Mimi hapa siko any team. Nampenda Kiba sana na nampenda Mond kwa sana pia. wote wananipa burudani sawa.wote wakali. sasa nyinyi mliojipa timu ati sijui team kiba Tim Mondi najua mwajichocha tu ilhali ngoma ya king k ama mond platinumz ikitoka mwazienjoy zote.
Kibaaaaa king kiba hata msemw nini,the best in EA. Hata wimbo wa kiba uwe na 1m views na wengine 10m haijalishi cha msingi kwangu ni kulinganisha message ya wimbo nami najua Kiba hana wa kulinganishwa naye. #Teamkiba Weka tick tukisonga wabaki tu wakiogea
Alikiba🔥🔥🔥🔥🔥Imeandikwa kila mtu na mlaba wakeNa we ndio roho yangu mi nataka utokeAlichonipa mungu mimi unakijuaSina haja ya kujitotunua nikaumiaIle saa aloliacha babu unaikumbuka nililiuza jana ili tupate pesaKwanza uvae upendeze na tabasamu lakoUhai kwangu mimi kwenye upini wakoMshahara bado mashaka kazini sijalipwaUkizika nalo leo singoji keshoWewe ndo raha yangu mi ndo raha yakoManeja wa Roho yangu Kajiandae 🎧🙉🙉🙉🙉🎧
Guys mmepata taarifa kuwa ile tuzo ya mtvema iliyokuwa na utata tayari mtvema wameshasema mshindi ni alikiba!! Am happy for him, it is a big step guys, let us wish him the best of luck!! Tumpongezeni alikiba na mashabiki wake wa +254 ,tz, na Africa nzima kwa kumpigia kura,, mashabiki ambao wanampenda Sana msanii wao kwa kila hali!!! Our best African act alikiba, congrats bro!!!hardworking inalipa If this doesn't make you happy ama hauko interested probably ni none of ur bussines
I can't stop listening to Alikiba's part of the song. He's singing so well 😍😍. Alikiba you never disappoint . Lots of love from Kenya ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
A very touching song. The first time I played this song to my wife i made her sit down as i danced for her. She now cant get enough of it. Now she makes me dance for her every evening after work. What a song. I love it. big up Dimpoz and the King himself Ali Kiba. #Wonderful #KenyaLoveYou
🇰🇪🇰🇪🇰🇪💕yoooeeeww king kibaaa uko viziuri mashaAllah tabarakallah neema'tullah awesome Hadi rahaa Sana Mombasa inakupenda sana kaka yetu salute Kwa wingi kwako🇰🇪🇰🇪🇰🇪binnah beibee coast mombasani one love bruh 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
A Voice that is unparalleled,Ali Kiba proves that talent is the only thing needed to be successful. Great songs and great lyrics for a phenomenal voice. Mark register for King Kiba hapa!! 😀😀
comments 1000+, we love you Alikiba, for what your doing is so great, forget about awards mate...Do more, don't sleep Ali, Go Asia, Egypt , China & Hong Kong, Dubai, Go far make more dollars and awards will follow you!
Ali Kiba wewe ni mwanamuziki mzuri saana.. nakushauri kama unafahamu kifaransa au ujifunze kifaransa na uanze kuimba nyimbo kwa lugha hiyo ya kifaransa na kushirikiana na wanamuziki wa Africa wanaotokea nchi zinazozungumza kifaransa kwa hakika utaongeza wigo wa soko la muziki wako
Nime isikiliza baada ya vituko vya omy eti Ali alikosea hajui maneno yakingereza niliogopa kumweleza nisije kosa kolabo kwakua nilikua sijulikani laiki 1:49
I have been listening to Ali Kiba since 07 when he released Cinderella . I have been a fan of Bongo music and my two cents on who is better between Diamond and Ali Kiba I have to say Diamond put Tanzania on the map. But, Ali Kiba is the best in my opinion. Great song on repeat every time!!
