Lakini zaidi msiache Sala na dua na bila kusahau kumshukru Mwenyezi Mungu kwa wema na fadhiri bila kusahau sadaka za shukrani( Biblia,kitabu cha kumbukumbu la torati sura ya 16 mstari 16-17)
Baraza Jipya la Mawaziri la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendelee ili kutupa Watanzania Maendeleo ya Kimkakati ambayo Amiri Jeshi Mkuu Mheshimiwa Rais Samia ameshatoa Maelekezo kwa kila nyaja za Sekta za Umma na Sekta Binafsi🇹🇿🇹🇿
Mhe Raisi hongera kwa kitendo cha mara ya kwanza cha kihistoria cha mawaziri kuwaapisha kwenye ardhi ya Zanzibar ambao ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tannzania. Umewaonesha maana halisi ya Muungano. Sasa umefika wakati wa kuwa na majengo ya Ikulu ya Raisi wa Jamhuri na Makamu wake hapa Zanzibar pamoja na Ofisi za taasisi zote za Muungano hapa katika ardhi ya Zanzibar.
Jerry slaa jimbo lako la ukonga bado hujafanya lolote kabisa hebu angalia nyuma bila sisi kukupa ubunge sidhani kama huo uwaziri ungepata angalia barabara za jimbo la ukonga zina hali mbaya sana moshi bar kwa diwani na mkolemba ni vumbi tu wakati wa mvua ni tatizo sana muogope mungu bwana mdogo
Mama ukitoka huko iyangalie jangwani kwajicho la hulima tuna dhulumiwa valuweshen niya kuumiza wananchi hata alidh atukupewa hata kidogo tunajiulizA kweli rais wetu unayajuwa hayo tunayo fanyiwa ndivyo kule ulivyo watuma watunyonga mama
Kundi lote Hilo limesafiri kwenda kuapa gharama kiasi gani shughuli mpaka kukamilika. WAKATI HUU WASTAAFU HAWAKUMBUKWI KUWAONGEZA JAPO KIDOGO WAKAJIKIMU LAKINI MAPESA KAMA SHUGHULI HII NI KIASI GANI? Tuwe wakweli hili ni kundi liloitumikia Nchi hii kwa weledi wako watu wa kawaida wako mabalozi ni kundi la ngazi mbalimbali
Pia ukaondoe utapeli tuliofanyiwa wa kurasmisha makaazi kwa kweli tumekua tukiibiwa kila wakati Jerry Slaa hii ni lako pia kama waziri wa ardhi tumeibiwa sana mkuu
ni utaliii tu unavuruga hapa unahamiswa hapa sioni hapa kama kuna tija uko maliasili mbona ndio vilio sizan kama kutakuwa na tija kwa watu wale wale nilitegemea mashine za kizarendo zaidi
Kuwa mzalendo kwa Nchi yetu Tanzania na tuendelee kumuunga mkono Mheshimiwa Rais Samia katika Uwekezaji wa Maendeleo Nchini. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendelee🇹🇿🇹🇿
Kuwa na akili japo kidogo lazma mtu ale kiapo Kwa mujibu wa Imani yake lkn huwezi tumia misikiti au makanisa kuhubiri mambo ya siasa usichanganye mambo
Mama mh/Dr SAMIA suluhu hassan hongera sana Safu yako ipo vizuri sana/ Simba sC hoyeeeeee
HONGERA SANA MH RAISI.TUNAENDELEA KUKUOMBEA KWA MWENYEZI MUNGU.
Mwaka 1920? Hongera sana
Hongera sana mama kwa kuzingatia vijana ndio nguvu ya taifa hili uko vizur mama kazi iendelee piga kazi mama
hongera mama naona umezingatia vijana zaidi safi sana kwa kutuondolea wazee wanaolala bungeni tu
Hongereni sana mawaziri na manaibu mpo vizuri! Ila tu jitahidi kufanya mazoezi na Kazi Iendeleee! Bashungwa hoyeeeee!
