One of the best show in wasaf tv na 🇹🇿 Tanzanian kwa ujumla hongera sana sanyaa endelea na vipind kama hivii kuna watu wengi utawaokoaa upewe maua yako mapema unajituma ssna
Mungu akubariki sana Sanya ni wachache sana tunaowajali watu wa aina wengi wetu tunawachukulia hawa ni watu wasio na mchango tena ktk maisha lkn ukweli ni kwamba tukijitoa kwa dhati kwaio wanaweza kubadilika na tukaishi nao ktk jamii ya kawaida
Tangu umeanza kufanya hivi vipindi basi hii ndo interview bora kuliko zoote.Jaribu kumsaidia zaidi kama ipo ndani ya uwezo wako mwanangu.Heshima yako Sanya.
One of the best show in wasaf tv na 🇹🇿 Tanzanian kwa ujumla hongera sana sanyaa endelea na vipind kama hivii kuna watu wengi utawaokoaa upewe maua yako mapema unajituma ssna
Dah brother angu huyo namkubali Sana nilikua nikitoka gym na pita stand kimara akiniona lazima anipandishe Gari la home salute sana
Jamaa yuko real sanaaa. Akilii nyingii sana
Mungu amsaidie aache madawa❤
Amin
Allahuma Amin 🤲🤲
Wangempeleka Sober atakuwa vizuri kwa sababu anakaa palepale wanaomeza Muhimbili wakirudi mitaani wanarudia
Respect sanaaa nembo ya mtaa 🎉🎉🎉mungu akusimamie
Nachokiogopaa kuhusu munguu ata wale unaoona hawafai bado anawaheshimishaaa kwa wao kulitamka tu jinaa lake....😢😢
Ameeen
Nikweli kabisa hata sauli alikuja akawa paulo
🤔🙏💯
Mungu akubariki sana Sanya ni wachache sana tunaowajali watu wa aina wengi wetu tunawachukulia hawa ni watu wasio na mchango tena ktk maisha lkn ukweli ni kwamba tukijitoa kwa dhati kwaio wanaweza kubadilika na tukaishi nao ktk jamii ya kawaida
Huyu jamaaa Yuko vizuri sana aseee... 🔥 Hii ndio culture and reality ... 👍
Much love..more town sanya so humble man
This guy is so really 🙌🏻🙌🏻
Apelekwe Sober ya Kigamboni kwa PILI MISSANA ile Sober nzuri sana
Sanya fanya weka namba ya miamala tufanye kweli ata chochote kitamsaidia saaana ani fanya ivo kama vp ♥️♥️♥️
Jamaa mstaarabu sana,kweli usimdharau mtu...nmejifunza kitu
Appreciate sanaaa kaka 🫡🫡🫡🫡
Tangu umeanza kufanya hivi vipindi basi hii ndo interview bora kuliko zoote.Jaribu kumsaidia zaidi kama ipo ndani ya uwezo wako mwanangu.Heshima yako Sanya.
And thank you double M, for your story i have Leaned alot,
Mungu akubariki sana bro sanya naomba msaidie uyoo jamaa aende soba tu ili arudishe afya yake naamini anaweza kuacha na tumuombee ❤️🙏
SEMA montaa Umetisha🔥🔥
Moyo safi sanya 🙌🏻
nimecheka2 apo kwny duka la nguo...enda ziuza izoooo🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌 ila sanya masha'allah mwenyez mungu akuzdishie mwaya☝️🙏🙏😘😘📌📌📌
Maisha yanasili sana. Sema unyama sana bro sanya/wasafi
Mmetisha sana Sanya..usimuache huyo jamaa mpaka akae sawa..ana madini balaa
BIG UP 🫡💪 TO PRESENTER AND ALL SESSION CAPABLE
Hii ndio interview pekee niliyoangalia full bila kupeleka mbele Au kukimbilia kwenye comments... Big Up 🙏
Oya nilijua mwenyewe tu
Changamoto ni nyingi hapa mmetisha sana
BIG UP 👊 , GUD INTERVIEW, GOD BLESS DOUBLE M
Dah unyama sana katoklzes 😊
Daaah Sanya umefanya jambo ambalo tumeguswa nalo
Nakubali sanya ..mjomba kakupa content kali ya kitaa
Safi sna ,hiyo imekaa powa sana
Dahhh mungu amjaalie atoke huku dahhh
Hing meditation kingdom, mwamba ana kitu uyu 🎯