Thank me later VERSE 2(ALIKIBA) imeandikwa kila mtu na msalaba wake, nawe ndo roho yangu mi nataka utoke, alichonipa mungu mimi unakijua, sina haja ya kujitutumua nikaumia Ile saa aliniachia babu unaikumbukaa, miniliuza jana ili tupate pesa, kwanza uvae upendeze na tabasamu lako, uhai kwangu mimi kwenye ubini wako, Mshahara bado mashaka kazini sijalipwa, liwezekanalo leo lisingoje kesho wewe ndio raha yangu na mimi raha yako, naja**** roho yangu we...kajiandaee.... CHORUS
To be honest this is the best song Eva with a beautiful language, video,rhythm, instrumental, good job ommy and Ali, its one of the best in the world, not forgetting Justin Campos
Nani bado anaskiliza juu wimboo 2024 pia like na comment 🇷🇼🇷🇼🤌🥳💪
Me 🇷🇼🇩🇪
.me
Me
me
Me
Tuko 2024 lakini hii ngoma hawezi kutoka kwa akili zawatu ngoma moja ya kiba nisawa umri wa mtu wa miaka 💯
Hili goma tena 2024 aiseee tamuuu sana
2024 tupo hapa tena. Gongeni like jaman.
Nan bado anaskiliza huu wimbo 2024 like apa
In my wedding, this song will b on repeat till when ,,,,,, the neighbors will know it🥰😍
2023 and this song still tops my playlist! What a collaboration 🔥🔥
We here
Pamojaa
Still fresh to me 🥰
🔥🔥
Tupo site kata simu
Wasanii wa nguvu kutoka tanzania nawapenda sana
Nayo nayo 2024 gonga like
2024 June nimerudi kusikiliza the best music and the best collab from Alikiba and Ommy Dimpoz. Nyimbo iko sawa 🔥🔥
Nani bado anasikiliza huu wimbo 2024 piga like tukisonga 2025
😂😂twende
Tuko wapa
Vile have missed my girl oooh my
Nani bado anasikiliza huu wimbo 2022, still sounds nice and fresh
Tupo Mpendwa😊😊
mm hapa asee😮
Bigtune
👎👎
Nipo hapa sibanduki
Mimi hapa siko any team. Nampenda Kiba sana na nampenda Mond kwa sana pia. wote wananipa burudani sawa.wote wakali. sasa nyinyi mliojipa timu ati sijui team kiba Tim Mondi najua mwajichocha tu ilhali ngoma ya king k ama mond platinumz ikitoka mwazienjoy zote.
Miriam Joseph's tuko pamaoja
U r right ma dia gd 4 u
Miriam Joseph's hapo dada nakungaa mkono
staminate. omydipz
staminate. omydipz
It's 2023 and this song is still running in my veins 😊😊
2024 tunasonga nayo kama upo na mimi like hapo
Kibaaaaa king kiba hata msemw nini,the best in EA. Hata wimbo wa kiba uwe na 1m views na wengine 10m haijalishi cha msingi kwangu ni kulinganisha message ya wimbo
nami najua Kiba hana wa kulinganishwa naye. #Teamkiba
Weka tick tukisonga wabaki tu wakiogea
Juliana Makau Aswaaaa
Juliana Makau kweli
♥
ni kwel views wengi haina maana kua wewe ni msanii mzr kuliko
Fact brother message ndo muhimu mtu wa kujielewa ataskiza ujumbe wasiojielewa wataskiskiza kelele 2#team Kiba forever
Tanzania is a country rich in natural resources, such as gold, diamonds, tanzanite, nickel, uranium , natural gas and Ali Kiba
hahahhahahhaa.... noma sana bob ....
Max Jonas umetisha 🙌🏾🙌🏾🙌🏾
hahahaaaaaaa.... tell 'em
Jonas umeuaaaa
Max Jonas Kiba is best!
Huyu vixen naye hunimaliza😢😢
Alikiba🔥🔥🔥🔥🔥Imeandikwa kila mtu na mlaba wakeNa we ndio roho yangu mi nataka utokeAlichonipa mungu mimi unakijuaSina haja ya kujitotunua nikaumiaIle saa aloliacha babu unaikumbuka nililiuza jana ili tupate pesaKwanza uvae upendeze na tabasamu lakoUhai kwangu mimi kwenye upini wakoMshahara bado mashaka kazini sijalipwaUkizika nalo leo singoji keshoWewe ndo raha yangu mi ndo raha yakoManeja wa Roho yangu Kajiandae 🎧🙉🙉🙉🙉🎧
shida
Barakat HD The kinda ndoho kenhu omhu eyamwiporu shidaaa yeneyo tz one bhange bashindekeja doho gote bakiba mavoko na blue
lary nathans ujiandae ujiandae andae !!
