Martha Mwaipaja - Sipiganagi Mwenyewe (Official Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ม.ค. 2020
  • Ukiwa kama ndugu wa karibu kutizama wimbo wangu unaokwenda kwa jina la sipiganagi mwenyewe Mungu akubariki.#MarthaMwaipaja#SipiganagiMwenyewe#MusicVideo.
  • เพลง

ความคิดเห็น • 4.2K

  • @WYCLIFFEOKONDO
    @WYCLIFFEOKONDO 3 หลายเดือนก่อน +63

    Hakika kama umepiganiwa na mungu kwa maisha yako nipe like........from kenya kanairo vita napiganiwa na baba aaah..

  • @nelsonmmbaga6886
    @nelsonmmbaga6886 4 ปีที่แล้ว +1074

    One of my best Gospel Singer! Kama wewe ni shabiki wa matha mwaipaja na Kama unaamini kwamba hupigani mwenyewe gonga like twende pamoja

    • @rachaelwehu3197
      @rachaelwehu3197 4 ปีที่แล้ว +16

      Amen amen mungu atushindie majaribu yetu amen

    • @evakimario1278
      @evakimario1278 4 ปีที่แล้ว +8

      Haya. Nguvu ya MUNGU NI KUBWA

    • @eunicemghoi1149
      @eunicemghoi1149 4 ปีที่แล้ว +10

      Kwl, sifa kw Mungu.

    • @lucyjoseph1836
      @lucyjoseph1836 4 ปีที่แล้ว +6

      Saf sana

    • @pamelamboma6725
      @pamelamboma6725 4 ปีที่แล้ว +5

      Am the no one fan of Martha Mwaipaja....Mezio sipiginagi mwenyewe

  • @muikambamargreat1835
    @muikambamargreat1835 4 หลายเดือนก่อน +34

    Whos here 2024 kupiganiwa na baba❤

    • @kemuntoabigael-ig9em
      @kemuntoabigael-ig9em 2 หลายเดือนก่อน +1

      🙏🙏

    • @milgredmwakila2119
      @milgredmwakila2119 8 วันที่ผ่านมา

      @@kemuntoabigael-ig9emnnnnmmmnnqqqmnnmqnnnnnnqnqqnqnnqqqqnnnnnnnqqqqqnnnnnnnnnnnnnnnnnnnnqqq

  • @FabianDirector
    @FabianDirector ปีที่แล้ว +46

    Kama una mkubali Martha naomba like hata 💯 zinatosha

  • @edsonchrissofficial__6613
    @edsonchrissofficial__6613 4 ปีที่แล้ว +500

    Mimi wa kwanza kam hupiganagi mwenyew like apa Mungu akubariki

  • @winniek.8855
    @winniek.8855 4 ปีที่แล้ว +305

    Mwaka huu wa 2020...nakuwachia wewe yesu. Sitapigana, sitashindana. Simama kwa zamu yesu.
    Bless you Dada Martha.

  • @kicmarthawa6659
    @kicmarthawa6659 2 ปีที่แล้ว +96

    Amina Amina. Ukisikiliza huu wimbo akika unapata nguvu ya ukimya kwa maadui zako na kukaa na kuangalia mungu anavyo wachapa maadui zako. Jamani kumtegemea mungu ni rahaa sana.LIKES ZENU KWA MARTHA MWAIPAJA 2022.

    • @hitamungujeandamascene5710
      @hitamungujeandamascene5710 ปีที่แล้ว

      KUSEMA NI KWEMA KUNYAMAZA NI ZAIDI.

    • @vumiliasaidi7552
      @vumiliasaidi7552 ปีที่แล้ว

      amen mingi Manungu akipigania tangu utoto wangu hadi mwisho wa maisha yangu

    • @mbakapetermungai2545
      @mbakapetermungai2545 ปีที่แล้ว

      Wakati nmfungikiwa nausikiza huu wimbo akika wanitia nguvu

    • @hitamungujeandamascene5710
      @hitamungujeandamascene5710 ปีที่แล้ว

      @@mbakapetermungai2545 huyu ni msanii wa karne ! amepakwa mafuta na Mungu, kwanza kabisa mimi ningebahatika kukutana na yeye ningemutunukia tunu nzuri kwa kuniwezesha kufaidika kujua lugha ya kiswahili kwa methali na misamiati kadha wa kadha .kutoka RWANDA mimi naitwa JEAN DAMASCENE HITAMUNGU Mbalikiwe nyote msiochoka kumfuata dada mpendwa Martha Mwaipaja Amen !

