Huwa natamani sana kusikia maswali ya mama kwa mkuu wa majeshi aonapo movie hizi kaliii live 😂😂😂 Hongera kwa wanajeshi wetu,hongera kwa mama nchi imetulia chini ya uongozi wake... Afya njema na maisha marefu kwako Rais wetu ameeeen
Mapenzi mabaya kweli hivi hamars wana mateka na urusi pamoja kuws na jeshi bora duniani jumlisha washirika wake wameshindwa haya ni mazingaombwe kuiwalisia haipo ongera mapinduzi
Sherehe zimefana ila kubwa kuliko yote ni uhodari wa jeshi letu limetuonyesha ufanisi wa kazi wa hali juu sanaa, naomba mungu aendelee kuwapa nguvu, maarifa na afya ili tuendelee kuwa juu zaidi na zaidi(NIMEFURAHI SANA)
Nirahisi sana vitu wanavyo vifanya japo sisi hatujui ila nirahisi mmno huwezi kumuokoa mtu kirahis vile et mateka jashikiriwa analindwa na mtu mmoja wee uliskiia waapi broo inatakiwa mtuoneshe mifano hai mpaka rahis mwenyew akubaari
Heeeeee ngonjera ipo sk tutajamba. 😂😂😂😂 EXTRACTION. Hyo sk tutaweza kudifine vzr. Serikali iweke kipaumbele na kuimalisha vyombo vya dollar sio sanaa hivi tu. Jeshi la chini lieleweke na jeshi la anga lieleweke maendeleo yake, chuma zinaunguruma utatoka kwa EXTRACTION kwl❤ TZ
Hapa jwtz wanacherehesha tu ili maazimisho yapendeze mwingine akiona hiyo helicopter moyo wake unafurahi ingekuwa vita hapo uwanjani wote wangekimbia na wengi wangezimia watanzania tulipende jeshi letu kwani ndiyo letu wewe unaebeza SI upime kina cha maji harafu utajuwa kama Mzee Nyerere alikosea au hakukosea kuunda hili jeshi .
Mfumo.wa.zamani huo.sasa hivindrone na satalite. Hayo maonyesho yashapitwa na wakati na wakati.dunia ya sasa hivi toknologie.watu hawatumii nguvu Bali utaalami wa nuclier
Listen technology haiondoi basics za utendaji ...kinachopimwa ni utimamu na ubora wa utendaji wa jukumu ( efficiency and effectiveness ya utendaji) Silaha kubwa ya askari sio vifaa alivyonavyo bali ari na nia ya kupigana mpaka kufa. Taleban wamempiga america kule Afghanistan kwa sababu ya Nia ya kupigana mpaka kufa kwa nchi yao. Na sio silaha
Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿 ♥️
Hizi n comedy naona😂
MUNGU ni mwema hongera Sana kila la kheri kwenu nyote kazi njema barikiwa Sana
Mungu ni mwanzo na mwisho🙏🙏🔥
Hatari sana jeshi letu mungu azidi kuwalinde
Kazi kaz❤
Wamejitahidi sana na hongeren majeshi yetu kwa kazi nzuri mmejitoa vilivyo
Naipenda nchi yangu Tanzania 🇹🇿 ❤
Kwa Izo Comedy zao😂😂😂
@@sanoureyaliwadoakaroyo1696 Fanya na ww hyo comedy
Acha dharau
Nyie ndo ambao mkiskia sauti ya risasi tu mnaanza kuhaha
Muongo huipendi nchi yako no TANGANYIKA znz haikuusu
Mama ana upiga mwingi💪♥️🇹🇿
Huwa natamani sana kusikia maswali ya mama kwa mkuu wa majeshi aonapo movie hizi kaliii live 😂😂😂
Hongera kwa wanajeshi wetu,hongera kwa mama nchi imetulia chini ya uongozi wake...
Afya njema na maisha marefu kwako Rais wetu ameeeen
Nendeni Gaza mkafanyie practical😂
😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂
🤣🤣🤣🤣you pple you gonna kill me ooohh
Wapo congo sudan na kwengneko.
Hhhhaaaiiaa sijaona Kenya ikifanya hii waaa inapendeza
Kazi njema,Mungu azidi kuwatunza daima
Interesting. Love from Kenya
Yaan adui awaangalie bila kufyatua risasi😂😂😂
😂😂😂😂😂
very nice
nataman kuwa mwanajeshi one day
Nawapenda Sana
Naomba Mungu tu anipe mume mjeshi mimi❤
Cngilatueshen komamndo 🇹🇿♥️🌹
Vizuri sana makomando
😂😂😂😂😂wahuni 2 hawa😂😂😂
Mungu ibariki nchi yangu Tanzania
Hongereni Wana jeshi letu la tz kwa kituonyesha uhodari wenu nawaponeza sana tu.
😆😆😆😆kama hivi ndivyo tunavyoweza kuokolewa kutoka mikononi mwa adui,
Basi tutaokolewa sote tukiwa maiti.
