na Waafrika halisi! Hata Uarabuni kote Iran 🇮🇷, Turkey 🇹🇷, Oman 🇴🇲, Dubai, Iraq 🇮🇶 Syria 🇸🇾, India 🇮🇳 Saudi Arabia 🇸🇦 na kungine kote, kuna waarabu Wakristo, Wahindi wakristo na kadhalika. Wageni walio kuja na kuleta utumwa na ukoloni ndiyo walio leta dini, kwa hiyo haimaanishi kuwa ndiyo na ardhi waichikue sababu wali leta dini, “HAPANA ✋🏾 🛑! Tena ukae ukijua kuwa na ardhi ya Zanzibar siyo mali ya waislamu, “La hasha” bali ni mali ya wana nchi wote na wa dini zote na wapagani wasio na dini! Hapa Tanzania 🇹🇿 hususani Afrika nzima na kungine duniani watu wote wana haki na wako huru kuamini na kuchagua dini yoyote wai pendayo na wana haki ya kuwa wapagani bila kulazimishwa na kiumbe wa aina yeyote ile 🤪! Kwenda motoni jehanamu au Mbinguni, ni uchaguzi wa mtu mwenyewe na hata MWENYEZI MUNGU hamlazimishi binadamu kumchagua yeye, isipokuwa ame sema “Mchagueni wenyewe yule mtakaye mtumikia kati ya shetani na MUNGU! Ila siku ya mwisho ndiyo utakapo jua cha mtema kuni, kwa maana uta kiona cha moto” 🔥❗️💪🏾✌🏾
Kufunika nywele walianza waebrania,wayahudi,wakristo na waislamu wameanza baadae japo kwa Mkristo si lazima ni hiari tu. Japo ilitujuane kwa Zanzibar bora wasifunike.
@@manenoagrey1090, ww nawe maelezo yako yote km mlevi hayafahamiki. Waisilam kufunika nywele ni huyari? Km huujui uisilam si nyamaza au uliza. Uongo tu!
@@alhamdulillah5796 nilikua namaanisha wakristo ni hiari kufunika vichwa na si upande wapili uislamu umeanzishwa miaka ya 612 wakati mkristo tangu mwaka 01
@@manenoagrey1090, Unaugua ww, Uisilam umeanza lini na ukiristo umeanza lini? Kwanza hata unajua km Qur-an, Injil, Zabour na Taurat vyote ni vitabu vya Allah (Mwenyeezi Mungu)? Sasa itakuaje vyote vije na dini tofauti? Kasome bible alokutungia Mzungu na achana na Uisilam ambao chimbuko lake linatoka nchi za Kiarabu km vinavyotoka Vitabu vya Allah (M/Mungu) vilivyotangulia (Zabour, Injil na Taurat).
Thanks so.much my brother message from USA 🇺🇸freedom
Mimi ni muislamu lakini Nabii Issa si alisema kutokana na mafundisho ya Mungu, usiibe, usidhini, usichukue wake za watu na wafanyie watu mambo mazuri usijifikirie wewe mwenyewe. Naamini Wakristo wanajua na wanachokitaka
Vizuri sana Mr Aban kwa mchango wako wa kutetea Waumini wa Anglicana
Allah atawaongoza katika njia iliyo nyooka njooni ktk uislam kabla ya umauti haujawafikia
Uislamu haumuokoi Mtu na Mauti bali Matendo Meema ndo humuokoa mtu na Mauti we jione umemaliza kwasababu ni Mwislamu baadala yakutubu zambi zako .Hakika utachomwa moto usipo badilika wahi sasa ujiponye nafsi yako. Mwite YESU
Subhanallah!!! Nyuso zao zimeondolewa Nuru.
Mungu akuzidishie nuru akuangazie kweny maisha yako na kumurikie nuru hiyo kweny kaburi ,maana nyie ndo wateule kwa tiketi ya uislamu mutaingia peponi
Huyu mkuu wa mkoa hafai. Kabisa kabisa cjui zumbukuku gani aliemuweka huyu hata madaraka uliyopewa huyajui? Kaah !!!vioja hivi kwani ungewaita ofisini kwako wasingekuja? Au ndio unajionesha sasa kakuchenjia gia angani. Umemkimbia
K TV hem fatilieni hii movie's Kali sana hahahahah tuone mwishoni...
Hii movie ningependa mwisho stering auwawe. Ingependeza
Enyi waumini, (waislamu) hakika wengi wa mapadri na maaskofu wanakula Mali za watu kwa dhulma.