    • @esther5838
      @esther5838 ปีที่แล้ว

      Ukwel lazima mungu anibariki nikamshinde maadui eeeh mungu niokoe nione ufalme

  • @PaulGitua
    @PaulGitua 3 หลายเดือนก่อน +7

    I have not been going to church for 6 years but this song has changed my behavior sincerely speaking, and to all Martha funs and followers be blessed all❤

  • @enockndale8472
    @enockndale8472 4 ปีที่แล้ว +391

    kama vita vyako sio vya damu na mwili bali vya kiroho basi pita na like

  • @sandragithinji3156
    @sandragithinji3156 4 ปีที่แล้ว +363

    Wonderful song...kama unaamini kua upiganagi mwenyewe ila Baba ndiye ukupigania. Gonga likes za Martha hapa tukiendelea kuskiza na kusoma comments...

  • @JoyceOkhako-cg4ee
    @JoyceOkhako-cg4ee 11 หลายเดือนก่อน +7

    Hakika Mungu ananipigania sana,ananipitisha kwa watesi wangu pasipo Mimi kujuwa🙌🙌🙌💪💪🙏🙏 barikiwa sana dadangu, nyimbo zako Huwa zinanijenga sana🎉🎉

  • @marymhoja4522
    @marymhoja4522 2 ปีที่แล้ว +9

    Amina sana nimebarikiwa nawaomba na wengine wanaosikliza wimbo huu wamuweke Mungu mbele awe mtetezi ...........hakika hakuna kinachoshindikana

  • @violinenyakara5028
    @violinenyakara5028 4 ปีที่แล้ว +250

    This song is about me haki, Mungu ananipigia, wapi likes za Martha, she's a blessing

    • @fatumahamadi9628
      @fatumahamadi9628 4 ปีที่แล้ว +6

      Very amenipiginia huyu mungu sijuwi ni mlipe nini jamani

    • @edwinmunyasia7449
      @edwinmunyasia7449 4 ปีที่แล้ว +6

      Haki hii nyimbo niyangu. Mungu ananipigania kwa kila hali Martha be bless

    • @godlovejulius6839
      @godlovejulius6839 3 ปีที่แล้ว +4

      @@fatumahamadi9628 I am

    • @mungesamwel8542
      @mungesamwel8542 3 ปีที่แล้ว +4

      Infact mungu ni kila kitu

    • @AS-om8rc
      @AS-om8rc 3 ปีที่แล้ว +5

      Hakika kama uliniimbia mimi! Much blessing Martha Mwaipaja

  • @kambuajeniffer5300
    @kambuajeniffer5300 4 ปีที่แล้ว +264

    Especially for single mothers people don't have full respect for us . But only God fights for us. Wagapi wakubaliana na mimi?

    • @sarahrichard7608
      @sarahrichard7608 4 ปีที่แล้ว +5

      Amen. The ALMIGHTY GOD is our only refuge and strength in the might name of JESUS CHRIST.

    • @risperomochiemo825
      @risperomochiemo825 4 ปีที่แล้ว +4

      Very true but sir God haezi tuacha anatupigania

    • @dorcaskapus3860
      @dorcaskapus3860 3 ปีที่แล้ว +4

      True

    • @ms.linetmutungakalamu9008
      @ms.linetmutungakalamu9008 3 ปีที่แล้ว +2

      Linet Kalamu

    • @alla1325
      @alla1325 3 ปีที่แล้ว +4

      True speaking especially for us single mothers most of people they don't respect us,bt in all jehovah God is our fighter, waau

  • @jaredombati3508
    @jaredombati3508 ปีที่แล้ว +55

    I love listening to this inspiring song, hakuna sababu ya kupigana na wenye wivu, tamaa,uchawi,madharau na wenye wako na mipango mibaya kwa maisha yetu, tuwachie BABA mwenyezi Mungu awanyoroshe mwenyewe.

