MZEE WA MIAKA103 AJICHIMBIA KABURI ARUSHA, ATOA LAANA KWA WATAKAOZUIA ASIZIKWE HAPO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 79

  • @zazazawadi7270
    @zazazawadi7270 2 ปีที่แล้ว +1

    Mzee iko vizuri sanaaa mpaka sasa mke wake amekwisha fariki anasema malikiya wangu mashaallah

  • @edsongamuga1814
    @edsongamuga1814 2 ปีที่แล้ว +12

    Mzee Yuko sawa!hyo ndio nyumba yake ya milele.🙏

  • @neemazee1864
    @neemazee1864 2 ปีที่แล้ว +8

    Mzee upo sawa xna ingawa w2 watakuchukulia tofauti,....

  • @kisalaTV
    @kisalaTV 2 ปีที่แล้ว +15

    Babu anamwili mzuri 103 lakini bado anaonekana ananguvu kabisa

  • @oscarkasalile3966
    @oscarkasalile3966 2 ปีที่แล้ว

    kweli wazee wetu walipata wake wazuri. Ila tumeachiwa sisi mitihani na wanawake wa kisasa na vijana wa kisasa eeeh mungu tuokoe.

  • @clementiddi5708
    @clementiddi5708 2 ปีที่แล้ว +9

    Hakuna tatizo kuna baadhi ya nchi hiyo ni choice ya mtu.

  • @picsandvidstv1348
    @picsandvidstv1348 2 ปีที่แล้ว +1

    Mzee yuko sawa. Hakuna tatizo kujichimbia kaburi kaburi. Hataki vurugu itakayotokea akishafariki.

  • @sheikhnurdini84
    @sheikhnurdini84 2 ปีที่แล้ว +8

    Ukafiri ni shida!!. Wenye imani sahihi tumwombe M/Mungu atuifishe katika imani sahihi.

    • @goodluckstephanmasige3450
      @goodluckstephanmasige3450 2 ปีที่แล้ว +2

      Nani alikwambia imani yako ni sahihi, dini mmeletewa usijione upo sahihi kuliko wengine mbw ww.

    • @queenpiscator6117
      @queenpiscator6117 2 ปีที่แล้ว

      Wewe ndo shetani koma mshenzi Mkubwa kwani weee ni muharsabu nenda usrsbuni

    • @emariusrush3285
      @emariusrush3285 2 ปีที่แล้ว

      wewe ni shetani mkubwa, endelea kutukuza majina

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 2 ปีที่แล้ว

      @Goodluck Stephan Masige Imani sahihi zipo ewe ndugu yangu, hata zama za Yesu kulikuwepo na wenye imani sahihi na wapotevu wasio na imani sahihi, walikuwepo hata waliomuona Yesu ni mtu aliyepandwa na pepo, mwenye wazimu tu, wanaotoka kumtoa roho, kwa ile kweli aliyo waambia, ambayo aliisikia kwa Mungu.
      Hata sasa hivi wapo wenye imani sahihi na wapotevu, lazima kuwe na njia mbili tu. Tena kazi kwako.

    • @jacquelinemacha9116
      @jacquelinemacha9116 2 ปีที่แล้ว

      Mpumbavu wewe ibilis kabisa ww unajuaje kama Imani yako ni sahihi??mnajipaga kujua kwingi nyie wapuuzi umbwa kabisa

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 2 ปีที่แล้ว +5

    Hata maaskofu wa RC wanajiandalia makaburi yao ndani ya Cathedral. Mwadhama cardinal Pengo amesema naye ameshajiandalia kaburi lake.

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 2 ปีที่แล้ว +5

    ITAKUWA AMEONA WATOTO WAKE WANAWEZA KUUZA ARDHI YAKE ANAFANYA KINGA ILI WATOTO WASIPAUZE HAPO.

