UJUE UWEZO WA SILAHA ZA KIVITA WA IRAN WANAOMTAMBIA MAREKANI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 12 ม.ค. 2020
- UJUE UWEZO WA SILAHA ZA KIVITA WA IRAN WANAOMTAMBIA MAREKANI
Iran ni Jamhuri ya Kiislam yenye kuongozwa kwa kufuata misingi na sharia za kiislamu chini ya kiongozi wa Kidini Ayatollah Sayyid Ali Khamenei ambaye ndio kiongozi mkuu mwenye Nguvu nchini humo na mashariki ya Kati aliyechukua madaraka mnamo tarehe 4 Juni, 1989 mara tu baada ya kufariki kwa kiongozi na muasisi wa mapinduzi matukufu ya Kiislam ya mwaka 1979 Sayyid Ruhollah Musavi Khomeini aliyefariki tarehe 3 June, 1989. Ayatollah Sayyid Ali Khamenei ndiye kiongozi mkuu wa nchi na amiri jeshi mkuu ( commander-in-chief ).
Ujue uwezo wao wa kivita dhidi ya Marekani inayoongozwa na rais machachari DONALD TRUMP...
GLOBAL TV ONLINE (+255 784 888982, +255 676 229628)
HABARI MPYA DAILY:th-cam.com/users/playlist?list...
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:th-cam.com/users/playlist?list...
GLOBAL RADIO TV:th-cam.com/users/playlist?list...
EXCLUSIVE INTERVIEW:th-cam.com/users/playlist?li
Mi sina la kusema sana, nimeishiwa na maneno lkn nimebakiza neno mmoja tu. Nalo ni kwamba: hata sekunde mmoja usiwahi cheza na nchi iitwayo Marekani, yaan USA. Bado wametulia tu, lkn siku wakikasirika axe watawaangamiza hawa majamaa.
Hawawezi USA kila mbabe nambabe wake ao wamerekani kunanchi zinawaogopa nandozipo na irani merekani anabifu saana nanchi babe wanawamaindi ao wamerekani wamerekani tutawaogopa sisi waafrka maskini wamawazo matajili wamali ndo hatuwawezi ila si ao irani nimaji mengine
@@walivyojuma7095 wala hata haituhusu. Mi atakayeshindwa bac ashindwe tu.
Kama Marekani mbani mbona hamchezei mapanki hao marekani mnawaogopa nyinyi tu na sita yao hao wanapenda kujiweka juu ili waonekane ni wababe lakini kuna nchi wababe tena hawawawezi na wamenyamaza kimya wameewaacha Marekani wapenda ugomvi na wauwaji
Mica Mathew marekan kama angekua anaweza angempiga mkorea
@@saidyssaley1509 Atawaliza wa iran kwa mashambulizi ya kustukiza kama alivyomuua kamanda huyo lakini tuzipange😅😅😅watasumbuana mnoo mapank kamtisha akajifanya kuomba urafiki kwakuhofia
Team Iran
Iran tujuane
Iran mbabe wa vita. Kama vipi tuweke changa wapute tujue mbabe nani. Iran iko vizuri kila kitu wanacho.
Irana ndio imeondoa un iraq
Mmejitahidi sana kuchambua hongereni
Nawachukia sana AMERICA
Surety A Kabasa africa je
@@Pedeshee01 sisi huku bado sanaaa uarabuni wako vzur kakaaa
Surety A Kabasa ni kweli ila ndugu yangu hivi kwa nn tunapigana wenyewe kwa wenyewe hali ya kuwa tuna mali asili za kumwaga.mfano mzuri ni kongo tu vita haviishi kama wangekuwa na akili wale viongozi wa makundi yanaitwa waasi si wangekaa pamoja wakawa kitu kimoja ila tatizo tumepandikiziwa vibaraka ambao wanatufanya tupigane tukose amani na silaha wanatuuzia tunauana.ukitaka amani mwenzako hataki anaambiwa tupe migodi tuchimbe dhahabu sisi tutakupa silaha uzitumie kujilinda na adui yako Surety.kwangu pia naambiwa Surety ni adui yangu wananipa silaha kwako wanakwambia omar ni adui yako.ugomvi hauishi kamwe na hawataki watuone tunaishi kwa kuelewana ni wajanja mno.