Wa kwanza ku comment 😅
Show kama iziii uwakika🎉🎉
Sanya mungu akupe maisha malefu mzee 👊
Daaaah yanya so poa utwengwee mzee wangu god bless you
Respect bro for this
Double M mjengoni tena😂🙌
Jamaa ana kitu huyu 🎉🎉🎉
Well done Sanya,ishi nae uyo asirudie madawa
Sanya mpelekeni Sober Mwenyeez Mungu atawalipa
Wowowo 🎉Wow hongera sana
SANYAAAAAA👊👊👊👊👊
Brother sanya msaidie hiya😍😍
Show hatari sana. Imenifurahisha sana. Upendo kutoka Kenya
Oy Sanya umefanya jambo lamaana Sana pia mwenyezi MUNGU atakuongezea❤❤🎉🎉🎉🎉
😊
Asilimia kubwa ya majunk ni watu smart sana kichwani bac tu madawa ndo yanawavuruga!😢😢😢
Sema sanya jamaa anakitu huyu mtengenezeeni kipindi
Nikwel kabsa
Sasa sio hchi kipindi au unamaanisha nn?😅
Kingine nmependa ngoma kali zinapigwa kama akina tony yaye,crack the don,etc
Sema Broo Sanya unamaswali ya kinafki sana
LIFE IS TODAY... Big thing 🔥🔥🔥
Mwana ni champion ila anashindwa kujisimamia imean anashindwa kujiamini
Ndo madawa yanavyowafanya wana @@anorldmassawe7048
Spread love
That is love ✌
Sanya kama sanya😢😢😢
GENIUS
Daaah Mwanangu Mo hii ni zaidi ya love mzee. Una akili sana
Et jibaba liba unenge😂
No strings attached😂🙌🏾
Bro msema kweli boxer sina😂😂😂
Hahahha boxer sinaaa😅😅😅😅
safi sana kaka
Kasha uza tyr😂😂😂😂😂
Nembo ya Mtaaa. Umetisha sana Sanya
Noma sana 🔥
Nakubaliiii sanaaaa
Sema kusimama sasa hawez kunyoka😅
Bonge la interview 😅Sanya uwe unaingia kitaa kuhoji Wana watakupa life story Yao na maisha Yao ya kitaa .na kipindi kitakuwa Bora sana👊
Sema jamaaa wana madini saana kichwani alafu ndoto kubwa kichwani
MO town hii kitu imenifurahisha Sana mana hata mimi nilifikria umtafute Tena huyu jamaa
Nilijua tu lazima cheni auze au anywee pombe
Duh Sanya Fanya kweli umetisha lkn usimwache
Eti tulia msikilize kwanza
Kwa Nova hapo ...
Kiepe cha hapo ni hatari
Tanzania ina ma real nigga wengi tu wanapoteza kisa madawa ujue.. watu muhimu kama hawa🙏🙏
Msaidie uyo namjuwa kasona uyo kaka madaw tu ndio yamemuaharibu lkn kasoma sana mm namjuwa emanuel msigwa jina lake
Allah amtoe kwenye mtihani wa madawa
Respect
Bab kubwa sana Sanya
Sanya respect 🫡🫡🫡🫡
Alimgunia wapi jamaa yuko makini sana Sanya
Hapo kwenye sina boksa nitatia aibu,, aweeeeee 😂 😂 😂 😂
Huyuu jamaa enzi hizo alikuwa na mwamba mmoja anaitwa Noel saiv anafanya Kaz coca-cola, na proff jay ilikuw bonge la comb
Sema sina boxe😂😂😂
Huyo jamaa ni mwana sana, muda wote nilivyokuwa nikiishi Msikiti Mdogo nikiwa naenda mizunguko ya kimaisha nilikuwa namuona sana aiseeh.
Anapewa na yeye anatoa apo apo,muungwana na vitendo
@motownsanya✊🏾
Sanya umetisha sanaa bro🔥🔥🔥🔥🍷🍾
Mumfanyie interview namba 2, alivyokana kuja kuuza hizo nguo ndio kitu kinachonisukuma kuona mahojiano naye no. Mbili.
Duh, Sanya, MUNGU akubariki, sanya juu Kilimanjaro Moshi
Uyu jamaa tunamtaka kwenye Fresh weekend anamastori mengisaana yamtaan
LIVE HUYU MWAMBA DAHH
Mwanamke alikua sababu kubwa ya jamaa kula madawa💔
Namkubaliii sanaaaa
LOVE ❤
😂😂😂😂Ety boxer sinaa
Nakubal sana sanya hii kubwa sanaaa
Hawa jamaa wanapiga yai la kwenda
nembo ya mtaa Mungu akuweke sana kaka ili kubwa sana kaka
🥰🥰🥰🤗🤗😘😘😘
Mwamba apelekwe Soba akae sawa then awezeshwe ana kitu kikubwa sana
🤝LIFE IS TODAY
Nimecheka eti nyoka bac