DONGO MEDIA TZ
DONGO MEDIA TZ
  • 91
  • 173 024

วีดีโอ

SHETANI WA YANGA ACHEZEA KICHAPO KWA MKAPA KISA KUMPONDA CHAMA NA AMETOA TENA AHADI NYINGINE
มุมมอง 7617 หลายเดือนก่อน
#simba #yanga #caf
#nzugunidodoma #maji #mvua
มุมมอง 248 หลายเดือนก่อน
#nzugunidodoma #maji #mvua
MZEE AYAKATA MAUNO NA NYIMBO YA WAMWIDUKA BAND
มุมมอง 619 หลายเดือนก่อน
MZEE AYAKATA MAUNO NA NYIMBO YA WAMWIDUKA BAND
JIFUNZE KILIMO CHA MAHINDI YA UMWAGILIAJI, MBINU ZA KUPANDA HADI KUVUNA NA CHANGAMOTO ZAKE
มุมมอง 27710 หลายเดือนก่อน
#kilimochamahindi #mahindi #nafaka #dodomajiji #arusha #morogoro #fursa #dodoma #kilimo #mahindi #kisasa #Mbeya #ruvuma #pwani #bustani #tanga #mwanza #kilimochamahindi
ZIJUE CAGE BORA ZA KUKU WA KISASA, ENEO DOGO KUKU WENGI
มุมมอง 16K11 หลายเดือนก่อน
#kuku #ufugaji #kilimo #lays #saso #broiler #dodoma #nanenane songea #daressalaam #morogoro #shinyanga #mwanza #mbeya #iringa #arushatanzania #morogoro #njombe #namtumbo #mtwara #lindi #tanga #pwani
JIFUNZE KUPIKA WALI WA MBOGA MBOGA, MAYAI
มุมมอง 50ปีที่แล้ว
#mapishi #dodoma #arushatanzania #ruvuma #dodomajiji #bustani #wali #pilau #waliwambogamboga
JIFUNZE NJIA BORA ZA KUOTESHA MICHE KWENYE TRAY NA FAIDA ZAKE
มุมมอง 381ปีที่แล้ว
#miche #pilipili #dodomajiji #dodoma #iringa #iringa #ruvuma #arushatanzania #morogoro #mbeya # #daressalaam
JIFUNZE KUANDAA BUSTANI NYUMBANI, ENEO DOGO MAVUNO MENGI
มุมมอง 8Kปีที่แล้ว
JIFUNZE KUANDAA BUSTANI NYUMBANI, ENEO DOGO MAVUNO MENGI
JIFUNZE UFUGAJI WA SUNGURA KIBIASHARA NA AINA ZA SUNGURA, MKOJO WA SUNGURA
มุมมอง 7Kปีที่แล้ว
JIFUNZE UFUGAJI WA SUNGURA KIBIASHARA NA AINA ZA SUNGURA, MKOJO WA SUNGURA
JIFUNZE KILIMO CHA PARACHICHI AINA YA HASI, KUANZIA KUPANDA HADI KUVUNA ...
มุมมอง 4.8Kปีที่แล้ว
JIFUNZE KILIMO CHA PARACHICHI AINA YA HASI, KUANZIA KUPANDA HADI KUVUNA ...
JIFUNZE HATUA ZA UBEBESHAJI (KUPANDIKIZA) MCHE WA PARACHICHI
มุมมอง 573ปีที่แล้ว
JIFUNZE HATUA ZA UBEBESHAJI (KUPANDIKIZA) MCHE WA PARACHICHI
JIFUNZE MBINU ZA UOTESHAJI MICHE BORA YA PARACHICHI
มุมมอง 175ปีที่แล้ว
JIFUNZE MBINU ZA UOTESHAJI MICHE BORA YA PARACHICHI
JIFUNZE KILIMO CHA MAHARAGE KUPANDA HADI KUVUNA, MBINU ZA KUPANDA BILA KULIMA , CHANGAMOTO ZAKE ...
มุมมอง 11Kปีที่แล้ว
JIFUNZE KILIMO CHA MAHARAGE KUPANDA HADI KUVUNA, MBINU ZA KUPANDA BILA KULIMA , CHANGAMOTO ZAKE ...
JIFUNZE KILIMO CHA MTAMA, KUPANDA HADI KUVUNA, HALI YA HEWA, MASOKO
มุมมอง 1.6Kปีที่แล้ว
JIFUNZE KILIMO CHA MTAMA, KUPANDA HADI KUVUNA, HALI YA HEWA, MASOKO
JIFUNZE MICHE YA MBAO YA MDA MFUPI INAYOKUBALI SANA SEHEMU ZENYE JOTO