  • @graceatieno509
    @graceatieno509 ปีที่แล้ว +44

    Here two years later, testifying the goodness of the Lord. He has fought very difficult battles for me. Today am a living testimony of the hand of God

  • @mirriammawia7595
    @mirriammawia7595 4 ปีที่แล้ว +26

    Wapendwa tuzindi kupinganiwa na Mungu❤❤like za Martha zi wapi jameni????

  • @aggreysk7000
    @aggreysk7000 3 ปีที่แล้ว +136

    Napiganiwa na Baba 2021 here we come ..Nani anabarikiwa kama mimi .. Nairobi Kenya

    • @marycinekipsat9314
      @marycinekipsat9314 3 ปีที่แล้ว +1

      Nmebarkiwa sana be blessed.

    • @emeldandunge2901
      @emeldandunge2901 3 ปีที่แล้ว

      Martha God bless you more your songs zina fanya nkumbuke mbali

    • @reymuta3532
      @reymuta3532 3 ปีที่แล้ว

      I'll e

    • @nkyatech1989
      @nkyatech1989 3 ปีที่แล้ว +1

      hatupigani wenyewe hii 2021.....nabarikiwa nikiwa Dar es Salaam Tanzania

    • @kelvinndelwa5523
      @kelvinndelwa5523 3 ปีที่แล้ว

      @@emeldandunge2901 acss

  • @elizabethkamau6086
    @elizabethkamau6086 3 วันที่ผ่านมา

    Here 2024 to testify huwa ananipigania.. Nrb Kenya

  • @liztom5051
    @liztom5051 ปีที่แล้ว +6

    This song inanipea nguvu na Imani maishani. Mungu nipiganie bila wewe Mimi siwezi

  • @joelwuodjuma3230
    @joelwuodjuma3230 4 ปีที่แล้ว +53

    Hakika hats mume wangu bado namwambia cpiganagi mwenyewe !

  • @happynesskibona2679
    @happynesskibona2679 4 ปีที่แล้ว +6

    Kwa kweli huu unanibariki sana ktk maisha yangu na unanitia moyo sana maana ktk hii Dunia Kuna watu ambao kwa macho ya kawaida huwezi kuwatazama bila msaada wa Mungu ee Mungu naomba unipiganie peke yangu siwezi hii vita ni vikali sana kwanguu😭😭😭😭

  • @lightnesskweka4774
    @lightnesskweka4774 ปีที่แล้ว

    Asante sanà Kwa huu wimbo. Kumbee 😢 napiganiwa na Mungu Alie hai 😢😢😢🙏🙏 Ameen namuona sanà

  • @sabinahnyaboigo2125
    @sabinahnyaboigo2125 ปีที่แล้ว +5

    My favorite song nikisikia hiyo na ninaona kesho iliyopangwa n Mungu l leave everything l doing to listen first, go on mwaaaaaauuuuu 🔥

  • @salhasemeda8050
    @salhasemeda8050 3 ปีที่แล้ว +70

    Miee ni mwisilam lkn waallaah nyimbo za huyuu dada zanigusa mnoo shukriaa kwa allaah na viumbe vyakee🙏🙏🙏💞💞😘

  • @omboks
    @omboks 4 ปีที่แล้ว +132

    Wapi likes za team Gospel 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪254 listening from 🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦

  • @dn.k5608
    @dn.k5608 ปีที่แล้ว +1

    Asante Martha, Nimebarikiwa, Mungu baba ndiye mpiganaji wetu.

  • @hashimrwazi1676
    @hashimrwazi1676 ปีที่แล้ว

    Ni. Kwel mungu kanipigia katika shida, na majaribu yote, hakikq mmm sipiganagi mwenyewe napiganiwa na baba mungu, hata wew ndugu yangu, mwambie mungu hakupiganie katik maixha yako, kama meshark na abedinego,

  • @marymarie9941
    @marymarie9941 4 ปีที่แล้ว +319

    Wow! Huwa wanibariki Sana dadangu, nakupenda Sana dada martha.
    KAMA NA WEWE WABARIKIWA NA HUYU MPAKWA MAFUTA GONGA LIKE TUENDE SAMBAMBA

  • @blandinamnyinga8318
    @blandinamnyinga8318 4 ปีที่แล้ว +48

    Huwa sipigani mwenyewe maana tangu utotoni napiganiwa na babaa""hallelujah"wengi tunapoteza nguvu nyingi kutaka kujitetea na kujisafisha mbele ya wanadamu"acha YESU akupiganie"na matokeo yake watesi wako wote watakuona uking'aa na kupanda kila cku in Jesus name.

