ELEWA CHANZO CHA MATESO YAKO 18-11-2020
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 28 เม.ย. 2021
- Ibada iliyofanyika Katika kanisa La Vuka Yordan Ngaramtoni Arusha Tanzania,Na kuongozwa na Mtumishi wa Mungu Bishop Elibariki Sumbe.
Follow kurasa za Bishop Sumbe,Bofya Link Hapa Chini.
/ bishopelibarikisumbe
/ bishopelibariksumbe
Website
Vukayordani.Org
LIKE | COMMENT | SHARE.
UBARIKIWE.
#VukaYordaniChurch #NgaramtoniArusha
mtumishi naomba ufahamu wangu na niwrrze kuwa mtii kwa kuelewa sheetan akashindwe
Mungu wako anisaidiye anifunguwe na mimi ilinimalize kazi salama la Mungu
Ee mungu wangu 16:46 mwema naomba msaada kwa babu na Bibi Bibi zangu pamoja na wazazi wangu wote turehemiwe Zambi zetu zote amina 🙏🙏🙏🙏
Usinipite baba mungu, damu yayesu iwe juu ya maisha yangu asante na umubaliki mutumishi wamungu bishop elibaliki sumbe n'a umuzidishiye amena Amena kubwa
Mungu Baba katika Kina la Yesu Kristo naomba unifundihe kuomba.
Askofu elibariki sumbe neno unayo fundisha ni kweli, kazi nayo ngojea mungu njoo aliyo nipa hata inakwa yeye peke atafunguwa njia na atafunguwa hiyo ibirisi anayo fanya ila nita itwa ginsi na chunga miaka mbili na mwezi 5 tano ila itakuwa tuu amen.
J'aime les enseignements de cet homme de Dieu
I'll
AMEN AMEN BABA napokeya Kwa jina la YESU kristo amen
Mungu baba,mwana na roho mtakatifu azidikukutumia mtumishi wake
ameen mtumishi kupitia mafundisho yako naomba Mungu anifungue nipate kuponywa maradhi yanayonisumbua yasiyosikia dawa
Bishop atakuja lini mbeya waty tuntafuta mungu kwa juhudi hatumpati naomba aje afungue watu wa mungu tunateseka sana jamni
E Mungu yangu Nakuomba unifungulie malango yangu ya kiroho nipate kukujuwa ndani ya moyo wangu
Mtumishi. Naomba. Mungu. Anifunguwe. Mambo. Yote yanayonitesa. Pamoja. Watoto wangu
Mungu akubariki mtumishi nimefunguliwa kupitia neno hili
Namuomba Mungu anifungulie njia ya kukujuwe wewe Mungu
Ameeeee!!MUNGU anafanya njiya pasipo kua na njiya .atupe kulishika neno lake tujaye Imani myoyoni ili tuvuke Jordan salama ,tunasimama kando kando ya muto Fanya njiya Baba pasipo na njia leo tunaamini week hiyi tutavuga ngambo neno ulilo linena narifunika kwa Imani🙌🙌🙌🙌🙌🙏26.11.2021
Asante sana baba nimepokea kitu kikubwa kwa somo hili.
Eeeee mungu wa mtumishi wako Sumbe naomba unifungue
God bless vuka yordani Mungu niongoze
Nabarikiwa sana na mtumishi huyu naomba Mungu anitie nguv niwez fka kweny madabahu hii ili nifunguliwe
Natafuta kujiunga na mutumishi elibariki sumbe nipate musaada
Amina mtumishi good bless you 🙏🙏
❤❤❤❤❤ Mungu mukuu aliye hai Ako hapa
Usinipite mungu bwana wangu neema yako kwenye Maisha yangu
Mungu nisaidie najataa roho ya mauti😢
AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN
Baba mungo abarikiwe neno ihi inafaridji
Amen nifunguwe heee mungu wangu katika vifungo vya chetani 🤲🤲🤲
Ubarikiwe njoo na morogoro mtumishi
Neema kubwa kwenu enyi ndugu zangu katika Kristo Yesu. Mu ishikiliye saana hiyo neema. Mumepata Mchungaji mwenye upako na hekima tele. Watching aji wengi wanakuwa kinyume na mapenzi ya Mungu. Ni neema kupata Mchungaji ambae anafundisha mambo mazito kama haya. Wengi tunaishi maisha ya ignoring. Nimefurahia mafundisho mazuri kama haya. Ninatamani sana hayo madhabahu ila Niko inje ya Africa. Mungu awabariki saana.
Ee,, Mungu naomba nikafunguliwe mm na watoto wangu kwa jina la Yesu na kwa Damu ya Yesu Kristo aliye hai🤲🛐🔥🔥🔥
Ubarikiwe sana pastor mungu atusaidie
Amen amen hakika bishop umeni gusa kabisa nikiwa moja wa kujiuwa nitafanya kama kama ulivyo Sema nitafunga siku saba Asante Sana mungu akubariki
Ee Mungu nionekanie na mm ndoa yangu irudi Kama zamani eeYesu nisaidie
Mtumishiii unaniliza sanaa nstamani siku moja nifike madhabahuni pako nishike miguu yako familia yangu/uzao wangu tunahangaika sana nimekuwa ni mtu wa wakutamani kufa tu.Mungu nisaidie mimi na uzao wangu/wazazi wangu.ahsante kwa kutufundisha neno lako takatifu Mungu akubariki sana mtumishi nabarikiwa sana napata ushujaa na amani moyoni mwangu.