Ila Bongo kuna vituko
Ukiwa hujui kitu usicoment
Mapenzi mabaya kweli hivi hamars wana mateka na urusi pamoja kuws na jeshi bora duniani jumlisha washirika wake wameshindwa haya ni mazingaombwe kuiwalisia haipo ongera mapinduzi
Nipe mbinu nyingine tofauti na hiyo inayotumika kuokoa watu ? Hawa kuna nchi umeona wanapeleka maroboti ? Punguza ujuaji😂
😂😂😂😂,,hizi ni vituko gani jameni
@@AbdulatifSaidykuna mbinu nyingi sana, hii ni common mno among sf community huko dunian si kitu kipya
😂😂😂😂😂hii movie ya dj afro hapa kenya
❤ vipi
Nice pitch here...
This is so special deal of our Military personnel
Hongera sana JW
Wow Mungu IBARIKI Tanzania🙏
Sherehe zimefana ila kubwa kuliko yote ni uhodari wa jeshi letu limetuonyesha ufanisi wa kazi wa hali juu sanaa, naomba mungu aendelee kuwapa nguvu, maarifa na afya ili tuendelee kuwa juu zaidi na zaidi(NIMEFURAHI SANA)
Ee mungu saidia inchi yetu
Kwa izi mbinu zetu waafrika na technology ya sasa tunaweza kuwa tunapigika kila siku maana toka kwa nyerere ni ivi ivi tuu😅😅
Ahahahaha
Nunueni Black Hawk helicopter za Marekani zisizo na sauti,mwulizeni Osama kilichomkuta.
@@pennymahombo9528😂😂😂😂kwn marehemu huwa wanaongea nowadays
Kwenye mbinu za uokoaji type mbinu mpya tofuati na hizo za ndege au gari ? Au kuna nchi wanatumia roboti punguza ujuaji😂
Awee watakufa saana tusiombee
Harmonize ye alitua na makalio😢😢😢
Unataka tutangaze mbinu za siri ya nchi yetu ili ituumize iyo ni furaya yetu sisi tu wananchi ila sio kwasbb ya vita
Walansi za siri, ni very common
Hapo sawa nakubaari wapo sahihi kabisa
Mama yangu tuwaheshimu sana Askari wetu wanakazi kubwa sana JAMANI TUSIWASUMBUE TAFADHALI SANA🔥🔥🔥🔥
Nawaza ao watekaj awajaskia saut ya helkopta😂
Kazi gani hzo zaidi ya kuonea wanyonge na kuwalinda waraji
@@msafirimaulidi5054 acha vurugu 😀😀😀😀
@@emnanuelimtui1805 wabora sana kwenye kuzuia maandamano sio kuokoa raia kwenye ndege iliyotua baharini
Haya niadui gan utakae nkamata ivoo amba mchezo wa govinda
😂😂😂 DRCongo 🇨🇩
Iyi onyesho iliwashinda jm
Ila wabongo hawajawah kuwa seriously
Certified well improve d
M nlipenda wanajeshi ndo muigize muv za kivita tanzania ningezipenda sana
Mimi ni mburundi ila naipenda Tanzania sn
Yaaaan hapo badooooooo😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nchi bwana tucheke tuongeze siku za kuishi
Nakubali kazi ya jeshi
Mungu ibariki tanzania
Kama movie za kituruki😂
Noma san
Safi sanaaa..namm ningekuwa ivo.
Mko na mchezo nyinyi, polepole namna hiyo
Matumizi mabaya ya fedha
Kazi zuri kweri
Ni hatari na nusu
Nilikua sipo sikia bodoo BADOOOOO BADOOOOO BADOOOOO BADOOOOO sanaaa😆😆😆😆 Yani BADOOOOO
Tanzania salama iko fulu kiulinzi
Njoeni Mozambique mule chuma😂😂
😂😂😂😂kama wana bomu si wanawalipua
Safi kabisa Tanzania oyeeeee 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Ilikuwa lazima mugie kile askari wetu walifanya jamani?? Surely Tanzania??