มุมมอง 591ปีที่แล้ว
JIFUNZE MICHE YA MBAO YA MDA MFUPI INAYOKUBALI SANA SEHEMU ZENYE JOTO
JIFUNZE MATUMIZI BORA YA MBOLEA KWENYE ZAO LA ALZERT,
มุมมอง 87ปีที่แล้ว
JIFUNZE MATUMIZI BORA YA MBOLEA KWENYE ZAO LA ALZERT,
KIJUE KILIMO CHA CHOROKO NA FAIDA ZAKE KWA MAMA MJAMZITO NA MTOTO
มุมมอง 913ปีที่แล้ว
KIJUE KILIMO CHA CHOROKO NA FAIDA ZAKE KWA MAMA MJAMZITO NA MTOTO
IJUE MICHE YA MBAO MITIKI NA SIRI YA UTAJIRI WAKE, UNAWEZA KUKOPEA MKOPO BANK
มุมมอง 6Kปีที่แล้ว
IJUE MICHE YA MBAO MITIKI NA SIRI YA UTAJIRI WAKE, UNAWEZA KUKOPEA MKOPO BANK
THERESIA- NILIANZA NA KUKU 50 HADI 1200, MASOKO YAKE NA CHANGAMOTO ALIZOPITIA KATIKA UFUGAJI WAKE
มุมมอง 801ปีที่แล้ว
THERESIA- NILIANZA NA KUKU 50 HADI 1200, MASOKO YAKE NA CHANGAMOTO ALIZOPITIA KATIKA UFUGAJI WAKE
JIFUNZE KILIMO CHA UWELE KUPANDA HADI KUVUNA, MASOKO,CHANGAMOTO ZAKE (TARI HOMBOLO)
มุมมอง 1.1Kปีที่แล้ว
JIFUNZE KILIMO CHA UWELE KUPANDA HADI KUVUNA, MASOKO,CHANGAMOTO ZAKE (TARI HOMBOLO)
JIFUNZE KILIMO CHA ULEZI, KUPANDA HADI KUVUNA, MASOKO ...
มุมมอง 1.1Kปีที่แล้ว
JIFUNZE KILIMO CHA ULEZI, KUPANDA HADI KUVUNA, MASOKO ...
MAAJABU YA MASHINE YA KUPUKUCHUA NA KUPETA MAZAO 9, ALZERT, MAHINDI, CHOROKO, UWELE, NK
มุมมอง 10Kปีที่แล้ว
MAAJABU YA MASHINE YA KUPUKUCHUA NA KUPETA MAZAO 9, ALZERT, MAHINDI, CHOROKO, UWELE, NK
MAPANGO YALIO TUMIKA KUJIFICHA MABABU ZETU KIPINDI CHA VITA YA MSUMBIJI NA WARENO (MBAMBA BAY)
มุมมอง 31ปีที่แล้ว
MAPANGO YALIO TUMIKA KUJIFICHA MABABU ZETU KIPINDI CHA VITA YA MSUMBIJI NA WARENO (MBAMBA BAY)
JIFUNZE KUPIKA PILAU LA NAZI NYUMBANI KWAKO
มุมมอง 1.8Kปีที่แล้ว
JIFUNZE KUPIKA PILAU LA NAZI NYUMBANI KWAKO
HOW TO MAKING VASE/ JINSI YA KUTENGENEZA CHOMBO CHA KUWEKEA MAUA NA UREMBO
มุมมอง 576ปีที่แล้ว
HOW TO MAKING VASE/ JINSI YA KUTENGENEZA CHOMBO CHA KUWEKEA MAUA NA UREMBO
JINSI YA KUANDAA MICHE BORA YA KAHAWA NA KUPANDA SHAMBANI KWAKO
มุมมอง 197ปีที่แล้ว
JINSI YA KUANDAA MICHE BORA YA KAHAWA NA KUPANDA SHAMBANI KWAKO
USHUJAA WA BABA YAKE MH KAWAWA, ALIVYOJIFYATULIA RISASI
มุมมอง 16ปีที่แล้ว
USHUJAA WA BABA YAKE MH KAWAWA, ALIVYOJIFYATULIA RISASI
MAAJABU YA KUUNGUA KWA MTI KUTOKA JUU KUSHUKA CHINI KWA AJILI YA KUKIUKA MILA NA DESTURI
มุมมอง 267ปีที่แล้ว
MAAJABU YA KUUNGUA KWA MTI KUTOKA JUU KUSHUKA CHINI KWA AJILI YA KUKIUKA MILA NA DESTURI
JIFUNZE KILIMO CHA MAHINDI YA UMWAGILIAJI, MBINU ZA KUPANDA HADI KUVUNA NA CHANGAMOTO ZAKE
มุมมอง 13Kปีที่แล้ว
JIFUNZE KILIMO CHA MAHINDI YA UMWAGILIAJI, MBINU ZA KUPANDA HADI KUVUNA NA CHANGAMOTO ZAKE

