Ameeeen, nimetoka mzima. Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU. Hakika sisi ni washindi, tulivushwa bahari ya shamu kwa kutembea. Farao na jeshi lake walibaki ktk kaburi la maji. MUNGU akuinue viwango vya juu.
Chilolo Kama unakumbuka ulikuja kanisa la Anglican mwenda pole Mimi ni Emmanuel nina kukuba sana wewe unafanana Kama kaka zangu wewe unafanana Kama kaka wa pili nazifuatilia nyimbo zako sana Amina
Kwann ww kila wimbo niwamajigambo tu yaan kwa lugha nyingine naweza kusema ni taarabu tunaomba umwambie mungu akupe namafunuo yaroho mtakatifu zaidi mda mwingine tukisikiliza nyimbo zako tujifunze kitu yaaan tuwe tunapata hofu yamungu maana yake nyimbo zako ziwe naupako zaidi mtu akisikiliza anapata nguvu yakuiacha dhambi nakutulia kwabwana achana naradha yakitu kilekile tu tunakupenda sana nahuduma yako nimhimu kwamungu nakwetu pia by Akupendae katika bwana
Asante kaka.... Ila ukiona kitabu hukielewi basi hujaandikiwa wewe! Utapata Waimbaji wenye nyimbo unazozipenda... Kila mtu ameitwa kwa namna yake! Ubarikiwe naamini nimejibu vzr! #HuweziKupendwaNaWote
Kitu ambacho haujafahamu mungu anapenda sana watu wanaotendewa na kutoa ushuhuda kwasababu bila ushuhuda hatuwezi kuujua ukuu na matendo màkuu ya mungu ajabu ni kwamba mtu akiimba ushuhuda unasema anaimba majigambo unataka aimbe kuwa anaumwa siyo,,,,ukitaka mahubiri fuatana nae vijijini uone anavyoihubir injili
@@yonachiloloofficial nikweli huwez kupendwa nawote pia hata hiyo nyimbo inanibaliki sana lakin hata mm sikumanisha kukwambia ivyo au kutoa ushaur huo kwako simaana kwamba sikupendi amna kat yawaimbaji walio nanafasi kwangu nahisi ww nimoja yamwinbaji mhimu sana kwangu nahapo nimekushauri tu maana yangu nilikuwa nalenga kuwa uimbaji nikarama nakarama hiyo inatoka kwamungu nakama inatoka kwamungu naiman kuwa mungu hajapanga huduma yako ikomeee apo ulipo nakama hajapanga Ivo basi jitahidi kumwomba sana mungu akupe mafunuo namafunuo mbalimbali yenye upako zaidi ili siku moja ukisimama kuimba watu wapate kuponywa .kuokoka . kubalikiwa . kupata nguvu zaid yakumtumikia mungu .ndo ushaur wangu huo namaombi yangu kwamungu juu yako akufanikishe zaid maana Dunia yaleo mwimbaji ananafasi kubwa sana kusikilizwa nawatu nawatu wakafanya vile anavyoelekeza kupitia wimbaji wake. Nando maana adui leo hii anaijua nguvu yamwimbaji ilivyo ndomaana anaitesa dunia
Lakin at Bible inasema Lawama yawazi niheri kuliko upendo uliositirika maana yake tujifunzen zaidi kwawatu wanao kosoa maana huwez jua anakosoa kwasababu zipi pengine ukawa nimpango wamungu ww upate kupiga hatua kwenda mbele maana ukipenda hongera tu huwezi kupata chachu yakwenda mbele Bali utajikuta unakalia kulewa nasifa tu naukishalewa sifa mara nyingi matokeo yake nikuhalibu maana utashikwa naroho yakujiamini nakuanza kutumia uzoefu wako sikwakumtegemea mungu tena watu tunaasili yakutoa hongera sana .lakin hongera hizo nyingi nizile zakupoteza mtu atoke kwenye ukweli
