#MAKONDA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 22 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 54

  • @AbdallahKichinda
    @AbdallahKichinda 2 หลายเดือนก่อน

    Asante sana ndugu yangu umeongea vizuri sana na Mungu akubaliki sana ndugu yangu

  • @JehhusRaoul
    @JehhusRaoul 2 หลายเดือนก่อน

    Asante mchungaji kutuombea Kwa serikali

  • @aggreyoloka625
    @aggreyoloka625 2 หลายเดือนก่อน

    We have to gather the nation to pray for this man who are the future leaders

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 2 หลายเดือนก่อน

    Yesu alisema saa yangu bado ktk harusi ya Kana. Saa itatimia katiba ya umma itapatikana. Tulitafuta katiba mpya badala ya katiba ya umma.

  • @Jeremiatitomawala
    @Jeremiatitomawala 2 หลายเดือนก่อน

    Baba umeongea sana ..ubarikiwe na Mungu

  • @ntegrity277
    @ntegrity277 2 หลายเดือนก่อน +6

    Tanzania ni Nchi yetu sote lakini Watanzania ni wanafki na waoga! Kenya kiongozi apotee muda huo pangechimbika lakini watanzania wengi ni wanafki sana, roho mbaya na ujinga mwingi

  • @ntegrity277
    @ntegrity277 2 หลายเดือนก่อน +3

    Serikali imepigwa na butwaa, watawaambiaje watanzania! Hii sio sahihi! MAKONDA YUKO WAPI?

  • @TibihikaGerad
    @TibihikaGerad 2 หลายเดือนก่อน

    Jaman inauma sana kiongoz wa serikali anapotea kama mtoto?Hii Dunia acha tuish tuondoke lakin Kuna binadamu hawana hofu ya mungu😭😭😭

  • @danielipimilo2956
    @danielipimilo2956 2 หลายเดือนก่อน

    Makonda yuko wapi jamani

  • @Athuman-y4g
    @Athuman-y4g 2 หลายเดือนก่อน

    Watanzania tumechoka kuwa naviongozi wazelendo wanakuwepi kwa mda mchache tumechoka kama wakimuwuwa makonda nami nawomba waniwuwetu!!! 😭😭😭😭🙏

  • @charleskuyeko1660
    @charleskuyeko1660 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hapana Mtumishi. Mahali pote inakuwa hivyo. Katibu Tawala wa Mkoa au wa Wilaya huwa hawakaimu nafasi ya Mkuu wa Wilaya wala wa Mkoa. Inawezekana Mkuu wa Wilaya akakaimu.

  • @marymgimwa
    @marymgimwa 2 หลายเดือนก่อน

    Chanzo Halisi tukomboe watz na toba ya hiari ya moyo,utakaso na haki iwe juu ya makonda🎉

  • @ValentineFrisch
    @ValentineFrisch 2 หลายเดือนก่อน

    Haswaa umesema vyema kwa maana mkuu wa mkoa ni raisi wa mkoa hivyo kiustarabu kujua kiongozi wa mkoa yu wapi na wapewe jibu lenye uhakika mungu akubariki Sana

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 2 หลายเดือนก่อน

    Anakaimu Mkuu wa Mkoa mwingine😢sthg aint right

  • @lawrence-xk1km
    @lawrence-xk1km 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo anaejibu zero kabisa hakuna anachojua aisee

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 2 หลายเดือนก่อน

    Vyema tukachukuana kwa wema. Akikosea tumsamehe maana ni mwanadamu. Hakika Watanzania tujifunze kusamehe wanadamu wenzetu ambao ni viongozi wanapokosea. Ajali za kisiasa pia kawaida . Mwajiri wake mbona hana wasiwasi? Kama kamtuma kazi maalumu leo akirudi mtasemaje? Kwani hana mje na familia? Hujiulizi mbona wako kimya? Kuna mtu anaweza kuwa na uchungu kuliko familia yake? Kaulizeni familia yake maana familia ndio yenye uchungunwa damu. Umesikia familia yake ikilalamika? Nendeni ktk familia Mbona hamuionei huruma familia yake mnanga'ng'ania ofisi? Anzia kwenye familia yake kama kweli unampenda .

