SABASITA AKABIDHIWA JENEZA LAKE, AFUNGUKA "SASA NASUBIRI KIFO, NIMEFURAHI SANA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 14 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 304

  • @maryaugustino8716
    @maryaugustino8716 9 หลายเดือนก่อน +3

    Kulikuwa na baba mmoja Dar anaishi ilala karibu na mchikichini. Naye alifanya hivi eti asije kusumbua watu. Na aliishi sana na alipo fariki walimweka kwenye hilo jeneza lake na kumzika. Pole sana baba

  • @adenadolph1951
    @adenadolph1951 9 หลายเดือนก่อน +25

    Trust me,hii sio Hali ya kawaida Kuna majuto makubwa anayo kutokana na mambo Fulani aliyofanya ndio Maana nafsi haiwezi kutulia na psychological mara nyingi ni maisha ya majuto kwake.

    • @theuniversetv2870
      @theuniversetv2870 9 หลายเดือนก่อน +2

      Yes inawezekana kuna siri anaijua yeye peke yake

    • @hamadsheni8997
      @hamadsheni8997 9 หลายเดือนก่อน +2

      ANAMAZITO ALIYO YAFANYA KWENYE UTUMISHI WAKE. SASA AMEPATA MARADHI Y SONONA.

    • @unuc4100
      @unuc4100 9 หลายเดือนก่อน +1

      Ila huyu jamaa alikomesha sana majambazi morogoro.....

    • @VirginiaMuthoki-wt6ig
      @VirginiaMuthoki-wt6ig 9 หลายเดือนก่อน

      Remember our forefathers had graves ready prepared for the dead. Jesus was one of the beneficiaries of these grave wen he died he was buried in a graves that belonged to smbody. It's ok

    • @JumaKimanga
      @JumaKimanga 9 หลายเดือนก่อน +2

      Umeongea facts sana HUYU mzee alitesa sana watu MOROGORO TENA aliwapola watu Mali zao mpaka msikiti aliuza KISA yeye police KWA hiyo anajuta moyoni

  • @graceaugustino5372
    @graceaugustino5372 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ni jambo jema Ila namshauri ajiandae KIROHO pia namaanisha ATENGENEZE na Mungu wake ili amalize safari salama maandalizi ya moyo niuhimu zaidi kuliko ya mwilini so hakuna baya kwa alichofanya Ila kikubwa ATENGENEZE maisha yake na Mungu 👏

  • @godwinkasaizi882
    @godwinkasaizi882 9 หลายเดือนก่อน

    Elimu yetu watanzania haitufanyi kuwa wabunifu wala WENYE kufikiri nje ya Box. Comments nyingi Zina lalamika juu ya maamuzi ya Mzee.
    Jifunze kuishi vile Mungu anakuongiza, epuka kuishi kwa mazoea. Mzee kafanya jambo la tofauti Sana na trust me Nchi nyingi za Ulaya ndivyo wanaishi. Tupende kuwa wabunifu na tuache mazoea. Hongera Sana Mzee S1BASITA.

  • @MateoJohn-l5z
    @MateoJohn-l5z 9 หลายเดือนก่อน +6

    Mzee katumia pesa nyingi sana kwenye kujiandalia safari yake ya mwisho ikifika,ila kajisahau kama kuna kufa baharini, ziwani na kwenye mito, akaliwa na samaki, si atakuwa amepata hasara

    • @othmanmohamed578
      @othmanmohamed578 9 หลายเดือนก่อน

      Kweli kabisaaa🤝🤝

    • @PhinaGeorge-o5m
      @PhinaGeorge-o5m 9 หลายเดือนก่อน

      Watazikwa wengine😂😂😂😂

  • @zuwenankungu5774
    @zuwenankungu5774 9 หลายเดือนก่อน +4

    Yarabb tujaalie mwisho mwema maana huko tuendako maisha ya kaburini ni mtihani sana. Ama kaburi liwe shimo kama shimo la motoni au liwe nyumba kama nyumba za peponi. Hayo yote anayajua Allah pekee ss ni kufanya mema tu na kumuomba Allah husnlkhatima.