Qur'an
Msilalamike maana huko ndiko mlikojichagulia
Allah subuhanah watallah atusalim salama
Unao ushaidi wahili jambo unalolisema
Mkuu wa mkoa baada ya kusikia raia wa marekani umeonekana kutetereka. (Mwanzo ulionekana kuvimba)
Allah awajaalie waslimu wote kanisa ligeuzwe liwe mskiti kwa uwezo wake Allah na Rehmmazake Allah
Ameen yaraby
Aamin yarabi
Ndoto iyo
@@seifhamad9817 hakuna kubwa kwa Mungu yote ni madogo kwake
Amin
Mungu akueke mh. Ayub ata tunakumis bob.... yaani unakua hubahatishi humu
Askofu Hajapatikana Bado Hadi Leo Hahahaaha, Noma Sana
Serikali inataratibu na kila agizo la serikali huwa kwa maandishi ili kuwe na kumbukumbu. Kwa staili aliyoingia Mkuu Wa Mkoa inamaana kuwa Askofu ameshotoa taarifa sasa kwanini asifatwe Askofu kama alivyofatwa muumini?
Mdogo wangu sheria huijui, hata matamshi ni sheria, nanibalikwambia agizo lazima kwa karatasi.
Qur'an imeshasema kwamba wengi wao hao maaskofu Ni waovu. Someni Quran mtajua.
Hata biblia inasema hayo kwasababu nao wana zambi kama ww tu Hivyo nawe waweza kuwa kiongozi wa dini pamoja na zambi zako
Maneno Agrey uko sahihi.. bro
Zanzibar ukafili hautakiwi mpaka muondolewe na upepo wa munguuuu
Hiv mwanaume gan kwa zama hizi aone maungo ya mwanamke au pesa akili isishuhulike jaman
Wakiristo mnava sana uchi polen sana
@@chiwangoezekiel1921 mm nahis hufaham nn maana ya uchi kwa maana ndan ya mafunfisho ya din yen hamna
@@alikhamisog3422 kumbe unahisi ndomana unaongea bila fact
@@chiwangoezekiel1921 kweli sasa mm naomba nitajie kanisa moj tyu wanao jistir kuanzia waumin had waku wenu naritad now
@@chiwangoezekiel1921 hajahaha sasa njo huku baa kwenye njia ya aman na mbigun achana na din walizo anzisha wazungu maana majina ya dini zenu ni mita au watu wakale ambao n wazungu mkaletea nyie had sasa mnafata mkumbo
Wacheni wachague kiongozi wanompenda msiwaletee siasa zenu
Mku wamkowa kakosea sana kwenda bilaya ulinzi huyo alitaka apate kibano kizuuuri halaf aende huko ubalozi wao. Huyo hatakiwi kuikanyaga Tena Tanzania anamvimbia kiongozi wetu kwetu. Kenge sana huyo jamaa
Limekuwa kama kanisa la Gwajima. Anglican ni kanisa la kihistoria. Huyu lazima avuliwe uaskofu kama haya anayoyafanya ni kweli.
Hahaha huna mpya RPC well done Albany Aziz.
Nini chanzo Cha migogoro yote hii?!.kuna Nani nyuma ya haya?!! Kwanini Maaskofu wanashambuliwa kila Kona?!!. Je, Utukufu wa Mungu unaonekana hapo?!!
Wazanzibara hao
JAMANI EEEEE UKIWA NA BUNDLE KWA KWELI RAHA SANA---YAANI EPISODE HII ILINIPITA MIMI MAANA NILIKUA CLASS---by arbaab...✍
Ukweli unakua hauna kuzunguka, kiongozi anatakiwa awe anaridhiwa na anaewaongoza,
Ukiona jambo linapelekwa bila ujuzi basi subiria kiama watu wanafanya viongozi wa dini lakini maadili hawana.
