Mzee Wasira Amvunja Mbavu Rais Samia Akimjibu Tundu Lissu Tunaanza na Maridhiano

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 373

  • @edwardmagori2281
    @edwardmagori2281 12 วันที่ผ่านมา +9

    Wasira....... Hongera Baba, Ahsante Rais wetu Dr. Samia Na Kamati kuu kwa kutuletea Mzee wetu Wasira,

  • @nameiztv7870
    @nameiztv7870 12 วันที่ผ่านมา +14

    Vijana tuna la Kujifunza kwa Mzee Wasira, hasa kwenye Suala la kujenga hoja.

  • @KheriKhatibu
    @KheriKhatibu 12 วันที่ผ่านมา +11

    Dr Samia , hujakosea ni uchaguzi sahihi .

  • @IshengomaRugemalila
    @IshengomaRugemalila 12 วันที่ผ่านมา +10

    Mzee chama apokikomikono salama,Mimi naipenda nchiyangu kazi ihendelee

    • @healingclinic698
      @healingclinic698 12 วันที่ผ่านมา +1

      Poleeee maana unashelewa CCM

  • @HimidMkuya
    @HimidMkuya 12 วันที่ผ่านมา +4

    Mimi namkubalisana wasira mzee mtanashati na msitaarabi mtendaji mungu akupe umri mrefu

  • @ZuhuraAthuman-u2i
    @ZuhuraAthuman-u2i 12 วันที่ผ่านมา +12

    Hongera kamati kuu mmeona mbali uzee ni dawa hakuna jambo litaharibika hapo,,kazi iendelee Wasira mungu akulinde

  • @lemburis-kivuyo
    @lemburis-kivuyo 11 วันที่ผ่านมา +14

    Hii ndio tofauti ya CHADEMA na CCM, kingine ni chama cha fujo na kingine ni chama cha AMANI. Asante sana Mzee Wasira ulikuwemo wakati wa Nyerere hadi leo wakati wa Samia upo!

    • @EliyaPaulo-uf6hh
      @EliyaPaulo-uf6hh 11 วันที่ผ่านมา +3

      Ndo ujue usivyo na fikra mpya wewe mwenyewe unakiri alikuwepo tangu Nyerere hadi leo bado anapewa nafasi inamaana Tanzania haizalishi viongozi wapya Shame on😢

    • @wendykomba2118
      @wendykomba2118 11 วันที่ผ่านมา +1

      Ila wachumiatumbo nanyi MPOOOOOO!!!!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @ramadhanchenga4606
      @ramadhanchenga4606 11 วันที่ผ่านมา

      Ww ni zero brain

    • @NeemaJohn-n9r
      @NeemaJohn-n9r 10 วันที่ผ่านมา +2

      Problems can't be solved by the same level of thinging that created them, ccm ndo wametufikisha hapa mpaka tunatafuta maridhiano.
      CCM ndo tatizo.

    • @ClarenceHilaly
      @ClarenceHilaly 10 วันที่ผ่านมา +1

      Naomba kama Kuna sokwe hapo

  • @ChristerKok
    @ChristerKok 12 วันที่ผ่านมา +7

    Mzee wangu,mtani wangu mpendwa Mzee WasiravStyle pongezi saaaaaana,mhenga.

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 12 วันที่ผ่านมา +24

    Tundra Lissu forever ♥️ Lissu forever ♥️

  • @MadodoMartini
    @MadodoMartini 12 วันที่ผ่านมา +9

    Upinzani Ukiisha utapata nini, hayo ndio mawazo kweli halafu watu wengine tunakupa heshima,Mambo ya hovyoo tu, mtu mzima unasema vyama vingine viishe ili iweje, AIBUU 😭😭😭😭😭😭😭

    • @georgemassebu2083
      @georgemassebu2083 12 วันที่ผ่านมา +2

      Mpinzania anaposema CCM tunaiondoa wao ni kina nani? Unaijua siasa au umeropoka tu? Siasa iko hivyo