  • @ergyebuelaaoci1685
    @ergyebuelaaoci1685 ปีที่แล้ว +2

    Kwaeshima kubwa sana Dada sijui nikupe nini ni Mungu tu ndo atakulipa kukazi uyofanya

  • @anjelinamukabane664
    @anjelinamukabane664 2 ปีที่แล้ว

    Nikweli napinganiwa na baba yangu bila yy mm sio kitu,,,,,barikiwa sana kwa huyo wimbo mungu akubariki sana 🙏🙏🙏🙏

  • @mirriamadoket9191
    @mirriamadoket9191 3 ปีที่แล้ว +32

    Huu wimbo unanipea nguvu ya kuvumilia mengi katika dunia nashukuru mungu kwa yote...ubarikiwe sana.

  • @naomiwambui6010
    @naomiwambui6010 4 ปีที่แล้ว +225

    Napinganiwa na yesu, who is still saying that in may 2020

  • @user-qh2ij4sj1j
    @user-qh2ij4sj1j ปีที่แล้ว

    ❤❤❤Mungu nimuweza kuna siku nilikua napigiwa vita kazini mu ni nani alinipigania sahi niko abroad waliompiga vita walifutwa kazi much ❤❤ my god

  • @user-kr1tl2fj2u
    @user-kr1tl2fj2u 8 หลายเดือนก่อน +1

    Dada katika jina la Yesu kristo Mungu akubariki sana.Huu Wimbo huwa unanigusa sana kila mara ninapousikiza.Na nilipata funzo kuwa Mungu hawezi kutuacha tuishi katika mateso

  • @leilabasil
    @leilabasil 2 ปีที่แล้ว +4

    This song came nikiwa kwenye kipindi cha betrayal Kali sana,it was my song,Na bado naimba hadi Leo...Asante Mungu,Asante Martha

  • @misanakulwa4083
    @misanakulwa4083 4 ปีที่แล้ว +143

    Ngonga like twende pamoja kama tumemsoma Matha, nooo kupgana na Mtu2020, na maisha yenyewe mafupiii..

    • @ipmtv3298
      @ipmtv3298 4 ปีที่แล้ว +1

      Unajua mama

    • @chizaedwin8565
      @chizaedwin8565 4 ปีที่แล้ว

      Dada unaweza ongeza kasi

    • @elizabathh6270
      @elizabathh6270 4 ปีที่แล้ว +1

      💯

    • @athumanilawi3254
      @athumanilawi3254 4 ปีที่แล้ว

      Namshukuru mungu kwakweli ananisaidia kwenye mapambano yakidunia from bukwe utegi

    • @etyangariku3554
      @etyangariku3554 4 ปีที่แล้ว +2

      Joshua 23:10_ Kweli sisi hatuwezi kupigana, ni Mungu ndiye hutupigania.

  • @jacintaruguru1471
    @jacintaruguru1471 ปีที่แล้ว

    Mwaipaja sikukufikia jacaranda I wish unigawie hii neema ya gospel music I love u so much siz

  • @noahkipkorir4433
    @noahkipkorir4433 ปีที่แล้ว +66

    I don't think this woman is a human being she just an angel in a mission ♥️♥️

  • @fransavinhonacmela827
    @fransavinhonacmela827 3 ปีที่แล้ว +5

    Yes Napiganiwa na Baba. wewe nipige tu vijembe vyako
    Mwenzio Napiganiwa na Yesu
    Nakupenda sana Dada #♡♡♡♡♡Matha☆☆☆☆♡♡

  • @heriethinocent3407
    @heriethinocent3407 4 ปีที่แล้ว +46

    Hongera sanaaaaaaa my Dada
    Hakika Yesu anatupigania
    Nakupenda sanaaaaaaa my Dada
    Napenda sanaaaaaaa huduma yako
    Mungu akuinue juu zaidi ya ulivyo leo