Kwavile wanawake wakristo mnaenda uchi kanisani lazima hataningekua Mimi ningewatafuna kwelikweli wanakuja mapaja nje maziwa nje niwafanyenini mie natafuna tuu
Haaaaa
Alipo ambiwa tanzaniya watu wakichukuliwa wanapoteya kaondoka mbiyo
Faa husali “Kweli alipo ambiwa watu huchukuliwa na kisha wana uawa, kaondo kwa haraka sana 😁😅🤣”
Chezea ukweli lazima ukweli ukisemwa upatwe na kigugumizi
Maryam Said “Ndiyo watu wengine walivyo siku hizi hapa Tanzania 🇹🇿, waki pata nyazifa serikalini tu, wana waonea na ku waua watu wanyonge!
anglikana hahahahhahaha noma sana
Dah mkuu wa mkoa anamkamata mtu jamani tatizo nini ktv muendelezo tafadhali
Akiondoka katika wadhifa huo anatakiwa kupigiwa beni
Mkuu wa gani huyu baada ya kusikiliza malalamiko wa waumini anakuja kukamata mtu😂😂😂😂
Alhamdulilaah Allah kunijaalia kuwa Muislam....daahh Dini inaendeshwa kwa bajeti...hayaa Allah awaonyeshe njia ya haki...aamiin
Hata bajet za nchi chanzo chake ni biblia kwani tawala zenye nguvu zote za dunia ziliendesha kwa sheria ya Mussa ambayo yote ipo katika biblia
Maneno Agrey
sorry alie kwambia kuwa mussa aliendesha bajeti kwa mfumo nani?serikali inarushwa ndo mussa aliendesha hivo acha kuongea upotevu ,,biblia yenyew maneno ta wat ingekuwepo taurat iliokamilika hapo sawa Kazi kusingizia mitume ya mungu,,..
Maneno Agrey
ustufanye sus kama hatujui serikali znaruhs ushoga ,,Musa aliruhsu ushoga
@@hansiselemani8025 Ushogo si dini bali wananadamu wameamua kuwa hivyo na si kwamba kuna dini inaruhusu
Nyie si mwategemea misaada tuu serekalin ndo mana hamujuwi bajeti
Wewe unaesema Qur'an sijuhi ya ukweli kwanii viongoz Wa kwen hawfanyi makosa hata ivo mnaubaguziii
Haya wakristo rudini nyumbani kwenye dini ya asili wacheni kwapa pesa za kuzini na kulewa mapadri yenu...
Heeee!askofu huyo duuh!.
Hakika Qur'an haisemi uongo
MTU mwongo ww ni wapi Quran inasema hivyo
Luka ACH ukaidi ww huna ULIPO Taft dini usome ukriato sio dini
Daah kazi si ya kitoto ..
Bonge la move 🎥 end of the party 1 tuna subiri sehemu ya pili ya mchezo.
mkuu wa mkoa mambo ya kanisani yanahitaji busara sio nguvu,huyo kasoma taarifa iliyotolewa na wazee wa kanisa na wapo hapo kwa nini umkamate na wako eneo la kanisa?hiyo si sawa hata kadogo,mambo ya imani ni magumu hakuna jinai katika kuelezea uchafu wa kiongozi wa dini toka kwa waumini wake tena kanisani,yeye kapewa taarifa asome kosa lake nini?
Hawajijuwi hawa viongozi wengine ni blaaa
Kura kwa MALIM SEIF. YATAMALIZIKA YOTE. WAKO WAPI UWAMSHO
Nenda uko, unataka tuwe makhanithi sote
@@saymarsaymar4654 Ndio kama baba ako vle alivyokuwa khanithi
Saidi omba toba kwamola wako
RC alipoa alipoambiwa kuwa jaaama ni raia wa marekani kaufyata
si mchezo mzee hapo ingelikuwa mimi na ww tushapelekwa kusikojulikana zamani
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kama kuna viashiria vya dhambi huyo askofu aondolewe haraka Sana
Maandiko yanakataza juu ya ask of u kuwa MTU mwenye kulaumiwa
1Timotheo 3_1_7
Kwan uyo mkuu wa mkoa hana hana printer akachapa barua ya wito
Watu wote walioongea hapo Mkuu kamuona mtu mmoja tu wa kumchukua? achukue wote au aende ofsini kwao kulifatilia hilo swali kwa umakini, la sivyo itakuwa kweli naye kanunuliwa na huyo Askofu. waumini ndio walichagua Askofu na waumini ndio wanamtengua huyo Askofu kwani tatizo nini tena hapo? Ajihudhuru anatuaibisha waumini
Tofauti ya Ayoub na wakuu WA mikoa mingine ni kuwa Ayoub anaskiliza sana, wala Hana tempa kwenye kufanya maamuzi, hapo mkuu WA mkoa ulikosea, ulipokuwa ulikuja kwa force then ukamgeukia kibao, ila kwa vile jamaa kakaa nje sio mwoga Tena km wazanzibar WA kwetu, alivyomjibu ni jibu zuri kabisa, hapo engelikuwa mzanzibar WA huku kwetu, angetokwa na mikojo, kwanza tuna ule woga WA mtu ukimuona kiongozi tu unaogopa, na wameshatujengea huo udhaifu, so wanatufanya wanavyotaka, penye ukweli usemwe Ayoub ndo kiongozi at least anayejua kuwaongoza watu wake, wengine tuna hasira Sana, yaani sijui yunapass vipi hizo cozi za uongozi au sijui ni nature ya mtu🤔
💥
Wacheni comment za kukandia kasomeni dini kwanza muifahamu inasema nini.