    • @josephatmakaranga
      @josephatmakaranga 12 วันที่ผ่านมา

      ​@@georgemassebu2083 Safi San kuna mijitu haiwezag kufikiria kwa marejeo

  • @ayoubomary9336
    @ayoubomary9336 12 วันที่ผ่านมา +8

    Viva magufuli safi mzee wasira umemkumbuka mwamba kazi yake

  • @MustaphaKiluke
    @MustaphaKiluke 11 วันที่ผ่านมา +5

    Congratulations Mzee Steven Masatu Wassira , tyson

  • @brother_majesty
    @brother_majesty 10 วันที่ผ่านมา +3

    MAKALA anajua kushangaa....macho kodo..mdomo wazi kama haelewi..🤣

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf 12 วันที่ผ่านมา +12

    CHADEMA WAPEWA BOX ZA USSO NA MAKAMO MWENYEKITI CCM BARA MHE WASIRA 🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤🇹🇿❤🇹🇿❤🇹🇿💪🏻💪🏻💪🏻.

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi 12 วันที่ผ่านมา +1

      We chizii au muuzaa matak

    • @DudddyWhyCant
      @DudddyWhyCant 12 วันที่ผ่านมา

      Hivi nyie chadema kwa nini mnapenda matusi? Mjibu mwenzako kwa hoja.

    • @FrancisThomas-jc8wq
      @FrancisThomas-jc8wq 12 วันที่ผ่านมา +2

      Tangu uhuru mpaka leo ni nyie tu na watoto wenu ndiyo mnaongoza nchi, kwani hakuna vizazi vingine.

    • @FrancisThomas-jc8wq
      @FrancisThomas-jc8wq 12 วันที่ผ่านมา +2

      Mnakamata dora kwa wizi wa kura, siyo kwa kura za kupigwa na wananchi na hata wasira unajua bila wizi hamtoboi.

    • @FrancisThomas-jc8wq
      @FrancisThomas-jc8wq 12 วันที่ผ่านมา +2

      Mnakamata dora kwa wizi wa kura, siyo kwa kura za kupigwa na wananchi na hata wasira unajua bila wizi hamtoboi.

  • @neziajoseph9726
    @neziajoseph9726 12 วันที่ผ่านมา +4

    MUNGU akubariki sana mama Samiah...akupe maisha marefu....akupe mitano tena na mm ndio mpiga kura wako no.1 pamoja na familia yangu...marais wastaafu wa Tanzania na serikali ya mapinduzi ya zanzibar... MUNGU avipe nguvu na uwezo Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama maana kazi mnayoifanya ni kubwa Sana ...usalama wa taifa kazi yenu ni pevu Sana MUNGU awe nanyi nchi izidi kunyooka kama ilivyo Sasa...

    • @ClarenceHilaly
      @ClarenceHilaly 10 วันที่ผ่านมา

      Mungu amchukue Samia mapema ili tanganyika inaki Kwa amani

    • @aminaabdallah8728
      @aminaabdallah8728 10 วันที่ผ่านมา

      Kwani wewe utabaki ​@@ClarenceHilaly

  • @florencejohn6427
    @florencejohn6427 12 วันที่ผ่านมา +17

    Mtizamo wa Lissu juu ya maridhiano unawasumbua sana. Hawalalii

  • @MashakaMagesa
    @MashakaMagesa 12 วันที่ผ่านมา +10

    Piga like zote kama unatoka Mara Kanda maalum tunatoaga viongozi tangu Enzi za Baba wa Taifa Mwl Nyerere

  • @MICHAELWILLIAM-p7h
    @MICHAELWILLIAM-p7h 11 วันที่ผ่านมา +7

    Nimefurahi sana mzee wangu kwa kumtaja Magufuli

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 12 วันที่ผ่านมา +9

    Toka Nyerere upo mpaka mama upo 😂😂😂😂

    • @BarakaBaliza-j7g
      @BarakaBaliza-j7g 12 วันที่ผ่านมา +3

      Nyumba bila wazee ni vulugu tu mwache mzee apige kazi

    • @MrA24G
      @MrA24G 11 วันที่ผ่านมา

      Ndio baraka.Unaona hata mataifa makubwa watu wazima ndio wanaongoza.Sawa sawa viva ccm ,viva ccm.

