OMMY DIMPOZ Cheche (Official Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 2.1K

  • @bernardnkoy1586
    @bernardnkoy1586 4 หลายเดือนก่อน +27

    Wangapi bado tunaskiliza huu wimbo 2024 umenikumbusha mbali huuu wimbo duuuuuh miaka inaenda kwakweli

    • @SNAKETV20
      @SNAKETV20 3 หลายเดือนก่อน

      🙏🙏🙏@

    • @m.e.e.r._dy16
      @m.e.e.r._dy16 หลายเดือนก่อน

      Tupo hapa

  • @puresight-s-channel5150
    @puresight-s-channel5150 2 ปีที่แล้ว +16

    Huu ndio wimbo best kwangu na siuchoki kila siku nauskiza mpaka ntakapo ondoka duniani,nashukuru kea wimbo huu mtam ommy dimpoz🔥🔥🔥🔥🔥🔥💥

  • @jumamakula5627
    @jumamakula5627 5 ปีที่แล้ว +94

    Wangap Bado tunasikiluza hi ngoma 2019 km unasikiliza ngoga like yako🔥🔥🔥🔥

  • @princenewton
    @princenewton 4 ปีที่แล้ว +51

    I really don't understand why this song is so underrated 😔this is actually one of the best songs Ommy has ever done💔. KENYA 🇰🇪

  • @omarykhatibu9328
    @omarykhatibu9328 2 ปีที่แล้ว +2

    Ommy dimpoz yyte anae ckiz ngom hii 2022 💥 🔥

  • @deekiwonyi4395
    @deekiwonyi4395 7 ปีที่แล้ว +179

    Ngoma Kali sana umetisha mtu wangu wa nguvu

  • @sarahorina6988
    @sarahorina6988 7 ปีที่แล้ว +93

    Ngoma imekubalika on point 254 tuko hapa kumark regestar✋

  • @najmahbaby8690
    @najmahbaby8690 7 ปีที่แล้ว +6

    we mkali sana ommy big up sana 😍😍😍😍😍

  • @HakimAli-dv5zv
    @HakimAli-dv5zv 7 ปีที่แล้ว +1

    woooooo yooooo dimpoz hapa umeuwa baba kwa kichupa imenigusa kiaina ...sichoki kuiangalia hii video #cheche balaa hii

  • @richardmloha1762
    @richardmloha1762 25 วันที่ผ่านมา +1

    Nomaaaa mpaka 2024

  • @ntuyahagatv9638
    @ntuyahagatv9638 7 ปีที่แล้ว +45

    we nimkalisana zaid duuu!!! rockstar simchezo mchezo

    • @KhadijaKhadija-ed5gj
      @KhadijaKhadija-ed5gj 7 ปีที่แล้ว

      ntuya haga yaan we sio WA mchezo haya seduce me huhuhhu na cheche 🔥🔥🔥

    • @bakarininga6052
      @bakarininga6052 7 ปีที่แล้ว

      +Khadija Khadija nakuonaaaa

    • @KhadijaKhadija-ed5gj
      @KhadijaKhadija-ed5gj 7 ปีที่แล้ว

      +Bakari Ninga jamen Hadi huku hhhhhh seduce tumesusa ama

    • @bakarininga6052
      @bakarininga6052 7 ปีที่แล้ว

      +Khadija Khadija 😂😂😂mi nasikilizaga kila sikuuuu

    • @KhadijaKhadija-ed5gj
      @KhadijaKhadija-ed5gj 7 ปีที่แล้ว

      +Bakari Ninga weee

  • @dennicmtn5269
    @dennicmtn5269 7 ปีที่แล้ว +29

    Ommy.ommy.ommy mashimo unaweza sanaa naaamin uko mikono salama ya rockstar 4000 hakuna kibovu palee hata siku moja utasimama vyeeeema

    • @nellymollel4672
      @nellymollel4672 7 ปีที่แล้ว

      I believe that really rock star is very good label big up ommy mwenywe dimbozii zakeee

    • @dennicmtn5269
      @dennicmtn5269 7 ปีที่แล้ว

      +Nelly Mollel Jicho bora sikio bora mkono bora kazi kubwa ROCKSTAR 4000 POP IN IT

