Volkswagen huenda ikafunga viwanda vyake Ujerumani, mchawi ni magari ya China

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
  • Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

ความคิดเห็น • 86

  • @alexmalyango1405
    @alexmalyango1405 9 วันที่ผ่านมา +11

    Mrusi aliwambia na hamkuskia leo nimatokeo sahihi na kwetu Africa huu niukombozi sahihi acha tuone panapo vuja zaidi

  • @AbdillahRashidi
    @AbdillahRashidi 9 วันที่ผ่านมา +10

    Hii game Marekani kaicheza vizuri sana yani Kaingiza Ulaya kwenye Vita ya Ukraine ili yeye uchumi wake ukue..

    • @PAULNYANDILE
      @PAULNYANDILE 9 วันที่ผ่านมา +3

      wote USA na ulaya wanapumilia pabaya blood,ila ulaya zaidi kwa sababu walikuwa tegemezi tangia kitambo

    • @allywilson4155
      @allywilson4155 8 วันที่ผ่านมา

      Hata marekani yenyewe amna kitu kiuchumi uchumi umezorota kinoma

  • @Joshuajereman
    @Joshuajereman 9 วันที่ผ่านมา +19

    Mbaka wasemeee kazi kazi ptini wabane mbaka wakubariii MUNGU wetu soteee😂😂😂😂😊

    • @tekashisixtynin9threewithd727
      @tekashisixtynin9threewithd727 9 วันที่ผ่านมา +2

      Asa putin anaingiaje apo kama sio uhaba wa elimu ujakukomboa paka saivi😂😂😂

    • @IshipalemyPasko
      @IshipalemyPasko 9 วันที่ผ่านมา +2

      We ndo huna hakili wala hufatilii hii. Kwa sasa haya yanayotokea ni mpango mkakati wa putini na China kuishusha uchumi wa magharibi. Na hii sii kwa babati mbaya ni mpango huu

    • @Mumewangu
      @Mumewangu 9 วันที่ผ่านมา

      @@tekashisixtynin9threewithd727 nishati kubwa wanachukuwa kutoka urusi. Msikilize huo mtangazaji vizuri

    • @DAVIDKISWAGA
      @DAVIDKISWAGA 9 วันที่ผ่านมา

      Hahahahaaaaa pitini hahusiki katka hili jamani bali ni ubunifu mpya wa kisasa ambao baada ya miaka kadhaa ijayo utasikia mengine tena

    • @DAVIDKISWAGA
      @DAVIDKISWAGA 9 วันที่ผ่านมา +2

      Afu ujue putin hamjui Mungu hiyo ni nchi ya miungu pamoja na China, india. Korea kasikazin pia!

  • @user-gb5vz6wm2q
    @user-gb5vz6wm2q 9 วันที่ผ่านมา +4

    Umeelezea vizuri sana Ali Masubi

  • @noahlameck1564
    @noahlameck1564 9 วันที่ผ่านมา +7

    Walionywa na rais wa urusi Mr. Putini hawakusikia sasa wacha dawa iwaingie
    Chase game ya Narand modi,v Putin na Xi

  • @NdovuDentalClinic_
    @NdovuDentalClinic_ 9 วันที่ผ่านมา +2

    Hawa ulaya wanapotezwa na marekani. Ipo Siku watakuja kuamka wanakuta nchi maskini. Muda wote wao kuwaza vita, kufanya nchi za wenzao kuwa maskini wao wapate , hawawazi win-win situation

  • @Vampiretrust.
    @Vampiretrust. 9 วันที่ผ่านมา +4

    Nchi za magharibi Trump huwa anawambia ukweli lakini wanamwona kama mjinga

  • @shabanimataka8418
    @shabanimataka8418 7 วันที่ผ่านมา +1

    Kumbe ulaya nao watumwa wa america?