ความคิดเห็น

  • @KaizaMaria
    @KaizaMaria วันที่ผ่านมา

    Je dodoma ya naweza kustawi mahalage

  • @AthumanHamza-e9s
    @AthumanHamza-e9s 2 วันที่ผ่านมา

    Mimi ninayo mikubwa tuu mkopo hatoi mpaka uwenabiashala

  • @abdullahkhamis8774
    @abdullahkhamis8774 2 วันที่ผ่านมา

    Naomba Namba yako. Mimi Engineer Abdullah KHAMIS ni Mfugaji niko Pemba MKOA KASKAZINI

  • @witnessmallya5114
    @witnessmallya5114 9 วันที่ผ่านมา

    Good idea ila tatizo maji

  • @samdotted3332
    @samdotted3332 9 วันที่ผ่านมา

    Can you deliver to Nairobi

  • @fidelismwakanyamale6787
    @fidelismwakanyamale6787 11 วันที่ผ่านมา

    Namba yako dada unaongea sana

  • @MarryBagen
    @MarryBagen 15 วันที่ผ่านมา

    Bei gani na kama niko mkoani napataje mshine

  • @AGNESSMESHACK-g3k
    @AGNESSMESHACK-g3k 16 วันที่ผ่านมา

    Nitumie namba za simu

  • @AGNESSMESHACK-g3k
    @AGNESSMESHACK-g3k 16 วันที่ผ่านมา

    Niko mwanza magu nazipataje keji

  • @LukaLukumai
    @LukaLukumai 16 วันที่ผ่านมา

    Naomba namba za cm

  • @JothamOssuman
    @JothamOssuman 24 วันที่ผ่านมา

    Hamjambo niko Himo mawasiliano yenu

  • @ernestsiniremera634
    @ernestsiniremera634 25 วันที่ผ่านมา

    Tunaomba number Mama

  • @ProsperMushi
    @ProsperMushi 26 วันที่ผ่านมา

    Habari za leo ndg. Yangu napenda sana utaalamu wenu kwa kutuletea CAGE naomba kufahamu bei zake jamani ya kuku 96 bei na ya kuku 124 bei yake asante

  • @ruthshangali5996
    @ruthshangali5996 26 วันที่ผ่านมา

    Nimependa maelezo ❤

  • @GraceObedi-t1l
    @GraceObedi-t1l 29 วันที่ผ่านมา

    Namba za TRA huwa hamtoi

  • @salimmsuya2340
    @salimmsuya2340 หลายเดือนก่อน

    Habar DODOMA sehemu gani mim nip DAR

  • @olivermutwale8222
    @olivermutwale8222 หลายเดือนก่อน

    Nivizuri unge weka number zako za sim

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 หลายเดือนก่อน

    Bei na mawasiliano

  • @elisantefrank
    @elisantefrank หลายเดือนก่อน

    Namb hamueki kumanina kwel

  • @FilberthaMgani-ms1wm
    @FilberthaMgani-ms1wm หลายเดือนก่อน

    Mim nilianza ndani ya sku tatu wameshakuja kudai.kodo

  • @bobaiddi9599
    @bobaiddi9599 หลายเดือนก่อน

    Taja Bei maneno imekua mingi

  • @zanzibareasy-ih9oc
    @zanzibareasy-ih9oc หลายเดือนก่อน

    Naomba number ya cm

  • @SaidiMaabadi
    @SaidiMaabadi หลายเดือนก่อน

    Toeni namba sisi wengine tuko mikoani ss bila ya mawasiliano hamna biashara hapo

  • @PaulinaThomasi
    @PaulinaThomasi 2 หลายเดือนก่อน

    Naomba namba zako

  • @hajikomora703
    @hajikomora703 2 หลายเดือนก่อน

    Bei n ngapi?