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 2 หลายเดือนก่อน

    Mtu akipotea ama hajulikani alipo kilio cha kwanza familia, ndugu, jamaa na kama ana mwajiri ndio hupiga kelele. Sasa hili la kutafuta mtu mzima barabarani bila kuanzia kwa wa nyumbani kwake ama mwajiri wake ambao wote hao hawapigi kelele kwa mwelewa utajua tu ni cheusi chekundu cha usisaha wa siasa za Tanzania kuwapotezea malengo wananchi. Mwenye uchungu na mtu kuna utaratibu wa kufuata kama haonekani. Kaanzie kwa mkewe na watoto, ndugu na majirani, mwajiri wake na walinzi ndoo utaeleweka.

  • @MmungaMbele-u1o
    @MmungaMbele-u1o 2 หลายเดือนก่อน

    Kwa sasa Tanzania imeongozwa na wanafiki wa kubwa. Ukwili hamuna kabisa. Ipo siku Tanzania itanuka. Ninyi kwa ninyi munamalizana kwa sababu hamna umungu. Hasa CCM chama cha wanafiki. Mungu atawangamiza siku moja.

  • @rashidkihunga2938
    @rashidkihunga2938 2 หลายเดือนก่อน

    Au ndo sitaili ya viongozi wa tz.inawezekana katiba yetu ipo hivo kwamba kiongozi akiomba likizo asionekane ajifiche mpaka likizo iishe.huo ni ujinga wa kuficha wasio fichwa watafichuka .au basi ficheni tutajua wenyewe

  • @reginomgaya1008
    @reginomgaya1008 2 หลายเดือนก่อน

    Hapana hajui taratibu za utumishi wa wakuu wa mikoa na wakuuu wilaya

  • @pwaniseries
    @pwaniseries 2 หลายเดือนก่อน +3

    UMEONGEA KITU MUHIMU SANA MCHUNGAJI ALIPASWA AKAIM DAS

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 2 หลายเดือนก่อน

    Mamlaka ya uteuzi ndio inaona nani anafaa.

  • @HusseinSaguti-sj9nh
    @HusseinSaguti-sj9nh 2 หลายเดือนก่อน

    Kinyozi hajinyoi
    Yy mwnyw kashutumia kua ndie aliepanga shambulizi la kutaka kumuua lisu
    Huo ni mtego wa panya

  • @IsayaSosolo-nx8zk
    @IsayaSosolo-nx8zk 2 หลายเดือนก่อน

    Sinema hiyo bado mnakuwa kama Tomaso mnatuletea mauzauza badala ya kuongerea suala la sukari wanataka kututoa kwenye kigagaziko cha mambo shida za wanaichi acheni upuuzi wenu!

  • @HaznaAbdallah
    @HaznaAbdallah 2 หลายเดือนก่อน

    Likizo ya makonda inaukakasi san hajafikisha hata miez kwann likizo mbona huyu wa daresalam hatujasikia likizo tuonyesheni makonda je likizo ndiy inamfanya asipotikan ata kwa simu ?

  • @agaikisare5010
    @agaikisare5010 2 หลายเดือนก่อน +3

    Itifaki Das au Das hawatakiwi kukaimu nafasi ya RC na DC

    • @kostajoseph5811
      @kostajoseph5811 2 หลายเดือนก่อน

      @@agaikisare5010 UKO VZR MTU WANGU BARIKIWA SANA

  • @michaelmlugu5654
    @michaelmlugu5654 2 หลายเดือนก่อน

    Makonda anavuna alichopanda Kama kweli atadhibika kapewa SUMU labda iwe Yuko likizo kweli kwa maoni y angu sikubali Kama Yuko likizo wametenda Mambo mabaya bila Shaka nao yanawarudia NGOJA TUONE

  • @innocentnaropi
    @innocentnaropi 2 หลายเดือนก่อน

    Swali makonda Yuko wapi

  • @philipolulale
    @philipolulale 2 หลายเดือนก่อน

    Kazi ipo

  • @UCHAMBUZIWASHERIAMBALIMB-ue1lv
    @UCHAMBUZIWASHERIAMBALIMB-ue1lv 2 หลายเดือนก่อน +1

    OFISI YA MKUU WA MKOA INAKAIMIWA NA MKUU WA WILAYA .MMOJAWAPO YA WAKUU WA WILAYA NDANI YA MKOA.
    MKUU WA MKOA MWINGINE AKIKAIMU MKOA MWINGINE KWAKE NANI ANAKAIMU?

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 2 หลายเดือนก่อน

    Kaulize familia yake. Kama ni huruma anzia kwa familia yake.