@@Pedeshee01 ila kikubwa mwenyez mungu ndie mjuzi,haya yote ni mapito tu.
Mm nikiona mtu kasma naichukia USA naangalia jina tu hahahhaaaa
Wamarekan wampereke Rambo tu Iran inaisha yote
DIRECTOR SUNKID au walupeke ww
Dunia iko matatani ulinzi wa Mungu uwe juu yetu hayo makombola siyo mchezo
kwa mwirani hapo ni upele umefika kwa mkunaji
Hongera kwa Iran
Naomba mfanye utafiti zaidi kuhusiana na report ya kijeshi ya marekani. Haya yoote umetaja ni uwezo mkubwa kuichapa tanzania au africa tu. Hujui zaidi kuhusu uwezo wamerakani. Kwa mfano, hakuna kombora yeyote ya iran inayo na uwezo wa kufika ama kukaribia marekani, pia wajua kwamba marekani ina uwezo wa kumaliza iran kwa siku saba ikawa jivu kwa kila pembe? Wajua pia marekani in uwexo wakukatiza mawasiliano yote ya kijeshi ya nchi yeyote ulimwenguni kupitia setlites mwache mzaha bwana na mrudishe annanias edger na mpagaze habari zao zina utafiti wa kutosha. Mimi nina dual citizenship ya Canada na niko kikosi cha Canadian airforce bwana
Unachekesha mbn kitu cha kawaoda ndugu tecknolojia inabadilika
Sasa hujiulizi Kwa nn amefunga break? USA haijazoea kupigwa kwa hiyo haijalishi kuipiga kwake au hapo kwenye base zake zote hizo hataki,na Iran ina uwezo tofauti yan USA yy asingeweza kuipiga Iran Kwa makombora aliyonayo Makalu ya kutungulia ndege za kimarekani za kisasa Yan F35 na pia Israel ni km Malaya anayemtegemea bwana wake pia angegeuzwa jibu dkk 0 tu ndugu fuatilia historia utajua.
Asantee mkuuu Likondee
RIP USA
Pole Salim labda ungesema rip Iran..
Festus Japhary chunya. Japhary ww hauna vyanzo vya habar tuulize cc tunaofatilia tukupe ubuyu wa nyuma ya pazia
RIP IRAN & QUASSIM SULEIMAN
mungu ndie mwenye nguvu
Nguvu zake ziko wapi sasa km Mkuu wao wa majeshi aliuwawa mbona hatujaona akimpiga Marekani...THUBUTUUU MTALAZWA KABURINI ASUBUHI!