  • @leahjumanne9548
    @leahjumanne9548 5 หลายเดือนก่อน +1

    Ni imani yake tu ndio sio alikuwa hakukosea kama vile mwisilamu anaruhusiwa kujiandalia sanda yake wazee wengi sana toka zamani walikuwa wakinunuwa sanda na kuweka ndani akifa inatumia hiohio

  • @marikwilliam9886
    @marikwilliam9886 9 หลายเดือนก่อน

    Sas jamani Mungu afungue ufahamu wako 🤲 mwenyez mungu akutoe uko fikra zako pengine zimefungwa na mwovu iyo roho ilio kushikilia ikuachie jaman

  • @marthakonkumo7816
    @marthakonkumo7816 9 หลายเดือนก่อน +1

    Honger baba kwa wazo lako ila ushauri andaa na kamati ya chakula, mapambo, usafiri. Ili unalizie kazi mwenyewe

  • @Sheba4651
    @Sheba4651 9 หลายเดือนก่อน +9

    Anahangaika na vitu visivyokuwa na umuhimu, njoo kwenye Uislamu huwezi hangaika na majeneza ya dhahabu wala kaburi la milioni 10, kwetu sisi hata rais sanda yake kama yangu kapuku, laki hamsini na ubao, mchimba kaburi 30,000/ lile jeneza la kubebea linakuwepo msikitini, hata rais naye anapanda hilo hilo la msikitini hachongewi jipya kwa sababu kafa yeye, labda iwe limeoza kuliwa na mchwa na uchakavu, lakini si kwa sababu kafa raisi aitwe seremala aunde jipya.
    Njoo huku, huku kimaisha kama upo kwa Yesu tu, unakua mtu wa kawaida, ukitaka kujikweza wewe mwenyewe tu, mbona Yesu alikua maskini, hata banda la kulala hakua nalo, yaani alisema mbweha ana pango na ndege ana kiota ile yeye mwana wa Adam hana hata pa kulala.
    Hela ya jeneza tu na kaburi milioni zote hizo, Yesu humuonei haya wewe?

    • @Abdulrahmaniluhumba-kf6sd
      @Abdulrahmaniluhumba-kf6sd 9 หลายเดือนก่อน +2

      Wadudu watakao dili na wew hawazuiliwi na ilo jeneza la ml 2 mkuu
      Utatafunwa vizuri sana kama wanavyo tafunwa makafiri wengine

    • @Prd_mysterious
      @Prd_mysterious 9 หลายเดือนก่อน

      hv kwann Huwa mnafnyaga hv na je usipo kufa miaka 40 ikapita mbn kabur litakuw shimo au ndo utakuw unarepair😭😭🙄🙄😭😭 okoka Yesu anakupenda najua mnaojitabiria umauti mnamikataba ya uchawi na nguvu za Giza

  • @nuruanaelisha8731
    @nuruanaelisha8731 9 หลายเดือนก่อน

    Kuna watu wanauhitaji mkubwa sana katika maisha haya,yamkini mzee umeshafanya Hilo la kusaidia watu, nafikiri bhado wanahitaji kuhudumiwa usiwasahau,usije uka bezi upende mmoja TU,hata kama Hilo lipo litatokea TU but usisahau , kumbuka dini iliyosafi ni kuwakumbuka wahitaji kama yatima,wajane , ......

  • @EdithaMartin-t4t
    @EdithaMartin-t4t 9 หลายเดือนก่อน +12

    Hiyo milioni kumi ungetoa kwa wajane.yatima Ni Bora zaidi kuliko ulivyofanya....

    • @luthgadeschrispin6554
      @luthgadeschrispin6554 9 หลายเดือนก่อน

      Amefanya vizuri sana ila maisha yake ya rohoni yako vzr? Je Yesu kristo ni Bwana na mokozi wake? Adije amutupwa jehanamu buree asafishe moyo wake ili aondoke akiwa safi, Yohana 3 : 16 : 18

    • @PhinaGeorge-o5m
      @PhinaGeorge-o5m 9 หลายเดือนก่อน

      Hao wajane watamzika au watanunua jeneza

  • @RoseminaibrahimLabia
    @RoseminaibrahimLabia 9 หลายเดือนก่อน +6

    Safi kabisa hataki kusumbua watu, aandae na hela ya chakula cha msimba wake ,

    • @najmasalim-rg6ow
      @najmasalim-rg6ow 9 หลายเดือนก่อน

      😂😂mi niwe mpesa yke kwakweli

    • @evaakyoo3009
      @evaakyoo3009 9 หลายเดือนก่อน

      Wewe umeongea ukweli kabisa

    • @jeskamwashitete1643
      @jeskamwashitete1643 9 หลายเดือนก่อน

      😂😂

  • @khalidissahovic5302
    @khalidissahovic5302 9 หลายเดือนก่อน +3

    Mzee hongera sana, ilaa ungeanza kulala cku1 1 ili ukuzowee naujuwe nn uongezee

  • @theuniversetv2870
    @theuniversetv2870 9 หลายเดือนก่อน +13

    Huyu mzee anajua kwa nini kafanya hivi inawezekana kuna kitu kinamtafuna taratibu ndo maana anaandaa mazingira

