ALIEPOOZA APOKEA UPONYAJI - 08/07/2018
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 27 ก.ค. 2024
- Ibada iliyofanyika Katika kanisa La Vuka Yordan Ngaramtoni Arusha Tanzania,Na kuongozwa na Mtumishi wa Mungu Bishop Elibariki Sumbe.
Follow kurasa za Bishop Sumbe,Bofya Link Hapa Chini.
/ bishopelibarikisumbe
/ bishopelibariksumbe
Website
Vukayordani.Org
LIKE | COMMENT | SHARE.
UBARIKIWE.
#VukaYordaniChurch #NgaramtoniArusha
Mungu kupitia maombi hii na mimi nafunguliwa kwa jina la Yesu kristo aliye mwamba na mokozi wa maisha yangu🙏
Mungu nimwema 😢😢😢😢❤❤🇧🇮🙌🙌🙌🙌Haleluya
Baba we moto Asante yesu naamin kupitia baba huyu baba angu atapatikana na mama angu atapona Kwa jina la Yesu amen
Mungu ni mwema zaidi n'a azidi kulutumikisha baba Sumbe
Yesu mponye na mama yangu anaesumbuliwa na tatizo la kupooza
Mungu azidki kuonua mtumish wake sumbe
Amin mtumishi ubarikiwe sana na mm nimepokea uponyaji wako
Yesu anaweza yote 🙏🙏🙏
Daah...Ahsante MUNGU...Utulindie mtumishi wako Mungu wetu siku zote.Amina na Amina
Sifa na utukufu zimurudie Mungu
Mungu yupo kabisa kwa Wale wanao amini
Niajabu nakweli hakika madhabau ya vuka yordan inamajibu yakila MTV. Asante Bwana Yesu kwaajili ya madhabau hii
Amen MUNGU unikumbuke na mimi
Du!Mungu ni wa ajabu sana,sifa na utukufu namrudishia yeye Amen!
Barikiwa Baba Askofu
Naitwa lilia adisa natokea kenya ila sai niko qatar naomba maombi niko na matatizo mengi sana naomba uniombee tafadhali
Mungu nnakupenda
Wacha Mungu aitwe Mungu
Jesus Christ your wonderful name💞💞💞 I LOVE YOU JESUS
Hakika Mungu habadiliki, anaendelea kuponya na kufungua watoto wake. Ninazidi kumshukuru Mungu kwa Matendo yake makuu. Amina!
Mungu anaweza jamani
Mungu wetu nimwema kbs 🙏
Mwachrni mungu aitwe mungu,cku zote za maisha yangu nitakutegemea mungu
Believe God is holy and capable of every thing may God protect all his servants and children
Amen amen
Amen 🙏🏾
Waaaohhhh amen ameeeeena🙏🙏
Ameen Jesus is Lord
Mungu wetu hashindwi!!
Asante yesu kwa matendo yako makuu
Asante mungu kwa uponyaji
Amen Amen
Amen
Hakuna kama mungu
Hakika tunaye mungu wau
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏😭😭😭😭😭mungu ni mungu
Mungu apewe sifa
Glory to God thank you Juses your yestarday ,today and forever
Pia mume wangu akona Stoke pray for him
Ooo Asante YESU
Amen 🙏
Allejah
Amen Amen 🙏
GOD IS SO FAITHFUL AMEN AMEN AMEN
WE GLORIFY YOUR NAME
👏👏👏👏👏👏👏😁😁😁😁🤔🤔🤔 amen
Hallelujah
👏👏🙏🙏❤🇰🇪
Sumbe
God ispower
Ee MUNGU utuponye wewe nimponyaji
Safini
Ameeen Ameeen
👏👏👏🙏
Amen 🙏
Amen