I think he doesn't know even who sang that song... am the one and am not singing any more, I didn't distribute my songs... I wish he knew that... siko radhi kabisa na hichi anachokifanya 😥
Sikujuwi wala hunijuwi... ni mimi nimeimba nyimbo hii pamoja na ile ya kimasomaso japokuwa unaweka faces za watu wengine, mimi sijauza wala kuzieneza nyimbo zangu sijuwi umezipataje... mimi nimemuelekea Allah siimbi tena wala sitaki nyimbo zangu zisikike, lakini wewe umeziweka kwenye TH-cam bila ridhaa yangu... nakuomba uzitowe immediately, siko radhi kabisa na hichi unachokifanya 😥
💕💕💕🌹naaaam nakumbuka kwetu Tanga tu na ndundu yangu mieeee
👌👌👌
👏👏pambe
Santaa👌👌🤝
Tanga moja huyo!!!
Pambe wacha we3❤️
Marjan, you should be indicating the name of the band as well. Thank you
Oryt Brow
Bro hiyo nyimbo ya kwanza inaitwaje
@@marjansempa naomba kukuliza jina taarab moja ila sijui ndakuuliza wapy kwa maana ni video na sijui nani kaiimba
I think he doesn't know even who sang that song... am the one and am not singing any more, I didn't distribute my songs... I wish he knew that... siko radhi kabisa na hichi anachokifanya 😥
Zilizo pendwa mashala
good one

😍😍😍😍
🥰