  • @gastonmodestkaziri2566
    @gastonmodestkaziri2566 12 วันที่ผ่านมา +3

    Wonderful short and clearly speech by the newly elected Vice Chairman of the ruling Chama Cha Mapunduzi (CCM) Hon. Steven Wasira!congratulations.

  • @VictorKivuyo
    @VictorKivuyo 10 วันที่ผ่านมา

    MZEE WASIRA HANA HASIRA, NAMKUBALI SANA, MR BOB SOSY A K A KATIA WA ARUSHA MURIET JIRANI NA MH GAMBO

  • @AzizaMkunzi
    @AzizaMkunzi 11 วันที่ผ่านมา +4

    CCM nguvu Moja daima beleeee

  • @JohnNjuyuwi-c2t
    @JohnNjuyuwi-c2t 11 วันที่ผ่านมา +1

    Jamaniii kweli tanzania iko dotoro leo mzee huyu anapewa uongozi kweli?

  • @AhmedYusuph-g3f
    @AhmedYusuph-g3f 12 วันที่ผ่านมา +3

    Hongera sana mama samia umeona mbali kumleta wasira

  • @NgobeseMhlobiseni
    @NgobeseMhlobiseni 12 วันที่ผ่านมา +3

    Hongera Steven Masatu Wasira

  • @mabondolawrence1812
    @mabondolawrence1812 12 วันที่ผ่านมา +7

    Ila Mungu hadhihakiwi. Sikilizeni, imeandikwa usilitaje bure jina la Mungu wako! Hivyo unapolitaja hakikisha umezingirwa na haki toka moyoni.

  • @SarahJaphet-i4p
    @SarahJaphet-i4p 11 วันที่ผ่านมา +8

    Lisu unanyima watu usingizi

    • @majaliwabwitonde6900
      @majaliwabwitonde6900 11 วันที่ผ่านมา

      Anawanyimaje usingizi, akitaka kulala nje ataachwa alale nje

    • @elinurumunuo5031
      @elinurumunuo5031 10 วันที่ผ่านมา

      Kwa lipi haswa

  • @katunzikihembe4455
    @katunzikihembe4455 12 วันที่ผ่านมา +2

    HONGERA SANA MZEE WASIRA KWA KUCHAGULIWA KUWA MAKAMU MWENYEKITI CCM TAIFA,

  • @yusuphyunusi-zz1hx
    @yusuphyunusi-zz1hx 11 วันที่ผ่านมา +1

    Mzee wassira namkumbuka sana toka awamu ya pili ya Mzee Mwinyi. Si mtu wa mchezo akisimamia jambo humaanisha.

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 12 วันที่ผ่านมา +7

    Safi sana kuusu marizoano nimekuelewa

  • @meryshekoloa961
    @meryshekoloa961 12 วันที่ผ่านมา +4

    Stiven wasiraaa ❤❤❤❤

  • @paull8659
    @paull8659 12 วันที่ผ่านมา +14

    Haya mashetani yanamtaja Mungu bila aibu, eti.madhiriano...tangu lini Ibilisi akaridhiana na malaika?

    • @jumaseifally6337
      @jumaseifally6337 12 วันที่ผ่านมา +2

      Wewe ni mjinga unamjua malaika wewe akija utamtambua au umevuta bangi

    • @yahyamajidyahyahilalal-har8762
      @yahyamajidyahyahilalal-har8762 12 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂​@@jumaseifally6337

    • @mkude
      @mkude 12 วันที่ผ่านมา

      Wewe bangi unazovuta umeshachanganyikiwa mpaka unakufuru,malaika ni viunbe tofauti na sisi binadamu.