    • @hellennehemia9269
      @hellennehemia9269 9 หลายเดือนก่อน

      Kabisaa

    • @moriscollins4494
      @moriscollins4494 9 หลายเดือนก่อน

      Usikute alifanya mambo ya hovyo sana sasa damu zinamuita

    • @hellendaniel3809
      @hellendaniel3809 9 หลายเดือนก่อน +2

      Ashasema babaake alizikwa kwa tabu kipindi hicho ndio anaanza kazi hakuwa na hela. Yeye hataki asumbue watu. Nafikiri ataandaaa na ng'ombe,mchele na kuni😂😂😂

  • @rosemarykipesha4242
    @rosemarykipesha4242 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hizo hela alizotumia angewapa maskini ninauhakika hata kuna baadhi ya ndugu zake wanahitaji msaada. ukifa hujijui unahangaika nini. Hizo hela nikufuru tupu watu wanalala njaa hizo hela zinaweza kubadilisha maisha ya mtu kabisa au hata watu. Lets say ukituzawadia million moja vijana kadhaa za mtaji utaenda na baraka zetu zote. Hata dhambi unaweza samehewa

    • @husnaswai989
      @husnaswai989 9 หลายเดือนก่อน

      Mbona wanaojenga majumba ya kifahari na magari huwaambiii wawape masikini.kifo ni Mali yetu hivyo ni Sawa tu kujiandaa

  • @wajisheikh_
    @wajisheikh_ 9 หลายเดือนก่อน

    Na tayar kashajiuwa naona R.I.P apo kwny jeneza 😢😢😢😂😂😂🙌🙌

  • @mamamushimushi6100
    @mamamushimushi6100 9 หลายเดือนก่อน

    Je mungu akkikuchukua kwenye maji na kuliwa na mamba andaa moyo yaani roho na simwili pili kumbuka mwili wako unA chumvi ni lazima uoze na nyama zitaozesha mbao.hizo pesa wapi yatima

  • @AdenAdiliano-rh8zf
    @AdenAdiliano-rh8zf 9 หลายเดือนก่อน +2

    Pesa za kwake Sasa ninyi mnaesema Ametoa pesa nyingi kwani zinawauma nini ? Wakati hamujachangia hata mia ? Watoto yatima pelekeni ninyi Sasa

    • @PhinaGeorge-o5m
      @PhinaGeorge-o5m 9 หลายเดือนก่อน

      Shangaaa watu wana makiriko

  • @richardmshiu5118
    @richardmshiu5118 9 หลายเดือนก่อน

    Huyu mzee nahisi malaika mtoa roho ameshampigia kengele na alamu,, 😂😂😂ameshtukaa huyo malaika anamzungukia 😂

  • @marianaduncan6330
    @marianaduncan6330 9 หลายเดือนก่อน +2

    Kujiandaa na kifo ni kumwamini na kumkiri YESU KRISTO Kuwa ni BWANA na mwokozi,yeye ndio mwenye makao mazuri na ya milele,hapo kazi bure maana itaishi mifupa tu ,jiweke tayari mbinguni

  • @patelokoh5828
    @patelokoh5828 9 หลายเดือนก่อน +2

    Nakuombea uishiii mpaka ulitupe hilo jeneza kwa jina la Yesu

    • @saidmlemeta8083
      @saidmlemeta8083 9 หลายเดือนก่อน

      Amina ni kweli Mungu anaweza kulichakaza jeneza mpka atashangaa

    • @noelmarapachi1808
      @noelmarapachi1808 9 หลายเดือนก่อน

      😀😀😀
      Aminaa🙏🙏
      Alifanye kuni

    • @mwitaagness455
      @mwitaagness455 9 หลายเดือนก่อน

      Akiona hafi atajinyonga huyu

    • @mwitaagness455
      @mwitaagness455 9 หลายเดือนก่อน

      Baba ake tunda wa whozu😢😢😢😢

  • @IsayaNgoiva
    @IsayaNgoiva 9 หลายเดือนก่อน

    Yaani huyu mzee yuko sawa kabisa mbele za Mungu na anafanya toba kila siku mbele za Mungu kwakweli Mungu atakusamehe sana kibibilia yupo sahihi