    • @nellymollel4672
      @nellymollel4672 7 ปีที่แล้ว

      +Dennic Mtn I believe that really chali angu

  • @officialriomo4168
    @officialriomo4168 7 ปีที่แล้ว +56

    can't stop playing this song... it reminds me alot in my past
    "Ninawaza ni yule yule au nimeona mzimu ulivyonipita kwa kasi ya 4G. Nilikuja nikusalimu, simu nilipotezaga umeni-show madharau najuta. Nayakumbuka Yale mapele nakukuna umejisweka kwenye shuka unaona aibu leo mashaallah marembo ya china unavyovaa kwa huo mkologo ulivyong'aa umejichubua tube...
    (Hivi ndo umesahau cheche za upendo wangu kisa u-star ×2)

  • @CollinsOdhiambo-p7o
    @CollinsOdhiambo-p7o 8 หลายเดือนก่อน

    #tbt😮😮😅 noma sana 👊👊🔥🔥

  • @erickstiven645
    @erickstiven645 7 ปีที่แล้ว +2

    Labda ni ushamba Wangu mm kuipenda hii nyimbo'''. Super song

  • @rosemarybenjamin4333
    @rosemarybenjamin4333 7 ปีที่แล้ว +57

    Naam safi saan dimpoz ila kudharau wazaz ukome ..fany Kaz nzur km iz😍😍utaenda sawa

  • @georgeanthony1547
    @georgeanthony1547 7 ปีที่แล้ว +31

    wimbo mzuri sana huu, sielewi kwanini views za kishkaji namna hii!!
    big up Ommy

  • @pauljames3355
    @pauljames3355 5 ปีที่แล้ว +27

    Ivi ndo umesahau cheche za upendo wangu! 2019 like hapa

  • @filamupictures9349
    @filamupictures9349 7 ปีที่แล้ว +1

    Hivi ndo umesahau cheche, za upendo wangu kisa ustaa,
    Kiitikio safi kbisa, sasa toa ngoma ingine fasta.

  • @MuchiMelo
    @MuchiMelo 2 ปีที่แล้ว +2

    Aaa weee 2022 bado my favourite bongo hit 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @ismailpashok9224
    @ismailpashok9224 7 ปีที่แล้ว +5

    bonge la nyimbo dimpo 😍😍😍🖒🖒🖒

  • @stamilymsham6167
    @stamilymsham6167 7 ปีที่แล้ว +8

    hili beat sio LA nchi hii love you baba dangoteeeeee😍😍😍😘

  • @bonifacekagika1117
    @bonifacekagika1117 4 ปีที่แล้ว +3

    2020 hatusajasaau cheche zake ommy D..
    like tusonge pamoja.

  • @scriptmedia9960
    @scriptmedia9960 4 ปีที่แล้ว +2

    Timeless music 💋 nimefika hapa Leo jamani 🤭🤣🇰🇪much love for you ommy

  • @wema2115
    @wema2115 6 หลายเดือนก่อน

    Wow ndo mara yangu ya kwanza kusikiza wimbo ya huyu kakangu jamani ongera sana tena sana ila napendaga sana utani wako kwa wasaii wangine ❤❤❤❤

  • @victorkweka4488
    @victorkweka4488 7 ปีที่แล้ว +19

    Video kali sana Ommy, Director kafanya kazi nzuri sana.

  • @nyeriferine9087
    @nyeriferine9087 3 ปีที่แล้ว +17

    I just can't stop listening to this masterpiece... The vibe in this song is on another level

  • @abdornephotidas3848
    @abdornephotidas3848 7 ปีที่แล้ว +4

    hapa umeweza saaaaaaaanaaaaaaaaaa Ommy Hongera

  • @scarletemmie133
    @scarletemmie133 7 ปีที่แล้ว +1

    Mii huu wimbo Dah siuchoki biti lake zuriii. Nakupenda buree

  • @cellynesombi6569
    @cellynesombi6569 7 ปีที่แล้ว

    hongera sana Ommy umetoa kitu Wallah. huwa naiskiaga tu hii nyimbo...Leo nimeingia TH-cam nimeibahatisha skuwa naijua jina. basi Leo cku nzima naipiga naona mpka nakera majirani...
    una Nyimbo nzuri ila hii kwangu mm naona ni zaidi ya nyimbo zote.

