Mashallah kwa kazi yenu, Leo ujumbe umekuwa moto moto, hata jirani yangu ni msabato nilipokuwa nawasikiliza nilikuwa nimeeka kwenye speaker ( Bluetooth ) imebidi ameniwekee nyimbo za kisabato volume yote😛😛
Asalam alaykum,,,haw wakristo sijui wakoje,, ila ninachifikiri ni hawataki kusumbua akili wala vichwa vyao,,,mungu awaongoe wenye kuongoka,, na mungu amzidishie Iman na subra mashaikh wetu inshallah mzidi kiuwalingania,,,zetu ni dua kwenu🙏🙏🙏🙏
Mashaalllah Ma Sheikh wetu Allah awajalie kila la kheri ..kwa kueneza dini ya haki uislam
Asalam alaikum warahmatulaih wa barakatul, kazi mzuri, Allah atuongoze
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aamiin amiin amiin sote
Assallam aleikum mashekhe wetu Nimefurahi kuwaona tena Allah awahifadhi❤❤nawapenda sana kwa ajili ya Allah
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aamiin amiin amiin sote tunakupenda kwa ajili ya Allah
Maasha Allah Masimba wa daa,wa.ALLAH awaepushe na hasadi vipenzi vyetu.Tunawapenda kwa ajili ya ALLAH.
Tunakupenda pia kwa ajili ya Allah
MashaAllah kazi mzuri sana ALLAH awabariki juhudi yenu Amin Amin Amin yarrabi
Aamiin amiin amiin sote
MashAllah makaka zetu Allah awahifadhi daima awape nguvu na afya mzidi kuueneza ujumbe amiin
Aamiin amiin amiin sote
Amiin thumma amiin 🤲
Maasha allah allah awarinde nanyuso za ibrissi muendeleye kuelimisha manaswala ❤❤❤
Kazi nzuri Shekh ALLAH awalipe heri na awape nguvu na uwezo wa kuendelea na Kazi hio.
Asallam aleykum warahma tullah wabarakat mnamafunzo mazur sana mashaallah Allah awape afya njema
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh lazima tufikishe ujumbe wa Allah
masha Allah...tabarkalah..
Allah...awazidishie umri..ma sheikh...wetu...insha Allah
Aamiin amiin amiin sote
Mashaallah nafurahi kuwaona na kuwasikiliza najifunza mengi sana ❤❤
Masha allahy masheikh wetu kwa kazi ya dawa mungu Awajalie nakuzidi kuwapatianguvu kwa mafunzo munayo wapatia nduguzetu na sisi pia twazidi kujifunza
Mashallah kwa kazi yenu, Leo ujumbe umekuwa moto moto, hata jirani yangu ni msabato nilipokuwa nawasikiliza nilikuwa nimeeka kwenye speaker ( Bluetooth ) imebidi ameniwekee nyimbo za kisabato volume yote😛😛
Hahaaaaaaa 😂🤣😂😂😂😂
@@salimdaawah123 😜😜😜
Asalam alaykum,,,haw wakristo sijui wakoje,, ila ninachifikiri ni hawataki kusumbua akili wala vichwa vyao,,,mungu awaongoe wenye kuongoka,, na mungu amzidishie Iman na subra mashaikh wetu inshallah mzidi kiuwalingania,,,zetu ni dua kwenu🙏🙏🙏🙏
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aamiin amiin amiin
Àsalam aleikum warahmaturullahi wabarakatuh hamjambo akhuwani??? Ninechelewa
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh alhamdulillah karibu sana
❤❤Assalaam Alaiykum warahmatullah wabarakatuh
Wsalaam warahmatullahi ta'ala wabarakaatuh
Wasabato ni makafiri wakubwa
Asalamu alekumu warahama tulahi wabarakatu mashala
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh
Asalaam mashekh wetu..may Allah reward u for ua good job of spreading the oneness of Allah
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aamiin amiin amiin
Nimekumiss daa uko zawapi
@@sheemaryam nimekumiss pia..nlikuwa offline kidogo tu bt alhamdulilah am back
@@Hi_20206 nakutafuta sikuoni ulifaidiks na zile app za Quran teacher?
Allahu Akbar
Walaikum salaam warahmatu-llahi wabarakatuh
Mashallah jazakallah
Mashallah ❤
Dr salim ngugi ukiwaambia yesu pia alitumia maji akienda choo wanashanga sana
Hawajui hawa lazima tuwambie
SubhanaAllah.ningekufe.bilakujuahi.yarabi.Allah.Awaifadh.mashehe.wetu.kazingumu.mno.mnayofanya.aise.Leo.nimesikia.maajabu.mengi.Eti.anajuwa.Muhammad.Swalallalahu.aly.wasam.niMungu.akijuwa.yakwamba.Waislam.wanaabudu..Astaghafirullah.Allah.AtuifadhWoote
Healthy Debate MashaAllah
Na hao majama wote hapo wamekunywa pombe 😢...Subhana Allah mwenyezi mungu awaongoze in shaa Allah
Aamiin amiin amiin wengi wao wanakunywa pombe sana
Central imekuwa janga kubwa pombe imeharibu watoto wengi sana
Maansha Allah
MASHA ALLAH
MCHUNGAJI KALA KONDOO WAKE😁😁😁
Masawe tz mchaga. Ww uongoke huko huko, ukirudi tz ulisha malizaga ni kusomatu.
wasabato bwn 😂😂😂😂😂
Kwa nini Adamu asiwe mwana wa Mungu wakati ndiyo binadamu wa kwanza
Walimu tatizo hawajajuwa nimkono gani watumie wakati wakusafisha haja kubwa na ndogo
Tulisahau kuwambia but inn shaa Allah tutakuwa tukiwaeleza
Sheikh Salim chunga mapastor waskufanyie kikao😅
Hahaaaaaaa 🤣😂🤣😂tunaharibu soko yao
Nimefurahi Mungu atawalipa
Aamiin amiin amiin
ananibebea akili hehehe
Nawapenda kwa ajili ya Allah
Tunakupenda kwa ajili ya Allah
Halafu walimu sabato ni pumziko na sio siku ya ibada mandiko yasema pumziko
Point taken
Wasabato wanageuza kuifanya siku ya Ibada
😂😂😂😂. 💕💕💕💕💕💕
Halafu mfano nikitaka iyo copy ya Quran mnayo tumia nitaipataje
mhmd ni mwenyezi mungu 🤣
Muhammad s.a.w ni Mtume wa Mwenyezi Mungu
Yesu Kristo ni mwana wa Mungu!
Kwa hivyo Mariamu ni Mungu
Soma vitabu utayelewa