  • @FestorMahika-mp7mu
    @FestorMahika-mp7mu 7 วันที่ผ่านมา

    Daaah kiukweli nimeumia sana kusikia hivyo sababu vw ndo gari la ndoto yangu

  • @kilimanjarostarlounge
    @kilimanjarostarlounge 9 วันที่ผ่านมา +10

    FUATILIA ISHU YA TOYOTA KUJA NA GARI INAYOTUMIA MAJI KUSHINDANA NA MAGARI YA UMEME

    • @OnesmoEphrata
      @OnesmoEphrata 9 วันที่ผ่านมา +1

      Ni Toyota model ghan series ghan hebu tupe code

    • @kassimkhalid1185
      @kassimkhalid1185 9 วันที่ผ่านมา +2

      Mtu wa kwanza kufumbuwa gari ,holikopta na pikipiki ambazo zinatumia maji ni kutoka Zimbabwe .

  • @PAULNYANDILE
    @PAULNYANDILE 9 วันที่ผ่านมา +2

    saafi saana aisee! wakowapo wale wapuuzi wanaosema russia ndiyo inaumia saana😂😂😂😂😂

  • @HajiHaji-v9f
    @HajiHaji-v9f 8 วันที่ผ่านมา +1

    China oyee

  • @othmanmaulid4867
    @othmanmaulid4867 9 วันที่ผ่านมา +5

    Rise of Rusian Empire ✌️✌️

  • @TuntufyeMwakaluka
    @TuntufyeMwakaluka 8 วันที่ผ่านมา

    Vikwazo vinawarudia wao.asante mungu

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 9 วันที่ผ่านมา +6

    Ujerumani ndo itakapo jua kuwa kinacho jamba ni tumbo ila matako hutumika kama spika tu!

    • @BarnabaBuhoma
      @BarnabaBuhoma 9 วันที่ผ่านมา

      Wale ni wazungu sio weusi…Ulaya imekuwa na nguvu kihistoria..Tambua kuwa Romani Empire itafufuka tena. Kwa hiyo mnaotarajia Ulaya kuanguka, mtasubiri sana.

    • @mohamedngoshani2067
      @mohamedngoshani2067 9 วันที่ผ่านมา

      Kwan mzungu ndy mungu acha kufikil kwa muamko​@@BarnabaBuhoma

    • @shubebunyesi542
      @shubebunyesi542 9 วันที่ผ่านมา +1

      @@BarnabaBuhoma hahaha ant ulaya man kufufuka tumsubili yesu kwanza

    • @AFRICA_D669
      @AFRICA_D669 9 วันที่ผ่านมา +1

      @@BarnabaBuhoma hawato anguka ila kuna viongozi watajiuzuru nawengine wapo watakao pigwa hadi risasi

    • @BarnabaBuhoma
      @BarnabaBuhoma 9 วันที่ผ่านมา

      @@shubebunyesi542 Unajua mpinga Kristo atatokea wapi?? Yule mwana wa kuasi atakayetawala dunia na kuawaamru watu wote wamwabudu yeye, atatokea wapi????? Au hujui mambo ya kinabii ya huhusuyo siku za mwisho??