  • @SiyaRingo
    @SiyaRingo 2 หลายเดือนก่อน

    Tunapataje mawasiliano yenu

  • @TheresiaakaroAkaro
    @TheresiaakaroAkaro 2 หลายเดือนก่อน

    naomba namba ya simu

  • @TheresiaakaroAkaro
    @TheresiaakaroAkaro 2 หลายเดือนก่อน

    tia namba ya simu na bei

  • @thadeombani7869
    @thadeombani7869 2 หลายเดือนก่อน

    Mawasiliano mbona hakuna hamhaweka nyie wapuuzi acheni ujinga basi mb zangu zimeenda bure kudadeki zenu haraka sana weka mawasiliano mbwa nyie

  • @thadeombani7869
    @thadeombani7869 2 หลายเดือนก่อน

    Namba ya simu hajaweka kwahiyo ni mahubiri au ni biashara maana maneno menfi alafy mawasiliano hakuna

  • @EdenFishFarm
    @EdenFishFarm 2 หลายเดือนก่อน

    asante. ila munachanganya wateja. kuna wateja wa nje ya Tanzania, watawapataje? Simu weka, pia Bei wekeni tu...hii ndiyo tofauti ya Entrepreneurs wa Afrika na wale wa ulaya

  • @nicolausmaguhwa5704
    @nicolausmaguhwa5704 2 หลายเดือนก่อน

    Umewatangazia wenzio, maana huna mawasiliano umetuonyesha yukatafte mafundi wetu wa mtaani watatazamia na wataweza tu

  • @nicolausmaguhwa5704
    @nicolausmaguhwa5704 2 หลายเดือนก่อน

    We mtangazaji hujielewi bei affordable ndo sh ngapi hafu hata huna mawasiliano

  • @allyjuma1881
    @allyjuma1881 2 หลายเดือนก่อน

    Biashara. Bila. Mawasiliano. Ni sawa sawa na Zero.

  • @kalengashoppingcenter1108
    @kalengashoppingcenter1108 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @ToshMbaje12
    @ToshMbaje12 2 หลายเดือนก่อน

    Mbona Tanga hamji

  • @revocatusphilmon1780
    @revocatusphilmon1780 2 หลายเดือนก่อน

    Nambako me nipo Udom

  • @JumaMsafili-l3y
    @JumaMsafili-l3y 2 หลายเดือนก่อน

    Mi namtaka sinamoni

  • @AllenMwashilindi-x5v
    @AllenMwashilindi-x5v 3 หลายเดือนก่อน

    Namba za simu

  • @faisalmohamed727
    @faisalmohamed727 3 หลายเดือนก่อน

    Huo mti waitwaje kingereza?

  • @IddiPetersangwa
    @IddiPetersangwa 3 หลายเดือนก่อน

    Naomba namba zako

  • @SelemanJoseph-n1r
    @SelemanJoseph-n1r 3 หลายเดือนก่อน

    Tunawafikiaje sasa

  • @GaudenceAlex
    @GaudenceAlex 3 หลายเดือนก่อน

    6:55

  • @GaudenceAlex
    @GaudenceAlex 3 หลายเดือนก่อน

    Namba namba ya cm

  • @PatrickThomas-s5y
    @PatrickThomas-s5y 3 หลายเดือนก่อน

    Naanza leo iyo npend xn kilomo vijana amken asii

  • @ushindichoirf.g.c.k-marala4281
    @ushindichoirf.g.c.k-marala4281 3 หลายเดือนก่อน

    Mnalete Kenya?

  • @MalickMutalakasongo
    @MalickMutalakasongo 3 หลายเดือนก่อน

    Napenda nijuwe namna yakutengenezwa yahiyo mashini

  • @geofreyhyera2715
    @geofreyhyera2715 3 หลายเดือนก่อน

    Hongera kwa presentation bado uko litembo?

  • @jamesmuzazi5951
    @jamesmuzazi5951 3 หลายเดือนก่อน

    Sisi wengine tuko inje ya Tanzanie,niambiye bei ili nije Niko tayari

  • @TumainiPeter-dg3yn
    @TumainiPeter-dg3yn 3 หลายเดือนก่อน

    Tunaomba namba ya simu