  • @yohanamdee9433
    @yohanamdee9433 7 ปีที่แล้ว +4

    video kali sana ngoma hot pia inanikumbusha mbali sana yaaaan daaah demu angu alinifanyi ivoivo😅😅😅

  • @swedykachume7767
    @swedykachume7767 7 ปีที่แล้ว +14

    Ngoma kaliii sana hii

  • @michanomichano4931
    @michanomichano4931 7 ปีที่แล้ว +4

    Kawaida ya mziki mzuri kutrend siku mingi kuliko ile ya janjajanja ....💪💪

    • @wambulamwita914
      @wambulamwita914 4 ปีที่แล้ว

      Mm huyu nampenda na huu wimbo Naupenda hadi mwisho

  • @jacquelineassey7225
    @jacquelineassey7225 7 ปีที่แล้ว

    i never comment bt nimeshindwa kuvumilia this song is so sweet jaman hongera sana bro big up.. hongera sana

  • @lilianamonmdogo6624
    @lilianamonmdogo6624 6 ปีที่แล้ว

    Nakummic sana ommy nakuombea kwa mungu akupe wepesi upone halaka kwani mashabiki wako bado tuna kuhitaji

  • @KhadijaKhadija-ed5gj
    @KhadijaKhadija-ed5gj 7 ปีที่แล้ว +138

    waoooow umeweza ,kweli umeyakumbuka yale mapele 😂😂😂😂 dah we I have u😍😍😍😍😍😍😍

    • @ommarymzee1161
      @ommarymzee1161 7 ปีที่แล้ว +2

      Khadija Khadija imeshawai kukutokea nn

    • @KhadijaKhadija-ed5gj
      @KhadijaKhadija-ed5gj 7 ปีที่แล้ว +3

      +Ommary Mzee 😂 Bora ungempenda tu hivohivo karembo ya China

    • @KhadijaKhadija-ed5gj
      @KhadijaKhadija-ed5gj 7 ปีที่แล้ว +3

      +Ommary Mzee 😂 😂😁

    • @ommarymzee1161
      @ommarymzee1161 7 ปีที่แล้ว +2

      Khadija Khadija hahahaaaa au ushamba wang ndo umeniponzaa

    • @KhadijaKhadija-ed5gj
      @KhadijaKhadija-ed5gj 7 ปีที่แล้ว +2

      +Ommary Mzee Hapo sas

  • @mohammedally8569
    @mohammedally8569 7 ปีที่แล้ว +53

    Sijui kwanini watz hawajui kusapoti mziki mzuri .hio nimoja kati ya nyimbo nzuri

  • @dianamboya6635
    @dianamboya6635 7 ปีที่แล้ว +22

    one of the best songs congrat ommy

  • @naomiawour2833
    @naomiawour2833 5 ปีที่แล้ว

    Wow.I never no this guy bt Leo atlist nimemuona kwa ili video. Kazi safi ommyDimpoz uanga nakusikia tu

  • @agustadickson1562
    @agustadickson1562 7 ปีที่แล้ว

    Ivi ndoumesahau chehe zaupendo wangu kisa ustaar,duu omy nakupenda sana

  • @saidndimbwa4976
    @saidndimbwa4976 7 ปีที่แล้ว +50

    Hii nyimbo kubwa sana...ila wasiojua mziki wameipotezea...

  • @abduhamisi6769
    @abduhamisi6769 7 ปีที่แล้ว +4

    Video tokea bongo imetulia sana. keep it up brother, we love u

  • @jumahsuleiman2465
    @jumahsuleiman2465 7 ปีที่แล้ว +5

    Brother Hii song iko vizuri Sana naipenda Sana

  • @raymond4545
    @raymond4545 3 ปีที่แล้ว +2

    Cheche 😭😭 Here I'm 2021 this song ndo the only thing I remember nikiwa lonely it's my best ..''ivi na umesahau na upendo wangu😔😔