aliyeifahamu dini hasa hashindi mitandaoni kupumbazwa na comment za watu humu wapo walosoma dini tu Wacha kila mmoja a play part yake
LEO ktv online mmenikoroga kabisa, wapeni da'wah HAO watasilimu tu
Wewe umeshawapa wa ngapi sheikh?
hata wewe unafaa kumfuata YESU
@@fumotv7914 mm namtambua yesu kikamilifu wala sibahatishi, yeye nimtume wangu kama mitume wengine simuabudu kama wanavyo FANYA wenzetu
Wazanzibari tuamke naona makafri wanatupnda vichwa sasa
Mku wa mkowa uyo jamaa kanajiamini kweli
kwa sababu anajitambua na anajua haki zake
Huyo atakuwa kuni, hafai jamani
We RC mpumbavu kuna mambo mengi ya kufanya ya kimaendeleo acha kutumika kwa bei chee,alafu baada ya jamaa kuseme yeye ni raia wa marekani mkia ukautia makalioni 🤣😄😄,apo wewe ata hujaitwa ushafika huku mitaani tuna shida chungu nzima ata mkipigiwa cm hamji wapumbavu nyinyi
Ni makosa kumtukana kiongozi wako mbona umekosa nidham kijana? Au kuna kitu unakitafuta? Tumia vizuri mitandao ndugiangu usijifanye jabbari ukajipa sifa ya Uungu. Na ikibidi hata hiyo text yako futa.
Mambo ya imani mbona mnaingilia serikar acheni mambo ya kipuuz hayo hasa wewe rpc ni mpuuz tu
Tatizo mwambie kosa lake halafu ndio umchukuwe
Hahitajiki huyo achishwe mara moja sio muadirifu huyo Ni kashindwa Kazi yake
Nyie sio watu wa zanzibar watu wa zanzibar sio makafiri
Hahaha...asante ndgu
Kiutaratibu RC huna mamlaka ya kukamata mhalifu chombo chenye mamlaka ya kukamata mhalifu ni Jeshi la Police ambalo kisheria hawatakiwi hata huyo mhalifu kuoneshwa wamgunduwe wenyewe.
Hamnajambooo
Duh
Kila dini ina shida zake na mapungufu yake mengi ndomaana kurikua torati ya Mussa yaani sheria. Japo askofu kafanya vitu kinyume na Utaratibu wa dini yetu sisi daima hua tunamiliki mashule mahospitali Hivyo razima tuwe na hazina ya kutosha
Isipokuwa uislamu tu huwezi kutoa mapungufu yake na shida zake . Mfano mdogo tu tunajuwa ya kwamba wanawake ni wengi duniani kuliko wanaume ndio mana tukaambiwa tuowe mke zaidi ya mmoja hivyo hapo usilamu umeshatatuwa tatizo hilo je ukristo umeweza kulitatuwa hilo .
Mapadri hawaowi na masister hawaolewi kwani wao hawana matamanio au hawatamani ? madhara yake utasikia ndio hayoo aloyafanya tito . Na mambo mengi sana yamo ktk ukristo ambayo yanakwenda kinyume na mazingiza ya mwanaadamu . Usilamu ni dini iliyojitosheleza na inaenda sambasamba na maisha ya mwanaadamu .
Watu ni mali ya mungu,Mungu ndo ana balance takwimu ya watu sasa kwanini sehemu zenye Uislamu wajane wengi zaidi kuliko waliko wakristo mfano hapa Zanzibar walipo wanawake 10 ,4 wajane kwinini kk angu wakati Munson wanne kuoa wanne sio kutatua zaidi ni kutesa watoto tu.
Masister na mapadri wameamua wenyewe toka moyoni kwamba wanaweza halazimishwi ndomaana tangu zamani kabla ya yesu na Muhammad wapadili walikuwepo hata huko saudia nyumbani kwa akina Mhamadi.
