BABA wa 'TUNDA' AFUNGUKA SABABU ZA KUJICHIMBIA KABURI - "MKE au MTOTO WANGU AKIFA HATAZIKWA HAPA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 139

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 2 ปีที่แล้ว +30

    Baba tunda ANAJIELEWA 🙌Mungu akupe mwsho mwema.ktk hii Dunia kuna baadhi ya bnadam wanaishi wanamsahau MUNGU na wanajisahau kana kwamba wamejiumbaa.

  • @neemaruben5427
    @neemaruben5427 2 ปีที่แล้ว +9

    Safi sana baba yangu Mungu akupe mwisho mwema umejiandalia makazi mazuriii hiili Ni fundishoo jmn kila mtu atabeba msalaba wake

  • @IssaKhamis-v9y
    @IssaKhamis-v9y 9 หลายเดือนก่อน +1

    Sabasita nakukumbuka mwalim Wangu nilisafisha mauwa na kumwagilia maji nyumban kwako ukanipa 1000

  • @pichunakichuna2111
    @pichunakichuna2111 2 ปีที่แล้ว +10

    Nivizuri kujitayarishia mapumzike yako ya mwisho, nimekuelewa sana baba

  • @daudiakwabi128
    @daudiakwabi128 2 ปีที่แล้ว +6

    Mimi nakuunga mkono asili mia moja, sasa nakushauri utengeneze jeneza au sanduku lako kwa muundo unaokupendeza ndio uwe umekamilisha mipango yako ya kuzikwa. Big up...

  • @azizahamisi7349
    @azizahamisi7349 2 ปีที่แล้ว +4

    Baba tunda ww ndeo unae itaji pepo unajua kuna mwisho allah akupe umri mrefu na akujalie mwisho mwema inshallah Ameen

    • @ahmadsayyeed7910
      @ahmadsayyeed7910 2 ปีที่แล้ว

      Muombe mungu amjalie abadili dini ndio umtakie jannah mtu ambae sio muislam hautikiwi kumtakia dua baada ya kufa kwake ila samahani

    • @itihamuzahoro6467
      @itihamuzahoro6467 2 ปีที่แล้ว

      Jmn jmn binadamu wote ni sawa hao wakirist pia wanamuabud mwnyz mungu mwenyexi mungu ni wetu zsoteee wote tunaingia peponi sio mkiristo sio mwislam Allah ni wetu soteeeeeeee

    • @ahmadsayyeed7910
      @ahmadsayyeed7910 2 ปีที่แล้ว

      Sio kweli unachokiamini wewe wao hawakiamini naomba hii iwe replyng ya mwisho kukujibu

    • @himnasalum2424
      @himnasalum2424 2 ปีที่แล้ว

      @@itihamuzahoro6467 kasome dini yako vizur wewe kama umislam inaonesha hujasoma ata alif na bee mungu katuumba alafu alaf katuletea system ya kuishi na jins ya kumuabudu Dini ya haki ni 1 na mungu ndo anayooikubali.upo utofaut mkubwa ibada ya wakiristo na waislam.

  • @elizaboster9479
    @elizaboster9479 ปีที่แล้ว

    Sahihi mzee mia kwa mia

  • @prettyh7509
    @prettyh7509 2 ปีที่แล้ว +11

    Siyo ajabu hakika kufa ni lazima wala sio bahati mbaya lakini tunachoomba ni mwisho mwema na kujiandalia kaburi nadhani ni kutoa sana swadaqa kuepukana na machafu na kulea wototo vyema Ili tuache watoto wema wenyew maadili

  • @joycemashikolo9096
    @joycemashikolo9096 2 ปีที่แล้ว +16

    Umeshiba pesa tu.kuna waliokufa ata miili yao haijulikani ipo wapi ndugu wazike

  • @adammjomba7112
    @adammjomba7112 2 ปีที่แล้ว +4

    Kinacho kufa ni mwili sio roho sasa umeandalia pumziko la mwili lakini umesahau kuandalia pumziko nzuri la roho hauja chelewa. YESU anakuita

    • @nicahanthony2945
      @nicahanthony2945 2 ปีที่แล้ว

      Unajuaje kama hajaandaa pumziko la kiroho ? Umekuwa hakimu chief

  • @HalimaHalima-id2cb
    @HalimaHalima-id2cb 2 ปีที่แล้ว

    Babu wake na lola😘😘😘😘

  • @driftdumper8927
    @driftdumper8927 2 ปีที่แล้ว +19

    Baada ya kumsikiliza nimemuelewa vzr sana!