  • @floicenjeli7406
    @floicenjeli7406 2 ปีที่แล้ว

    Mzee ako sawa
    Sii yeye WA Kwanza
    Hata huku Kenya ya fanyika.

  • @michaelthobias9967
    @michaelthobias9967 2 ปีที่แล้ว +11

    Ulaya kawaida Africa ndio tatizo

    • @clementiddi5708
      @clementiddi5708 2 ปีที่แล้ว +2

      Uko right cjui tatizo letu ni nini sisi watz.

  • @Sheba4651
    @Sheba4651 2 ปีที่แล้ว

    Mbona huwa mnatumia gharama kubwa sana, tiles na bati juu, huko tuendako, kwenye siku ileee na saa ileee ambayo hata Yesu haijui, wala malaika walio mbinguni, ila Baba. huko hakuhitaji kaburi za marumaru. Ni imani safi tu ya kumjua Mungu wa kweli wa Pekee, kisha kumuabudia yeye. Unaweza ukazikwa popote tu.
    Marko 12:32 Walakini habari ya siku ile na saa ile hakuna aijuaye, hata malaika walio mbinguni, wala Mwana, ila Baba.
    ### LA MUHIMU KUIJIANDAA NA HIYO SIKU, NA SI KUCHAGUA PAHALA PA KUZIKWA NA KUJENGA KWA GHARAMA KUBWA.

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 2 ปีที่แล้ว +7

    Mami natamani nijiandalie nyumba yang ya milele bubu hogera

  • @pendokissatu937
    @pendokissatu937 2 ปีที่แล้ว +1

    Babu ana mapenziii na mke wake

  • @johnmushi8739
    @johnmushi8739 2 ปีที่แล้ว +4

    Mapenz yakwel, mpk leo anamtamka malaika wake mke wake

  • @dariuskasitu5594
    @dariuskasitu5594 2 ปีที่แล้ว +4

    Miaka 103 bado ananguvu ivi

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 2 ปีที่แล้ว +6

    Kama tunajua tuendako ibada inahitajika na imani safi, sio kujichimbia shimo pengine hufi sasa mpaka linaporomoka na mvua

  • @aishashomali2716
    @aishashomali2716 2 ปีที่แล้ว

    Babu yuko sawa japo Africa si tamaduni na mtoto wake anavyomuombea utafikiri yeye mungu unaweza tangulia wewe yeye badae sana

  • @Nur_nun
    @Nur_nun 2 ปีที่แล้ว +3

    Yy sio wa kwanza wako wengi sana siku hizi wanajenga

  • @geraldtarimo3210
    @geraldtarimo3210 2 ปีที่แล้ว +1

    Zamanikweli walikuwanamapenziyakweli,mke anaitwa MALKIA? Lakini kwasasa mke tunamwita mbwa,paka,shetani,kenge,yani kwasasa hakunamapenzi

  • @lucymollel8212
    @lucymollel8212 2 ปีที่แล้ว

    Mzee ni mmeru wa Arumeru Arusha

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly 2 ปีที่แล้ว

    Mmmmh

  • @yusuphmsangi7191
    @yusuphmsangi7191 2 ปีที่แล้ว +2

    Babu Yupo Bien Inaelekea Hata Nyapu Anagonga Vzr Tuu

  • @selemanimasatu2421
    @selemanimasatu2421 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu jamaa anaongea kana kwamba ndo anajua mzee atatangulia ila Mungu ni waajabu unaweza ukatangulia wewe

    • @hamidaala2832
      @hamidaala2832 2 ปีที่แล้ว

      Hata.mie.nime.mshangaa.ALLA.ANATISHA.UGEUZA.KIBAO

  • @mohamedaden5881
    @mohamedaden5881 2 ปีที่แล้ว +3

    Anaongea Kama mzee mrema sauti

    • @jumanassoro1552
      @jumanassoro1552 2 ปีที่แล้ว

      Si ndio wale wale ukiwakuta wanapigana uamuzi wake wewe dondosha shilingi chini wakisikia ngwengele apo ndipo wataachana na kila mmoja atataka kuiona iyo ela imeelekea wapi