    • @NoelChambo
      @NoelChambo 11 วันที่ผ่านมา

      Ccm mnaforce Mungu atakuja kuwafuta vibaya

  • @JacksonTulito
    @JacksonTulito 12 วันที่ผ่านมา +8

    Wezi wakubwa nyiee😢

    • @shaban6644
      @shaban6644 12 วันที่ผ่านมา +1

      Acha chuki

  • @officialmnyiramba2102
    @officialmnyiramba2102 12 วันที่ผ่านมา +4

    Hivi kazi ya serikali kila siku ni zahanati tu na shule

  • @Hussenskinyangaa
    @Hussenskinyangaa 12 วันที่ผ่านมา +11

    Mmejengaa zahanati dawa hakuna wadanganye hawowo😅😅😅😅😅😅

    • @agapemunyi2095
      @agapemunyi2095 12 วันที่ผ่านมา +1

      Unabishana na ukweli mzee kwenye Hilo serikali yao Ina Fact kwa nn mpk Leo wapo, ndo maana ajenda ya wapinzani ni katiba mpya tu kama wanaweza waseme vingine hta wewe utasema vitu vya nadharia sio ambvyo vinaonekana kwa macho amabvyo wananchi hta uwadanganye vip wakirudi nyumban wanasema lakin kweli

    • @kiatu
      @kiatu 12 วันที่ผ่านมา +1

      Maendeleo ni hatua moja baada ya nyingine, hapo wamepata tick ✅

    • @MashakaMagesa
      @MashakaMagesa 12 วันที่ผ่านมา +1

      Hatari sana😂😂😂😂

    • @HamisiKitalika
      @HamisiKitalika 12 วันที่ผ่านมา +1

      Sasa kwa akili zako kati ya majengo na dawa kipi kinatakiwa kianze? Kama zahanati zipo kila mahala na hakuna dawa hiyo ni hatua ya pili sasa kufanyia kazi dawa ikiwa majengo yakukaa na kufanya kazi hizo dawa yapo kila mahali ,hivyo akisema zahati tumejenga kila mahala hawadanganyi ni kweli wamejenga hata kama dawa hazipo

    • @gastonmodestkaziri2566
      @gastonmodestkaziri2566 12 วันที่ผ่านมา

      Kipi kinatangulia, kujenga Zahanati au dawa?

  • @stanslauslupelele5726
    @stanslauslupelele5726 11 วันที่ผ่านมา +1

    Lissu ni dude kubwaaaaa sana Tanzania Mungu mlinde lisu

  • @CharlsMlaki
    @CharlsMlaki 12 วันที่ผ่านมา +7

    Huyu Mzee amechoka sana yupooooooooooo

    • @sabrinaali9750
      @sabrinaali9750 12 วันที่ผ่านมา +1

      Anafuta kufa juu ya kuriri

  • @AmenMushi-j2j
    @AmenMushi-j2j 12 วันที่ผ่านมา +4

    Tumpende Mungu 😊

  • @EmmanuelRobert-qg9hr
    @EmmanuelRobert-qg9hr 12 วันที่ผ่านมา +1

    Hongera sana Dr Wasira

  • @godypeter7299
    @godypeter7299 12 วันที่ผ่านมา +10

    Angepewa makonda hata angewapelekaa sana ila kwa kua wamekaaa na kuamua yy anafaa tunakatupa heshima yako mzee wetu nakutakia kazi ilotukuka mungu akutangulie katika utumishi wako.