  • @abedysteven4930
    @abedysteven4930 9 หลายเดือนก่อน

    Kwa kweli me Mzee nskuona mpaka nashndwa kujumaliza!! Unajua waanajexh na maaskari walixhapigiwa marisas na vimecontror akili!!! Yangu macho

  • @ChegeMsemakweli-cv4qb
    @ChegeMsemakweli-cv4qb 9 หลายเดือนก่อน

    Pole sana mzee mungu atakusaidia

  • @VirginiaMuthoki-wt6ig
    @VirginiaMuthoki-wt6ig 9 หลายเดือนก่อน

    Sioni ubaya he is preparing his last home wat he wants to live in for the rest of live. He didn't want wat u will prepare for him cheap while on earth he lived well in good house. Congratulations that u know here on earth we are all tourists one day we will be back to our creator

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 9 หลายเดือนก่อน

    Baba ana akili sana Hataki kuwasumbua ndugu kuchanga michango.
    Wazungu wanachukua bima. Sawasawa na alichofanya ndugu.Hongera sana❤

  • @jerryjohn8030
    @jerryjohn8030 9 หลายเดือนก่อน +14

    Katika maisha tuishi vizuri ili baadaye usije fanya mambo kama haya

    • @FreeGod368
      @FreeGod368 9 หลายเดือนก่อน

      Broo acha vichekesho io ulaya ni kawaida yeye ajafanya kwa kua ana madhambi sana bali kuepusha mzigo kwa familia

    • @Expedito2512
      @Expedito2512 9 หลายเดือนก่อน

      Mbona kafanya vizuri tu. Badilikeni

    • @hellendaniel3809
      @hellendaniel3809 9 หลายเดือนก่อน

      Hii ni njema wala hakuna shida. Tafuta hela usisumbue watu ukifa

  • @JosephDhahabu
    @JosephDhahabu 9 หลายเดือนก่อน

    Kama hujaokoka basi sasa ndio muda mtafute Mungu ishi maisha matakatifu ili ukiondoka uwende kuishi na Yesu mbinguni,

  • @YohanaMwakaje
    @YohanaMwakaje 9 หลายเดือนก่อน

    Maisha nikweri sote tunapita alicho kifanya uyu mzee nisawa wayeye ila neno lamungu Lina sema nikwanin tunaangaika na vitu vya mwilini kuliko vitu vya rohoni nivyema Sasa wakati mwili utaoza kikubwa Sasa amuamini mungu amche bwa kama mwokoz wamaisha yake mungu aku saidie okoa nafsi yako mzee wangu.

  • @anazarethlalama
    @anazarethlalama 9 หลายเดือนก่อน

    Mm naona angeandaa maisha yake ya mile mana mungu atakachoangalia siku ya mwisho ni moyo wako au maisha yako ya hapa Dunia I uliishije? Kuliko kuhangaika na majeneza hayo ni kutaka umaarufu wa Dunia bado Kwa mungu

  • @EsterMtalo
    @EsterMtalo 9 หลายเดือนก่อน +3

    Ni sawa hata kipindi Cha zamani,sijui vipi Kwa sasa wayanudi walikuwa wanaandaa makaburi. Hata Yesu al😊zikwa kwenye kaburi ambalo lilikuwa limeandaliwa tayari. Hii ni desturi ya Wayahudi. Sioni tatizo. Nadhani na Michele umeshachambuliwa!! 😂

  • @Zuu673
    @Zuu673 9 หลายเดือนก่อน +3

    Ni mti mgumu sana mbao ngumu sana kwamba hauta oza uko ndani wala kuliwa na wadudu funza,tandu,,scorpion na wengine watafanya kukusikia tu 😂😂😂safi sana

    • @JenesKereti-xy2dw
      @JenesKereti-xy2dw 9 หลายเดือนก่อน +1

      😂

    • @JenesKereti-xy2dw
      @JenesKereti-xy2dw 9 หลายเดือนก่อน +1

      😅😅😅😅

    • @Zuu673
      @Zuu673 9 หลายเดือนก่อน

      @@JenesKereti-xy2dw hahaha siumemsikia yani funza, tandu,scipio watafanya kumsikia tu

    • @lilyrose7983
      @lilyrose7983 9 หลายเดือนก่อน

      Nani kakudanganya ukifa ukioza funza wanajitokeza wenyewe sio lazima watoke nje ya jeneza

    • @Zuu673
      @Zuu673 9 หลายเดือนก่อน

      @@lilyrose7983 punguza pank sio mimi ni mzee 7sita uyo

  • @evaakyoo3009
    @evaakyoo3009 9 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana hautaki kusumbua watu