  • @fatumakimaro4328
    @fatumakimaro4328 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akupe mwisho mwema

  • @judyngowi391
    @judyngowi391 2 ปีที่แล้ว

    Nimekuelewa vizuri sana Afande

  • @PatrickPazza-kr3vm
    @PatrickPazza-kr3vm ปีที่แล้ว

    Binafsi mungu akinipa pesa na maisha mazuri zaidi hili lazima nije nilifanye kabisa tena siwez kusubiri mpk nifike uzeen hatakama Nina Miaka 45 m najenga maana ukifa bhn tunazikwa hovyo sana bhn so sio pow kabisa

  • @sharmelasaif47
    @sharmelasaif47 2 ปีที่แล้ว +1

    Honger baba nanikweli kufa kupo wengine wanajiandalia sanda wanapunguza gharama za wanunuaji wa sanda wewe umewapunguzia gharama yakabur

  • @petronillamnyambi7607
    @petronillamnyambi7607 2 ปีที่แล้ว +3

    Tanzania tuko nyumba ulaya kawaida sana tena mungu akubariki umejiandalia makao yako. Ulaya wanajenga kaburi la famiglia kila moja hakuna tatizo baba ubarikiwe

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 2 ปีที่แล้ว +7

    Mzee apo umechemka maandalizi mazuri nimatendo mematu.naunaonesha unaogopa kufa balaa kaburi fupiivyo siutanukaapo utoe harufu🤔

  • @njoroboihustla125
    @njoroboihustla125 2 ปีที่แล้ว +4

    Kuishi kwa kutambua kufa kupo ni vzurii sana

  • @jescajulius8023
    @jescajulius8023 2 ปีที่แล้ว +6

    Nyie VP mbn mnairudia au mlivojua ni baba tunda,mkaona mmuweke na tunda hapo juu ili tuisikilize.

  • @glorynguma3593
    @glorynguma3593 2 ปีที่แล้ว +10

    Anda Moyo wako ili utakapo pumzika uende mahali salama na sio kaburi ukifa utazikwa Sawa he wapi roho yako itapumzuka umejuandaa vzuri??

  • @mariethajohn5637
    @mariethajohn5637 2 ปีที่แล้ว +8

    sawa pesa ipo hakuna njaa ni vema kufanya hivyo,lakini tambua kuwa Mungu hapangiwi kazi unaweza kufa kifo cha ajabu mfano kuliwa na wanyama au kusombwa na maji au ajali ya kuungua moto,kutekwa na wasiojulikana.

  • @allahakujazekheriwowww5694
    @allahakujazekheriwowww5694 2 ปีที่แล้ว +1

    Nikweli

  • @mayroseclemence99
    @mayroseclemence99 2 ปีที่แล้ว +6

    Kwa mfano ukifa kifo cha maji ukasombwa na maji afu mwili usionekane co itakuaje ilo kabur

    • @binhussain3445
      @binhussain3445 2 ปีที่แล้ว +1

      Hapo Chachaa

    • @pendomwita3136
      @pendomwita3136 2 ปีที่แล้ว

      Itakuwa linaachwa hvyohvyo wana assume tu alzkwa hapo

  • @christianndegeya8473
    @christianndegeya8473 2 ปีที่แล้ว

    Nafurahi kumuona tena mwalimu wangu 76 naomba ikiwezekana nipate number yake,

  • @husnamahadhi7437
    @husnamahadhi7437 2 ปีที่แล้ว +1

    Sasa atajua anakufaje? Wngb wanapotelea kwny maji huko haya Mungu atujaalie mwisho mwema