    • @erickmsigala138
      @erickmsigala138 12 วันที่ผ่านมา +2

      Hakuna heshima kwa shetani

    • @geofreymilinga2965
      @geofreymilinga2965 12 วันที่ผ่านมา +2

      Makonda walishampa unec kachanganyikiwa alijiona yeye ndio Raisi wakaona upumbavu awezi kuwa na uongozi wa kitaifa na katuhaibisha mbaka vijana tusio na makosa atupat kazi kubwa wanaofia miemuko kama ya makonda.

    • @kiatu
      @kiatu 12 วันที่ผ่านมา +4

      Makonda baado sana, asipewe vyeo vikubwa

    • @HamisiKitalika
      @HamisiKitalika 12 วันที่ผ่านมา +2

      Hicho cheo apewe makonda? Duuh mzee sio kila cheo anafaa apewe kijana hicho cheo anatakiwa mtu ambaye akipungua sana awe ana miaka 40 akiwa na chama

    • @godypeter7299
      @godypeter7299 12 วันที่ผ่านมา +2

      @@erickmsigala138 ahahaha unamfananisha na shetan

  • @NdonyaCharles
    @NdonyaCharles 12 วันที่ผ่านมา +5

    Mm samia kula yangu ipo wazi kabisa hata leo tu

  • @abeljohnkassanga1415
    @abeljohnkassanga1415 12 วันที่ผ่านมา +1

    Tunaridhiana na jamii elewa neno jamii😂😂😂😂

  • @patriciamuganda4498
    @patriciamuganda4498 11 วันที่ผ่านมา

    Umesahau kuwa Mzee Wassira aliwahi kuondoka CCM na kuhamia NCCR Mageuzi. Alirudi CCM baada ya Mwalimu Nyerere kufariki. Hapo amewekwa kutumika tu kama daraja. Asifikirie kuwa anapendwa. Pole sana Mzee kwa kutojitambua

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 12 วันที่ผ่านมา +7

    ukweli mama samia amefanya kazi za kutisha!!huwezi amini,tanzania inangaa ina pepea imeprndeza!mitano tena kwa mama samia suluhu hasani

  • @IjumaaIjumaa
    @IjumaaIjumaa 12 วันที่ผ่านมา +2

    Mm nashauri kuwe na ushindani kwa kuchukuwa from si kumpigia jina moja hebu tuondowe kura ya mapema na kura ya ndiyo au hapana kwenye chama ni mawzo

  • @RobertChacha-si1js
    @RobertChacha-si1js 12 วันที่ผ่านมา +10

    Lissu na heche watawanyoosha mlizoea kuwaonea watu na polisi wenu

    • @damianmcba9525
      @damianmcba9525 12 วันที่ผ่านมา

      Kwani Zamani walikuwa wapi? Ndio sasa hivi wakuja Tz? Ujui usemalo

    • @melki-kabalu759
      @melki-kabalu759 12 วันที่ผ่านมา

      Wewe unajua? ​@@damianmcba9525

    • @Majambo_Duniani_Tv
      @Majambo_Duniani_Tv 12 วันที่ผ่านมา

      Coy kuna kipaji huku😊

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 11 วันที่ผ่านมา +1

    Mambo yanabadilika , nchi inahitaji MABADILIKO.

  • @Cryptocurrency_Tanzania
    @Cryptocurrency_Tanzania 11 วันที่ผ่านมา +1

    Sure, Mzee yupo sawa..

  • @patriciamuganda4498
    @patriciamuganda4498 11 วันที่ผ่านมา

    Unafiki na kujipendekeza ndio unaowatafuna. Poleni sana

  • @ANTONYMAQUIZY
    @ANTONYMAQUIZY 11 วันที่ผ่านมา +1

    Safi Sana mama Samia suluhu Hassan hoyeeeee

  • @JumaMartin-e4v
    @JumaMartin-e4v 11 วันที่ผ่านมา

    Nikimuona mzee wasira naikumbuka hotba ya mweshimiwa makongoro iliyo fanyika butiamaaaa.baba wataifa kastaafu wasira mzee mwinyi wasira yupo mkapa wasira yupo kikwete anataka kuondoka wasira yupo na sasa kampokea raisi wetu pendwa mama samia suluhu wasira yupo🎉🎉🎉