    • @heriethelieza9930
      @heriethelieza9930 4 ปีที่แล้ว

      Mwajina wangu tuko pamoja me mwenye nampnda sana da martha nabarkiwa sana na nyimbo zake

    • @hilderkihiyo5395
      @hilderkihiyo5395 4 ปีที่แล้ว

      napingiwa na mungu mm

    • @mbaralimweco901
      @mbaralimweco901 4 ปีที่แล้ว

      Hakika Martha Mwaipaja "BARIKIWA SANA", Nafarijika mno na nyimbo zako zilizojaa Utume uliotukuka, AMENITENGENEZA HUYU BWANA na sasa ANATAWALA zinasuuza nafsi si haba.Barikiwa MAMAANGÚ

    • @elizabathh6270
      @elizabathh6270 4 ปีที่แล้ว

      Ameeen🙏

  • @celestinerehema5292
    @celestinerehema5292 ปีที่แล้ว +1

    I have testimony too mungu amenisaiidia niko saudia na nashkuru nmepata kibal kwa hii nyumba naishi kama nko kenya mungu anantetea na mambo mengi atamajaribu yanapo nipata naamin mungu n msaada wangu maombi na kufung imekua silaha yangu hakika sipani mwema huu wimbo unipa nguvu ya kuendelea mungu azidi kututetea watu wa gulf mungu akubariki dada kwa Wimbo mzur tunakupenda.

  • @josphinembashu8837
    @josphinembashu8837 2 ปีที่แล้ว +2

    Napenda kwanza nyimbo zako zote hunibariki sana,Mungu akusaidie sana

  • @everlynnjeri5864
    @everlynnjeri5864 3 ปีที่แล้ว +3

    Mtetezi wa wanyonge nani kama yeye duniani na mbinguni.... HAKUNA he truly fights my battles.

  • @antonythehomeexpert1896
    @antonythehomeexpert1896 4 ปีที่แล้ว +21

    For sure my battles i live hem to God for he's the worrior of my battles he's the burning spear ,mwenzio sipiganagi mwenyewe ninapiganiwa na baba aliye juu binguni.

  • @ellyelly5833
    @ellyelly5833 2 ปีที่แล้ว

    Martha mwaipaja binafsi nakupenda sana ningekuwa na uwezo ningekualika uje manyara utuburudishe , hongera mungu akubariki sana

  • @milkakivuyo9128
    @milkakivuyo9128 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu azidi kukubariki uzidi kutoa nyimbo nyingi maana nyimbo zako huwa zinanibariki sana, ni kweli nilishapiganiwa na baba yangu kule mbinguni🙏🙏🙏

  • @naominyaboke4293
    @naominyaboke4293 4 ปีที่แล้ว +30

    Mungu nipiganie mimi vita siwezi Jehova ...nitete usiache nizame 🙏🙏🙏 barikiwa sana Martha, can't get enough of this am just rewinding

  • @onesmuskyalo5441
    @onesmuskyalo5441 4 ปีที่แล้ว +46

    Am a living testimony that some years ago our God fight for us,I can't forget,He told Moses tell the Israelites that "the enemies you are seeing, you will never see them again"

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 ปีที่แล้ว +1

    Ewe Mungu naomba unipiganie na mimi ,kama unavyowapigania wengine ,mungu usinipite nitendee kama unavyowatendea wengine, Mungu nipambanie na mimi na familia yangu

  • @JescahSimiyu-rm5qp
    @JescahSimiyu-rm5qp 8 หลายเดือนก่อน +3

    I have seen God fighting for my life Infront of watesi wangu,love the song

  • @sarahrichard7608
    @sarahrichard7608 4 ปีที่แล้ว +3

    YESU pekee sliyeshinda yote msalanani atatupigania, atatushindani. Tumwamini kwa mioyo yetu.