  • @claramboya2018
    @claramboya2018 2 ปีที่แล้ว +4

    Jmn kwa tz ni kitu cha ajabu,ila kwa wenzetu wa nje ilo ni jambo la kawaida kbs,tena unakuta familia nzima wanyenga kbr moja kwa ajili ya familia, nikimaanisha yanakuwa makaburi ya gorofa,so hiyo ni kitu cha kawaida kbs

  • @felixhaule7071
    @felixhaule7071 2 ปีที่แล้ว +4

    SABA SITA,nimekumbuka Depo mwaka 1998,ilikuwa moto sana🤣

  • @tatumussa6813
    @tatumussa6813 2 ปีที่แล้ว

    Ni vzr Baba

  • @ilovemusic9594
    @ilovemusic9594 2 ปีที่แล้ว +1

    Sasa ikitokea amekufa na kipindupindu?.maana nasikia wanazikaga na manespaa sijui site mwili awapewi familia itakuaje jamani?

  • @saimoniyona6835
    @saimoniyona6835 2 ปีที่แล้ว

    Baba onger ata mm Simon masai nitachimba💯

  • @pichunakichuna2111
    @pichunakichuna2111 2 ปีที่แล้ว +2

    Kenya matajiri wengi wanajtegenezea makaburi yao na saduku pia nizuri kujua nyumba yako ya mwisho funzo kwa watu mugu akujalie afya njema na maisha marefu baba

    • @bintykigan9285
      @bintykigan9285 2 ปีที่แล้ว

      Nikweli kbs ata ss waislam tunaruhusiwa kujinunulia sanda cz anytime kifo twatembea nacho

  • @salhamrisho8138
    @salhamrisho8138 2 ปีที่แล้ว +7

    Baba tundaaaa saba sita tunakukumbuka morogoro

    • @pastorysent6586
      @pastorysent6586 2 ปีที่แล้ว

      Unakumbuka tukio alilowahi kufanya mwaka 2010?

  • @fatmamunde5543
    @fatmamunde5543 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu kwasasa ameshika Tama""!
    Kama aliumba mauti ili yawe ni kitisho na mazingatio kwa mwanadamu"
    Sasa hakuna hofu wala woga
    Tuna andaa makabur kabisaaa! Duh!!!

    • @abdallahyusuph4000
      @abdallahyusuph4000 2 ปีที่แล้ว +2

      ukisema mungu anshika tama unakufuru dada angu hapo ushamuweka mungu kwenye umbile fulani kwamb ana mikono ana mashavu pls jitafakari

    • @fatmamunde5543
      @fatmamunde5543 2 ปีที่แล้ว

      @@abdallahyusuph4000
      Astagh'firullah
      Kwani nenohili kalitumia msanii mmoja wabongo movie"
      Nawatoto wetu wanaiga"
      Imekuwa vizur ndugu Mimi nawewe tushauriane tufanyeje kwahiyo movie? Je! Waijua?

  • @Gift-cx1uo
    @Gift-cx1uo 2 ปีที่แล้ว +7

    Umeshiba pesa baba kifo n fumbo ukiliwa na mamba je au ukipotea usijulikane mwili wako ulipo tulia kifo kipo muda wako ukifika utazikwa tu mbona unaharaka

    • @TALLUBOY
      @TALLUBOY 2 ปีที่แล้ว +2

      Wakristo hawa wajinga SIKU ZOTE
      KUNA KULIWA NA MAMBA
      KULIWA NA SIMBA KUFA NA MAJI
      NA DOLLIA VAIBA POLICE
      WASIKUONE MYAKA YOOTE
      AZIPO KABISA UYU MZEE

    • @chazimunishi3339
      @chazimunishi3339 2 ปีที่แล้ว

      Prent

  • @aishaamwalimu2887
    @aishaamwalimu2887 2 ปีที่แล้ว

    Kawaida tu, mimi mama mkuu wangu kajitunzia ndani Sanda na mkeka wake mwenyewe.

  • @ip_header
    @ip_header 2 ปีที่แล้ว +5

    Kwasababu anauhakika kifo kipo, Nibora angejikita katika kufanya mema na kusaidia wenye mahitaji iliiwe akiba yake baada ya kufa...