Hahaha Mkuu wa mkoa alipoambiwa mimi ni Raia wa Marekani na Balozi wangu nimeshamtaarifu naona kaanza kigugumizi hakumsubiri tena RPC kaingia mitini kidizain. KTV tupe kinachoendelea hakia hii ni fahari yetu.
@@manenoagrey1090 sasa nisaidie kidogo . Kwa utaratibu wenu wakristo munaowana mmoja mmoja . Je wale wengine waolewe na nani ? Au wao wakiwa wazinzi hakuna tatizo . Hamuoni kama huko kunasaidia kueneza wazinifu ktk jamii
Mpaka Gari la Mkuu wa mkoa limedizainiwa kuidanganyifu.
Mengi unaweza kustahamili lakini mwanamke huwezi
Me napita2 ila NAAMINI KUA NILIKUA MUAFRIKA KABRA YA KUA MKRISTO WALA MUISLAM hivyo niko singo nainjoi!!!!!!!
Aliyewaumba munamkana jee nyinyi kwa nyinyi
Munapenda kuficha maovu ya mashekh zenu ila munaongoza kukosoa dini za watu mana sijuwi vinawawasha nini hasa msoeenda kutatuwa yanao wahusu muna matatizo kibao ula sijawao ona mukasema sasa tumechoka kuharibiwa watoto wetu na mashekh na maukhti , hamuna ,mtoto aaenda kusoma elimu ya dini badala kuipenda anaichukia kisa kupigwa sana walimu wa madrasa wanawapiga sizani kama neno la MUNGU linasema hivyo,ndo mana hamuendelei kutokana mupo tuu kutaka kujuwa ya jirani wakati yako yanateketea
Salafina.ukristo.nishida
@@hamidahamida1473😂😂😂😂uislamu ni shida kubwa sana yani
@@hamidahamida1473 twende kwa yesu mimi nawe njia atonywa tuijuwe ndugu yang
@@hamidahamida1473 mwenzio sishindani mwenyewe nashindaniwa na MUNGU baba ,mwenzio sipiganagi mwenywe napiganiwa na baba ,mimi sipambani mwenywe mimi na pambaniwa na baba haleluyaah amen
@@hamidahamida1473 mungu ni pendo apenda watu mungu ni pendo anipenda ,nikawa mtumwa wa shetani ,akaja YESU Kunikomboa sababu hii namtumikia katika yeye siku zote ,njooni kwa yesu mtaondolewa mizigo yenu yote mizito mwamini yeye siku zote na utauona ufalme wa mbingu haleluyaaha msifuni kristo🙌🙌🙌
Mbona rpc umeondoka mngemchukua mkatizama ubalozi wa marekani.watu wanajali raia zao sio kama nyie
Haha engethubutu haha si kaita polisi kakimbilia nn
Wewe hupotei unachukuliwa na watu wanaojulikana ni askari tu
HAWA MAKAFIRI WANATOKEA WAPI
Leo umekumbana na kidume mwenzio mkuu wa mkoa falaa
Haha motoooooo kakimbia
M naona zanzibar n waislam wrote kumbe kuna wakristo
RAIA WAMERAKANI
Mambo hayo ni yenu wenyenu
Tuna juwana kaka sawa uko msimamo usende popote kikwajuni oyye
Mambo Kama haya hutukumbusha wakristo kuimarika zaidi mbali ya kujisahau juu Ya toba kwani ukristo uko sahihi bila shaka yoyote ila watu ndo tuna matatizo yetu binafsi na Tamaa zetu wenyewe mafundisho ya biblia yako sahihi na ya viwango vya hali juu kabsa maisha bila changamoto hayo siyo maisha huwezi komaa kiimani
Waambie mbwa hao!!!
Haya mambo ya askofu?