    • @gastoncompanyinteriorexter5584
      @gastoncompanyinteriorexter5584 11 วันที่ผ่านมา +1

      😅😅😅😅😂😂😂 kipindi Cha Nyerere yupo, mwinyi yupo, mkapa yupo, kikwete yupo, magufuli yupo, Samia yupo

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 12 วันที่ผ่านมา

    Kwa la 4R big up sana mzee Wasira. Maridhiano sio ya wanasiasa na wanaharakati tu ni ya sote Watanzania.

  • @violethbagila905
    @violethbagila905 11 วันที่ผ่านมา

    Rais Samia tuko pamoja kura yangu Iko waziii mama chapa kazi.

  • @AmanNdabatunga-l7b
    @AmanNdabatunga-l7b 11 วันที่ผ่านมา +2

    Kwenye hoja ya maridhiano tupo pamoja.Umefafanua vema

  • @DanielAron-kq1xz
    @DanielAron-kq1xz 12 วันที่ผ่านมา +2

    Bora wazee jamani vijana nimachawa wa watu so wasira hongera sana ww ni mzoefu wa miaka mingi chama unakijua vzuri sana uchaguzi mwema 2025

  • @Zainabsaid-ob2lk
    @Zainabsaid-ob2lk 11 วันที่ผ่านมา

    Asante babamu.gu ataiongoza Tanzania kwaamani inshallah

  • @brother_majesty
    @brother_majesty 10 วันที่ผ่านมา +1

    MZIGO MZITO MPE WA KANDA YA ZIWA...Msabato

  • @FredsonIvan
    @FredsonIvan 11 วันที่ผ่านมา +1

    Alivyotaja MAGUFULI Kuna watu hapo walikuwa welala ghafla wakastuka chap 😆😆😆😆😆😆😆

  • @valeryluoga5948
    @valeryluoga5948 11 วันที่ผ่านมา

    Short and clear message

  • @MohammedHimba
    @MohammedHimba 12 วันที่ผ่านมา +5

    No reform no elections...Tundu umewasikia ccm maridhiamo si kwa mtu mmoja ni jamii..kazi ipo

  • @johnmtumishi373
    @johnmtumishi373 12 วันที่ผ่านมา

    Hongera mzee wasira kwa kuchaguliwa

  • @SalmaAthuman-hp3en
    @SalmaAthuman-hp3en 12 วันที่ผ่านมา +1

    Wee mzee tundu lissu humuwezi na lisura lako kama ugali wa muhogo mapinduzi gani huyu mama kila siku anachagua haohao huyu mzee age gooooo

  • @ElgoodnessRwoto
    @ElgoodnessRwoto 12 วันที่ผ่านมา +4

    Mnasahau madawati. Wanafunzi bado wanakaa chini

  • @MwitaMarwa-s6u
    @MwitaMarwa-s6u 12 วันที่ผ่านมา +1

    hawa ndio wenye nchi wenyewe😂

  • @mbeguofficial6646
    @mbeguofficial6646 12 วันที่ผ่านมา +1

    Niliwahi kucoment kuwa Samia amfikirie huyu mzee wasira anaweza kumsaidia vizuri kwani anaimani na chama, anajua kuzungumza vizuri, mchapakazi, mzalendo, n.k asante Samia kama vile umenikubalia.