    • @salma-fc4xc
      @salma-fc4xc 2 ปีที่แล้ว

      Kabisa na kufanya ibada

    • @judyngowi391
      @judyngowi391 2 ปีที่แล้ว +3

      Kwani mna uhakika gani kama hafanyi mema

  • @nurumustafa445
    @nurumustafa445 2 ปีที่แล้ว +1

    SAW

  • @princeyabili789
    @princeyabili789 2 ปีที่แล้ว +4

    Where is the storybook we miss it so much

  • @waheedahtanzania4912
    @waheedahtanzania4912 2 ปีที่แล้ว +3

    Sasa mkwapi wasafi TV mbona mitambo inachelewa kuisukuma khabari faster ili tuisikilize?sasa mie nalala 😒

  • @benjaminkapelah7664
    @benjaminkapelah7664 2 ปีที่แล้ว +1

    Vipi ukiliwa na Simba ??

  • @khaylatmwinyi8675
    @khaylatmwinyi8675 2 ปีที่แล้ว +1

    Je ukiliwa na samaki .....

  • @gerioathumani9084
    @gerioathumani9084 2 ปีที่แล้ว +1

    nisawatu mzee kwani mbona majeneza ya nauzwatu kiholela kwanini tushangae kaburi nisawatu mzee wangu

  • @latifakilimo6514
    @latifakilimo6514 2 ปีที่แล้ว

    Mungu nawtu wake wanamambo

  • @charitybaya3863
    @charitybaya3863 2 ปีที่แล้ว

    Hii ni kawaida Europe hata mm nitajinunulia kaburi langu

  • @hollymore4904
    @hollymore4904 2 ปีที่แล้ว +1

    Pesa bhana!! Sawa tuu

  • @jacklinemoshi5146
    @jacklinemoshi5146 2 ปีที่แล้ว

    Wale wa morogoro mnamkumbuka Huyu askari 7-6???baba ulijua kuwatetemesha watu wa morogoro kiukweli

  • @twiseghekisilu8845
    @twiseghekisilu8845 2 ปีที่แล้ว +1

    Huku Mbeya wanaajenga tu semaa Ni vile hawawaiti waandishi wa habari,Kuna baba kajenga makaburi Tisa kwa familia,Safi tu Kama akiliwa na mamba itafahamika

  • @bwittozmjomba7019
    @bwittozmjomba7019 2 ปีที่แล้ว

    Ilo nijambo la kawaida sana kujitengenezea kaburi lako Ata kunilipo kuna wazungu kibao wanafanya ivyo Ata mm NITAFANYa ivyo

  • @queenandchill91
    @queenandchill91 2 ปีที่แล้ว

    Sioni cha ajabu alichokifanya...Ni jambo jema sana ....Hajaongelea atakufaje ila ameandaa nyumba yake ya milele...Hajakupangia ufanye uwe na pesa au hauna kama unaona anachezea hela basi na wewe chezea za kwako kwa sababu mwisho wa siku wote tutarudi kwa udongo.

  • @mussaagrey5679
    @mussaagrey5679 2 ปีที่แล้ว

    Ila jinsi ulivyojenga mpaka utatamani kufa faster,,

  • @duniawadunia4824
    @duniawadunia4824 2 ปีที่แล้ว

    Mzee Anajielewa sana

  • @nassorhamad5225
    @nassorhamad5225 2 ปีที่แล้ว +1

    Toka kwenye ukrosto uje kwenye uislam ili ufe ukiwa kwenye hakki na sio ufe kafir bila ivo juu tails ndanimoto

  • @magrethyeremia2279
    @magrethyeremia2279 2 ปีที่แล้ว

    Hiyo pesaa ungefangia matendo ya huruma kwa kuwasaidia hata yatima na wote wasiojiweza ungepata baraka saaana Baba.

    • @nicahanthony2945
      @nicahanthony2945 2 ปีที่แล้ว

      Unajuaje kama hawasaidii wasiojiweza ? Dont judge

  • @asdfhdv9230
    @asdfhdv9230 2 ปีที่แล้ว

    jo sas ujenge uwani hummmmmm shida iyo

  • @magrethyeremia2279
    @magrethyeremia2279 2 ปีที่แล้ว +1

    Tujiandae mioyo yetu hayo mengine hayana maana kabisaaaa

  • @Chemba67
    @Chemba67 2 ปีที่แล้ว +1

    NIMEGUNDUA KUA HUYU MZEE HATAKI KUFUKIWA NA TANI KADHAA ZA MCHANGA, HATAKI KWENDA CHINI FUTI SITA.......