  • @bwanjichifundovandamme2497
    @bwanjichifundovandamme2497 4 ปีที่แล้ว +8

    Ukwer ndo huo ata mm cpiganaji mwenyewe anaenipigania ni mungu tuu ubalikiwe Mama mwaipaja

  • @marynafula9037
    @marynafula9037 ปีที่แล้ว

    Hakika mungu amenipigania sana mimi ni ushuhuda uliyo hai kuishi maisha bila msaada wa wazazi wako tangu ningali mdogo na sasa nahitajika kwa hio familia zaidi kuliko mtu yeyote yule

  • @wailabumahmoud5887
    @wailabumahmoud5887 ปีที่แล้ว +1

    Namimi pia huyumwaka nipo katiyawenye wamehweka mikono cini nikaona kupiganiwa na munguwangu wangu kwawatesi wangu woteee amen,

  • @judithonyancha6172
    @judithonyancha6172 4 ปีที่แล้ว +6

    Matha unaweza sipagani alone God ako baba wa mbingu na nchi 2020 gonga. tulikes

  • @SuccesRozie
    @SuccesRozie 3 ปีที่แล้ว +95

    2021 wangapi wanaamini bado Mungu atazidi kutupigania 🙏🙏

  • @MeshackLashaki-wg3nc
    @MeshackLashaki-wg3nc ปีที่แล้ว +1

    Waaaah 👍 good mungu akuinuwe xana my sister napenda nyimbo zako zote 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @sandrahumure8351
    @sandrahumure8351 ปีที่แล้ว

    Mwaipaja nakupenda My wewe twakuombea kusogambere mungu Aendelee kukulinda nakukuinua Amen Amen Amen

  • @philip_kimani
    @philip_kimani 4 ปีที่แล้ว +19

    Huuu wimbo ni kama nimeimbiwa mimi napitia matatozo, shiki na tabu
    ndugu jamaa wamejitenga na mimi lakini najua Mungu
    atanipigania atafanya njia pasipo na njia asante sana dada Mwaipaji

    • @pendoyese4452
      @pendoyese4452 4 ปีที่แล้ว

      Mungu akupe hitaji la moyo wako

    • @philip_kimani
      @philip_kimani 4 ปีที่แล้ว

      @@pendoyese4452 Amen

    • @dicksonchibago9805
      @dicksonchibago9805 3 ปีที่แล้ว

      Napiganiwa na Baba

    • @sallyrembo242
      @sallyrembo242 3 ปีที่แล้ว

      Ok I am going out of the latest news for me l have a good time at home with my friends n I am sure

    • @anethzephulin490
      @anethzephulin490 3 ปีที่แล้ว

      Pole sana Mimi ni moja wapo

  • @claramassoro3312
    @claramassoro3312 4 ปีที่แล้ว +10

    Hakika, haitupasi kupambana wenyewe
    Maana vita vyetu si vya damu na nyama...
    Nabarikiwa sana na nyimbo zako Martha, ongeza bidii Mungu yu pamoja nawe.

    • @stephenwambua6678
      @stephenwambua6678 3 ปีที่แล้ว +1

      Hatuwezi kujipigania....Mungu ndiye mtetezi mwema...barikiwa sana martha

    • @jeniphermbai3892
      @jeniphermbai3892 3 ปีที่แล้ว

      when i listen to this song when am down, it raises me up again.

  • @khamisnasib3405
    @khamisnasib3405 ปีที่แล้ว +1

    Hawezi acha Leo nizame.kama Jana alinitetea, leo kamwe sitaangamia.... Amen🙏

  • @justinamakali
    @justinamakali ปีที่แล้ว +6

    I'm among those whom God has fight for....never fight on your own you'll be defeated.... Glory be to God

  • @mwanahawanurudin2241
    @mwanahawanurudin2241 3 ปีที่แล้ว +3

    Ehee mungu nakushukuru kwani umenipigania Sana maisha yangu mpaka hapa nilipo🙏

  • @itsambogokenyasharon956
    @itsambogokenyasharon956 3 ปีที่แล้ว +7

    If you are reading this undergoing some pressure feeling down, surrender it unto the most high the battle is not yours,be encouraged

  • @paulinemwendwa4913
    @paulinemwendwa4913 ปีที่แล้ว +20

    Wooow what an inspiring song it's. She will remain to be my favorite artist. May God continue lifting her to greater levels and bless her beyond measure.