Mambo zenu wapendwa naomba mu subscribe TH-cam channel yangu kuona video zangu za urembo nawapenda sana 🙏😘
beauty with nay nitakuja 🙏🙏
Iran itaweza sababu Wana techologia ya kisasa
Umeongea kishabiki sana umeegemea upande wa irani hujaichambua Marekani uwezo wa kijeshi na kiuchumi pia chambua na israel
Blessing iran
Hii ni hatar zaid mungu atusaidie kwa haya
Acha uongo wako iran haiiwezi marekani achana na hawa wazungu ww acha kudanganya watu
Mm naomba kinuke irani ingie vita na marekani mchina akiwa nyuma yake na wengineo
Iran ni htr
Iran hii kweli inajipa ujasiri kuwa wanasimamia dini yaomm sibishi ila nawaambia kuwa jamani hii iran huu ni muda wa kujitafakari na kumugeukia mungu wa kweli maana amesema. Ombrni mkekesha maana hamjui mdaa wala saa atakapo kuja mwana wa adam
Jamani ananiesi ediga yuko wapi yule broo yuko vizuri katika utangazaji wa stori yuko kimya ananiesi broo rudi kwenye stori kaka
Daaah
Iran ndiyo taifa
Umeongea kimhemko kuisifia Iran
Marekan hujaizungumzia
hii vita hakuna atakae shinda, watatoka droo.... coz the power of God will prolonge
Jamani msiombe vita huyu mmarkani. Mwajemi mwirani mchina mrusi ni shida tuu mavitu hayo walionayo ya kuuwa b;damu. Mungu akisema imetosha hakuna vita ni afazali kutokee ngarka kama ile ya nuhuu ili dunia tuanze upia kwa sababu wanaouwawa ni maskini wasiokua na hatia
Tsnzania.tuendelee..kupokea.watali
Iraq ndio nnchi iliyokuwa inasemekana inanguvu mashariki ya kati. Mkasema Marekani hamuwezi. Baada ya vita kuanza wakasema oooh Marekani hataweza kikundi cha Republican guard, ila mliona kilichotokea
Huyo marekan Kam kweli mbabe mbona haendi kupigana bila washirika?
Wajipange sana maana Americans Si wamchezo😒
Acha kukariri
kweli hamjui Amerika mnaiskia tuu Iran is a small country to America. umesahau ukubwa wa Iraq ikichezea America.....That time Iran was done compared to Iran what about the steps they have achieved currently.....ebu toa also report about America weapons and compair...
there is no comparison! huyu jamaa has no clue..
Vita ni Akili,,ikiwa utalinganisha ukubwa wa Pua kuwa na makamasi Mengi mbona America alishapigwa na nchi ndogo na maskini Vietnam.
Hiyo English yako kaka majanga,ungeandika tu Kiswahili ungeeleweka
Iran ndionguvu yakiislam iliyobaki
Penda usipende .ukweli ndio huo
Marekani siku zote hupambana KWA kutumia mtaji wa washirika wake.bila washirika,marekani haina nguvu
sa ndo ujue ikitokea vita mmarekani ataenda kupigania vita uko kwako, kwake yeye walaaa,,, labda uvae bom ukajitoe muanga, na bado itakuwa ngum kufika
mkush platnam huwez kwenda kwa jirani yako kichoma nyumba wakat kwako pia kunawaka moto
@@asiliyakechuma4319 Basi ndio Wamarekani wanafanyaga hivyo Kama haujui😂😂😂😂. Jamani yupo sahihi
Mtoa post rudi shule,America🇺🇸🇺🇸 ni taifa kubwa wameua kiongoz mbona wameripua kambi waende nawao wakaue uwe mwsho wa iran tukajenge uwanja wa mpira Iran uscheze na aliowanyoosha japan mzee mtoa post acha utoto kudanganya jamii fuatilia mambo
JAPHRY STAR Kipindi anapigwa Japani japani alikuwa hajiwezi kabisa ila sasa hv USA haingizi hata Mguu katika mziki wa Japani
Mmegemea upande mmoja tu kiasi kwamba marekani yeye hana kitu chochote kwa silaha za iran. Mmetangaza kimapenzi zaidi ila huyo iran hana jipya
Ombeni Nassary marekan hana kitu mbwembwe2
Iran shughuli yake pevu ndg nimebahatika kukaa pale kwao usifanye masihara wale watu wako fresh tena Sana
Kumbe na ww umeona huyu punguan alvyosema kimahaba et ooh!! wanaweza kupigana vita kwa miaka ovyooo!! kwa uchum up walio nao!?? hyu ni takataka tu hamna llote
@@mrishomindu4231 ⁰⁰
Achana na wahuni marekani usiwsfananishe na iran watoto hawa maana nawambia us ni hatari kila kona ya dunia inahudumia watu au bezi ya kijeshi ukianzisha tuu jirani yako ana kuchapa
We need Ananius Edgar
He is the KING .