  • @jorgettemwajuma5428
    @jorgettemwajuma5428 2 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @petronillamnyambi7607
    @petronillamnyambi7607 2 ปีที่แล้ว +1

    Ulaya ni kawaida kujenga kaburi jamani mwaheni kajiandalia nyumba yake ya milele

  • @mayungampanduzimo9533
    @mayungampanduzimo9533 2 ปีที่แล้ว

    unaweza ukachimbia kaburi lako alafu ukafa umezwa na na simba, chatu au wanyama wakali wa mwituni na maiti yako isionekane kamwe so wacha kazi ya mungu itimie , kwani ulipangalo na mungu hupanga yake mzee

    • @PatrickPazza-kr3vm
      @PatrickPazza-kr3vm ปีที่แล้ว

      Watazika hata nguo zako tu swala n wewe upo humo,

  • @peternyambui7492
    @peternyambui7492 2 ปีที่แล้ว

    Safi

  • @afrayo04
    @afrayo04 2 ปีที่แล้ว

    Nimempenda tuige hii kitu jamani

  • @carenalphonce5013
    @carenalphonce5013 2 ปีที่แล้ว

    Ni kweli ni baba tunda au

  • @antoniamanikana7663
    @antoniamanikana7663 2 ปีที่แล้ว

    Ukiwa na afya ni miaka sabin mkama mwenye nguvu ni miaka themanini zaidi ya hapo ni huruma yake Mungu

  • @mapenzishindoshindo4939
    @mapenzishindoshindo4939 2 ปีที่แล้ว

    Wajengee kina tunda nao..mzee unge jenga kaburi 4 🤣🤣🤣🤣

  • @jaklinifaustini4259
    @jaklinifaustini4259 2 ปีที่แล้ว

    Vizur baba kujiandaa

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 2 ปีที่แล้ว

    Asante BABA kwa ushauli

  • @husnamahadhi7437
    @husnamahadhi7437 2 ปีที่แล้ว

    Au ashajua mwenzetu atakutwa na kifo kipi

  • @wemayisambi277
    @wemayisambi277 2 ปีที่แล้ว +2

    Lahaa ya milele umpe eee bwana na mwanga wa milele umuangazie apumnzike Kwa Aman 🤪🤪🤪🤪🤪

  • @loveworld6070
    @loveworld6070 2 ปีที่แล้ว

    Baba kaona mbali

  • @abdallahselemani677
    @abdallahselemani677 2 ปีที่แล้ว

    Upo sasahii

  • @rayambarouk9972
    @rayambarouk9972 2 ปีที่แล้ว +1

    Jaamaa hatak kutupwa mwitun nahatak kukaa mbali na mjengo wake lkn kaburi zuri linatengenezwa na amali zako

    • @yasminiibwende5221
      @yasminiibwende5221 2 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisaa tujiandae kwa kutekeleza maamrisho na kuacha makatazo yake Allah

  • @bakariyusufujuma
    @bakariyusufujuma 2 ปีที่แล้ว +3

    Lipia chakula na vinywaji umalize kesi

    • @golder3410
      @golder3410 2 ปีที่แล้ว

      😅😅😅😅😅

  • @kambiyusufu7709
    @kambiyusufu7709 2 ปีที่แล้ว +1

    Sasa apo ukifa juu yandege mfano imelipuka atazikwa Nani Apo duu

  • @iflamussa1110
    @iflamussa1110 2 ปีที่แล้ว

    Mbosho ipi

  • @mariethajohn5637
    @mariethajohn5637 2 ปีที่แล้ว +1

    sasa mjengee na mkeo usijipendelee

  • @jumamathias8903
    @jumamathias8903 2 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa morogoro wanamfahamu vzr story zake had Leo zipo