    • @MashakaMagesa
      @MashakaMagesa 12 วันที่ผ่านมา +1

      Siku zote Mara Kuna Watu wa kuongoza nchi tangu Kwa Baba wa Taifa Mwl Nyerere

    • @healingclinic698
      @healingclinic698 12 วันที่ผ่านมา +1

      Kwenda zako huyu MZEE ni ndugu yangu ila simkubali hata kidogo ndio maana alininyang'anywa jimbo

  • @myahudi6951
    @myahudi6951 11 วันที่ผ่านมา

    Kanda ya ziwa inaongoza kwa kutoa viongozi bora ktk nchi hii

  • @jituakilimali15
    @jituakilimali15 12 วันที่ผ่านมา +2

    Hii nafasi ilimfaa zaidi bashiru

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 12 วันที่ผ่านมา +1

    Shetani anamshukuruje mungu wasira dah

  • @mbondelotv8380
    @mbondelotv8380 11 วันที่ผ่านมา

    Mmchagua,,,,Hongera

  • @hamadkipenzy6905
    @hamadkipenzy6905 12 วันที่ผ่านมา

    Excellent speech CCM MSHINAMANO DAIMA

  • @mwimamalleya230
    @mwimamalleya230 12 วันที่ผ่านมา

    Sisi ni chama Cha AMANI🙏😍

  • @sgjjkwbueow
    @sgjjkwbueow 11 วันที่ผ่านมา

    Ukiwaona wajumbe wamekaa kwa mbali unaweza fikiri ni kabichi zipo shambani

  • @MwajumaMsimuwilliam
    @MwajumaMsimuwilliam 12 วันที่ผ่านมา +1

    Kuna bwawa la umeme lakini umeme thè thè thè
    Ndoo zinatuliwa hazina maji😢😢😢

  • @MaulidKomboza-wh2ki
    @MaulidKomboza-wh2ki 12 วันที่ผ่านมา +1

    Hakika Uongozi Ni Mtihani Kwa wanaotuongoza. Hivyo Mtuongoze Kwa khofu ya MUNGU.

  • @mwebraniaonline7001
    @mwebraniaonline7001 11 วันที่ผ่านมา

    Hivi vichwa ndio vinavyotafuna pesa za nchi hiii😅

  • @PaschalBoi-z8h
    @PaschalBoi-z8h 12 วันที่ผ่านมา +3

    Nyie ni wezi tu wa kura hamjawahi kushinda hata cku Moja na mungu anajua Hilo

    • @omarimamboleo2634
      @omarimamboleo2634 12 วันที่ผ่านมา

      Kwani hilo la wizi wa kura hulisikii huko chadema
      dah kweli mapenzi upofu
      wizi ni wizi tu

  • @lingsonKasomwa-ho1tf
    @lingsonKasomwa-ho1tf 12 วันที่ผ่านมา

    Tayson arejea ulingoni Kwa kishindo hongera mtani wangu Wasira Kwa kuaminiwa na Ndg Mwenyekiti Samia

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 11 วันที่ผ่านมา

    Olivia Seth u n a akili fupi kama lissu mwenyewe.Pole sana.😮😮😮

  • @adiliwasanga4521
    @adiliwasanga4521 11 วันที่ผ่านมา

    Jamani hadi mnataka afie madarakani mbona kunavijana wengi nawasomi wengi kwanini wao tuu kilasiku kilamiaka wapo tuu, toka miaka ya 1980 namsikia yupo tuu nikiongozi

  • @kennedyemmanuel30
    @kennedyemmanuel30 12 วันที่ผ่านมา +2

    Kwa hiyo Lissu Ndio tishio Lao hatari Sana.

  • @ShukurkollAngel
    @ShukurkollAngel 11 วันที่ผ่านมา +1

    Iwe isiwe Chama chochote kinahitaji si vijana tu ila wazee ni muhimu sana. Duniani nchi zote kubwa zina wazee wa kutosha kwenye Kamati zao muhimu.

  • @josephsabuni795
    @josephsabuni795 12 วันที่ผ่านมา +2

    Mwacheni Babu akatunze wajukuu..

