NYUMBANI Kwa TUNDA: MAISHA ya KIFAHARI ANAYOISHI, KODI MIL. 2+ Kwa MWEZI "MCHUMBA Wangu ANALIPA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 มิ.ย. 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 41

  • @user-rt8ff3dm2o
    @user-rt8ff3dm2o 13 วันที่ผ่านมา +14

    Tunda anakaa dem flani amazing so cute and seems anaupendo fiti sbb she seems innocent even though am sure not

  • @marthahozza2964
    @marthahozza2964 12 วันที่ผ่านมา +7

    Huyu mdad mtangazaji kwakweli mh utazan anashare bwana na tunda yan haongei kama mtangazaj anaongea kama bif bif

  • @Juke995
    @Juke995 3 วันที่ผ่านมา +2

    Mtangazaji sura kama kameza hamira ila Wabongo bhana yani chuki tu 😂utazan tunda toka wamjue alishawah hata waomba chumvi hebu muachen binti wa watu hajawah hata mkwaza mtu ni binti mzuri sana

  • @maureenlilykiwia1515
    @maureenlilykiwia1515 วันที่ผ่านมา +1

    Tanzania ni nchi ya kwanza duniani ina watu wachache wanaoshabikia mtu kupanga nyumba na kulipa bei kubwa ili hali hana hata uwanja wa kujenga kibands ifike mahali vijana mnaokuwa mtoke katika ujinga huu na kuwa na kiu ya kumiliki nyumba zenu wenyewe. Hakuna ujanja kupanga majumba ya kifahari huku huna chanzo cha pesa ambacho kiko stable

  • @BongoPlatformTv
    @BongoPlatformTv 13 วันที่ผ่านมา +6

    Na vikiumwa vinaomba msaada afuu nyumba m 2.

  • @aurorahmo3702
    @aurorahmo3702 10 วันที่ผ่านมา +2

    Tunda mpole hadi raha

  • @martialartsskillsaroundwor3571
    @martialartsskillsaroundwor3571 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tunda co Demi n mama kweli n mzuri lkn thamani yake imepungua maana n mzazi tyr mkumbuke hilo vijana

  • @Juli-ep9dn
    @Juli-ep9dn 2 วันที่ผ่านมา

    Alafu akija kuumwa tumchangie

  • @azizawaziri1507
    @azizawaziri1507 วันที่ผ่านมา

    Milioni mbili nikizidisha kwa mwaka daahhhh ngoja ninyaze

  • @user-qs7lj7kj1k
    @user-qs7lj7kj1k 13 วันที่ผ่านมา +2

    Na tundaro vp sio mupenzi wake??

  • @mrokay1time958
    @mrokay1time958 6 วันที่ผ่านมา

    Poooleeee saaaana tunda ni mdada mzurii saaana ila tunajuaa maumivu ulio nayoo poleee Mungu atakulipiaa tuuuu

  • @user-fz1kh9in2c
    @user-fz1kh9in2c 13 วันที่ผ่านมา +11

    Huyu dada mtangazaji mbona anakosoa kazi ni kutangaza au kukosoa watu mchaga mbadilisheni atawagombanisha na watu

  • @EmmyLaulent
    @EmmyLaulent 11 วันที่ผ่านมา +2

    Mbona mnakimbilia ushaur wa kumwambia ajenge...kila mtu anamaamuzi yake na kipaumbele chake

    • @gloryjimson9831
      @gloryjimson9831 7 วันที่ผ่านมา

      Ukiacha hivo tunda kwao mawe yapo yaani babaake ana hela so sio kapuku wapunguze ushauri

  • @lunangabenjamin3121
    @lunangabenjamin3121 5 วันที่ผ่านมา

    Nyinyi acheni uongo kwa mshaara gani anao lipwa ndaro wakuwa nauwezo wakumlipiya jengo la milioni2 labda wasaidiyane.

  • @estherkimario7940
    @estherkimario7940 8 วันที่ผ่านมา

    Mmmmmmmh mil 2 sasa c akujengee jaman

  • @judithtitomalyeta4000
    @judithtitomalyeta4000 12 วันที่ผ่านมา +1

    Milioni 2 kubwa sana jenga jamani maisha yanabadilika

  • @dynessjames8563
    @dynessjames8563 3 วันที่ผ่านมา

    Huyu dada mtangazaji ana shida na tunda huyo hate kabsa

  • @D4BADBOY
    @D4BADBOY 13 วันที่ผ่านมา +3

    Ko uyo mchumba ndo ndaro auu😂😂

  • @ELIASBLUETICK711
    @ELIASBLUETICK711 12 วันที่ผ่านมา

    I have something to say but I don't trust my English

  • @godlema6104
    @godlema6104 7 วันที่ผ่านมา

    Ukiwa msanii lazima uvae sweta au makoti makubwa

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 7 วันที่ผ่านมา

    Mbona mpole

  • @funnymohammed1494
    @funnymohammed1494 13 วันที่ผ่านมา

    Kwanini hio Hela asijenge nyumba ya kwake

  • @PrinceBonnyTz8
    @PrinceBonnyTz8 12 วันที่ผ่านมา +1

    😂😂 milion 2 kwa mwezi na yupo mtu hata laki hapati kwa mwezi awa watu Wana fake LYFE makenge

  • @bellrajkachafuo7813
    @bellrajkachafuo7813 13 วันที่ผ่านมา +3

    Jenga yko sio issue zakupnga

    • @melanialeonard4031
      @melanialeonard4031 13 วันที่ผ่านมา +2

      Anajenga kwa ela ipi sasa? Hawa uwaone tu lkwenye mitandao maisha ya kawaida ni MUNGU atatenda kwa wakati wake

    • @user-hm3qm2nf1v
      @user-hm3qm2nf1v 12 วันที่ผ่านมา

      Kwani huyu dada anafanya kazi gani ?😮😮😮😮

  • @PrincessRaya-kd7is
    @PrincessRaya-kd7is 9 วันที่ผ่านมา

    Mnaocomment ajenge nyie vipi si mnapanga au

  • @jantsjefta8381
    @jantsjefta8381 วันที่ผ่านมา

    Nikajua nyumba yake kumbe kapanga

  • @Chettymlambalipsi-lb9km
    @Chettymlambalipsi-lb9km 5 วันที่ผ่านมา

    Wabongo wapuuzi sana badala ya kujiwekeza kwa bima ya afya mnaendekeza starehe kwani angekaa chumba cha 30000

  • @PanyaBuku-qo7tu
    @PanyaBuku-qo7tu 9 วันที่ผ่านมา

    Uchafu mtupu ushamba mtupu pumbaaaf wakubwa

  • @vicentmapunda3146
    @vicentmapunda3146 13 วันที่ผ่านมา +2

    Capuchinoo😅

  • @FrankDavid-en6on
    @FrankDavid-en6on 13 วันที่ผ่านมา +5

    Kumbe amepanga huyu nae ataisha kama wematu