One day yes
Wazee wa gaza wasinge waacha mnimginie hivyo
Kumbe walioteka waarabu koko😅😅😅😅😅😅😅 ila naipenda nchi yangu. Mapunduzi daima
Bora msioneshe huu upuuzi maana watu wako kwenye ubabe wa nuclear nyinyi mnaleta movies scripts 😢
Kwahiyo mateka wako unaweza kumuokoa kwa nuclear?? 😂😂😂Punguzeninujuaji
😂😂😂kuji fanya unajua ndo madhara yakeeeee
Fact
Kuwa na heshima kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama. Cc km wazalendo tumeridhika na jeshi letu na tunalitakia kilalakheri ww endelea na Nyuklia
@@kabaranamaganga6646 Fala kweli elewa point ndio uwanze kutukana watu
Tuliinjoi saana 😊😊
Mbinu izi msije kufanya tutawalilieni 😢😢😢
kweeli broo ni it's very easy
Nirahisi sana vitu wanavyo vifanya japo sisi hatujui ila nirahisi mmno huwezi kumuokoa mtu kirahis vile et mateka jashikiriwa analindwa na mtu mmoja wee uliskiia waapi broo inatakiwa mtuoneshe mifano hai mpaka rahis mwenyew akubaari
Hamna kitu humu
Natamani waje na Idia nyingine mahana hii tumeizoea toka Enzi jk nyerere
Wafanye mechi ya kirafiki😢na kenya 😂😂
Hatar juu yahatar
🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡🫡❤️🤝🤝🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿naipenda sana taifa langu😊
Nhhh bado sana kwan maadui wamelala
Heeeeee ngonjera ipo sk tutajamba. 😂😂😂😂 EXTRACTION. Hyo sk tutaweza kudifine vzr. Serikali iweke kipaumbele na kuimalisha vyombo vya dollar sio sanaa hivi tu. Jeshi la chini lieleweke na jeshi la anga lieleweke maendeleo yake, chuma zinaunguruma utatoka kwa EXTRACTION kwl❤ TZ
God bless my country
Hapa jwtz wanacherehesha tu ili maazimisho yapendeze mwingine akiona hiyo helicopter moyo wake unafurahi ingekuwa vita hapo uwanjani wote wangekimbia na wengi wangezimia watanzania tulipende jeshi letu kwani ndiyo letu wewe unaebeza SI upime kina cha maji harafu utajuwa kama Mzee Nyerere alikosea au hakukosea kuunda hili jeshi .
Bado tuko nyuma ela mnapeleka wapi maneno ming ma viffaaa ya kizaman
Napenda Sana👏🇹🇿
Kwa hii style ndege zitakuwa zishalipuliwa
Umeona wanazingua izo show za kuwaonyesha watoto
😂😂😂😂
Nenda katufute mbinu ya tofauti izo au kuokolewa kupitia gari ulete hapa punguza ujuaji tu😂
Huo ndio ukweli , sai technology ziko very advanced, nani atangojea mfanye hizi vitu wanafanya ama wanadhani ni movie
Wakikutana NA RPG za hamas hawa wamekwisha 😂😂😂😂 hizo style za kwenye movies 😂😂😂
Hao watekaji Watakywa wapi HADI muingie kilaini hivyo
Mamaaaaaaa,maaajabu sijawi kuona
Mhh naogopa jinsi halikopta jinsi inavuzunguka
Ndo aseme kizimkazi jamani😂
😂😂😂😂😂😂roh kazi kweli kweli
Safi sana Tanzania
"Daima naimpenda nchi yangu 🇹🇿♥️
Tuko pamoja kwayote
Good job
Nendeni somali mkakadwee😅😅😅
Jeshi hatari Africa
Kwahyo hapo wapo kwenye anga ya kwako au anga ya adui??😂
Sasa hapo si adui anakumaliza
Maaskari wanaulizana eti nimekaa sawa😂😂😂😂😂😂😂the Hii nchi tunacheka siku ziongezeke😂😂😂😂
Tanzania mnakuanga na vituko sana, hiyo nn mnafanya kusema kweli?
Sasa mbn hawagawi wastan kwa idadi
Kuna kosa 3,ikiwaniya ukweli mutalizwa.
Op entebee ,comoro walifanya hv hv,ongerenii
Milele festival since #coming coming
Je kungekuwapo na bomu la ardhini wangefanyaje kwa sababu hakuna ishara yeyote waliyoonyesha hususani upekuzi wa mabomu
Naipenda nchi yangu
its fine
Nimefikiria Ni mchezo wa watoto
hiyo filam inatoka lin
Mfumo.wa.zamani huo.sasa hivindrone na satalite. Hayo maonyesho yashapitwa na wakati na wakati.dunia ya sasa hivi toknologie.watu hawatumii nguvu Bali utaalami wa nuclier
Mbna kaelezea kila kitu kwamba ulianza uchunguzi kisha wakatumwa waokozi,, Sasa hiyo drone inaweza kubeba mateka?? 😊😊Acheni ujuaji wa kishamba
Huwezi kuonyesha mafunzo yako yote kwa. sherehe kama hizi, yaliyobakia wanajua wao ila mm na ww hatujui
Hayo ni maonyesho halafu drone ukatumie kuokoa mtu ? Eeh punguza ujuaji zile ni ndege ambazo hazina rubani lazma commando watumike kwenye uokoaji 😂
Listen technology haiondoi basics za utendaji ...kinachopimwa ni utimamu na ubora wa utendaji wa jukumu ( efficiency and effectiveness ya utendaji)
Silaha kubwa ya askari sio vifaa alivyonavyo bali ari na nia ya kupigana mpaka kufa.
Taleban wamempiga america kule Afghanistan kwa sababu ya Nia ya kupigana mpaka kufa kwa nchi yao. Na sio silaha
Drone ya kubeba wanajeshi ipoje hiyo