Wale wanao sema kuwa Zanzibar ni nchi ya waislamu mna kosea sana! “Sikilizeni” “Usiwe mjinga wewe” 😳! “Namna hiyo ndiyo una onyesha ulimbukeni na ukosefu wa elimu”! Zanzibar siyo nchi ya waislamu ni nchi ya Wazanzibari, wa Tanzania 🇹🇿 na Waafrika halisi! Hata Uarabuni kote Iran 🇮🇷, Turkey 🇹🇷, Oman 🇴🇲, Dubai, Iraq 🇮🇶 Syria 🇸🇾, India 🇮🇳 Saudi Arabia 🇸🇦 na kungine kote, kuna waarabu Wakristo, Wahindi wakristo na kadhalika. Wageni walio kuja na kuleta utumwa na ukoloni ndiyo walio leta dini, kwa hiyo haimaanishi kuwa ndiyo na ardhi waichikue sababu wali leta dini, “HAPANA ✋🏾 🛑! Tena ukae ukijua kuwa na ardhi ya Zanzibar siyo mali ya waislamu, “La hasha” bali ni mali ya wana nchi wote na wa dini zote na wapagani wasio na dini! Hapa Tanzania 🇹🇿 hususani Afrika nzima na kungine duniani watu wote wana haki na wako huru kuamini na kuchagua dini yoyote wai pendayo na wana haki ya kuwa wapagani bila kulazimishwa na kiumbe wa aina yeyote ile 🤪! Kwenda motoni jehanamu au Mbinguni, ni uchaguzi wa mtu mwenyewe na hata MWENYEZI MUNGU hamlazimishi binadamu kumchagua yeye, isipokuwa ame sema “Mchagueni wenyewe yule mtakaye mtumikia kati ya shetani na MUNGU! Ila siku ya mwisho ndiyo utakapo jua cha mtema kuni, kwa maana uta kiona cha moto” 🔥❗️💪🏾✌🏾
Hujielewi
SAYMAR SAYMAR “Uwezo wako wa ku elewa wewe ni mdogo sana”!
Zanzibar ni nchi ya kiislamu kutokana asilimia 100 ya raia na viongzi wake ni waislam
Mkuu wenyewe anatera
Hii kali ya mwaka
Sasa mkuu wa mkoa anahusika nn na dini anakula naye huyo sahani moja
Wakristo wa sikuhizi hawataki mchezo na maovu
Mtajijua wenyewe mayahud mm napta 2 hpo hayanihusu mana cku zote mnalnganiwa muingie kwenye dn ilio2lia ya uislam dn iliokua haina bajet hamna ila ubsh
Sisi tunaitaka mbingu nasi dunia
Hakuna shirika lolote lisilo endeshwa na bajeti ,jengo la msikiti litatunzaje kama c pesa ehee nyinyi siku zote mwategemea cha mjomba sio kufnya kazi ndio dini ila pia yaitaji kuwa na miradi kusaidia kama watu wasojiweza sasa nyie dini yenu mwashia kwenyew maneno sio kusaidia matatizo ya ndugu zenu zaidi mwasubiri waarab wa oman awasaidie twajuwa kila leo serekalin kuna gawaio ila hilo lapewa kwa waisilamu tuu kiasi musijuwe kuhusu bajeti ,sivyo hivyo mwatakiwa kupambana kwa jasho lenu sio kutegemea miswada ,nenda kaulize misikiti mikubwa kama haijakupa bajeti ya mwaka acheni kubwabwaja
Ungepita tu usi comment kama hayakuhusu
padri ushaiba ela za wakrisro kajeengee nyumba hawana maarifa
Nasoma comment LAKIN SION MAJINA YA WAKIRISTO MBONA
😁😁😁😁
Kwani wakristo jina au Imani? Au ndio walee mnafikiria kuwa jina ndio dini
ALI KHAMIS “Jina siyo dini na hali mpeleki mtu Mbinguni” Upo? “Wale wanao sema kuwa Zanzibar ni nchi ya waislamu mna kosea sana! “Sikilizeni” “Usiwe mjinga wewe” 😳! “Namna hiyo ndiyo una onyesha ulimbukeni na ukosefu wa elimu”! Zanzibar siyo nchi ya waislamu ni nchi ya Wazanzibari, wa Tanzania 🇹🇿 na Waafrika halisi! Hata Uarabuni kote Iran 🇮🇷, Turkey 🇹🇷, Oman 🇴🇲, Dubai, Iraq 🇮🇶 Syria 🇸🇾, India 🇮🇳 Saudi Arabia 🇸🇦 na kungine kote, kuna waarabu Wakristo, Wahindi wakristo na kadhalika. Wageni walio kuja na kuleta utumwa na ukoloni ndiyo walio leta dini, kwa hiyo haimaanishi kuwa ndiyo na ardhi waichikue sababu wali leta dini, “HAPANA ✋🏾 🛑! Tena ukae ukijua kuwa na ardhi ya Zanzibar siyo mali ya waislamu, “La hasha” bali ni mali ya wana nchi wote na wa dini zote na wapagani wasio na dini! Hapa Tanzania 🇹🇿 hususani Afrika nzima na kungine duniani watu wote wana haki na wako huru kuamini na kuchagua dini yoyote wai pendayo na wana haki ya kuwa wapagani bila kulazimishwa na kiumbe wa aina yeyote ile 🤪! Kwenda motoni jehanamu au Mbinguni, ni uchaguzi wa mtu mwenyewe na hata MWENYEZI MUNGU hamlazimishi binadamu kumchagua yeye, isipokuwa ame sema “Mchagueni wenyewe yule mtakaye mtumikia kati ya shetani na MUNGU! Ila siku ya mwisho ndiyo utakapo jua cha mtema kuni, kwa maana uta kiona cha moto” 🔥❗️💪🏾✌🏾