  • @femidayahaya9293
    @femidayahaya9293 2 หลายเดือนก่อน

    hawataki kusema hao serikal baba ang kwakwel hawatutendei haki

  • @DicksonDamian-s4k
    @DicksonDamian-s4k 2 หลายเดือนก่อน

    Wezee wa arusha mko wapi kuhusu Makonda mbona kimia

  • @Princewaweru
    @Princewaweru 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani nyinyi mnataka taarifa ipi subilieni likizo ikiisha makonda atard tu. Inshallah

  • @AndrewShiratu
    @AndrewShiratu 2 หลายเดือนก่อน +2

    ivi mwajiri wake raisi Samia kwa nn asiwambie watanzania mtt wetu aliko? Kwa maana anamlipa mshahara kwa Kodi zetu na sio pesa yake mfukoni.

  • @thedriver.michael.3975
    @thedriver.michael.3975 2 หลายเดือนก่อน

    Uwe mstari wa mbele utuongoze kwenda ofsini kwake

  • @DicksonDamian-s4k
    @DicksonDamian-s4k 2 หลายเดือนก่อน

    Mutupe taarifa tunayo yasikia nikweri au atuelewi

  • @AshelyAbel-kg4kx
    @AshelyAbel-kg4kx 2 หลายเดือนก่อน

    Watumishi ninyi mbona mmekaa kimya hamkemei hivi vitendo vya kishetani kiongozi anapotea majibu hatupewi nanchi wanauwa kinyama harafu majibu yanakua kwamba niuzushi, je tujiulize misingi ikiharibika mwenye haki atafanya nini.

    • @BilaliMakelele
      @BilaliMakelele 2 หลายเดือนก่อน

      Kama amepotea tufanyeje mtu mzima anapotea acheni mambo ya kitoto bwana

  • @michaelmlugu5654
    @michaelmlugu5654 2 หลายเดือนก่อน

    Hakuna viongozi was dini hapa wote walio wengi ni CHAWA wanadai eti ni watu wa AMANI ni UJINGA tu Kuna fununu kapewa SUMU kwanini nyinyi watu wa dini hamchukui hatua hata kuuliza mmekaa kimya hiyo AmANI ni ipi mnaoisimamia Kama si UCHAWA tuwapinge hawa

  • @Tabitha_Michael
    @Tabitha_Michael 2 หลายเดือนก่อน

    Mwadishi sealing gani hilo bwana

  • @MagawidaSalasini
    @MagawidaSalasini 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ww mwandishi swali gan hilo

  • @Tabitha_Michael
    @Tabitha_Michael 2 หลายเดือนก่อน

    Yani hapo baba unaongea kitu sasahihi kabisa, maana wanaficha nn?

  • @charleskuyeko1660
    @charleskuyeko1660 2 หลายเดือนก่อน

    Wee mwandishi ni mpuuzi sana. Unataka kuleta uchaguzi wa kiitikadi ambao ni upumbavu. Makonda si kiongozi wa CCM. Ni kiongozi wa Serikali. Serikali ni ya watu wote. CCM hawana nchi yao peke yao wala Chadema haina nchi yao nyingine. Wote ni Watanzania. Tofauti wa vyama si uadui bali ni njia ya kuifanya Serikali isilale usingizi na iwajibike kuleta maendeleo kwa Wananchi.

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 2 หลายเดือนก่อน

    Hakuhusu shuqulika na wakristo

  • @lampadshigonko3006
    @lampadshigonko3006 2 หลายเดือนก่อน

    Mkuu wa mkoa mwingine? Wanatokosea sana..
    KWAHIYO LEO RAIS SAMIHA AKITOWEKA, INAMAANA ATAKUJA RUTO WA KENYA?
    Maana mkuu wa mkoa ni km raisi wa mkoa.. sasa raisi wa kilimanjaro anafata nini Arusha?

  • @NeemaJackson-s5f
    @NeemaJackson-s5f 2 หลายเดือนก่อน

    Mh

  • @kostajoseph5811
    @kostajoseph5811 2 หลายเดือนก่อน +2

    KAJIFUNZE UONGOZI AFU UTAJUA ULICHOONGEA HATA HAKICHEKESHI BALI HUJUI CHOCHOTE

  • @kostajoseph5811
    @kostajoseph5811 2 หลายเดือนก่อน +2

    WW NI ZIRO KUBWA TU

    • @suleysafari798
      @suleysafari798 2 หลายเดือนก่อน

      Ww ndio shoga kabisa

    • @kostajoseph5811
      @kostajoseph5811 2 หลายเดือนก่อน

      @@suleysafari798
      Bado sijakuelewa point yako