Wow 💃💃💃💃💃🎉🎉 nimetoka mzima likes Kenya 🇰🇪🇰🇪 ❤❤❤🌍🙏🙏🙏👌
Kama umemkubali director weka like na makopa❤
❤❤❤
❤❤❤
@@chihambajr ♥️♥️♥️♥️♥️
❤❤
𝑊𝑒 𝑅𝑘 𝑤𝑟𝑜𝑛𝑔 ℎ𝑜𝑢𝑠𝑒 vipi😂😂😂😂
Wimbo poa chilolo 🎤🎧🔊🎶🎶
Wonderful . Mara nyingi tumepita magumu lakini tukatoka wazima. Mungu anatuzidishia nguvu na tunasimama. Amen
Kama ww unamkubali Chilolo tujuane Kwenye Like
Direct ress 💥💯💯🔥
Amina ubarikiwe mungu amekulinda na maadui wabaya,sifa na utukufu tunamludishia yeye
Mungu akubariki mtumishi wa mungu yona chilolo huwa nabarikiwa sana na uimbaji wako
Ameen Man of God sina mashaka tena Mungu Amenishidani kila siku Ujumbe mzuri sana. Utukufu wa Bwana Uzidi Uonekane Juu yako milele Chilolo 🙏
❤ daa mungu azidi kukuinua mtumishi wa mungu viwango hadi viwango
Utukufu umrudie YESU KRISTO anaekupa afya na uzima.
Nice song chilolo God bless you so much
Ni mm nimeweka volume yote ama ,pls Chilolo nisaidie hali yake mbaya .............mazingira, nijazie pls 😢😢😢na ubarikiwe sana
Amen. hata kwa hili nitatoka mzima so help me God.
I just love your songs playing them daily. love from Kenya
❤❤❤❤
Ameeeen, nimetoka mzima. Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU. Hakika sisi ni washindi, tulivushwa bahari ya shamu kwa kutembea. Farao na jeshi lake walibaki ktk kaburi la maji. MUNGU akuinue viwango vya juu.
Hit after hit in Kenya watching 🎉, keep shinning yona chilolo
🙏🙏🙏
Nimetoka mzmaaa ❤❤❤❤
Ohareruya shujaa wa BWANA ❤
kongole...kazi safi dady
Muwaha yalumbwe 🙏
Hallelujah . GLORY be to God Almighty Forever and Ever 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Chilolo Kama unakumbuka ulikuja kanisa la Anglican mwenda pole Mimi ni Emmanuel nina kukuba sana wewe unafanana Kama kaka zangu wewe unafanana Kama kaka wa pili nazifuatilia nyimbo zako sana
Amina
❤❤❤❤songs zinanice mbaya sana moto moto akuna yenye inaboo lit then ziko na alot of motivation when you in trouble
Wimbo poa chilolo nimetoka mzima 👍✅✅✅bro Always the Best
❤❤❤❤❤❤🙏🙏🙏🎶 barikiwa mtumishi🙏🙏🙏🎶 nice songs
Kwakeli tulichimbiwa mashimo tuishe ila Mungu akatulinda tukatoka wazima ❤❤❤❤ waooooo huu wimbo 👌👌👌🥰🥰❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤❤
Ameen
Hallelujah 🙏 I love your songs bro I'm PST Josia from Kenya
My brother chilolo
Barikiwa Sana ndugu,mungu apanue sehemu yako ya huwimbaji pia na Imani kaka❤❤❤❤❤
Ameen
👏👏👏👏👏❤❤❤ Ameeeeen nimetoka mzima. Walizani mguu utalemaa, pole yao, YESU amenishindia nimetoka mzima. Barikiwa sana sana sana mtumishi. Utukufu uu
Kama we ni mkaguru gonga like hapa🎉🎉🎉🎉🎉
Ni kama huu wimbo ni wa kwangu🙏🙏🙏ubarikiwe bro
Wa congo 🇨🇩 njoni mu gonge like hapa
Nice work,nimehubiriwa natuma Salam
Kaz nzur kaka Yona chilolo naipenda hii nyimbo nikiiskiliza nakumbuka mbali sana 😢😢
Adui walitaka kunimaliza lakini nimetoka mzima be bessed man of God❤🫂🙏🙏🙏🙏
AMEEN
Umebarikiwa na utunzi Tena sauti waah!jaribu uache mambo ya maadui zangu,wanaonichukia,vita na wanadamu!
