Mii naomba moja siijui jina. Unaanza na manano haya...." Niwambie..nisimwambie, Nivunje kikombe, Umachwa umetupwaa hutakiwi tena, kwangu mimii sasa amekwama.." anaye ijua jina na mwimbaji aniambiee.
Tafadhali tuwekee LIMBUKENI!! Naona wanitafuta limbukenie Mimi nakuangalia,ulioimbwa na Ally Star wakiwa TOT Pia tuwekee TXmpenzi dokta wangu zamani ulioimbwa na Khadija Kopa akiwa na TOT
Misambanooo weee una balaaa wahenga tunakutana hapaa🎉
My favourite 2023 still more 🔥
In 2020 still hii song ni 🔥🔥🔥🔥
My favorite tarab song of all time💝💝💝
💪🏻💪🏻💪🏻💪🏻😘😘😘 bonge la nyimbo
Sweet memories 💖
Hii ngoma yanigusa maini yaani!
My favorite song,yanikumbusha mbali..😍😍
Itabaki kua juu. Misambano the legend 2019 23 sep ndani 968
mimiii nitadumu kwake milelee hadi milelee...halooo😍😍
Big up to the legends, not forgetting the one updating the tracks. Long live brother Sempa. 💪💪💪
Thnx😚
@@marjansempa Anytime,
Thank you sir😀
😍😍teeeyna 😍😍😍😍nimerowaaaaa
🥰🥰🥰
jamani co masihara abul misambano ni hodar
Aonaeee uchungu atajaza mwenyewe,,, welaaazzzzzzzzz
Malijani umenikumbusha mbali sana naomba natanga na njia ya Ally star
Wacha tuonde stress za warabu 🙄🙄🙄🇸🇦
Kabisa dada
Swadakta Habibty
Kaif halak
🤗🤗
Mashaaallah za kale tamu.
Shukran sana Marjan,Naomba na ule,Muacheni ajigambe huu ni wakati wake,by Misambano.
Nyimbo tamu sana yani furahisha😊😊❤❤❤
Mii naomba moja siijui jina. Unaanza na manano haya...." Niwambie..nisimwambie, Nivunje kikombe, Umachwa umetupwaa hutakiwi tena, kwangu mimii sasa amekwama.." anaye ijua jina na mwimbaji aniambiee.
Ukipata nambie na mm,
Mbaliiiiiii saaaasna pale ndanj ya magomeni duuuuuuuuu haya waenga mpoooooooooo tujuane umuuuuu
Zamani sana nakumbuka mbaaali sana
Yani hadi raha 2020 tunatoa stress za corona
Safi sana kweli ya kale dhahabu tuwekee itakuwaje kutupenda wawili
Imenikumbusha mbali kwa kweli hhhhhhhh
umenimaliza kabisa lo... lo...
wimbo huu unanikumbusha mbali sana nitafutie wimbo Wa muungano ameimba zainab hili penzi so mzizi.
Liwalo na liwe 👌nimeshavutiwa 2020
Moto kama pasi. 2020 niko hapa!
😁 😁 😁
Hatari sana.
2019 mambo ni 🔥🔥🔥🔥🔥
Tupooo Dec tena
Nice song mm niacheni kwake sibanduki aaaaa umeweza kakangu
Huu wimbo umenifanya nikeshe macho ya nimeirudia rudia hadi nikajisahau kua watu hulala nakumbu kenya na harusi zamani hizo 974
Tuko pamoja Fatma tunu 974
Always old is gold 😀
Tuko pamoja dia +966
Tuko pamoja +968
Pamoja 974
Tuekeeni utatupendaje wawili nawe una roho moja alafu asu wangu pia twaitaka
Zipo tafuta utapata.
Yaani hatamimi nimejaribu kutafuta kwa kuandika hivyo ila sijaupata…. Naomba waturushie japo link yake
Yes mm pia nataka hiyo
Nitafuteni kwa Whatsup +966590705124 ni warushie "Itakuwaje kutupenda wawili."
@@imranbasy4022 nitakutafuta shost unirushie huowimbo naupenda hatari… nilikuwa sijui nitaupataje.