Woow am happy mchengelwa oyeeee❤❤
Nasemaje nasemaje kazi iendelee
Kila la kheri🎉
Dr Mpango ni hazina kwa nchi
Asanta raise
Lakini zaidi msiache Sala na dua na bila kusahau kumshukru Mwenyezi Mungu kwa wema na fadhiri bila kusahau sadaka za shukrani( Biblia,kitabu cha kumbukumbu la torati sura ya 16 mstari 16-17)
Baraza Jipya la Mawaziri la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendelee ili kutupa Watanzania Maendeleo ya Kimkakati ambayo Amiri Jeshi Mkuu Mheshimiwa Rais Samia ameshatoa Maelekezo kwa kila nyaja za Sekta za Umma na Sekta Binafsi🇹🇿🇹🇿
SAF SANA MAM
Hili tukio LA kihistoria! Ikulu ndogo Tunguu! Tukio LA kuapishwa mawaziri kufanyika nje ya Tanganyika! Hii iwe kuelekea muungano was serikali moja
Serkali ni 1 ifikapo 2027
Kikubwa ni Umoja na ushirikiano( Bibliakitabu cha Zaburi ya 133:1-3)
Mhe Raisi hongera kwa kitendo cha mara ya kwanza cha kihistoria cha mawaziri kuwaapisha kwenye ardhi ya Zanzibar ambao ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tannzania. Umewaonesha maana halisi ya Muungano. Sasa umefika wakati wa kuwa na majengo ya Ikulu ya Raisi wa Jamhuri na Makamu wake hapa Zanzibar pamoja na Ofisi za taasisi zote za Muungano hapa katika ardhi ya Zanzibar.
Kazi iendelee
Nchi ya wanafiki sana hii, yani wanafiki na rahisi anafanya kama anavyotaka. Hivi unaunganishaje viongozi wa pande mbili?
Zanzibar haina hadhi 😢
Jerry slaa jimbo lako la ukonga bado hujafanya lolote kabisa hebu angalia nyuma bila sisi kukupa ubunge sidhani kama huo uwaziri ungepata angalia barabara za jimbo la ukonga zina hali mbaya sana moshi bar kwa diwani na mkolemba ni vumbi tu wakati wa mvua ni tatizo sana muogope mungu bwana mdogo
Ni kweli mh makamu wa Rais philipo mpango umeongea point kubwa! Hiyo ni team ya mpira! Ardhi kuna changamoto!
Maneno kidogo kazi mingi .
Mama ukitoka huko iyangalie jangwani kwajicho la hulima tuna dhulumiwa valuweshen niya kuumiza wananchi hata alidh atukupewa hata kidogo tunajiulizA kweli rais wetu unayajuwa hayo tunayo fanyiwa ndivyo kule ulivyo watuma watunyonga mama
hapo kwenye siri ya baraza la mawaziri ndio shida ilipo
Kundi lote Hilo limesafiri kwenda kuapa gharama kiasi gani shughuli mpaka kukamilika. WAKATI HUU WASTAAFU HAWAKUMBUKWI KUWAONGEZA JAPO KIDOGO WAKAJIKIMU LAKINI MAPESA KAMA SHUGHULI HII NI KIASI GANI? Tuwe wakweli hili ni kundi liloitumikia Nchi hii kwa weledi wako watu wa kawaida wako mabalozi ni kundi la ngazi mbalimbali
Hamna kitu we mother' mwizi tu unauza bandali duh unaloho ngumu
Pia ukaondoe utapeli tuliofanyiwa wa kurasmisha makaazi kwa kweli tumekua tukiibiwa kila wakati Jerry Slaa hii ni lako pia kama waziri wa ardhi tumeibiwa sana mkuu
ni utaliii tu unavuruga hapa unahamiswa hapa sioni hapa kama kuna tija uko maliasili mbona ndio vilio sizan kama kutakuwa na tija kwa watu wale wale nilitegemea mashine za kizarendo zaidi
Upole ni ujinga vibaya mno
1920😂
BITEKO HOYEEE
nilikuwa najua leo wataapa kwa kushika matumbo yao, kwani bible na msaafu ni ya udini. Mwana siasa mmoja alisema siasa na dini visichanganywe.
Kuwa mzalendo kwa Nchi yetu Tanzania na tuendelee kumuunga mkono Mheshimiwa Rais Samia katika Uwekezaji wa Maendeleo Nchini. Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendelee🇹🇿🇹🇿
Kuwa na akili japo kidogo lazma mtu ale kiapo Kwa mujibu wa Imani yake lkn huwezi tumia misikiti au makanisa kuhubiri mambo ya siasa usichanganye mambo
Jagueni wabuge wazuri
Halafu eti dini na siasa visichanganywe.
Wanasiasa wanaoongea hivyo wapuuzeni