Wewe marekani noma Iran haiwezi pigana na marekani ila wamarekani hawapendi vita wao lengo lao ni maslai ya inch yao pia juweni Asian ni vibarua vya marekani pia America imesha weka vikwazo kumzibitishia kuwa yeye ni baba kaua general wao nao waue mmja wajionee kiama
Mimi siwakubali lran wala USA mana vita ikizidi watakao kufa wengi ni wanawake na watoto na walemavu ndio nawahurumia sana viongozi wao hawafi raiya ndio watapata shida Allah ajalie matatizo ya lran na USA imalizike salama OSHA Allah
Asante
Iran ni hatari sana
Haha nacheka sana unafananisha chura na paka
Ndio mana marecan hataki atengeze silaha z nyuklia Iran
Mtangazaji hajielewi kurasa yake ni zifahamu silaha hatari halafu yeye anaongelea historia ya jeshi
Marekani ni pana kwa kila kitu
Naomba hio vita ije mapema
Ucha uboya wewe usichukulie simple tu vita acha upepo mchafu upite tu
Mtangazaj hujielewi
Huwezi jua Siraha za Nchi"
Acheni utani U.S.A ninoma sana iran wametupa ma kombora 8 Kwenye kambi ya marekani halafu hakuna hata mtu1 aliye umiya halafu kati ya yale 8 makombora mawili yame shindwa kulipuka acheni ushabiki marekani ni hatari
Kwa mtazamo wakisiasa, twaweza sema IRANI imepanga kucheza MOVIE na AMERCA ili kuzima suala lililokuwa likitrend kuhusu TRUMP.
ie, hakuna vita
thus right
Hiyonistory tu wala ilan hainauwezo wakuishambulia Israel Israel Ndo baba watecnoregy
Iran ni dude kubwa
Ila ww ni muongo sana. Mbona walimuua camanda wao live wakapiga yoowee akuna kilichotokea??
Waafrica tupo namba ngapi jmn kivita😂😂😂😂? Natamani kujua
Number 1
Afrca balaa tupu 🤣🤣🤣naona sisi ni sekude tu tumekwisha
0000000+0000
ewe muungu ijaalie iran iwe bora zaidi na yenye nguvu zaidi duniani dhidi ya adui mkubwa wa waislam ambae ni marekani na izrail
Watu wameshindwa kutofautisha ndege ya abiria na ndege za kivita wakaidondosha ndio unawasifu kwa ujinga na kuwapamba kipumbavu
Mmarekan atapigwa usiangalie movie za kinarambo ndo mjue mmarekan anajeshi kubwa hapana iran inauwezo mmarekan silaha zake anategemea pare
Chezea ufe.
Yani ukitaka kujua Iran sio kitu kwa MÀREKAN angalia tu general Qasem alivyouwawa kirahic mchana kweupe kule Iraq.......wakat General wa U.S sio rahic kuguswa maana wanna ulinzi usio wa kawaida...U.S is a superior power county in technology & military...... USIFANANISHE US na Iran..........ni sawa na kufananisha Mkoa wa DSM kiuchumi(kimapato) na mkoa wa NJOMBE.......
Hapa ndio nmekuona fala kabisa msimuliaji unamawazo finyu sanaa
We ulichokifanya ni kusema Irani wana nini na wamefanya nini. Ila hujasema Marekani ana nini
Amekuajiaaa weeee umaliziaaa
Huyo msomaji nimegundua hajielewi hata kidogo, bonge la kilaza.
Endeleeni kuwadanganya wasiojua ku Google,kila kitu siku hizi kipo online,majitia aibu,
yaani,anadanganya wasiojua...upuuzi mtupu
Sema ukweli Mungu anakuona sema wivu tu unayo
Siunavijua tangaza wewe tuone kama utakuwa kituko ubwa wwe
Iran kajipanga nakila siku anazidi namarekani analijua hl.
