"NATAMANI KUJIJENGEA KABURI ZURI KULIKO LA BABA" - DADA WA TUNDA AFUNGUKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024
  • "NATAMANI KUJIJENGEA KABURI ZURI KULIKO LA BABA" - DADA WA TUNDA AFUNGUKA
    www.youtube.co...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 46

  • @Leonardmpemba-em4cq
    @Leonardmpemba-em4cq 11 หลายเดือนก่อน +2

    Uyuu Mzee ni stress zinamsummbua .uyuu Mzee kasha zitafuna pesa za kiunaa mgongo zimeisha kwaiyo atawasaurishaa watoto wake ilo jambo kisha ajikoweke kama aweze kujinyonga nazani nimeeleweka hapoo Hambae Ajanielewa Aje takukulu niweze kumfumbua Akiri Asanteni VIJANA KWA KUNISIKIA Ameeeehh..♥️♥️♥️🤔🙏

  • @FedrickDanielJob
    @FedrickDanielJob ปีที่แล้ว +6

    Mungu alivyokua wa ajabu hafi leo wala kesho

  • @AsendeNyota
    @AsendeNyota ปีที่แล้ว +3

    Wanafafana ❤

  • @frankgavana3256
    @frankgavana3256 ปีที่แล้ว +15

    Baba kashajua mtauza nyumba mgawane mali akajenga kaburi makusudi hakuna kugawana mali tena 😂😂😂 mzee mtoto wa town sana

    • @mdachiog5211
      @mdachiog5211 ปีที่แล้ว

      😂😂kumbe

    • @bhm675
      @bhm675 ปีที่แล้ว +1

      Sasa tukiamua c hatumziki apa alaf anaweza kufa na moto ata majivu yake yasipatikane😂😂😂

    • @merrystephano2903
      @merrystephano2903 ปีที่แล้ว

      ​@@mdachiog5211😊
      😊P

    • @HappyJohn-iz4xe
      @HappyJohn-iz4xe 6 หลายเดือนก่อน

      K
      pOoo​@@bhm675

    • @HappyJohn-iz4xe
      @HappyJohn-iz4xe 6 หลายเดือนก่อน

      .

  • @jacoblaban2589
    @jacoblaban2589 11 หลายเดือนก่อน +1

    Hii ni roho,ishindwe kwa JINA LA YESU.

  • @ssam3385
    @ssam3385 ปีที่แล้ว +2

    Mama yuko wapi?

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 ปีที่แล้ว +2

    Dada tunda

  • @abelhilonga1095
    @abelhilonga1095 ปีที่แล้ว +4

    Kiki imeanzia nyumbani

  • @djpassovertz..tunaishimaramoja
    @djpassovertz..tunaishimaramoja 11 หลายเดือนก่อน +2

    Nyumba za makaburini hizo😂😂😂waache wajijengee Mi nikizikwa fine nispozikwa pia fine

    • @ramamrutu4914
      @ramamrutu4914 11 หลายเดือนก่อน +1

      Kuzikwa cjui vitavu vya dini vinasema nini ila sizani kama vinaumuhimu

  • @Me-tw4nf
    @Me-tw4nf ปีที่แล้ว +2

    Ni huko keny burundi kaburi kama una hela wanajenga kamanyumba unahangalia hiii kaburi ama nini

  • @VailetMunuo
    @VailetMunuo 6 หลายเดือนก่อน

    we always pray for God to give us long life how come hi just what to dae but Mungu amuondolea hofu ya Mauti ana hofu ya Mauti tuu iwapo kila nafsi itaonja Mauti u can't just do that nonsense 😮

  • @bahatadof5543
    @bahatadof5543 11 หลายเดือนก่อน +1

    Sasa jamani Saba sita amemuinspire Hadi binti naye anataka ajenge kaburi lake,roho ya mauti hiyo muikemee

    • @rahamamohd3075
      @rahamamohd3075 11 หลายเดือนก่อน

      Kiukweli mtu moja anaweza karibisha misiba nyumban 😢😢😢

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 6 หลายเดือนก่อน

    Amewapunguzia mzigo safari yake inakalibia baba

  • @hidayaismail-fk1js
    @hidayaismail-fk1js 6 หลายเดือนก่อน

    si jengeni majumba mazuri zaid ya ayo makaburi yaan kip kinakufanya mpaka mtu unakufuru kiasi iko

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 ปีที่แล้ว +1

    Mh

  • @sulemanmndeme8961
    @sulemanmndeme8961 ปีที่แล้ว +9

    Huyu mwamba hakika ni muadilifu wa nchi yake.
    Tokea alipokuwa anafanya kazi Arusha, alikuwa akiwakamata wazururaji anawafunga mashati, Kisha anawaambia muelekee polisi.
    Yeye yuko mwenyewe ila watuhumiwa mnaweza mkawa 30 mpaka 50.
    Wakati mnaelekea polisi, yeye anasimama na kuongea na jamaa zake.
    Sasa km ww ni lofa, utafika polisi, wajanja walikuwa wanasepa.
    Hakuwa na hila huyu mwamba...

  • @kakaaignas3675
    @kakaaignas3675 ปีที่แล้ว +1

    Ujaolewa

  • @IsaacLameck-nz8yr
    @IsaacLameck-nz8yr 6 หลายเดือนก่อน

    Nguvu za Giza yaani nyie mnawaza kujenga makaburi mkiwa hai

  • @khadjamhozya
    @khadjamhozya 11 หลายเดือนก่อน

    Kumbe wote warembo

  • @simontweve-eh8sp
    @simontweve-eh8sp ปีที่แล้ว +8

    Nyumba haitouzwa tena😅😅😅

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 ปีที่แล้ว +3

      Kweli Mzee ameona mbali, huyu atakuwa amesoma Cuba😅😅😅😅

    • @AsiaNassor-u7s
      @AsiaNassor-u7s ปีที่แล้ว

      Hahahaaaaa

    • @angelalyimo2862
      @angelalyimo2862 ปีที่แล้ว

      Hawa hitaji

    • @masungaStanslaus
      @masungaStanslaus ปีที่แล้ว

      ​@@paulmushi2428p.

    • @pengefeza2563
      @pengefeza2563 ปีที่แล้ว

      Ni ukosefu tuu lakini si vizuri kuuza nyumba ya urithi kwa sababu ni kumbukumbu kwa vijukuu

  • @GmtKariakoo
    @GmtKariakoo ปีที่แล้ว

    Dada ajaolewa

    • @willykaovela5485
      @willykaovela5485 ปีที่แล้ว

      huko ni machame😮

    • @goalpost6753
      @goalpost6753 6 หลายเดือนก่อน

      ​@@willykaovela5485😅😅😅

  • @doreenfelician1241
    @doreenfelician1241 11 หลายเดือนก่อน

    Kumbe tunda man n mchaqa au n tunda mwinqinne

    • @nigamo9645
      @nigamo9645 11 หลายเดือนก่อน

      Sio Tundaman ni ni Tunda ambae ni mama LoLa aliezaa na Wozu

  • @suleykilindi5117
    @suleykilindi5117 ปีที่แล้ว

    mwambieni bado ac ajaeka

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 ปีที่แล้ว +1

    Dada tunda