  • @innocentnyanganyi3673
    @innocentnyanganyi3673 9 วันที่ผ่านมา

    Upo vizuri kk

  • @melanialeonard4031
    @melanialeonard4031 7 วันที่ผ่านมา

    Wafunge tu me mwenyewe nilifunga grosary mchawi visungura

  • @WebsonMwamnyasi
    @WebsonMwamnyasi 9 วันที่ผ่านมา +1

    Nchini Ulaya tena

  • @kmotivation1130
    @kmotivation1130 8 วันที่ผ่านมา

    waingie kuzalisha magari ya umeme

  • @alisalum2023
    @alisalum2023 9 วันที่ผ่านมา +1

    Unemployment rate itakuwa kubwa sna ghali ya uchumi ni mbaya sana

  • @mohamedaley5632
    @mohamedaley5632 9 วันที่ผ่านมา +3

    Mama Samia kafanya chaguo Sahihi kwnda China 🎉

    • @user-sy4ku4xm7q
      @user-sy4ku4xm7q 9 วันที่ผ่านมา +2

      Jamani unachekesha kweli

    • @omarybakunda2554
      @omarybakunda2554 9 วันที่ผ่านมา

      ​@@user-sy4ku4xm7qyuko sahh

    • @martinisadru9899
      @martinisadru9899 9 วันที่ผ่านมา

      Kwani ye kwenda china itakusaidia nn wewe, tumeanza kushuhudia nyerere akienda china mala nyingi, na hakuna cha maana kutoka china, zaidi ya wao wachina wakituletea mikopo ya mashart ya hovyo, kweli, mauzo ya biashara yao kwetu 90% sisi tunapeleka bizaa zetu 3% wao huona kama bizaa zetu takataka TU. Tumia akili sio matope ulionayo kichwani mwako.

    • @zebedayokatamaduni9676
      @zebedayokatamaduni9676 9 วันที่ผ่านมา

      ​@@martinisadru9899
      Uko Sawa

    • @mohamedaley5632
      @mohamedaley5632 8 วันที่ผ่านมา

      @@martinisadru9899 mpuuzi usikariri... lifes change Kwan ulipokuwa unavalishwa napi sasa hv wenzako wanavalishwa pempas... Hayo unayoongea hayana mantiki kwan anayekupa challenge na chake anataka na ww upambane na ww uwe na chako... halaf usichukulie hio mishoga yko mizungu mibaguz ni Sawa na wachina

  • @Goshi-ov2wy
    @Goshi-ov2wy 9 วันที่ผ่านมา

    Safi, bado hawajasema

  • @lucasmartin431
    @lucasmartin431 9 วันที่ผ่านมา +1

    Wale ambao wanataka Urusi amalizie Vita haraka kwa kutumia Rasilimali nyingi Sasa wanapata Majibu, Angefanya hivyo angepata madhara yeye....Lakini vita ikichukua mda mrefu Nchi za Magharibi ndio zitaumia zaidi kuliko Urusi, ijapokuwa uwezo wa kumaliza vita anao ni GAME PLAN TU.

  • @luckghinfx5931
    @luckghinfx5931 9 วันที่ผ่านมา

    Dah lifebits not fare 😭😭 mchina Mungu anakuonaa

  • @zakariaabdalla-uo3nk
    @zakariaabdalla-uo3nk 9 วันที่ผ่านมา

    Ttzo wanamskilza marekan sanaa

  • @ahmedshariffu2108
    @ahmedshariffu2108 9 วันที่ผ่านมา

    Wangu wa ulaya ni wajnga Sana sisi Africa ni umaskini n Elimu ila ujnga wao wa kujitkiya wa kushkiwa na Wamarekani ndio uliyowafkiya apo Mrusi ni kama Maji usipoyanywa utayakoga hauna namna

  • @issajumaali4009
    @issajumaali4009 8 วันที่ผ่านมา

    Ninachoona hapa ni kwamba nchi za magharibi zinafuata sana mkumbo bila kujali wao wanahitaji nini, yaani wakiambiwa tu na bwana wao marekani wanafuata tu bila kuangalia wao wataathirika vipi, German waliambiwa na MAREKANI waache kutumia gesi ya urusi nao wakaacha hawangalii kuwa huyo anaewaambia yeye yuko very far na hategemei urusi kwenye nishati yake

  • @juliussamson6143
    @juliussamson6143 9 วันที่ผ่านมา +1

    USA anaua uchum wa ulaya bila ulaya yenyewe kujua rais wa zaman alisema ni mbaya kua adui wa marekan ila ni hatari mno kua rafiki wa marekani

  • @ghaniaabdalla2189
    @ghaniaabdalla2189 8 วันที่ผ่านมา

    Ujerumani hamjui adui yake wala rafiki yake yupo t amemkumbatia mmarekean wakat kw mrusi alkua atapat kila kit kw unafuu