  • @sumaiyayusuph6166
    @sumaiyayusuph6166 7 ปีที่แล้ว

    Awww ata Kiba akupati ata apae😏 nice song tamu mpka ina boa 😘😘

  • @abeidmayanga809
    @abeidmayanga809 7 ปีที่แล้ว +12

    Good sana zee omary nyembo umetisha tukopamoja #rockstar

    • @hamzauwesu3545
      @hamzauwesu3545 7 ปีที่แล้ว

      Nyimbo yakawaida sana yani hapa mh kaaribu, kwakweli umeniangusha omy

  • @mtotoverasidika1063
    @mtotoverasidika1063 7 ปีที่แล้ว +9

    #cheche on fleek . ukibisha ww pepo

  • @nigalafaith4590
    @nigalafaith4590 7 ปีที่แล้ว +11

    Big up !! Dimpoz😉 gudwork

  • @mwana-arafamohammed6089
    @mwana-arafamohammed6089 7 ปีที่แล้ว

    Nimeikubali hini song 😍😍kazi nzuri ommy Dimpoz 👌👌👌

  • @jamesmwangi3846
    @jamesmwangi3846 ปีที่แล้ว +1

    This Master piece never gets old, I mean am 45plus but hii ngoma inaslap penyewe ❤

  • @izacksbalzack1854
    @izacksbalzack1854 7 ปีที่แล้ว +12

    Wow hii ni kali pia jmn #teammzikinzuri

    • @KhadijaKhadija-ed5gj
      @KhadijaKhadija-ed5gj 7 ปีที่แล้ว

      izack balzack wallah umenishinda tabia sikuwez miye

    • @izacksbalzack1854
      @izacksbalzack1854 7 ปีที่แล้ว

      Khadija Khadija aaaaah nakuona dada kila mahala upo! Unakua jini vp

    • @KhadijaKhadija-ed5gj
      @KhadijaKhadija-ed5gj 7 ปีที่แล้ว

      +izack balzack hausomeki by by nakuja badae naenda kipusa cheche badae

    • @giftmwinyi3137
      @giftmwinyi3137 7 ปีที่แล้ว

      Ni 🔥🔥🔥

    • @izacksbalzack1854
      @izacksbalzack1854 7 ปีที่แล้ว

      Khadija Khadija aaaah poa but siku hizi nikobiz sana sipati hata more time ya add views dada

  • @sabastianmakokha6856
    @sabastianmakokha6856 3 ปีที่แล้ว +7

    Let's appreciate the work of thiz man, talented musician

  • @michaelomondi7912
    @michaelomondi7912 3 ปีที่แล้ว +5

    2021 ..listening to the real Omar Nyembo...what happened to Ommy surely ....he should come back ...💥💥🔥🔥

  • @stignantboytheno4565
    @stignantboytheno4565 4 ปีที่แล้ว

    Wangap bad tuko nayo CHECHE 2020 gonga like ya nguvu kusapot ngoma 2020💪💪💪Ommy Dimpoz

  • @MoroMadinda-tc4hc
    @MoroMadinda-tc4hc 6 หลายเดือนก่อน +1

    Hii ngoma Kali Sana Kila siku ladhima niipige naikubali sanaa

  • @godfreythomas6190
    @godfreythomas6190 7 ปีที่แล้ว +17

    rockstar mnatisha sana mtafika mbali sanaaaa

  • @braza5397
    @braza5397 2 ปีที่แล้ว +3

    Am always here listening to this masterpiece.
    Thanks for the heads up ommy. Alot of credit

  • @izacksbalzack1854
    @izacksbalzack1854 7 ปีที่แล้ว +55

    Peperusheni bendera jamn huu mziki umeenda shule pia
    #temkibarockstar#1

  • @anacletmsafiri8999
    @anacletmsafiri8999 7 ปีที่แล้ว

    wimbo mzuri sanaaaaaaaa big up brother
    nahona vinono ume nenepa sana kaka

  • @marionwangeci9530
    @marionwangeci9530 6 ปีที่แล้ว +1

    Mr handsome asante Kwa timeless songs

  • @veronicakalondji2375
    @veronicakalondji2375 7 ปีที่แล้ว +14

    I love this song 😍❤️👌🏽

  • @elkana2093
    @elkana2093 7 ปีที่แล้ว +7

    umejitahidi bro kizuri kinasifiwa

  • @jacksonjbtv7065
    @jacksonjbtv7065 7 ปีที่แล้ว +6

    Nakubali 🔥🔥🔥🔥

  • @fatimhalfatimh1147
    @fatimhalfatimh1147 7 ปีที่แล้ว

    Nashangaa watu wanang'ang'ania watu wawili kiba na mond kumbe kunao wazuri na walio tulia kumuziki big up o mmy

