Hamna kitu hapo huyo ni Mzee sanaaaa atakuwa Kila kitu ndiyo Mama tuliona kwenye Bandari zilipokuwa zinatakiwa zichukuliwe na Waarabu zote alikuwa anazipigie debe ziondije sijui Vitukuu vyake vingilisi nini wakati ni asilimali ya Tanganyika hamna kitu hapo myache ale tu
Wewe unachuki na rohonya husda,inaonekana unaishi maisha ya taabu sanaa kutokana na roho mbaya ya ubaguzi uliokuwa nayo,nenda kaulize mapato yanayioatikana kutoka bandarini na huyo mwekezaji unaesena wewe mwarabu.elimu muhimu sanaa.taifa likiwa na watu wajinga kama wewe ni mtihani kweli kweli
Waitara anajua Dj ni Mzee wa mauzauza Shuwain🐷🐷🐷
Wasira......mmmhm......siasa zake hazikidhi vijana wa Genzi
hili fisi bado lipo?
Mzee wasila amezeeka mpakaamewahi kupishanisha vishikizo vya koti Suti?
sasa wasira kwer siarikuwa wakuangaria kuku wasiriwe na pakashume kwer ccm imefika huko mpaka wamekosa wat
Hamna kitu mzee sana huyo mzee
Hamna kitu hapo huyo ni Mzee sanaaaa atakuwa Kila kitu ndiyo Mama tuliona kwenye Bandari zilipokuwa zinatakiwa zichukuliwe na Waarabu zote alikuwa anazipigie debe ziondije sijui Vitukuu vyake vingilisi nini wakati ni asilimali ya Tanganyika hamna kitu hapo myache ale tu
Wewe unachuki na rohonya husda,inaonekana unaishi maisha ya taabu sanaa kutokana na roho mbaya ya ubaguzi uliokuwa nayo,nenda kaulize mapato yanayioatikana kutoka bandarini na huyo mwekezaji unaesena wewe mwarabu.elimu muhimu sanaa.taifa likiwa na watu wajinga kama wewe ni mtihani kweli kweli
MWENYEKITI: LISSU
MAUZAUZA: MBOWE
POINT NOTED
tuseme ccm imezaliwa upya kumupata wasira