  • @Kidotii
    @Kidotii 2 ปีที่แล้ว

    Uko sawa mzee Kifo ni lazima kuishi ni Kristo

  • @suhailaomari2493
    @suhailaomari2493 2 ปีที่แล้ว

    Kumbe ni baba wa tunda

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 2 ปีที่แล้ว

    Ni ukweri kabisa usemalo baba Tunda. Kabisa miii pia napenda hivyo

  • @khatibabass3106
    @khatibabass3106 2 ปีที่แล้ว +3

    Ajabu nihivyo viti ulivyoweka kana kwamba utakufa kesho

  • @godfreywilliam5810
    @godfreywilliam5810 2 ปีที่แล้ว

    Unaichulia family

  • @bonylove6192
    @bonylove6192 2 ปีที่แล้ว

    7 6 police mkatili sana umelogwa kuanda kaburi lako

  • @lucynelsonmungure1719
    @lucynelsonmungure1719 2 ปีที่แล้ว

    Ni baba wa tunda kumbe

  • @drdavidomuswahiliofficiel8645
    @drdavidomuswahiliofficiel8645 2 ปีที่แล้ว

    😂😂 Diamond platnumz apongeza mui ngizaji toka Cogo ebu bonyeza hapa shini upate kumujua😂😂😂👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
    th-cam.com/video/WbGSs1CFdeQ/w-d-xo.html

  • @babalao910
    @babalao910 2 ปีที่แล้ว

    Uwe unafanya mazoezi ya KULALA huko ndani.

  • @abisinamustafa3118
    @abisinamustafa3118 2 ปีที่แล้ว

    Baba anajielewa huyu daaa.

  • @uwezoamani2236
    @uwezoamani2236 2 ปีที่แล้ว

    Muangalien huyu mze asije akajiuwa wana sekolojia mchunguzen vizuli majiniaji wengi wanaongoza kujiuwa mnamuona anaongea pointi kumbe ndaniyake anasumbuliwa namitihan yadunia

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 2 ปีที่แล้ว

    Saba sita? Huyu jamaa nilianza kumsikia miaka ya 95. Alivuma kwelikweli 🤣🤣

    • @cathbertkilingo4472
      @cathbertkilingo4472 2 ปีที่แล้ว +1

      Jamaa alikuwa hatari sana wahuni wa morogoro wa.kipindi hicho wanamjua

    • @shakilamasoud2983
      @shakilamasoud2983 2 ปีที่แล้ว

      @@cathbertkilingo4472 aliwika mnoo

  • @jasitinimkombozi1607
    @jasitinimkombozi1607 2 ปีที่แล้ว +1

    Ama kweli kuna wazee waekima sio kama baba zetu wasasa

  • @dativadaud4300
    @dativadaud4300 2 ปีที่แล้ว

    Maandiko ni miaka 120,husiwai

  • @pastorysent6586
    @pastorysent6586 2 ปีที่แล้ว

    Mwaka 2010

  • @sirielinnko5691
    @sirielinnko5691 2 ปีที่แล้ว

    Kile unacho kiamini kitakuwa ,uzima na mauti vipo mdomoni mwako

  • @johasaeed391
    @johasaeed391 2 ปีที่แล้ว +2

    Sitaki kunyeshewa hapo kanichekesha hahaha hajuwi mungu ni shujaa

  • @kiri5807
    @kiri5807 2 ปีที่แล้ว +1

    Inaonekana huyu mzee freemason washampa deadline yake asituzingue .

  • @shaacollection801
    @shaacollection801 2 ปีที่แล้ว

    Ukitambua kifo kipo ni jambo zuri kuokoa gharama kwa family hata .Mimi natamani nifanye hivyo

  • @msongamwinyi2877
    @msongamwinyi2877 2 ปีที่แล้ว

    Namjuwa uyu mwamba saba sita dah enzi zake pale morogoro duuh alikuwa ukisikia tuu jina lake lazima upagawe kuna siku moja nakumbuka tulikuwa tunafanya vulugu na mapikipiki aliwahi kututolea bastola live bila chenga ana haki yakujitengenezea kabuli kwa histori yake MUNGU AWE NAWE 7 6

  • @hassaniothmani8549
    @hassaniothmani8549 2 ปีที่แล้ว +2

    Kabuli lenyewe baya 🤣😭😭😭