Kiduku hana chochote mbele ya marekani marekani ina technology ya juu sana hata nuclear anazo za kutisha ila hajionyeshi tena technology ya nuclear marekani ilianza miaka mingi iliyopita unadhani leo atakuwa wapi ?
rais mbaguz sana wange muuah tu wanao mpenda rais hyo asa africa hawajui n rais mbaya sana hyo akienda madarakani ata misaaada hamta iyona lkn secret service hao nao walimua wanajua kinacho endelea kabla ya ya tukio kwann walipuzia mmja wa spectator alitoa tarifa kuhsu mtuhumiwa hyo secret service waka puuza na wao walitaka afe
Usirudie kuzungumza tena hivyo mpendwa , Mungu anaweza akaokoa watanzania wote na akakuadhibu wewe mwenyewe mfano wa vita acha kabisa,, matokeo ya maisha yako ni maneno ysko, jifunze kutamka maneno ya baraka
Ndugu .. amini ligonde anajua kusoma taarifa .. mauwa yake apewe .. siezi pita taarifa wakati ndie anaisoma .. salute mkuu mngu azidi kukubariki
Apendi Uhuru w bandia ukohuru maisha unapangiwa hataki
Denis Mpagaze uko vizuri.
Nakupata vzr kutoka🇨🇦🇨🇦 napenda venye uko na saut nzr
Yaan mm nikisikia saut yko napenda na naisikiliza simuliz had mwishoooooooo❤❤❤❤❤
mungu atakulipa kaka asante ishi maisha marefu
Kk umetisha Sana unasimulia vizuri tupe na za ndani huko uklein
Kaka unajuwa Sana 💯💪🏾💪🏾
Hanyi hovyoooooooo huyu bwana😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅
Thanks
Nakukubali sana mwamba
Kiduku msimamo wake ndio msimamo sahihi,kama ingekuwa Korea kaskazini hawana nguvu za kijeshi basi marekani zamani wangekuwa washafanya yao,
Asante studios
❤❤K
asante kaka
Nasisitiza tuige kuishi kwa kujiamini bila kuibembeleza Marekani na msbeberu wa magharibi kwa ujumla
Kiduku Mungu akupe miaka mingi nakukubali ile kinomaa
Noma asee
Mtangazaji Unanifurahisha Sana, Unaweza kutangaza Vizuri Sana.
Sana yaan mm napenda sanaa
Kim big up
Safi sana
Daaa Brother nimekupenda bure endelea
Ni shidaaah
Wako vizuri
Kz nzuri
KAZI nzuri
Nampenda sana rais wa panki yupo vzr
Kama umechekaa nipe like, eti sio sisi wafukunyuzi😅😅😅😅😅
I like this video
Nampenda sana uyu kiduku kwa kumbomoa shoga wa ulimwengu naomba kiduku putini na china wafungamane wamkimbize shoga asilande ulimwenguni
Kiduku hana chochote mbele ya marekani marekani ina technology ya juu sana hata nuclear anazo za kutisha ila hajionyeshi tena technology ya nuclear marekani ilianza miaka mingi iliyopita unadhani leo atakuwa wapi ?
C ampige
rais mbaguz sana wange muuah tu wanao mpenda
rais hyo asa africa hawajui n rais mbaya sana
hyo akienda madarakani ata misaaada hamta iyona
lkn secret service hao nao walimua wanajua kinacho
endelea kabla ya ya tukio kwann walipuzia mmja wa spectator
alitoa tarifa kuhsu mtuhumiwa hyo secret service
waka puuza na wao walitaka afe
Namna unayochambua Hua unanifurahisha😂😂😂😂😂 sna daah unaupiga mwing
Safi sana dear
Anaye muunga mkono marekani namuona shoga
Dah nimependa ningekua uk ilanamshukur mung
Unyama mkubwa sana
Noma amini ligonde
Huyo ndie jpm
😆😁😆😁😆😁 Uko vizuri kaka
Kama merekani anauwezo mbona amchezei king kuduku
🌹남과 북🇰🇷🇰🇵🌹우리 한민족 한반도 평화를 바랍니다!🙏🇰🇷🇰🇵🇰🇷🇰🇵🙏
😂😂😂nakwli ikosiku tutaikuta haipo nimekupenda wandishi 🔥🇴🇲🇹🇿,🤣🤣
😂😂😂akiweye kaka umnifurahisha
Ah 😂😂😂 kwamba ipo siku tutaamka tusiikute haipo
🔥🔥🔥🔥🔥💯💯
Hata mie cpendi kiduku aondoke
Eti amle kichwa dar we jamaa
America ni watu wasiopenda kuona mataifa mengine yanakua kiuchumi na kijeshi
❤❤❤❤❤❤❤❤
Tunakiwa kuichukia malekani ndio mchafuz w dunia
Kim kiduku
Kiduku ya paswa aje Bongo awa samablatishe mafisadi maana ni wengi sana wanatuudhi Kila siku na kutuona kama hatuwezi kuwafanya kitu wehu tu
Kiduku huyu natamani amuonjeshe US bomu moja tu
Natamani apige uku tz atuchangamshe maana tumepoa sana
🤣🤣Nchi ina Wajinga hii Mungu atustiri sasa weye utabak
Usirudie kuzungumza tena hivyo mpendwa , Mungu anaweza akaokoa watanzania wote na akakuadhibu wewe mwenyewe mfano wa vita acha kabisa,, matokeo ya maisha yako ni maneno ysko, jifunze kutamka maneno ya baraka
@@reganshao Mtihan wanadhani vita kama kula tuu htr
@@Awatee inaumiza sana mtu anapost coment kama hii ,,
Jamani uku burudani sijamaanisha
Haya
Wewe
😂kaka pambana huna mpinzani
Mawazo yako ni potofu ni ya upendeleo tu hayana ukweli
Na wewe leta ya kwako tuone ukweli wake.
Kim masuruali
WAKUOGOPWAA NIMUNGU TU HAWAWENGINI NISISIMIZI NA MUNGU AKIAMUWAA LAKEE KUNAWAKUBAKI HAPA DUNIANI 😂😂😂😂😂😂😂😂Anawazumu tu kwambali 😅😅😅😅😅😅
Kka we unatisha mno
Hayo mabomu yanawasaidia nini? Kama Corona inanyanyasa dunia hivi
hakuna marazi hayo ni vita ya uchumi tu
Soma sana utaelewa inasaidia nn
Hatumtaki uyoo asije akatuteketeza
Kiongozi bora kabisa uyu
A aassa
🤔adabu. 0🤣🤣
Huyu mtu anamuamini dd yake na kitoto Chake kike ni ujinga tuu anafanya
..
Marekani ni mbabe WA wajinga wote wanao jipendekeza
😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