lary nathans kiba kauza saa ili mradi mtoto atoke vzr...king kiba
Guys mmepata taarifa kuwa ile tuzo ya mtvema iliyokuwa na utata tayari mtvema wameshasema mshindi ni alikiba!! Am happy for him, it is a big step guys, let us wish him the best of luck!! Tumpongezeni alikiba na mashabiki wake wa +254 ,tz, na Africa nzima kwa kumpigia kura,, mashabiki ambao wanampenda Sana msanii wao kwa kila hali!!! Our best African act alikiba, congrats bro!!!hardworking inalipa If this doesn't make you happy ama hauko interested probably ni none of ur bussines
nipe link i verify that..lazma king awe king
Aria Renalda x za AEE SEE POW OPPOSITE EKPrpepwllppdoddodizjsjdsmmkkkrekeieheeeeesxdsss allzzxddseqq
I can't stop listening to Alikiba's part of the song. He's singing so well 😍😍. Alikiba you never disappoint . Lots of love from Kenya ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️.
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Anything he touches turns into gold
, 2020 nani tuko pamjaaa likes team kibaa
Nan bado Yuko na vibe ya hii song 2024
Wimbo wangu pendwa ❤❤❤❤❤ 2023
Wanaopenda mziki mzuri hands up . Respect from Rwanda 🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼
🙋♂️🙋♂️🙋♂️🙋♂️🙋♂️
Anything with alikiba is nice. one love africa. From Ethiopia❤️
madada sita
nimeirudia malanyingi hajawai kunikinai hii ngoma tamuuuu
Hanan Jm 2gather
Adisababa
Mwanamfalme na MFALME MWENYEWE! King has NEVER DISAPPOINTED US!
naweza kuangalia hii nyimbo mwaka mzima, kwa kweli ni mziki mzuri
Nampenda Ommy and Kiba...exceptional musicians....
Kama adi leo unaangalia ihi ngoma gonga like apa twende sawaaaaaaaa2019
Hatar hiyooo
Entering 2019, but this song still feels like it came out yesterday
Thus song is on repeat.
Love it so much.
Love from London.
One Love to all my African Brothers and Sister.
Thenk youa ali kiba
Mimi kwasababu namkubali King kiba 🎉🎉🎉.
I'm West African jamming this song with my girlfriend. song on repeat!!.
nice
Nice my broza ommy and king of bong flavar
diamond
Gorr Yumbul it's not west african.
Nice song there.
A very touching song. The first time I played this song to my wife i made her sit down as i danced for her. She now cant get enough of it. Now she makes me dance for her every evening after work. What a song. I love it. big up Dimpoz and the King himself Ali Kiba. #Wonderful #KenyaLoveYou
Luos love
🇰🇪🇰🇪🇰🇪💕yoooeeeww king kibaaa uko viziuri mashaAllah tabarakallah neema'tullah awesome Hadi rahaa Sana Mombasa inakupenda sana kaka yetu salute Kwa wingi kwako🇰🇪🇰🇪🇰🇪binnah beibee coast mombasani one love bruh 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
A Voice that is unparalleled,Ali Kiba proves that talent is the only thing needed to be successful. Great songs and great lyrics for a phenomenal voice.
Mark register for King Kiba hapa!! 😀😀
January 17 2019 who is here....Ali k always my crush😍😍 ommy too u guys are the best...love from 254
Me too
Kiba ni fundi WA Ngoma👏👏👏👏👏👏👏👏👏,he may never release music as we fans desire but once he releases music,it can be played for decades to come👏👏👏👏👏👏🙏🙏🙏
comments 1000+, we love you Alikiba, for what your doing is so great, forget about awards mate...Do more, don't sleep Ali, Go Asia, Egypt , China & Hong Kong, Dubai, Go far make more dollars and awards will follow you!
jafari thanks
JAFAR RAJAB good
Kweli
JAFAR RAJAB and Australia we really need him as well
JAFAR RAJAB Amen...sure God will take him to far places bcoz he's a very humble n kind guy
KING KIBA 😍😍 me reading all these comments while am watching this song ..not just once
2024 😢😂❤
Time has flown I'm nolonger 20/21 years young anymore....