Kwaiyo Wewe Uko busy na majina Duhh
Chocolate sjui unazungumzia nn mbona kama skufaham unazungumzia nn kwan
yani waislam kila kitu waislam kwani dini ni yenu peke yenu 2 kila mtu na imani yake na hatufati uchafu wa kiongozi bali imani
Anahaki yakugoma tanzania skuiz inatisha kwamatukuio yakuchukuliwa wtu nakwenda kuuliwa ata mie nngegoma
Hawa wanaohijiwa ni wakiristo ama vipi maana siielewi
wakristo wa hapa zanzibar ao
Hawafanani kabisa na wakristo
Majina ya kiislam kivazi Cha kiislam lafdhi ya kizanzibari Mambo haya vipi? Wakiristo Aina hii Ndo kwanza niwaone Leo hapa Zanzibar nimezazoea kuwaona wakiristo wa hapa kua wote ni kutoka nje ya Zanzibar huku wamehamia tu na utawajua kwa kivazi majina na ladhi zaoza kibongo
Huyu mkuu wa mkowa huyo Askof ni mshirikina mwanga. Mana hana moja analolifanya ktk mji wa zanzibar mkuu wa mkowa na Askof wote masonic lengo lao moja washirikina
Maskofu wa anglikana mnatia aibu askofu mkuu lione hilo
Duh si mchezo
Wakristowazanziba hawanauwezo wakuongea
Duuuuh . Hapo sasa wanapotea wanakwenda wap .Muendelezo
tupate .
jaman
Nakukubali asanteeeee mana hawa viongozi wanajiamini sana wape madongo yao maboya hao
Nenda zako huko kuna sheria wapi hapa zanzibar wewe muongo wajinga nyinyi viongozi wa serikali ya zanzibar
Mkuu wa mkoa kawatikise wasojua haki zao
Watu wametoa comment nzuri ila wewe sarafina una nyege
Duhh kwani Wewe si mwanaume rijalu jamani au 😂😂
😂😂 Huyu jamaa vip? Kwaiyo akiwa ni Raia wa Marekani ndo iweje? Aje aitishe Serikali? Asipanic ivo bhana..kama watu Tanzania wanapotea aende kupotea kwa mkuu wa mkoa? Au mi nahisi Serikali ingewaachia wenyewe maana Serikali haina dini
tokalini wazanzibari kuwa wakristo
Wakristo wako saudia itakuwa zbar?
Yupo mbona tumajaa hao ndio wazee wetu
wapo wakristo wa asili ambao ni wazanzibar japo sio wengi
@@julianpeter7165 wapo lkn wameathirika na mazingira ya kizanzibari ukiwaona km waislam lkn tunawajua sana tu maana wengi wao miaka ya 70 walikuja kutoka bara na wengi nakumbuka walikua ni wamakonde ,wapo na ndo washakua wazanzibar sisi km wazanzibari waislam ni jirani zetu na wakiishi vizuri tu kwa amani ila ndo ivo sasa mambo yameharibika ulimwenguni kote watu wanaishi roho juu tu.
@@julianpeter7165 wapo maka wanaxhangaa unguj
Sija wasoma na nyinyi ni wakiristo au vipi munalalamikia kuhusu tabia zake sijaelewa
ao ni wakristo wa hapa zanzibar
yaani jamaa anakiburi najeuri hatari,eti ninii anajiamini koz nimmarekani,
ila ujue tu bahii niserikali yama0induzi huwezi kufanya ubabe,kwani nayo inataratibu zake
No anajiamini raia wa kigeni ana taratibu zake kweli lakini hata hao wasoraia wa kigeni pia kuna taratibu za kumchukuwa basi tu kwa kuwa utawala wa kwetu wanapenda kutumia ubabe
Hapo sio mtaani ujuwe ni kanisani wanataka kuongea na askofu wao yeye inamuhusu nini
Huo mgogolo ni wa kanisa utamalizwa na kanisa ,sasa vyombo vya dola vinahusika na nini
pamenooga
Mambo yangoso............................👣
Zanzibar unaweza kua unaongea na mkiristo bila kumjua
Kwani ni majini ama??
