Kuishinda Njaa, Uzembe Na Tamaa. Akili Sehemu Sehemu Ya 20 Dr. Elie V.D Waminian.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ส.ค. 2024
  • Kuendelea kupata mafundisho mengine zaidi tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamiii:-
    Facebook : / gospeltvshow
    Instagram : / chomozanews
    TH-cam : www.youtube.com...
    #ChomozaTv#GospelUpdates#2020

ความคิดเห็น • 23

  • @hamidafundi5890
    @hamidafundi5890 3 ปีที่แล้ว +6

    'Uzembe ' ni mtazamo wa kudhani kuwa kila kitu kimetokea,ukweli kila kitu 'kimesababishwa' Mzoefu ni mwenye kuchukua tahadhari ,anasoma na kuelewa yaliyotokea na yaliyopo. Mazoea ni 'Uzembe' Dini, ukabila vinatukosesha utayari wa kujifunza kutoka kwa wengine. Mzoefu hujifunza kwa yoyote hata kwa sisimizi ,akili inatembea naye wakati wote. Ukweli ni kwako mwenyewe. Mzembe yuko karibu na njaa na tamaa. 🙏Dr Elly Asante Chomoza.

  • @babyhamisi5331
    @babyhamisi5331 3 ปีที่แล้ว +3

    Jamani nampenda uyu doctor Ellie mungu amzidishie umri wenye afya

  • @issaramadhan8113
    @issaramadhan8113 2 ปีที่แล้ว

    Nilichogundua docta Elie akiwa na huyu sasali anakuwa huru zaidi tofauti na yule wakuangalia mda kila wakati

  • @jonathanimdegela1005
    @jonathanimdegela1005 3 ปีที่แล้ว +2

    Nawakubali kuliko njaaa

  • @mjroyaltz8322
    @mjroyaltz8322 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen,,,🙏🙏🙏 Dk Elie√

  • @magnioisso6792
    @magnioisso6792 3 ปีที่แล้ว +2

    Kipindi cha Dr Elie nikipindi cha tofauti sana kuliko vipindi vyote vya chomoza, Elimu anayoitoa ingepaswa ipewe muda wa kutosha kwani inaokoa jamii kuliko ninyi watangazaji Anko Jimy na Sam mnavuoweza kudhani.. Tafadhali tunaomba mutazame swala la muda Upyaa.

    • @AsteriaMontgomery
      @AsteriaMontgomery หลายเดือนก่อน

      Mi binafsi naona nazidi kupona mungu azid kumbariki Dr elie

  • @godwinmsigwa7037
    @godwinmsigwa7037 3 ปีที่แล้ว +1

    Ukweli sio kwa watu ukweli ni kwako,mzembe yu karibu na tamaa na njaa,kutunga mimba ww ni mshindi tayar

  • @dynam1488
    @dynam1488 3 ปีที่แล้ว

    Nimekuelewa sana baba nashukuru 🙏🙏🙏

  • @madatapeter2218
    @madatapeter2218 3 ปีที่แล้ว

    Chomoza nimewaelewa vizur asanteni uzembee na majaribu ni ujingaa usikubali kujaribiwa Kama yes alikataa kujaribiwa

  • @babyhamisi5331
    @babyhamisi5331 3 ปีที่แล้ว

    Shukran Sana doctor your the best

  • @shantalismailhassan9878
    @shantalismailhassan9878 3 ปีที่แล้ว

    Asante Dr. na Mr. Sasali kwa elimu nzuri na Bora. God bless you too.🙏🏾

  • @denismaussa650
    @denismaussa650 3 ปีที่แล้ว

    MUNGU awabariki Sana timu chomoza.

  • @aminakupila3079
    @aminakupila3079 3 ปีที่แล้ว

    Asante doctor 👨‍⚕️ we always love you dear☝️🔥🙏natamani Watanzania wakuwage wanakusikiliza wasio,mafundisho yako.

  • @abdilahmussa6062
    @abdilahmussa6062 3 ปีที่แล้ว

    Asante sans

  • @zuhuramike1399
    @zuhuramike1399 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen

  • @mutopefarm4669
    @mutopefarm4669 3 ปีที่แล้ว

    Tupo pamoja

  • @josejoe8455
    @josejoe8455 3 ปีที่แล้ว

    ONE LOVE.

  • @kolokokoloko9276
    @kolokokoloko9276 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungeandaa cd ambazo zina muendelezo wa maelezo yake tangu ameanza kuongea ktk kipindi chote cha Chomoza

  • @alexedward7709
    @alexedward7709 3 ปีที่แล้ว

    Habari za leo,
    Tunashukuru sana kwa mafundisho mnayo tufikishia.
    Zaidi namuuliza Dr, kuhusu kitabu alichokuwa akikiandaa, ila imekuwa ni zamani kidogo - kinaitwa " Mwaka wa Hekima na Mafanikio" kilikamilika?, je kinapatikanaje?
    Alex / Geita.

  • @chris_jabari
    @chris_jabari 3 ปีที่แล้ว

    Outrun your own shadow