Wangap bado twa watch 2019
tupo
Mm hapa
Hapa
King kiba
Sophia Sophia yappp
super heandsome ommy ft ali ( Guinée conakry, Sénégal, Tanzanie ) love you
2024 still going strong kunatu vile hii ngoma uniturn on ❤❤❤❤
alichonipa Mungu mimi nakijua...sina haja ya kujitutumua nikaumua...mpenzi wangu kajiandae upendezee
artemis neoy this dude kiba z too natural,Allah ambariki
artemis neoy more than natural dia......God bess him abi
muko vzur
artemis neoy that's my favourite part. ...I can listen to it over and over
safi
jamani the song so sweet
hauishi utamu.unapoisha unakuacha na kiu ya kuskiza tena.kiba very special voice hakuna duniani
Alikiba songs still hits till now,,he will still b the king,,,from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Amazing!!! Alikiba na Ommy Dimpoz ni wana-star wenye heshima, ngoma yenu tamu tu kwa sana
I love you all.
Salute Super Star Ali Kiba...Greetings from Somali Brothers!
LII
@@idrismujahid6044 a
The song Salute is out 2021. King Kiba forever
😁😁😁🇯🇲👍👍👍👍😚❤❤❤
@@idrismujahid6044 صصص
Ni 2023 lakini hii wimbo bado naipenda Winnie from Mombasa
Nani bado anaskiza huu wimbo 2023 piga like tukisonga
MIMI HAPA
2024
24
2024
2024
mavazi na matendo mazuri sana kiasi kwamba hata ukikaa na wazazi huoni aibu...kwa mila zetu waafrika
kabisa...yaani unaiangalia bila aibu wala mashaka..
na hiyo ndo target ya king..video inayoweza angaliwa na family...PG
christina ngossi kweli kabisa👏👏
christina ngossi sana
christina ngossi exactly,uzungu unatuharib tuna copy na ku paste sana had aib na tuna sahau asili yetu😎😎😎
Wonderful composer..the song smooths my heart en my soul...I love kiba en dimmpoz
🔥🔥🔥🔥day one ....2hrs after release.....nipo humu #Kujiandaa
mbeku wa Tanzania tunawexa xana ti
hahaaaa
penda xana nyie kiba unaimba mpk bas MPE hai na dimpoz
Collins Kones sawaaa
Naposikiza hii nyimbo chozi la penzi linanidondoka,nkitamani kurudia rudia,king Kiba for life.Gonga like yake tukienda
Hii nyimbo unanikumbusha mbali sana Sito acha kuisikiliza
Alikaba you so lovly man,pop it to the world,grt hit watching frm +254
there is only 1 king and its him #Kingkiba MUCH love from Nairobi 👍
2019 nasikiliza wimbo huu
Mimi bado napenda alikiba
Big up Alikiba safii sana
you make me go crazy with excitement listening to your songs.👍👍👍👍👍
Ali Kiba wewe ni mwanamuziki mzuri saana.. nakushauri kama unafahamu kifaransa au ujifunze kifaransa na uanze kuimba nyimbo kwa lugha hiyo ya kifaransa na kushirikiana na wanamuziki wa Africa wanaotokea nchi zinazozungumza kifaransa kwa hakika utaongeza wigo wa soko la muziki wako
Abdulrahim Chotta acha azidi kutoa darasa la kiswahili kwanza mpaka kieleweke. France baadae
Sana ngoma iko hit sana
keshatoa aje na ametumia kifaransa
Abd
Tunataka kufanya Swahili Kua lugha ya Afrika
How he does the dabbing move is everything 😭♥️♥️♥️♥️
Growing up, Congo, South Africa and Kenya dominated in the music scene...now it's Naija and TZ! LOVE IT! Keep it up my brothers and sisters.
watching this all the way from New York bigup sana Ommy welcome back.
Asante sana king kiba 🎄🎁🥇🎹🎧🎵 pia hommy good sana bro
Ommy Dimpoz has never dissapointed me. I love all his songs & all the songs he is featured in.
Wenye mziki wao hawa bhna#2019
Nime isikiliza baada ya vituko vya omy eti Ali alikosea hajui maneno yakingereza niliogopa kumweleza nisije kosa kolabo kwakua nilikua sijulikani laiki 1:49
Alikiba nimkali sana !!! huuuumm eti vunja kabati kidogo !! Ali sucrée des femmes dans le monde
amida Innocent hiyo lugha ya mwishoni nimeipenda
amida Innocent French unajua pia Tu est intelligente. Que Dieu vous bénisse.
