Somo "Akili" Sehemu Ya 13. Dr Elie V.D Waminian

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ก.ย. 2024
  • Kuendelea kupata mafundisho mengine zaidi tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamiii:-
    Facebook : / gospeltvshow
    Instagram : / chomozanews
    TH-cam : www.youtube.com...
    #ChomozaTv#GospelUpdates#2020
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 23

  • @petermabada5628
    @petermabada5628 4 ปีที่แล้ว +6

    Dr. hii elimu ni kubwa sana , watu wengi wanapaswa kuijua , Hii ni tofauti hata na style ya mafundisho tunayopata kwenye makanisa , misikiti, masinagogi, MUNGU kakuleta utuelimishe, kwa sababu watu wengi tulikua tunaangamia kwa kukosa maarifa ya hatma zetu.

  • @rajabumrama3161
    @rajabumrama3161 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akulinde d.r.t

  • @kelvinmwasongole6724
    @kelvinmwasongole6724 4 ปีที่แล้ว +2

    Asante kwa hili somo

  • @shafymkeremy7653
    @shafymkeremy7653 4 ปีที่แล้ว +5

    Dr Nakupenda Kwa Upendo Wa Dhati...# Nakaz Yakukuombea Uwena Afya Njema Ili Niendele Kupata Maarifa Kutoka Kwako.. Maana Now Na Miaka Miwili Nkikusikiliza Maana ikifika Miaka Mitatu Nitakuwa Nimehitimu Na Kuwa Na Degree Kutoka Kwako Kwa Elimu Uitoayo.

  • @vivianoforo4760
    @vivianoforo4760 4 ปีที่แล้ว +4

    Ili somo linagonga kweli kweli and I will listen to it mpaka mwisho Mungu akutunze sana Doc Ellie na team chomoza

  • @irenenguku8198
    @irenenguku8198 4 ปีที่แล้ว +2

    Jaman Dr ulichosema wanje wanaelewa zaidi ujakosea maana wengine umetubadilisha kabisa..... asante Sana.

  • @the_white_43.
    @the_white_43. 4 ปีที่แล้ว +2

    CHOMOZA YOOOOTE Dr. Elie ndio timamu ,,,muongezeeni MUDA ...Rekebisheni sauti

  • @peterpaschaljuma2382
    @peterpaschaljuma2382 4 ปีที่แล้ว +4

    Asantee Sana Dr tangu nianze kukufatilia mfumo wa maisha yangu yamebadrika kabisa 🙏🙏

  • @jeffreyjason8453
    @jeffreyjason8453 4 ปีที่แล้ว +7

    Brother Sam na Brother Jimmy nawaomba mnunue saa ndogo ya kuweka mezani hapo, itasaidia sana muwe na Utulivu. Ni mwaka Sasa tangu Dr. Elie amependekeza kuwe na saa hapo mezani.

  • @mr.moneysolver981
    @mr.moneysolver981 4 ปีที่แล้ว +3

    Team chomoza asante sana

  • @joelkahesi7280
    @joelkahesi7280 4 ปีที่แล้ว +2

    Truly a hub of hope.

  • @hamidafundi5890
    @hamidafundi5890 4 ปีที่แล้ว +4

    Ukisikia ipasavyo utatulia, na kuona sawasawa. Utu ni utulivu.

  • @mariaurassa8081
    @mariaurassa8081 2 ปีที่แล้ว

    Ashukuriwe Mungu

  • @davidkihiga3531
    @davidkihiga3531 4 ปีที่แล้ว +2

    as you have said .....
    Kuna watu wapo saa hizi na kalamu na daftari hawatikisiki . NI MIMI HAPA .

  • @the_white_43.
    @the_white_43. 4 ปีที่แล้ว +2

    good

  • @mirajimakwilo8193
    @mirajimakwilo8193 3 ปีที่แล้ว

    Nimekuelewa Siku zote!

  • @egbertmachumu8552
    @egbertmachumu8552 4 ปีที่แล้ว +7

    Jimmy acha kufanya mhh; mhh; wakati Dr. anaongea, inakera. Sam Sassali ni mtulivu.

  • @jacklinembuya1331
    @jacklinembuya1331 4 หลายเดือนก่อน

  • @azzamahamdu7039
    @azzamahamdu7039 3 ปีที่แล้ว +1

    Yan nusu saa INATUTOSHA KBSAA.MSITAKE MDA MREFU AFU UKAONDKA PATUPU.KIPNDI HIKI KINATAKIWA USIKIVU WA HALI YA JUU.

  • @greenhealtv9016
    @greenhealtv9016 4 ปีที่แล้ว

    Shalom,
    Mimi kuna kitu nakiona alafu kinajirudiarudia.
    Na sim yangu iko vizuri ina maana sim sio tatizo.
    tatizo lenyewe ni 'sauti' hasa anapoanza kuongea DR.
    samahani kama nitakua nimeona vibaya.
    GOD BLESS

    • @florianassenga5158
      @florianassenga5158 3 ปีที่แล้ว

      Shalom.
      Kwa mwanzoni hata mimi sauti ilikua ni tatizo, lakini tangu natumia earphone sijawai kukosa neno hata moja.
      Nakushauri nawe pia tafuta earphone mpendwa sababu kusikilizia kwenye speaker za simu utakosa mengi!

  • @migeraveronica7719
    @migeraveronica7719 4 ปีที่แล้ว +2

    Nina shida nikupaje