Kwani inakuwa zambi au❓❓❓
Abdul abass “Wale wanao sema kuwa Zanzibar ni nchi ya waislamu mna kosea sana! “Sikilizeni” “Usiwe mjinga wewe” 😳! “Namna hiyo ndiyo una onyesha ulimbukeni na ukosefu wa elimu”! Zanzibar siyo nchi ya waislamu ni nchi ya Wazanzibari, wa Tanzania 🇹🇿 na Waafrika halisi! Hata Uarabuni kote Iran 🇮🇷, Turkey 🇹🇷, Oman 🇴🇲, Dubai, Iraq 🇮🇶 Syria 🇸🇾, India 🇮🇳 Saudi Arabia 🇸🇦 na kungine kote, kuna waarabu Wakristo, Wahindi wakristo na kadhalika. Wageni walio kuja na kuleta utumwa na ukoloni ndiyo walio leta dini, kwa hiyo haimaanishi kuwa ndiyo na ardhi waichikue sababu wali leta dini, “HAPANA ✋🏾 🛑! Tena ukae ukijua kuwa na ardhi ya Zanzibar siyo mali ya waislamu, “La hasha” bali ni mali ya wana nchi wote na wa dini zote na wapagani wasio na dini! Hapa Tanzania 🇹🇿 hususani Afrika nzima na kungine duniani watu wote wana haki na wako huru kuamini na kuchagua dini yoyote wai pendayo na wana haki ya kuwa wapagani bila kulazimishwa na kiumbe wa aina yeyote ile 🤪! Kwenda motoni jehanamu au Mbinguni, ni uchaguzi wa mtu mwenyewe na hata MWENYEZI MUNGU hamlazimishi binadamu kumchagua yeye, isipokuwa ame sema “Mchagueni wenyewe yule mtakaye mtumikia kati ya shetani na MUNGU! Ila siku ya mwisho ndiyo utakapo jua cha mtema kuni, kwa maana uta kiona cha moto” 🔥❗️💪🏾✌🏾
@@ireneassey3685 sio majini wanajistiri kama waislam
@African Chocolate wafahamishe hao hawajui
Mke moja mwambiwa hatoshi mwaona ubishi sheria ya wake wa 4 mupo
Faiza hahaha upo juu,kesho naongeza mke.
Wake wanne wa kuoa na kuacha au kuwa hao kwa wakati mmoja
Mam T kwaunavojua wwe nivipi?
Haji Vuai 👌😁
siwezi kukupinga ila unaweza kuwa na wake wa4 na still ukawa na michepuko so ayo mengine pia ni tabia za watu
kumbe na wakiristonwanafunika nywel wanawake
Kufunika nywele walianza waebrania,wayahudi,wakristo na waislamu wameanza baadae japo kwa Mkristo si lazima ni hiari tu. Japo ilitujuane kwa Zanzibar bora wasifunike.
@@manenoagrey1090, ww nawe maelezo yako yote km mlevi hayafahamiki. Waisilam kufunika nywele ni huyari? Km huujui uisilam si nyamaza au uliza. Uongo tu!
@@alhamdulillah5796 nilikua namaanisha wakristo ni hiari kufunika vichwa na si upande wapili uislamu umeanzishwa miaka ya 612 wakati mkristo tangu mwaka 01
@@manenoagrey1090, Unaugua ww, Uisilam umeanza lini na ukiristo umeanza lini? Kwanza hata unajua km Qur-an, Injil, Zabour na Taurat vyote ni vitabu vya Allah (Mwenyeezi Mungu)? Sasa itakuaje vyote vije na dini tofauti? Kasome bible alokutungia Mzungu na achana na Uisilam ambao chimbuko lake linatoka nchi za Kiarabu km vinavyotoka Vitabu vya Allah (M/Mungu) vilivyotangulia (Zabour, Injil na Taurat).
Wakristo wa Zanzibar ( wa asili sio walokuja juzi) wanajitanda vizuri tu kama wanaviranda wazanzibari wengine..