badugu mimi sijuwi English ila najuwa French tu nikisema English yani haitakaa sawa kama French ! so I try to speak English but it's still not good
Mimi naomba nifundishwe french
umesoma kwa programs za kingereza
my favourite song since day 1..Ali kiba nakupenda bure kaka angu😍😍
Hy
12/02/2019......and i still get goosebumps nikisiliza hii nyimbo
I live in Bangladesh but I always prefer to listen this alikiba's song
Wangpi bado 2020 tunaangalia hii ngoma like
Nami nipo naiangalia baba naikubali sana ngoma ya king kiba
Pamoj san
22/2020 October nimerudi hapa baada ya kuona 50 Cent anaicheza hii ngoma ktk gari yake kingdimpoz🔥🔥#kajiandae
Alikiba ni mtu hatar sana (good music and video is dope congratulations ommydimpoz we love you soo much)
I Like both ali kiba and diamond platnumz both are my favorite singer ❤️❤️❤️❤️❤️😘😘😘😘
Imeandikwaaaa klaaaa mtyuuu na msalabaaa wake🔥🔥
Watching it from Bahrain
king kiba and ommy dimpoz nice one
I have been listening to Ali Kiba since 07 when he released Cinderella . I have been a fan of Bongo music and my two cents on who is better between Diamond and Ali Kiba I have to say Diamond put Tanzania on the map. But, Ali Kiba is the best in my opinion. Great song on repeat every time!!
Garissa massive twakupenda king 👑 Kiba
all the way from Kenya love this song Ali kiba keep up teaching our celebrates kiswahili even me have a need of knowing kiswahili.
nomasana
Emily Ngendo lessons zinaanzia na mshumaa now trending in kenya
Mshahara...bado..mashakaaa....kaziniiiiii...sijalipwaaaaaaaa......dah...kweli..kajiandaeee
Nani bado anasikiliza huu wimbo 2024 🎉🎉😊
So far best combination of vocals n great beat. big up Ali K for real n big boy Ommy dimpoz....ya'll makin us proud
This is the BEST service of music I’ve ever got from Alikiba. Supeeeerb!!
Ommy Dimpoz cracked it all over ...
This two brothers whenever they come together something big happens🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
ww nd king wa music
Thank me later
VERSE 2(ALIKIBA)
imeandikwa kila mtu na msalaba wake,
nawe ndo roho yangu mi nataka utoke,
alichonipa mungu mimi unakijua,
sina haja ya kujitutumua nikaumia
Ile saa aliniachia babu unaikumbukaa,
miniliuza jana ili tupate pesa,
kwanza uvae upendeze na tabasamu lako,
uhai kwangu mimi kwenye ubini wako,
Mshahara bado mashaka kazini sijalipwa,
liwezekanalo leo lisingoje kesho
wewe ndio raha yangu na mimi raha yako,
naja**** roho yangu we...kajiandaee....
CHORUS
To be honest this is the best song Eva with a beautiful language, video,rhythm, instrumental, good job ommy and Ali, its one of the best in the world, not forgetting Justin Campos
Alexander Millinga thank you
Umetisha
Umetisha 💪😂😂😂
Umeaua kaka wakajiandae tu
since day one I loved Ommy ,that Kenyan gal u talked of is here!king Kiba all along was listening to us good voice buh my eyes on Ommy 😍😍😍
These song is still best wenye mna unlike cjui mko na shida gane best song ever🔥🔥🔥🔥
My favourite musicians ever love kiba n ommy big up guys
Najiaandaa 2019💃💃💃 like hapo Pia 👇
Ooo sheli usione nacherewa 🥰🥰🥰🥰🥰🥰
I MUST SAY THIS SONG TOUCHED MY FUCKIN' HEART. Ali kiba God bless you. MIN 3.01... PANDAAAAA!!!!!!!!!!!
Nan anarudia rudia haka kawimbo jamon kama.mie nikiwa msa Kenya apa
Naima neema hahahah
Wacha wivu si Wewe utoe hiyo Sauti ama yako ina gwara
Mimi nairobi
Pia mimi... Mombasa tuko wengi
We are 😂the melody is super long last king kimba
Imeandikwa kila mtu na msalaba wake nice sana 2023
The winner of Mtv ema's African act of the year. Kenyan appreciates your win. Diamond trailing already
Tanzanian's are magical oooh God ..good music n lots of cute ladies 😍
Alikiba is the best bongo artist. I have listen to him over years.
Eishh Kenyan BT i cant any new hit in Kenya BT i can tell latest new from tz averina n kajiandae ,chaa that voice is mesmerizing cant get enough of it