Mtumishi hakika umefunza ukweli wa ndani, MUNGU Heshima yote iwe yakwako 🙌🙌
Barikiwa mzee elibariki sumbe,watu wanataka matokeo Na sio Njia ya kupata matokeo🙏🙏
Mtumishi umenitoa kweny kifungo
Barikiwa Baba kwa neno hili Bwana Mungu wetu liinuliwe Amina
Mungu azidi ndani yako
I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I
Baba ubarikiwe Sana natamani Sana nifike Arusha kwenye madhabahu ya wrm hakika nabarikiwa sana
I receive I receive I receive I receive I receive I receive
Amina!
Hii ni kweli halisi!
Barikiwa mtumishi wa Mungu kwa ufunuo huu toka kwa Bwana wa Majeshi!
Mungu nipe kuelewa zaidi na zaidi na kulishika neno lako
AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN BABA
Barikiwa mtumisshi
Mungu tusaidiye😢😢😢
Najiunganisha na hyo madhabahu kwa jina la yesu napokea uponyaji
Mungu akubariki na kukulinda mtumishi wa Mungu nimejifunza mengi sana Bwana akuinue zaidi
Sasa mazuri tuna tamka mbona hayafikiiii
Amen bichop,na ona neno ili lime chuka kwa ajili yangu baba mimi na jaaama yangu tume funguliya ku pitiya neno la yesu-Cristu,sisi tuko wanamuke ine toka tumbu la mamayetu lakini hatuja olewa baake tuna zaliya na watoto pale nyumbani dadangu ame zaaa wa tatu na mimi mu moja sote tuko nyumbani,eeee baba na liya kwa jiya ya msalaba wako utu okoye toka laana iyi tuna ichi utupe maicha yetu halisi uliye ya tamka pale ulipo tu umbanga.mungu azidi kuku funuliya maono mengi juya wa toto wake nachukuru
Ameeen,Mungu nifunguwe Mimi na watoto wangu nisaidie Mungu sikia kilio cangu
Amen mungu sikia kilio changu nifunguwe mm na mtoto wangu pia na familia yangu
Yes nisaidie ili nilishike nemo lako
AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN 🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu naomba unifungue nitoke kwenye mateso yote yanayoumiza moyo wangu
Amen to God be glory
Nime funguliwa na iyi neno
Ubarikiwe mutumishi wa mungu
I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I
Asifiwe Yesu
Mungu nisaidie na unisamehe makosa yangu
Mungu Asante
Mchungaji njoo mikumi
Naomba nikumbuke mshungaji kwadamu ya yesu
Amen god bless you pastor
Barrikiwa baba sana somo hili nilakwangu
Muchungaji Mungu akulinde uishi siku nyingi Amen
Amen amen amen amen amen
Amen Yesu
Neno la mungu ni la ngufu kweli limenijenga
Amen Yesu🙌
AMEN mutumishi wamungu mungu azidi kukupa kipaji
Ameen
Be blessed pastor amen 🙏🙏🙏
Amen and amen baba
Napokea baraka nafuta laana kwa jina la Yesu
Nimesikiliza neno hili nomesikia kulia sana
Amen amen amen 🙏🙏🙏
Ubarikie mtumishi wa mungu
Emungu nifunguriye namme wangu nawatoto wangu
Amen and amen
I'm blessed through this, be blessed too pastor 🙏🙏
RepLes
neno limenigusa sana ucku wa leo
Mungu nisaidie nitembee na neno lako
I need u help in my family life. Things for a long time never gets better. Please, pray 🙏 🤲 for me in Jesus name amen
Asante sana Mungu kwa kutufundisha mambo ya sirini
Amen amen 🙏 🙌 👏
Amna
Askof njoo Mombasa ,Mtwapa
Ameeni
Powerful powerful
Waw! This is my word today yesterday my best partner prayer betrayed me and I was very hart n my heart ... Now I got new revelation Glory be to God . Thank you God for using brother to release this word .... More Grace 🙏
A men amen
Amen neno hili umelitoa kwa ajili yangu pasta limenifungua kwa jina La yesu amen
Amen
Amen
Amen
Amen and amen baba
Amen
Amina Askofu naomba uje Moshi
Amen amen asente Mutumishi Mungu awabaliki sana
Amen n wakati nitubie dhambi za ukoo roho wa MUNGU anaponena 'neno la MUNGU na lichanganyike na imani...hapo ilkuwa n MUNGU kweli pastor umeweza...
Amen amen🙏🏻
Kwakweli Mungu nimwema ni Mathieu apa kongo
Amen
AMINA aminaaa baba
Louvado seja Deus 🙏🙏🙏
AMEN
Translate to ENGLISH