Mbona huja onyesha malekani walivyo
Mzinga kama ule unapelekwa na joystick kama unacheza Mario vile
waendelee kujidanganya hvy hvy siku wajichanganye kwa US ARMY
kama wangekua hawana uwezo, marekani ingekua isha maliza mchezo siku nyingi. Kiukweli marekani wana nguvu na wana shinda vita na Iran mapema tu shida ni "CASULTIES" . Vita ya Afghanistan na Iranq wamekufa wanajeshi zaidi ya 4000 . Wakienda na Iran hiyo figure inaweza kuwa 15,000 ILA WATASHINDA
🇮🇷❤️💪🏻😍🇵🇸❤️😍👍
Wakichapana ndio tutajua Nani zaid
Hao Iran wanapigwa na mtambo wa haarap na siraha za Hali ya hewa tu kwisha ukisikia kiti cha Shetani kipo pale marekan Weee endelea kuwapa story za kujinadi tu
naona mtoa mada unaonyesha ISIS kila saa. Hao ISIS ni mahasimu wakkubwa wa IRAN kwasababu wao ni SUNI wenye msimamo mkali na Iran ni Shia
America wauwawe hawama akili zaidi ya mabavu na uwivi tu wapuuzi wakumbwa
Hawa wairani mbona wanasapoti sana makundi ya kigaidi sanaa wanataka kuua watu
Aliyekulilisha kuwa hayo ni makundi ya kigaidi ndiye alikosea.
Masalu Peter umeuliza swali zuri,nchi yoyote kama haiendi na sera za marekani au kikundi hakiendi na sera za marekani lazima itaitwa nchi inayofadhili ugaidi au kikundi cha kigaidi.Hizbollah ni kikundi ambacho kinaitetea maslah ya lebanon kinawasaidia wananchi huduma zoote,ukienda palestina nako kuna kundi kama Hamas kinajaribu kutetea maslahi ya palestina.vikundi hivi vinaitwa vya ugaidi kisa tu kudai haki zao,kwa israel na marekani hivi ni vikundi vya kigaidi tu.
Masalu Peter umekaririshwa ww
@@Pedeshee01 aa kumbe
Masalu Peter ni hivyo tu ndugu yangu kuna msemo ambao ni wa kiswahili unasema ukitaka umuue mbwa wako mpe jina baya tu.ugaidi upo kweli haupingiki na vikundi vya kigaidi vipo ambavyo manufaa yake hatuyaoni zaidi ya hasara kama Alshab na boko haram wanatumia kivuli cha dini tu na kuua watoto na watu wasiokuwa na hatia uislam hausemi uue mtu hivyo,na jinsi tunavyokwenda kuna watu wanawafundisha mafunzo ya dini vijana kwa ubaya na chuki.mtume wetu mwenyewe aliishi na maadui zake fresh tu sema kuna watu wanatafsiri vibaya mno neno jihad na wanalitumia vibaya ni hatari mno.
🇮🇷❤️🇮🇷😍
trump si raisi bora alie wahi kuiongza marekani
Hawa marekan wasikien tu hawa n kma fallen angel c watu kbca n watu wenye Siri nzito cna Ukitaka kuwavunja nguvu Labda uangamize ile area 51 Lakn hv hv sahauni
Marekani haitaki inchi zingine ziwe na silaha mbohna wao wanazimiliki?