  • @yusuphwm
    @yusuphwm 9 วันที่ผ่านมา +1

    Myumbo wa kiuchumi😊

  • @dannywillson5874
    @dannywillson5874 9 วันที่ผ่านมา

    Hawa mpka wajitambue kuwa marekan anawatumia wao 😂😂😂ndo wataokoka

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 9 วันที่ผ่านมา

    Amka amna kitu kama icho

  • @MsangoDiesel
    @MsangoDiesel 9 วันที่ผ่านมา

    Master plan amekaa pembeni saizi.ukiona mkubwa analia sio mchezo walishiliki kulipua bomba la gas ya mrusi leo inawaumiza Sana.

  • @abdulrazack9577
    @abdulrazack9577 9 วันที่ผ่านมา

    Watu laki 3 wanakosa ajira

  • @ghaniaabdalla2189
    @ghaniaabdalla2189 8 วันที่ผ่านมา

    Intel waje Tanzania tu

  • @salimfaraj5509
    @salimfaraj5509 9 วันที่ผ่านมา

    Baada ya muda nchi za magharib zitakuwa kwenye hali mbaya sana kiuchumi

  • @jasminmdimi6059
    @jasminmdimi6059 9 วันที่ผ่านมา

    Na bado watafunga kila kitu

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 9 วันที่ผ่านมา +3

    Mpaka wanye mashoga pumbavu zao.

  • @worldhappiness1181
    @worldhappiness1181 9 วันที่ผ่านมา

    Mmarekan ndio mana anataka vita, dadeeki

  • @martinisadru9899
    @martinisadru9899 9 วันที่ผ่านมา

    Mchina hawezi kushindana na majitu yenye akili nyingi,, akina Elon musk, wameshatengeza engine za maji, tayari kuimaliza technology ya gari za umeme. Hivo mchina atabaki kutengeneza battery za simu.

    • @alphamenson3784
      @alphamenson3784 9 วันที่ผ่านมา +1

      Man sijui unafuatilia taarifa zako sehemu gani, wake up

    • @safaritrust7531
      @safaritrust7531 9 วันที่ผ่านมา

      Ya engine za maji zipo jiani so soon tuta slide 😂😂😂

    • @nellymans-f1v
      @nellymans-f1v 9 วันที่ผ่านมา

      Hata hay magari ya kutmia maji yakij yataanza moja tu na bad mchina atakuw juu vil vile

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 9 วันที่ผ่านมา +1

      Never underestimates power of Chinese and Chinese economy broo.

    • @martinisadru9899
      @martinisadru9899 8 วันที่ผ่านมา

      @@anny19988 naifaham sana hiyo kampuni, mchina ana man power kubwa sana

  • @BARAKA-ns3jv
    @BARAKA-ns3jv 9 วันที่ผ่านมา

    Kunekucha kidile mwali kivika china

  • @mtulivu-ir1nq
    @mtulivu-ir1nq 9 วันที่ผ่านมา

    NATO wamerusha jiwe gizani wamemfungia urusi uchumi wake udumae Ngoma inawarudia wenyewe Yani baada ya Ukraine kukubali vita viishe wataomba wao haraka soon😂😂Putin ni genius 🧠🧠

  • @mohayussuf2057
    @mohayussuf2057 9 วันที่ผ่านมา

    Kipigo Russia

  • @nasorobilali255
    @nasorobilali255 9 วันที่ผ่านมา

    😅😅😅😅😅

  • @SefuHabibu-sn8cx
    @SefuHabibu-sn8cx 9 วันที่ผ่านมา

    Wazungu wanapropaganda sana yaani wanatuona wajinga sana eti

  • @worldhappiness1181
    @worldhappiness1181 9 วันที่ผ่านมา

    Mmarekan ndio mana anataka vita, dadeeki