  • @mkude
    @mkude 12 วันที่ผ่านมา +1

    Hongera mzee Wasira, bado yupooo

  • @ahmedsaidbachuba2398
    @ahmedsaidbachuba2398 12 วันที่ผ่านมา

    Muogope mwenyezi mungu ndiye ana jua yaliopo yajayo

  • @SeifYusuf-jf7bn
    @SeifYusuf-jf7bn 12 วันที่ผ่านมา +2

    TOKA ENZI ZA NYERERE UPOOOOO

  • @EmmanuelMichael-t8m
    @EmmanuelMichael-t8m 11 วันที่ผ่านมา

    Hizo ndizo kauli za wanasiasa, Wasira Asante, Lisu Hilo nigo kwani kauli zako ni kukataa maridhiano

  • @chamimdesa148
    @chamimdesa148 12 วันที่ผ่านมา +2

    Hee kumbe Bado Kuna watu wanashabikia hiki chama?

  • @NassoroSipemba
    @NassoroSipemba 11 วันที่ผ่านมา

    Mzee huyu ndio kiboko ya Lisu,Lisu kazi anayo kwa huyu Dingi.

  • @JumaMartin-e4v
    @JumaMartin-e4v 11 วันที่ผ่านมา

    Mwalim nyerere anastaafu wasira yupo kaja Ali hasan mwinyi kamuaga wasira yupo kaja mkapa kamuaga wasira yupo,kaja kikwete kampokea nae akamuaga wasira yupo sasa kampokea mama raisiwetu mpendwa mama samia suluhu wasira yupo.mwshimiwa makongoro oyeee .sinashaka na uwadilifu wake wasira dah nimemkumbuka sana makongoro.nakupongeza mweshimiwa wasira kwa kuchaguliwa na pongezi kwa hotuba ya kusisimuwa .wasira yupo.

  • @TeddyCyprian-o1s
    @TeddyCyprian-o1s 12 วันที่ผ่านมา +2

    Umezeeka achia vijana walio kupigia kula hawana akili nzili

  • @NuruNswebe
    @NuruNswebe 12 วันที่ผ่านมา

    Wasira kaipenda Hii Kazi sanaaaaaaaaa

  • @EliyaPaulo-uf6hh
    @EliyaPaulo-uf6hh 11 วันที่ผ่านมา

    Kwakweli Tanzania yangu naisikitikia yaani mijitu yote hiyo family inashangilia ujinga hiyo amani mnayoisema ipo wapi

  • @Jumamaduka240
    @Jumamaduka240 12 วันที่ผ่านมา

    Siyo kusema nao kwa Simu " Ndiyo Oriented inaendelezwa iffective.

  • @MbondoweMbondo
    @MbondoweMbondo 12 วันที่ผ่านมา

    Wanasiasa wamjua Mungu kweli,,

  • @WachunyaTebeka
    @WachunyaTebeka 12 วันที่ผ่านมา +1

    Lisu hoye, CHAMA CHA MAJIZI.

  • @AminaMkumba-u3z
    @AminaMkumba-u3z 12 วันที่ผ่านมา

    Ongera mama Samia Kwa kumchagua Mzee huyu,huyu ni hatari SI mchezo mchezo❤❤🎉🎉👆👆👆🙏🙏

  • @patriciamuganda4498
    @patriciamuganda4498 11 วันที่ผ่านมา

    Wana obsession na Lissu. Hoja juu ya kuboresha maisha ya watanzania sio wimbo wa kukamata dola.

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 12 วันที่ผ่านมา +1

    Kweli hicho ni chama chenye hujaongopa

  • @unjuusalvatory5331
    @unjuusalvatory5331 12 วันที่ผ่านมา +1

    Sorry to ask bt nmeona wachungaji na mashaikh wana issue gani kwenye meeting

  • @nka3nda
    @nka3nda 10 วันที่ผ่านมา

    Ccm ndio wavunja amani,mnapo haribu uchaguzi nakukata majina mnamasnisha nini kama sio kuleta vitaaa,manyangau ninyi