Annoint Amani - Pole Haula ( official music video )

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • #polehaula#annointamani#
    Bwana Yesu anapenda kuwatumia watu ambao kwa kawaida Jamii inaona hawafai tena kupewa kipaumbele kwenye baadhi ya maeneo muhimu katika jamii,
    Hata kama jamii inakuona hufai tena kupewa heshima stahiki,
    Yesu anakupenda hivyo hivyo ulivyo ili akutumie kuishangaza dunia,
    Dunia itajua kuwa Yesu hakika hana upendeleo,
    na upendo wake hautazami wadhifa au mwonekano wa mtu,
    Yesu Bwana na mwokozi wa kila anaekubari kutubu dhambi zake na kuamini Yesu ndie njia ya kweli na uzima,
    Okoka sasa ili Yesu abadirishe maisha yako🙏🏼,
    Hata kama huna kaz Yesu atakupa kazi nzuri shambani mwake,
    utakua mtu wa tofauti na mwanzo💪💪💪
    Annoint Amani
    Song,Pole Haula
    Album,Kiboko yake ni Usingizi Album Vol 6.
    Language Swahili)
    Annoint Amani For booking
    Instagram Annoint Amanitz
    Tiktok Annoint Amani tz, +255767240181=+255755099942)
    VIDEO, Directed by Meddy ( A.E.A)
    AUDIO,A.E.A Tones studio producer by Meddy
    Dar Es salaam Tanzania )

ความคิดเห็น • 138