Congratulation my brother 🙏🙏🙏 God bless you so much ❤🎉
Salute kwako brother Mungu azidi kukuinua 💋🌹🎊
Ameen 🙏🙏
Congratulations chilolo umebarikiwa 🙏🙏🙏
Ameen
Chiloloo karibu nyumbanii .. tu nazipenda vocal zako 🎉🎉
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Namkubali sanaaaaaaa❤
Nampenda sn chilolo ,anaejua mpk anaejua Tena
Amina Kaka mungu Ni mwema
Kaz yako ni njema Sana MUNGU wa mbingu na ardhi akubaliki sana ❤👍
Amazing 👏 🤩
Lots of love from Kenya❤️Nimetoka Mzima kweli
Hii ni kali ....kongole ndungu
Your music inspires me alot na inanipea matumaini ya kuishi ❤
Ameen
Ungejua tunavyokupenda kenya kaka keep going❤❤❤
Nmetoka mzima Amen 🙏
Amen ubarikiwe kaka
❤❤ Amen
Daaah hongera kijana wa YESU❤❤
🙏🙏🙏
Amen be blessed mtumishi🎉🎉
Kazi Nzuri 💯❤❤
Wimbo poa 👍👍👍👍 Brother chilolo 🥰🥰🥰🥰🥰
Hii nayo ni moto🔥🔥🔥🔥. Nipitie pia
Nimetoka mzima Asante Yesu
Nimetoka mzima kabisa🙏🙏
Ubarikiwe sana Chilolo
Much love from Nairobi, Kenya
Ameen
barikiwa Chilolo
Ameeeen, nyimbo zako zinajumbe nzuri , Mungu akuinue zaid mt
Best message ubarikiwe ❤
Mungu katusaidia tumetoka wazima
Hongera sana chilolo
❤❤
Amen,kee going son of GOD chilolo
Love from Kenya ❤❤❤❤❤congratulations 🎊 👏 💐
Chi....Chilolo🎉🎉🎉umenibariki na hii nyimbo kweli
Ameen
Mungu akubarik sana napenda sana uimbaji wako nataman kuwa kama wewe ila bado najitafta
Broo anajua sana kuna ile ngoma yake ya nipe magari naikubali kinoma
Kaz saf sana ubalkiwe
Chilolo kweli Mungu amekubariki na Hekima, Neema na Kibali
Ameen
Hakuna Alie kama MUNGU, barikiwa mtumishi
Ameen
Nimetoka mzima kweli
Ameeeeen akika nimetoka musima 🙏🙏🙏
Amina mimetoka mzima
Amen 🎉🎉
So wonderful 👍❤❤❤❤ 5:37
Ata Kwa hii Hali nitatoka mzima🙏🙏🙏
Mungu azidi kukulinda na kukutumia kama chombo🙏
Ameen
Chilolo 🎉
Kama nakuona utakuwa muimbaji mkubwa San hap Tanzania na ukanda wetu afirika
Chilolo uko vzr unaweza mungu akutie nguvu
❤
Karma Like ❤️❤️❤️❤️❤️🇸🇦😍😍
genious
Amazing 😍
Wimbo mtamu chilolo
Hallelujah hallelujah hallelujah, nimetoka salama in Jesus might name. Poleni maadui zangu nimetoka mzimaaaa
Ameen
Kwann ww kila wimbo niwamajigambo tu yaan kwa lugha nyingine naweza kusema ni taarabu tunaomba umwambie mungu akupe namafunuo yaroho mtakatifu zaidi mda mwingine tukisikiliza nyimbo zako tujifunze kitu yaaan tuwe tunapata hofu yamungu maana yake nyimbo zako ziwe naupako zaidi mtu akisikiliza anapata nguvu yakuiacha dhambi nakutulia kwabwana achana naradha yakitu kilekile tu tunakupenda sana nahuduma yako nimhimu kwamungu nakwetu pia by Akupendae katika bwana