  • @KirangaHouston
    @KirangaHouston 4 ปีที่แล้ว

    nakukubali mze baba..
    #KikiHouston
    from BURUNDI to PARIS

  • @francisantony982
    @francisantony982 7 ปีที่แล้ว +4

    Mimi ni mchina sijui kiswahili ila nyimbo nzuri kinoma imekamilika 👏👏👏👏👏 nini maana ya cheche kwa kichina??

  • @uthantkosamujr2897
    @uthantkosamujr2897 ปีที่แล้ว +4

    man this is 2023 December and this song is a vibe, I love it .❤️❤️❤️

  • @aminaabuu755
    @aminaabuu755 7 ปีที่แล้ว +19

    qiiiiii broo tisha sanaa

    • @mankamassawe1823
      @mankamassawe1823 7 ปีที่แล้ว

      nimeupenda mnoo

    • @janethgades4419
      @janethgades4419 7 ปีที่แล้ว

      Amina Abuu hahaaa jomba umetisha

    • @aminaabuu755
      @aminaabuu755 7 ปีที่แล้ว

      umeona eeeh Alf nashangaaaa kwenye mijiroho yao yakutu wanavyo ongea shit

  • @samhendawallaa2144
    @samhendawallaa2144 7 ปีที่แล้ว

    Hongera mtu wangu Wa nguvu ngoma Kali sanaa ina ujumbe mzito

  • @isscisack9608
    @isscisack9608 6 ปีที่แล้ว +1

    ommy ngoma kali sana kila siku nikama dozi kwangu lazima niitizame

  • @KhadijaKhadija-ed5gj
    @KhadijaKhadija-ed5gj 7 ปีที่แล้ว +66

    ooooo mama nenda Salama nakuombea,nimeshakwenda bb walai nimeikubali cheche

  • @Mercie_A
    @Mercie_A 7 ปีที่แล้ว +8

    254 representing

  • @allitovmohamed8286
    @allitovmohamed8286 7 ปีที่แล้ว +4

    Nice...keep working hard...rockstar 💪💪..like....

  • @salehemkala7775
    @salehemkala7775 7 ปีที่แล้ว

    ahaaaa ommh ongeza mungine kama huu kazi mzuri sanaaaaaa eshima kwako

  • @ramadhanseleman4276
    @ramadhanseleman4276 7 ปีที่แล้ว +1

    tunataka nyimbo kama hizi. siyo fire baby, mara i miss you mara hallelujah inachosha ubunifu unahitajika

  • @mrenobishoo1118
    @mrenobishoo1118 7 ปีที่แล้ว +198

    Ngoma kaliii sana

    • @filbertmicheto5215
      @filbertmicheto5215 7 ปีที่แล้ว +1

      gud

    • @zablonabel2567
      @zablonabel2567 7 ปีที่แล้ว +1

      Young mreno Prosper iko vzuli Tisha san

    • @annymsupa5175
      @annymsupa5175 7 ปีที่แล้ว

      👌👌

    • @vincentgeorge178
      @vincentgeorge178 7 ปีที่แล้ว +1

      Young mreno Prosper nambie mrono hapo Arizona ishu vip mwanangu

    • @mrenobishoo1118
      @mrenobishoo1118 7 ปีที่แล้ว

      Tupo fresh kabisa labda huko ila now nipo Mexico

  • @samphilip9354
    @samphilip9354 7 ปีที่แล้ว +5

    Am just intrigued. Timeless music here,dhanks Ommy

  • @estherbebe2303
    @estherbebe2303 7 ปีที่แล้ว +9

    I just click and the song was wow 😳 and I was like damm Ommy 😛😍✌🏾👌🏾

  • @Therealpapjosh
    @Therealpapjosh 3 ปีที่แล้ว +1

    2021 and am here. Omary Nyembo🙌🏿🙌🏿🙌🏿

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 4 ปีที่แล้ว

    Yani hii nyimbo Ommy kama ulitumia vichwa Mia kutunga mashair😊😊😊🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @margaretmanda8915
    @margaretmanda8915 3 ปีที่แล้ว +3