  • @FatmaKhamis-sq9mx
    @FatmaKhamis-sq9mx หลายเดือนก่อน

    Ni kweri ata mimi kweri ni miisilamu lakini kwa nyimbo za uyu dd Mathar yup vzr na ujumbe wa kweri kabisa

  • @princes6045
    @princes6045 ปีที่แล้ว +53

    Wanaopiganiwa na Baba wa like

  • @everlinekombe7962
    @everlinekombe7962 4 ปีที่แล้ว +8

    Dada barikiwa sana kwa nyimbo zako zenye upako wa mungu,,

  • @joelsichela
    @joelsichela 2 ปีที่แล้ว

    Martha muziki wako ni maalum, nakupenda sana. Labda sielewi lugha yako lakini inatia moyo sana. Ninatoka Zambia.

  • @jeniffermasha2540
    @jeniffermasha2540 ปีที่แล้ว

    Hata NAMI anaendelea kunipigania kila siku na kila saa.barikiwa dadangu Martha

  • @mildredwekesa3357
    @mildredwekesa3357 3 ปีที่แล้ว +3

    Ameen,Martha ubarikiwe kwa kunitia nguvu ,mwaka wa 2019 nlikuwa kwa mlima ambao ulinishinda bt nlipousikia huu wimbo ulinipa matumaini zaidi

  • @blasidajulius2240
    @blasidajulius2240 4 ปีที่แล้ว +6

    Huu wimbo unanibariki sana kwakweli hta mm sipiganagi mwenyew ninapiganiwa na baba,Kama nawwe unapigana mwenyew twende pamoja🙏🙏

  • @elvismugambi1619
    @elvismugambi1619 2 ปีที่แล้ว +28

    God is for all of us. Nobody can defeat his good will for us all. Napiganiwa na baba kweli Amina kabisa. You bless us so much Martha through your songs.

  • @mtutamajala4767
    @mtutamajala4767 ปีที่แล้ว +1

    Vile unavyonibariki Martha.
    Umenifunza mengi Mama

  • @blandinamnyinga8318
    @blandinamnyinga8318 4 ปีที่แล้ว +18

    Msanii ambae ukiacha kumpenda na kumwimbia Mungu""anazipenda nywele zake""so natural and beautiful always.Be blessed Martha in Jesus name.

    • @winfredmunyao.
      @winfredmunyao. 3 ปีที่แล้ว

      I like 👍 her short natural hair too

  • @cherotichlangat2808
    @cherotichlangat2808 4 ปีที่แล้ว +40

    when you trust God he will always fight your battles.wimbo mtamu sana barikiwa dada kwa maana bila yesu hatuwezi.mimi vita siwezi

  • @mercynyanchera-vj3mj
    @mercynyanchera-vj3mj ปีที่แล้ว

    Ni kweli Mungu ndo kila kitu kwetu yeye ndiye anatupigania kwa matatizo makubwa tunayopitia waja apewe sifa na utukufu wake

  • @irenemungure3492
    @irenemungure3492 ปีที่แล้ว

    Kwel sipigani mwenyew Mungu huwa ananipigania sanaa🙏 Asante Mungu wa mbinguni hakika wewe ni mwema sanaa

  • @jacklinewanjiru10
    @jacklinewanjiru10 3 ปีที่แล้ว +44

    I was so weak until I heard this song and I play it daily in my house.
    Mola endelea kunipigania

  • @elizabethsonga840
    @elizabethsonga840 4 ปีที่แล้ว +116

    It was my favorite song the time I was going through frustrations in every area of my life, but Baba Mungu alinipigania I came out victorious. Glory be to God

  • @jacksontuyisabe2576
    @jacksontuyisabe2576 ปีที่แล้ว +1

    Ujuwe kama unanifariji sana kabisa mungu akupe kuishi myaka mingi njo ugermani tunakuitaji

  • @davidmburu933
    @davidmburu933 2 ปีที่แล้ว

    Vita n ya yesu mwana wa mungu atatupigania kama familia in Jesus name

  • @happynesskibona2679
    @happynesskibona2679 3 ปีที่แล้ว +8

    Kwa kweli sipiganagi mwenyewe napiganiwa Na Baba ktk maisha yangu Asante kwa huu wimbo unanibariki sanaa