  • @nikundiweamosi5087
    @nikundiweamosi5087 9 หลายเดือนก่อน +1

    1:06 afya ya akili.Kifo sio suala la furaha kusubiri,ni jambo la shetani kudhania kifo ni kizuri na wakati ni madhara ya dhambi na shetani anajaribu kuhadaa watu ili dhambi pia iwe ya kawaida

    • @kassimhashi49
      @kassimhashi49 12 วันที่ผ่านมา +1

      Nakubaliana na wewe.nipo kenya.anaumwa akili

  • @nusuraomar-xn2uj
    @nusuraomar-xn2uj 9 หลายเดือนก่อน +2

    Ndio maana waislam tunatumia jeneza la msikitin kwa pomoja

    • @rosemarykipesha4242
      @rosemarykipesha4242 9 หลายเดือนก่อน

      Aha. Ndio mana jeneza la nanii lilikua vile maskini nilishangaa lakini mnafanya vizur hakuna Cha tajir Wala maskini wote sawa hakuna ufahari Wala ujinga. Mko vizur

  • @MunirDaniford
    @MunirDaniford 9 หลายเดือนก่อน

    Uyu mzee kapagawa sana Akili zake sio sawa

  • @hatibbaraka3956
    @hatibbaraka3956 9 หลายเดือนก่อน +7

    Mzee chenji inabakia wewe ndio maana yake,nadhani ungetumia nguvu kubwa kwenye ibada ili hio safari yako ije iwe nyepesi.

    • @nassercurtis9579
      @nassercurtis9579 9 หลายเดือนก่อน

      Katika imani alichokifanya pia ni ibada maana kukumbuka kufa na kujiandaa tu ni ibada kama hujui, maana wapo wanaoshinda bar na kusema acha nileweee akishalewa anafukana watu na hata kusema we umbwa humalizi mwaka lazima ufe utuachie dunia yetu. Tuendelee kulewa na kula bata.

  • @geembwana6189
    @geembwana6189 9 หลายเดือนก่อน

    Hata utengeneze jeneza na kabur au usitengeneze safari ipo pale pale na kuzikwa utazikwa tuu kama kawa 😅😅

  • @TaarabChannel
    @TaarabChannel 9 หลายเดือนก่อน +2

    Haya ukifa kwa moto ukiungua tiati utafanya nn!!! Au ufe maji utobolewe bolewe na samaki uliwe uliwe itakuaje!!! Omba husnil khatma ndio muhimu maandilizi Wala sio muhimu mana hujui umauti utakukutaje

  • @casablancastudioarusha775
    @casablancastudioarusha775 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mzee Tubu dhambi zako achana na haya mengine Kifo ni fumbo usishangae ukapiga miaka 100

  • @mwashumkigoda
    @mwashumkigoda 9 หลายเดือนก่อน

    Wakristo mnajua kumkufuru mungu

  • @DayoDayoDayo-cc5jl
    @DayoDayoDayo-cc5jl 9 หลายเดือนก่อน +1

    R.I.P 😢😢😢SABASITA

  • @carolynemkiramweni6667
    @carolynemkiramweni6667 9 หลายเดือนก่อน

    Mmh huyu anamjaribu Mungu...aasichezee asili na utaratibu wa Mungu. Asishangae akiliwa na samaki baharini, asiingie jenezani. Au moto mpk awe jivu....Sasa anakisubiria wapi ,,,, hizo hela angesaidia maskini....maana hatujui siku wala saa, wana namna utakavyoondoka....na waza tu.hivi moto ukipita hapo itakuwaje?😢

  • @AngelMfinanga
    @AngelMfinanga 9 หลายเดือนก่อน

    Kweli Dunia tunapita lkn hii duh. Mwenyez MUNGU akuite mapema ili utimize ndoto zako mzee 7-6😂😂

  • @salmaramadhan2725
    @salmaramadhan2725 9 หลายเดือนก่อน

    Mzee anajua Kuna kufa,Yuko vizur

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 9 หลายเดือนก่อน +3

    Kumbe ndy maana Tunda akili zake hazijatulia sasa naamini karithi kwa baba yake loh Whozu alee mwanawe hii familia aliyatimba😂😂😂😂

  • @lizzygabriel9601
    @lizzygabriel9601 9 หลายเดือนก่อน

    Hivi watu wanajua kama huyu ni baba yake na tunda? Alishasema hana mtoto wa kiume kwahyo hataki kuja kuwasumbua mabinti zake

  • @saphinaelycharles2342
    @saphinaelycharles2342 9 หลายเดือนก่อน

    Au.sio.mzee

  • @patelokoh5828
    @patelokoh5828 9 หลายเดือนก่อน

    Medical checkup to him quickly please... I hope his not mentally case.