    🔥🔥🔥🔥🔥 Im still listening to this song 👌❤️😍🔥🔥🔥🔥 keep it up bro

  • @fofanatida1
    @fofanatida1 6 ปีที่แล้ว +6

    He just never disappoints 😍😍😍😍

  • @nyabokemabuka6321
    @nyabokemabuka6321 6 ปีที่แล้ว +4

    This song is dope
    One of my favourite artiste big up Ommy D

  • @emmanuelambrose8287
    @emmanuelambrose8287 7 ปีที่แล้ว

    kazi nzuri ommy ilakatika life ukiwa na dharau usongi popote jua ilo2

  • @mamazolakifigo2615
    @mamazolakifigo2615 5 ปีที่แล้ว

    iv nawaza ni yuleyule au nimeona Mzimu hahaha saluti kaka Ommy dimpoz bonge la ngoma aichuji

  • @edaqueennatalie2156
    @edaqueennatalie2156 7 ปีที่แล้ว +35

    Happy to hear from you again after long time😍😍😍😍

    • @queenlvthebossbabeboss9593
      @queenlvthebossbabeboss9593 7 ปีที่แล้ว +1

      Atareeeee ommmy sijawah comment but Kwa hili jimbo na video ni nyokooooooo big up brooooo😘😘😘😘😘💖💖💖

    • @edaqueennatalie2156
      @edaqueennatalie2156 7 ปีที่แล้ว +1

      Queenlv the bossbabe John yeah....ni Kali tu sana😍😍💃

  • @luteking
    @luteking 7 ปีที่แล้ว +38

    good work bro😘😘

  • @princekassim4089
    @princekassim4089 7 ปีที่แล้ว +10

    Wimbo mzuri hongera sana
    #Ommy
    βig Up kwako

  • @shakirahkent992
    @shakirahkent992 6 ปีที่แล้ว

    Sikiya Ngoma🔥🔥🔥🔥🔥💃💃💃💃💃💃🔥🔥🔥🔥Fire too

  • @prezzoonlinetv9492
    @prezzoonlinetv9492 7 ปีที่แล้ว +4

    We as Team of Directors From
    PREZZO TRUE MEDIA,
    We say CONGRATULATIONS You always Do Wonders. Nice Video, Creativity and Nice Audio One...

  • @hassanihanzel
    @hassanihanzel 4 ปีที่แล้ว +8

    Nimerudi hapa mwaka huu tena daah!!!
    Likes za Ommy
    👇👇

  • @hamphr3y405
    @hamphr3y405 7 ปีที่แล้ว +9

    Good work 👊👊👊👊

  • @azaboicomedy
    @azaboicomedy 7 ปีที่แล้ว +1

    Chechee zimekamata Sanaaaa

  • @josephcharles9790
    @josephcharles9790 7 ปีที่แล้ว

    NYC song .....nenda salama ooh mama nendaaaaaa nakuombeaaaa

  • @Razkenya001
    @Razkenya001 7 ปีที่แล้ว +31

    Safi sana #mhenga 👊🤙

  • @fabianamendes1400
    @fabianamendes1400 7 ปีที่แล้ว +4

    Beautiful music, I love them all👑👏🎶🎶💃💃

    • @asimgkcc2189
      @asimgkcc2189 4 ปีที่แล้ว

      Uyo dd kafanana na zari

  • @Thegr8burarito
    @Thegr8burarito 7 ปีที่แล้ว +4

    Wat a good video.... From Kenya...

  • @isimbulacompanylimited4300
    @isimbulacompanylimited4300 7 ปีที่แล้ว

    Ngoma imechomaaaaa balaaa yaani Hallelujah Habari ya mjini

  • @marypeter9870
    @marypeter9870 7 ปีที่แล้ว

    ivi ndo umesahau cheche hahaaaaa ommyyyyyy umetixha sichoki kuuangalia dis song

  • @enziraezze1897
    @enziraezze1897 7 ปีที่แล้ว +13

    ckuwai uskiliza hu wimbo asee kumbe n wimbo mzur iv..
    mistar ni A
    kideo A
    uhusika A