  • @bonifacensengiyumva742
    @bonifacensengiyumva742 4 ปีที่แล้ว +4

    Barikiwa sana Dada Martha Mwaipaja, nazipenda nyimbo zako, Mungu akuzidie kipaji Mara dufu am Bonny from Rwanda

  • @ruthndila6995
    @ruthndila6995 ปีที่แล้ว

    hk siz martha nyimbo zko znanitianga nguvu sana,zdi kubarikiwa Amen

  • @aluochlencer6032
    @aluochlencer6032 ปีที่แล้ว

    Enyewe umbali huu nimepiganiwa na Ebenezer. Santi sana Dada nimebarikiwa

  • @metiakijoseph9913
    @metiakijoseph9913 ปีที่แล้ว +22

    To those who think salvation is only for the confused and ugly, this is your testimony. Mwaipaja is beautiful, stylish and classy and still love Jesus.
    Much love from 🇰🇪

    • @DorcusMutena
      @DorcusMutena 8 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤❤love mwaipaja songs zina nipeanga moyo

    • @user-zs9in4mg7u
      @user-zs9in4mg7u 5 หลายเดือนก่อน

      Xxdx4xxp6

  • @masakimasaki99
    @masakimasaki99 3 ปีที่แล้ว +114

    She is beautiful, she dresses decently and she keeps blessing us with lovely gospel songs.

    • @marsiananasike5075
      @marsiananasike5075 3 ปีที่แล้ว +3

      I like her dress code. Simple and descent👌

    • @paulinalikiliwike9561
      @paulinalikiliwike9561 2 ปีที่แล้ว

      Uniponya Sana wimbo huu

    • @susysuzzy4055
      @susysuzzy4055 ปีที่แล้ว

      This woman 🙏🙏🙏Martha you're a message to some of us be blessed uishi miaka mingi

    • @rhema9729
      @rhema9729 ปีที่แล้ว

      Mtumishi wa mungu

    • @virginiawambui5568
      @virginiawambui5568 ปีที่แล้ว

      Figure nayo🔥 ,anafanana na sarah selem

  • @Faith-xt9vs
    @Faith-xt9vs 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kila moja anaye soma aniombe napitia magumu kabisaa huu wimbo unibariki mungu wangu

  • @phidistersaumu4411
    @phidistersaumu4411 ปีที่แล้ว

    Mungu akuzidishie Dada coz Vita ninavyo hapa kazini naomba mungu anipiganie

  • @graysonmghamba6511
    @graysonmghamba6511 4 ปีที่แล้ว +106

    Africa this is our season to show the world how to praise God!

  • @euniceshivayanga2220
    @euniceshivayanga2220 3 ปีที่แล้ว +18

    The battle belong to him, mine is to give Him to find for me. Thank God

    • @brianfarzkadaji
      @brianfarzkadaji 3 ปีที่แล้ว

      True because we have no other but him alone
      th-cam.com/video/uGoFA4ZAPr4/w-d-xo.html

  • @magrethkapinga1811
    @magrethkapinga1811 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu endelea kunipa kibali nabarikiwa sanaaa na nyimbo zako Martha ❤

  • @zipporahcosima7882
    @zipporahcosima7882 2 ปีที่แล้ว

    Ni kwali atupingani wenyewe.ubarikiwe mtumishi wa mungu. I love this song from my heart inanibariki sana

  • @kelvinkimutai1774
    @kelvinkimutai1774 4 ปีที่แล้ว +6

    The best chorist,,,,,,oh Lord be my fighter,,,,,wapi likes jameni for her

  • @sophiasafari7351
    @sophiasafari7351 2 หลายเดือนก่อน

    Amina Mungu amenipitisha kwenye magumu na kunipigania Hadi nimeshindaaaa ushindi wa kishindo milele.

  • @mariambwana4827
    @mariambwana4827 2 ปีที่แล้ว

    amen wimbo umenibariki, vita siiwezi atanipigania Yeye. uuuuuuuuuuu mwenzenu sipiganagi mwenyewe

  • @worshiplibrary7157
    @worshiplibrary7157 ปีที่แล้ว +96

    I'm ex muslim. This song make me realize that the Love of JESUS greater than anything in this world. Hallelujah