  • @KulwaBunani
    @KulwaBunani 9 หลายเดือนก่อน

    Namsihi huyu ndugu amkiri bwana yesu kiristo hata kama anasumbuliwa na nini YESU atamponya TU.

  • @KimwanaKilungu
    @KimwanaKilungu 9 หลายเดือนก่อน

    Ya Mungu mengi hujui utaliwa na mamba

  • @peninashungu6633
    @peninashungu6633 9 หลายเดือนก่อน +3

    Mpaka aje afe litakuwa nimepitwa na Wakati akiishi miaka 30 mingine iyo mbao itakuwa imeliwa na mchwa

    • @yugemasanza1008
      @yugemasanza1008 9 หลายเดือนก่อน

      Fundi amesema Lina uwezo wa kuishi miaka hamsini mpaka Mia moja

    • @maswamills3161
      @maswamills3161 9 หลายเดือนก่อน

      Mchwa atoke wapi pale!!!

  • @priscakwannhamfungimipakam9231
    @priscakwannhamfungimipakam9231 9 หลายเดือนก่อน +9

    Akifia baharini akapotea

    • @Daudimoll8609
      @Daudimoll8609 9 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂

    • @MawaddaKhamis-zh3kc
      @MawaddaKhamis-zh3kc 9 หลายเดือนก่อน

      Litaenda kutupwa uko uko baharini 😢😂😂 halafu eti anasema jeneza ni zuri !!!

    • @maswamills3161
      @maswamills3161 9 หลายเดือนก่อน

      😌

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 9 หลายเดือนก่อน

      ​@@MawaddaKhamis-zh3kclinatupwa Bahlini Mala mahiiti hiyo 😂😂

    • @Expedito2512
      @Expedito2512 9 หลายเดือนก่อน

      Huko baharini utampeleka?

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 9 หลายเดือนก่อน +1

    subhaanallaaah huyu baba huenda freemason anajua lini atachukuliwa dah imani gani hio potofu uliyonayo

    • @salmoomorefeelingproductio1744
      @salmoomorefeelingproductio1744 9 หลายเดือนก่อน +1

      Hata sisi waislam inakubalika kujiandalia sanda,ni thawabu, kwani hakuna mtu ataishi milele,pia yapaswa ajiandalie mambo ya akhera

  • @naomikisaba5785
    @naomikisaba5785 9 หลายเดือนก่อน

    Meku🙌

  • @evaristjoseph8151
    @evaristjoseph8151 9 หลายเดือนก่อน +1

    Umepatwa na kichaa meku

  • @christopherjoseph8330
    @christopherjoseph8330 9 หลายเดือนก่อน

    Msiba ulipofikia watu wawili wanatosha kuzika au yeye mwenyew akiona hali sio nzuri anazama mwenyewe😂😂😂

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 9 หลายเดือนก่อน +3

    Awekee kwanza nguo afanye kabati maana hajui kesho yake na sk yake ya kufa😂😂

    • @zuberiyahya6090
      @zuberiyahya6090 9 หลายเดือนก่อน

      atakwamatuu kwasababu hajui atafia wapi anaweza kufia hata bahalin aliwe na papa au aliwe nasimba

  • @peacemwesiga
    @peacemwesiga 9 หลายเดือนก่อน

    Yuko sawa kabisa kwani kama anapesa zaze.pia kwanini arikali iliandaa sehemu ya makaburi na kuandaa mirathi kisheria?? Hili la kuaandaa jeneza sio ni ajabu maana watu wengi hawajipeni na wanakwepa gharama hata za kulisha watu misibani na maiti.kuzikwa haraka haraka kama vili imeiba cha mtu big up Sabasita tumoa pesa zako familia yako isihangaike❤❤❤

  • @alleyissaramadhan6068
    @alleyissaramadhan6068 9 หลายเดือนก่อน +2

    Subhannahllah

  • @SaumuSaidi-z2v
    @SaumuSaidi-z2v 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mke wake au mama ake tunda yuko wapi?nauliza jmn

  • @kenedymusaukavithi
    @kenedymusaukavithi 9 หลายเดือนก่อน

    Mzee hio jeneza italiwa na mchwa bure tu, Mungu ata kuongezae miaka na mikaka mpaka upate pijukuu, wazae vijukuu.