  • @mwinjumaganga2995
    @mwinjumaganga2995 2 ปีที่แล้ว

    Real love

  • @ashampinji1041
    @ashampinji1041 2 ปีที่แล้ว +4

    Kawaida sio yy wakwanza kjichimbia kaburi

  • @begukulemosobe9685
    @begukulemosobe9685 2 ปีที่แล้ว +8

    Babu yake milard

  • @Bam268
    @Bam268 2 ปีที่แล้ว +2

    Kujichimbia kabari sio sawa sababu hujui wapi utakufa hujui utakufa vipi unaweza kuwaka moto usipatikane hata jivi au kuzama kwenye maji au kuliwa na wanyama kwaiyo sio sahihi

  • @ndayushimiyerungarunga8712
    @ndayushimiyerungarunga8712 2 ปีที่แล้ว

    Mansha Allah ❤ ❤

  • @margaretfelix9770
    @margaretfelix9770 2 ปีที่แล้ว +8

    Utashangaa anatoboa had 150 hahahah

    • @sarahgaula2220
      @sarahgaula2220 2 ปีที่แล้ว +2

      ,😆

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 2 ปีที่แล้ว +2

      Mhmm

    • @mammam4701
      @mammam4701 2 ปีที่แล้ว +2

      🤣 🤣 Wew je Utatoboa😂😂

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 2 ปีที่แล้ว +3

      @@mammam4701 mmhmm si kutoboa tu hata kuchana si rahisi tumejaa mawazo kesho itakuwaje

  • @ngunitv
    @ngunitv 2 ปีที่แล้ว

    Mzee WA miaka 103 as himba kaburi yake/ngunitv

    • @ngunitv
      @ngunitv 2 ปีที่แล้ว

      Ngunitv

  • @frankmganda2424
    @frankmganda2424 2 ปีที่แล้ว

    Babu uko sawa

  • @joycekalago532
    @joycekalago532 2 ปีที่แล้ว

    Saut kama ya marehem mzee Mrema

  • @babyrasta9685
    @babyrasta9685 2 ปีที่แล้ว

    Babu unazingua !

  • @AmerdaKavishe-pu3cf
    @AmerdaKavishe-pu3cf 4 หลายเดือนก่อน

    Nihaki ila niuoga

  • @gatie_lightness02
    @gatie_lightness02 2 ปีที่แล้ว +1

    Maajabu

  • @mizesuleiman1834
    @mizesuleiman1834 2 ปีที่แล้ว +3

    Mzee atakua mchaga uyu

  • @manlematz821
    @manlematz821 2 ปีที่แล้ว

    Siku ya kufa tutafikia.... Je ukianza kufa ww

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 2 ปีที่แล้ว +1

    Ombeni kufa2 munaona kuzurii

    • @mizesuleiman1834
      @mizesuleiman1834 2 ปีที่แล้ว +3

      Maisha aya ukigonga 60 tu washkuru Leo babu amefikisha 103 nibaraka kubwa sana

    • @shaabankona4150
      @shaabankona4150 2 ปีที่แล้ว +3

      Ata usipoomba utakufa tuu..😆😆😆

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx 2 ปีที่แล้ว +2

      Ni muhimu kujiandaa na safari maisha wenyewe mafup .

    • @sabihaibrahim143
      @sabihaibrahim143 2 ปีที่แล้ว +1

      @@malak-lz6kx kujiandaa ni kumuabudu mwenyezi mungu muumba mbingu na ardhi na kuacha mabaya sio kujenga kaburi ambalo litakubana hata ulitiye dhahabu kama huna jema

    • @clementiddi5708
      @clementiddi5708 2 ปีที่แล้ว

      Kufa utakufa tu no choice. Jiandae tu