MTUMISHI WA MUNGU by Annoint Amani (Official music Video )

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.พ. 2025
  • #mtumishiwaMungu#byannointamani#
    Huu wimbo ni wa kwanza kuachiwa kutoka katika Album mpya itakayo achiwa Rasmi 2023,
    Ujumbe huu ni Mungu mwenyewe ana sema na kanisa kupitia Mtumishi wake Annoint Amani ili kuliandaa kanisa lake,
    Pia ni ujumbe mzito kwa wakati huu,
    na kila alie kusudiwa Mungu amfikie popote duniani,
    Nasisi tuna tetemeka na kumuogopa zaidi Mungu kwa namna anavyo enderea kumtumia mtumishi wake Annoint Amani,
    Tunaomba Mungu anapo sema na kuwandaa wengine,
    Bas Annoint Amani na team nzima tusipitwe maana neno la Mungu ni upanga ukatao kuwili )
    This song is the first to be released from the new album that will be released officially in 2023.
    This message is God himself speaking to the church through his Servant Annoint Amani to prepare his church,
    It is also a serious message at this time,
    and whoever is destined by God to reach him anywhere in the world,
    We tremble and fear God more in the way he continues to use his servant Annoint Amani,
    We pray when God speaks and gathers others,
    Bas Annoint Amani and the whole team should not be overtaken because the word of God is a double-edged sword )
    Annoint Amani For Bookings
    +255767240181 = +255755099942
    Instagram Annoint Amani )
    Video Directed by Kheri (+255693 354 566)
    Audio,A.E,A Tones studio
    producer by Meddy )

ความคิดเห็น • 162