  • @stellamokiwa2025
    @stellamokiwa2025 9 หลายเดือนก่อน

    Free mason

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 9 หลายเดือนก่อน

    Nimeona comments nyingi Negative, ila ki ukweli sio dhambi kujiandalia keshoo yako, haina maana utakufa keshoo yake , ila jaalia Mungu kamhitaji hapo ni kuzika tu basi

  • @RashidAyubu-n5q
    @RashidAyubu-n5q 9 หลายเดือนก่อน +2

    God

  • @rosemarykipesha4242
    @rosemarykipesha4242 9 หลายเดือนก่อน

    Amejikatia tamaa. Au kunaugonjwa dealy unamsumbua anajua mda umeisha?

  • @MillardMushi-ce2bu
    @MillardMushi-ce2bu 9 หลายเดือนก่อน +2

    hata kufa kwa sasa mpaka asahau pia hata zikwa humo. ata potea maanake ata tekwa na kwenda kuuliwaa mbali na kuzikwa huko

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 9 หลายเดือนก่อน

      Subuhanallah. Mbonaunasema.hivyo.

  • @elizabethkweji
    @elizabethkweji 9 หลายเดือนก่อน

    Hataki tu wagen kwake😂😂😂😂

  • @navioma4882
    @navioma4882 9 หลายเดือนก่อน +1

    😢😢😢😢😢😢

  • @mwashumkigoda
    @mwashumkigoda 9 หลายเดือนก่อน

    Hivi anajua nn kuhusu akhera jamani acheni kumkufuru mungu

  • @VailethSanga-n4i
    @VailethSanga-n4i 9 หลายเดือนก่อน

    Ivi hata kama sijui sikuyangu yakufa siwez kujiandalia mazingira ya kufa weee hapana izo hela angezitumia kula na kukedha kwenye ibada kutubu dhambi zake

  • @mwashumkigoda
    @mwashumkigoda 9 หลายเดือนก่อน

    Kwahiyo unangoja safari

  • @hellenmassawe7284
    @hellenmassawe7284 9 หลายเดือนก่อน +1

    Jaman

  • @hamadsuleiman5177
    @hamadsuleiman5177 9 หลายเดือนก่อน

    Sasa akifa baharini na sionekane??...Yaani kifo ni siri na anaejua ardhi utayokufa ni Mungu tu..😂

  • @mukeshimanarose1334
    @mukeshimanarose1334 9 หลายเดือนก่อน

    ❤❤😊

  • @mgendijr7380
    @mgendijr7380 9 หลายเดือนก่อน +12

    Matatizo ya akili hayaa,.

  • @FredyngasaMwakola
    @FredyngasaMwakola 9 หลายเดือนก่อน

    Kazi ipo

  • @MartinaAgustino-fp5eo
    @MartinaAgustino-fp5eo 9 หลายเดือนก่อน

    0:27 duuuh

  • @godwinabuto4695
    @godwinabuto4695 9 หลายเดือนก่อน

    Si ajabu sana hata ktk biblia yesu alipokata roho kuna tajiri alikuja kuomba mwili wa yesu akazike kwenye kaburi lake na alikuwa tajiri sana jina lake yusufu harimathaya kwa waisraeli nijambo lakawaida sana nidesturi kuandaa pakuzikia sio dhambi nampa hongera kubwa hata mm nikifika miaka 50 ntaanza maandaliza msiogope huo uzee acheni aandae

    • @leahmollel6589
      @leahmollel6589 9 หลายเดือนก่อน

      Na kaburi hilo linaingizia familia hela hadi leo mbali na kumzika Yesu na kuwepo kwenye Biblia! Ila yataka moyo🤦‍♀️

  • @benjaminsanare-ug6ge
    @benjaminsanare-ug6ge 9 หลายเดือนก่อน

    😅😅😅baba Tunda bhana.