Asante kaka.... Ila ukiona kitabu hukielewi basi hujaandikiwa wewe! Utapata Waimbaji wenye nyimbo unazozipenda... Kila mtu ameitwa kwa namna yake! Ubarikiwe naamini nimejibu vzr! #HuweziKupendwaNaWote
Kitu ambacho haujafahamu mungu anapenda sana watu wanaotendewa na kutoa ushuhuda kwasababu bila ushuhuda hatuwezi kuujua ukuu na matendo màkuu ya mungu ajabu ni kwamba mtu akiimba ushuhuda unasema anaimba majigambo unataka aimbe kuwa anaumwa siyo,,,,ukitaka mahubiri fuatana nae vijijini uone anavyoihubir injili
@@yonachiloloofficial nikweli huwez kupendwa nawote pia hata hiyo nyimbo inanibaliki sana lakin hata mm sikumanisha kukwambia ivyo au kutoa ushaur huo kwako simaana kwamba sikupendi amna kat yawaimbaji walio nanafasi kwangu nahisi ww nimoja yamwinbaji mhimu sana kwangu nahapo nimekushauri tu maana yangu nilikuwa nalenga kuwa uimbaji nikarama nakarama hiyo inatoka kwamungu nakama inatoka kwamungu naiman kuwa mungu hajapanga huduma yako ikomeee apo ulipo nakama hajapanga Ivo basi jitahidi kumwomba sana mungu akupe mafunuo namafunuo mbalimbali yenye upako zaidi ili siku moja ukisimama kuimba watu wapate kuponywa .kuokoka . kubalikiwa . kupata nguvu zaid yakumtumikia mungu .ndo ushaur wangu huo namaombi yangu kwamungu juu yako akufanikishe zaid maana Dunia yaleo mwimbaji ananafasi kubwa sana kusikilizwa nawatu nawatu wakafanya vile anavyoelekeza kupitia wimbaji wake. Nando maana adui leo hii anaijua nguvu yamwimbaji ilivyo ndomaana anaitesa dunia
Lakin at Bible inasema Lawama yawazi niheri kuliko upendo uliositirika maana yake tujifunzen zaidi kwawatu wanao kosoa maana huwez jua anakosoa kwasababu zipi pengine ukawa nimpango wamungu ww upate kupiga hatua kwenda mbele maana ukipenda hongera tu huwezi kupata chachu yakwenda mbele Bali utajikuta unakalia kulewa nasifa tu naukishalewa sifa mara nyingi matokeo yake nikuhalibu maana utashikwa naroho yakujiamini nakuanza kutumia uzoefu wako sikwakumtegemea mungu tena watu tunaasili yakutoa hongera sana .lakin hongera hizo nyingi nizile zakupoteza mtu atoke kwenye ukweli
Kama Ukubari Huduma ya mtumshi chilolo Epu nenda salama ..ukasikize Nyimbo za bongo 😢😢usikwaze moyo wake ...
Amen God is great all the time 🙏🙏🙏💯✔️
Nine penda sana uimbaji wako mungu akusaidie sana ktk uimbaji wako
Ameen
Mimi nanyimbo zake Kama zote nampenda Sana
Nakubali sana
Nimepata mchungaji barikiwa sana
Leo nmechelewa duh
😂😂😂
Tena kwa sasa wachimbe mafupi maana kibao kimegeuka watatumbukia wenyewe tumo mbawani mwa Yesu wetu
Ameen
🙌🙌 Kiteto Land hiyo God bless you my brother good Song
Ameen