Katika maisha yangu cjaona anaweza kuimba Kama Abdul msambano
Safi sana boss unatukumbusha zamani. Naomba utuwekea nyimbo ya Sada Nassor ameimba TOT "kubali matokeo" kama jina ndilo sahihi
Nyimbo inanipeleka mbali...favourite taarab song
Hongera
Naasikiza nikiteremka zangu mombasa raha tupu
All the love from Saudia
Thanks
Jamani mapenzi 😢😢❤❤
Joka 👦 boy3,mungu,2,sana,
Kwa mitindo yako akuna Kama wewe😂😂😂😂
Mbali,mbali sana,dj asante sana,ila naomba assuu
Tafadhali tuwekee LIMBUKENI!!
Naona wanitafuta limbukenie
Mimi nakuangalia,ulioimbwa na Ally Star wakiwa TOT
Pia tuwekee TXmpenzi dokta wangu zamani ulioimbwa na Khadija Kopa akiwa na TOT
Yani hii nyimbo zama hizo ilikuwa kiboko. Shukuran misambano
Marjan your the best ❤😘
Who's is her July 2019
Mimi hapa
Tuko pamoja sana
Mimi hapa
Mie hapa
Big up brother,naomba unitaftie ally star utakufa nacho kijiba cha moyo
Oky kka
Nimekumbuka mbali sana
Old is gold
Guys kuna wimbo Mmoja wa BABLOOM MODERN TAARAB unaimbwa kwa kibwagizo cha USINIACHE MWAFULANI YATANIFIKA MAAFA
Bado nasikiza nyimbo VP mshamaliza ku-comment nami nianze comment
😂😂😂
Nostalgia
Nice song from Spain i like it
Misambano unatisha
Big up marjan sempa uko juu
2021🔥
Kunanyimbo naitafuta sijaipata natanga na njia
Nahangaika kumbe miongoni mwetu kuna wapambe
Asemaeee na asemeeee
Bdo naskiza hapa 2021
Achana na hii ngoma asee nimezaliwa 90 lakini nazijua ngoma zote za misambano
Hii ilitamba sana nimezaliwa 90 pia mm aki nilikua nasikiza sielewi leo ndio naiskiza duh
@@mimahmimah8793 watoto wa 2000 ndo wanasikiliza tetema 😂😂😂
@@nasrirabilyasini6820 🤣🤣na kanyaga
@@mimahmimah8793 aise kweli kitu ukikipenda bhana
Nimefurahikweli kipatahii…. Ila naomba pia hii; ITAKUWAJE KUTUPENDA WAWILI , NAMI NAJUA UNAMOYO MMOJA. Nimeitafutasana sijaipata .
Weka namba nikurushie
Kombo nirushie please, 0705102053
Oohh yesssssss
22/2/2020 for Dubai abudhabi
Nice
Kwl kabsa .....
Nani ipo apa 2020
MashaAllah misstari
Uyu jamaa hatari sana
Mambo ni moto
Halooooo niwangu huyoo hatariiiii
We achaa tu utatuliza
5/01/2020
Yaani hatar
Naitaka nyimbo enyi ndugu Z angu msifanye chuki.yeye.kunipenda isiwe sababu
Mashallah mambo ni moto hatari sana
Hii nyimbo nomaa yan👍👍
Itakuwa yamekukuta ndugu
6/1/2020 Nawakilisha
Thanks
Nice song
❤❤❤
Huyu ni wangu
Hlw marijani tuwekee na ile mtumwa wa bwana
woxaaa😚😚
21/12/2020 naipenda sana
Inanikumbusha mbali sana
🎉🎉🎉🎉
Very nice
Niko hapa 2021
Nc
2021
Bado naiskiliza
15/03/2022
Mkoi
🔥🔥🔥🔥
Mimi hii beat ndo inanifurahisha tamu mpaka natoa chozi
Manake utafikiria kuna MTU anatwanga
Bado yamoto
Zirudie nyimbo zakwa shorting zote mpaka Asuu . utauza.
Kinacho nizingua ni???
👌👌👌👌❤❤❤
Utam tuu nipombali mnoo akuna maudhi
Þ
Guys kuna wimbo Mmoja wa BABLOOM MODERN TAARAB unaimbwa kwa kibwagizo cha USINIACHE MWAFULANI YATANIFIKA MAAFA
Old is gold
Nice