  • @shamissuleyman4894
    @shamissuleyman4894 9 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mzee anadhambi kubwa kafanya ndio maana anatamani kuondoka na hiyo dhambi imemtoa akili siakili ya kibinadamu hiyo

  • @Graceyust
    @Graceyust 9 หลายเดือนก่อน

    Hizo hela ungeezitoa kusaidiwa watoto yatima na wamama waliotelekezwa ingefaa sana

  • @sirilaeliasfredrickjohn4096
    @sirilaeliasfredrickjohn4096 9 หลายเดือนก่อน

    Duuuuh 😢 inaogopeshaa mbonaa

  • @IbrahimuRashid
    @IbrahimuRashid 9 หลายเดือนก่อน +3

    Mtu mjanja huwaza kifo. Hongera sana 7 6

  • @MILEBEMASANJA
    @MILEBEMASANJA 9 หลายเดือนก่อน

    Hayo yote ni ubatili tuuu kwani ukifa umekufa,hizo pesa afadhar ungetoa misaada hata hospital kwa wagonjwa ungebarikiwa sana tu

  • @jeskamwashitete1643
    @jeskamwashitete1643 9 หลายเดือนก่อน

    Sasa ikatokea ukafaa kwa ajali ya moto au majini au wanyama wakali ........ Atatumia nani ivyo😂😂.......aya bhana ila polee kwa msongo

  • @absm8084
    @absm8084 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ni pale Mungu aseme 20 ijayo uwepo je utatengeneza jingine😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @florahmushi748
    @florahmushi748 9 หลายเดือนก่อน

    Jamani

  • @geofreymalekana8000
    @geofreymalekana8000 9 หลายเดือนก่อน

    Mi nawaza huyu baba chanzo cha kifo kikiwa ni ajali labda kuungua moto na kuteketea, au kumezwa na chatu itakuwaje kupata hayo mabaki na kuweka kwenye jeneza? Ila siombei kifo cha namna hiyo ni mtazamo tu mana Mungu ndio anajua kila mmoja wetu tutakufa kwa njia gani

  • @JabilOmary-b7r
    @JabilOmary-b7r 9 หลายเดือนก่อน

    MI naona yuko Sawa kufa kunajulikana kama unajijengea nyumba ya kuishi kwa nini usijitengenezee nyumba yako ya milele uyu ataki kuja kuzikwa mahali pabaya anajijengea kwa fedha zake Bila kusumbua jamii

  • @AnnoyedFlowerPot-mr2ps
    @AnnoyedFlowerPot-mr2ps 9 หลายเดือนก่อน

    Je ukifa bila kulala iweje maana kifo huja bila matarajio msimubipu mungu

  • @NeemaMdachi
    @NeemaMdachi 9 หลายเดือนก่อน +4

    hii dunia tutaona mengi jaman hizo hela ungetoa sadaka kwa wasiojiweza mzee

  • @athumaniissa4161
    @athumaniissa4161 9 หลายเดือนก่อน

    Huyu jamaa enzi akiwa askari alikomesha wahuni Arusha.

  • @salmoomorefeelingproductio1744
    @salmoomorefeelingproductio1744 9 หลายเดือนก่อน

    Safi sana kila nafsi itaonja mauti,hata sisi waislam inakubalika mtu kujiandalia sanda,tuweni tayar kwa safari kwani hapaduniani tupo kwa siku chache tu,

  • @idrisaseiph3499
    @idrisaseiph3499 9 หลายเดือนก่อน

    Huyi baba sio mzima😂😂😂

    • @Expedito2512
      @Expedito2512 9 หลายเดือนก่อน

      Mzima tu ila wewe ndo siyo mzima

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 9 หลายเดือนก่อน

      Si mzima, angekuwa Muislamu hayo mambo ya kutumia milioni tatu kwa jeneza tu wala yasingemkuta. Kwetu jeneza moja ama mawili huwepo msikitini, yapo kwa miaka hata 20, yoyote katika sisi anawekwa humo kupelekwa malaloni.
      Ndio hapo ujue hawa wakristo wa sasa hivi si wafuasi ni tofauti na huyo wanateseka wanamfuata Yesu, mbona Yesu hakua hata na banda la kulala, wao majeneza na kaburi milioni 10.

  • @Faya884
    @Faya884 9 หลายเดือนก่อน

    Uyu utakuw anaanza kujistukia kw madhambi take hakiw askari moto hunakuhusu tuu ata hujutengenezee kuzimu yako hukohuko moto unakuja😂😂😂

  • @estheroscar6520
    @estheroscar6520 9 หลายเดือนก่อน

    Nimecheka aliyekometi et na hera ya chakula aandae kweli mimi nitaona mengi sasa hiyo pesa angewapa watoto yatima ingependeza sana

  • @mcharoimanuel3623
    @mcharoimanuel3623 9 หลายเดือนก่อน

    Kama nyumba ikiungua je?

  • @giftmusa6543
    @giftmusa6543 9 หลายเดือนก่อน

    Sasa vip upate safari ya Zanzibar then meli izame??,Mungu fundi twaweza iopoa miili yote kasoro mwili wako uliwe na samaki😅😅