Marekan tunaiokopa Sisi2 iran inaijua marekan ndo maana imeamua wamarekan kazima wafe washenzi hao waaioijui dini Mungu ibaliki iran na ufarume wao
Anae iunga mkono marekani hajitambui kwasababu marekani mchochezi mkubwa
Yaani tangu Ananias Ediger na Mpagaze waondoke global TV imeporomoka sana imekuwa haifatiliwi tunajua kwamba global ni kubwa kuliko akina mpagaze lakini uwepo wao ulikuwa chachu ya kuendelea kuwa wakubwa
Hakika
Kweli
Labda walitaka kuondoka wenyewe, Global wangefanyaje? Mtu hazuiwi kuondoka kama kakwazika kitu au kapata maslahi zaidi sehemu
Mbona unaskiliza
@@semanasitv8303 tatizo cyo kutazama tatizo ni population ya watazamaji imepukutika sana tofauti na mafundi wale wawili walipokuwepo
Ukubwa wa pua sio wingi wa makamasi
Biased reporting. You can't compare iran with America... Wacha iran wathubutu washambulie marekani na watajutia kwelikweli
rubbish,u cant compare the two..Reli yetu imefikia wapi?
erry deo hahahaa dah wazee wa kiki
Wajichoche tu ndio watajuwa hata kukukama itabaki
Endelea tuuu kuwapamba ipo cku utakuja kusema baba muache aitwe baba tuuu basi au mwenye nguvu mqache apite
Naamini Iran wako vzuriiiii
IranWalinunua S-300system, uturuki ndio wana S400system walinunua juzi
Uturuki wao wameipata wapi??😂
B52 bomber hainaga system kaka. Sasa mwenzio anakipiga kutokea viwanja vya ndege vya baharini na kambi zingine kila kona ya dunia hii. Sasa iran anapigana tokea nyumbani nani atajitekenya?
Iran ni nchi iliyo na vikwazo na bado inafanya yote haya...ikiachwa huru naipa miaka mi 5 tu itakuwa imepiga hatua ya miaka 200 mbele!
muhamedy Abdulmaliky hehehe wasijidanganye iraq wakat wasadaam hussein ilikuwa ya nne kwanguvu duniani ilikuwa hatari lakin wakapotezwa libya ilikuwa tishio kimya iyo iran watasambaratishwa awato amin watto wao tutakuja kuwalea uku tanzania maaana kwasasa duniani marekan anabase za kivita asilimia 85 kote duniani ata china imezungukwa Russia imezungukwa wanajua balaa lao awojamaa minajua siku marekan akiona anazidiwa na mchina kwa pesa atailipua dunian mayb 2050 apo nahisi dunia itaingia vitan
@@heinrichjonathan8195 mmh we hujui chochote kumbe....usidhan wairan ni waarabu kama hao wairaq
Labda nikupe tofaut chache....Iran ina washiriki na marafiki kama Lebanon,Syria,Iraq na pia ina marafiki kama Urusi na China..Iraq haikuw na washiriki na marafik km iran
muhamedy Abdulmaliky nikweli unachoongea iran inawashiriki kweli uliowataja kwani marekan ana washiriki uerope yote kasoro Russia mpaka saudi arabia ipo upande wa usa mpaka oman yaan inchi zakiarabu tajiri ziko upande wa USA ndomana ziko azisumbuliwi kunamikataba wamekubaliana bobu wakipambana saiv irani inafutika uso wa dunia kitu ambacho atutaki wale niwatu pia
Kiduku ye mwenyewe awez pigana na mmarekan atakidogo yaan makombora yale mpaka yaje marekan marekan wanayapigia hesabu maana anajua yata dondokea baharin sasa aje apige Washington hehe
Hujui lolote , uongo mtupu.
This people are joking with America ,🤘😂😂 American will teach them full lesson.
Ukweli ilani wako vzr ila USA yuko juu na ndo mana ilan hajarusha makombola yake usa
Justice Michael usa amerudha kombola Iran?
Trump alipoamuru Jenerali Qusein wa Jeshi la Iran walimuuwa kama auaye mbwa yule alikuwa mtu muhimu siyo unachodhani alilindwa kama kitu muhimu kwa gharama za Taifa walipomhitaji wakamuondosha kirahisi kuwaonesha kumuua kiongozi kama kuku wengine nini ushabiki wa kutokujua hauwezi kumfanya Iran apate nguvu zaidi ya Marekani ambaye zaidi ya miaka 200 yuko vitani. Vita vyote anawafuata huko kwenu na kuwakung'uta Korea Kaskazini alijitututumua kurusha tubomu akawaanapitisha juu ya Japan tu na kutumbukiza baharini hakuna lililofika Marekani au Washington asubiri kuchapwa na Israel tu ili Uajemi wake uishe.
Tanzania tunafeli wapi? Tumebalikiwa maliasili kama mbuga za wanyama, maziwa,mito,bahari,mlima,madini hata Tanzanite tunayo sisi ila tunaishi maisha magumu bila kujua tutakula nini huku ajira hakuna uchumi uko chini
Wanakula viongoz tu wanatuzuga kutujengea vitu vya lapsha lapsha ela nyinyi wanakula wao nawazungu uku sisi wananchi tukiwa maskini natukiwekewa mipaka yaizo mali zetu mimi uwa naumia saana nchi tajiri wananchi wao maskini wakutupwa tunashindwa ata kula vizur kulala pazuri wanakuwambia ufanye kzi kzi izo unafanya wapi sehemu zote muhimu zakufanya kazi zipo chini yaulinzi mkali mfano sehemu zamadini nk zote zipo chini yaulinzi wanakura wao sisi kazi yetu kuwapigia kura tu naushabiki mimi nawaza ayo madini kwanini tusichimbe wenyewe natusiwekewe mipaka ili kuuza tuuze wenyewe serikali ichukue kodi kwetu sisi.
Mbona hamuisemi Tanzania nayo kwamba iko juu kijeshi?Maana juzi kule Amani kwenye sherehe za mapinduzi matukufu nilimshuhudia komando anavunja ubao kwa ngumi !!!! Masha Allah.
🥁🥁🥁🥁🥁🥁
@@MohamedAli-ip4iq uwiii walahi nimecheka😂😂😂😂😂😂😂😂 na matofali wanavunja pia
Magufuli ndo anatukwamisha
Mpigane tyuuuuuuuuuuuuu
jaribu kutumia sauti yako acha kuiga
Tangaza wwe
me nazan marekani hawezi kupigana vita maana itasababsha kushka kwa uchumi kama ilvo kua vita ya kwanza na ya pili ya dunia lakini pia kma atapigana ina bid awe makin sana kihistoria hwa jamaa they born with high technology
Halafu nimegundua wabongo wengi wanadanganywa na zile muvi za kivita za marekani za kina Rambo...mbona mnajisahaulisha jinsi marekani iliyumbishwa na Vietnam na Ni kitu kipo wazi
Ahahahahaaaa
Hahahaha unaakili sana
Jidanganyeni msitamani vita vita mbaya Iran haina chochote utakua mwisho wao marekani imetabiriwa kwenye vitabu hao si wenzetu
@@henrykirumba7352 Endelea kuota
@@henrykirumba7352 Once upon a time there were great empires and kingdoms in this world ambazo hakuna mtu angedhani kama zingeanguka siku 1...mfano
1-Great Roman empire
2-Ottoman empire ambazo zote 2 zilitawala dunia saiv zko wap???
Hahaaaa mnaongeza chumvi
Nyie ongeeni tu rushen kombora hadi Washington ndio mtajua marekan anaweza ama laa
usijaribu sumu kuonja kunywa kabisa .
marekani ndio nani mbona mboga2 hana tofauti na wanaume wa kinondoni
Wajipange sana maana Americans Si wamchezo😒
Navyoona kuna Nchi kubwa zitakuwa nyuma ya mgongo wa IRAN kumpa msaada kwa makusudi tu,kumuaibisha AMERICA. Anatakiwa AMERICA itambue na kujua juu ya ilo, yupo katika mtego hapo
michael kessy IRAN hainaga shobo za kutegemea wenyewe wanajiweza kila kitu tena IRAN wao ndio wanatoaga misaada sehemu nyingine