Rais Jakaya Kikwete awasili Malawi na kupokewa na Rais Joyce Banda

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ส.ค. 2013

ความคิดเห็น • 43

  • @bakarilingame9648
    @bakarilingame9648 5 ปีที่แล้ว +2

    Nafulai sana nikimuona jakaya mlisho kikwete daaah mungu azidi kukupa nguvu amani nafulaa maishani mwako nakpenda baba angu

  • @lupakisyomsese8210
    @lupakisyomsese8210 5 ปีที่แล้ว +2

    Asante mwenyezi mungu kwa kumfikiaha salama baba yetu tunaomba pia arudi salama nyumba.

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 4 หลายเดือนก่อน

    Hiyo ngoma nimeipenda sana❤❤❤

  • @swalehmgumia5538
    @swalehmgumia5538 5 ปีที่แล้ว +10

    Lijakaya bhana tungelifanya liwe raic la maisha tu maana duh linapendeza hatareee yaan apo kama vile nchini kwake linacomfidance hatareeeeeeeee
    Love u jakaya per 💯

  • @mapenzi_tz1511
    @mapenzi_tz1511 5 ปีที่แล้ว +3

    Nice magu and kikwete

  • @kanisiamkoko7051
    @kanisiamkoko7051 5 ปีที่แล้ว +1

    Rais wetu kikwete Mungu akulinde.

  • @TamuzaKale
    @TamuzaKale 11 ปีที่แล้ว +3

    Ngoma za Kinyasa kitu kitumbo tu - haina tako kabisa!

  • @dengerengisaruni1859
    @dengerengisaruni1859 5 ปีที่แล้ว +1

    Busara2 nahekima yako yanatutosha mzee wewe hakuna kama wewe mungu wambinguni akuongezee muda mwingi duniani tuendelekukukona baba yetu jaman nakupenda rais wangu

  • @stewartmillanzi7198
    @stewartmillanzi7198 6 ปีที่แล้ว

    Wow....that's my president. Biblia inasema,"HERI WAPATANISHI..."

  • @sarathomasdsm3460
    @sarathomasdsm3460 6 ปีที่แล้ว +1

    good and nice

  • @sarathomasdsm3460
    @sarathomasdsm3460 6 ปีที่แล้ว

    ah brother yupo good

  • @khamiskhamis5323
    @khamiskhamis5323 5 ปีที่แล้ว

    Safi sana kamanda tunakukubali msaidie magu mh magu kazongwa na viwanda

  • @walterswai6829
    @walterswai6829 11 ปีที่แล้ว +2

    kweli tuna rais

  • @wilfredmmbando689
    @wilfredmmbando689 ปีที่แล้ว

    😊

  • @husseinmshengeli59
    @husseinmshengeli59 5 ปีที่แล้ว +1

    Well done

  • @imamrema9745
    @imamrema9745 5 ปีที่แล้ว +2

    Ana mapoz mazur sio kama magu kauzu mda wote

    • @davidnyigu2061
      @davidnyigu2061 5 ปีที่แล้ว +1

      Ima Mrema kaangalie mappkezi ya magu na comment

  • @christophermpomba8021
    @christophermpomba8021 5 ปีที่แล้ว

    Kikwete yan laha sanaa ntafikir kwao dah yko vzr kwakwel.

  • @rahmashaban8693
    @rahmashaban8693 8 ปีที่แล้ว +2

    wee mudy mpumbavu kweli .wewe kaz yako kuangalia matako ya wanawake sio. mjinga mkubwa usiyekuwa na akili wewe. Mungu kawaumba hivo hivo . shida yako nini? .kwa hiyo aliyewaumba hana akili , na wewe unaowatazama ndo mwenye akili mpavu kweli usiyekuwa na haya.inaonekeka hata maadili ya dini huna upi tuu kama mwenda wazimu.

  • @abednego3876
    @abednego3876 5 ปีที่แล้ว

    enzi izo bata inaliwa ...it was non sense hiyo ndege yenyewe ilikua imekodishwa.

  • @athumanomary1438
    @athumanomary1438 5 ปีที่แล้ว +3

    Asant sa mwenyez MUNGU kwa kumfikisha saram baba yetu ariye riwakirisha taifa retu la TANZANIA na tunazidi kukuomba urudishe nyumban saram

    • @prosperjuma905
      @prosperjuma905 5 ปีที่แล้ว

      Hiyo ni ya muda mrefu. Wakat huo alikuwa bas rais. Karib 5yrs ago

  • @dengerengisaruni1859
    @dengerengisaruni1859 5 ปีที่แล้ว

    Wewe ni rais anaofaa kuingwa lugha safi kwakweli

  • @suleimanali7403
    @suleimanali7403 5 ปีที่แล้ว +3

    mh rais huondoo ungwana hakika wewe nirais wawatu maanahadi waastaafu unawapa fursa

    • @prosperjuma905
      @prosperjuma905 5 ปีที่แล้ว

      Hiyo ya mda mrefu. Wakat huo alikuwa ndo rais

    • @EngTAMIM
      @EngTAMIM 5 ปีที่แล้ว

      Sio ya muda mrefu ni juzi

    • @prosperjuma905
      @prosperjuma905 5 ปีที่แล้ว

      @@EngTAMIM sio kwel. Soma comments za watu humu. Utagundua zipo za miaka 5 nyuma.
      Halaf sasa huyo mama sio rais wa malawi. Halag kikwete juz hakwenda malawi. Alienda zimbabwe.

  • @johnchoma2522
    @johnchoma2522 7 ปีที่แล้ว +2

    Diplomacy at its best

  • @aishammangan2145
    @aishammangan2145 9 ปีที่แล้ว

    Yuko vzr sn

  • @jackisonijackisoni6715
    @jackisonijackisoni6715 5 ปีที่แล้ว

    Alshawahi kuamwnajeshi

  • @Rigmanbob
    @Rigmanbob 8 ปีที่แล้ว +1

    This Kilwate and his family stole millions

  • @promisejoel1909
    @promisejoel1909 5 ปีที่แล้ว

    Wanakatikia tumbo duuuu

  • @ramambongo4069
    @ramambongo4069 5 ปีที่แล้ว

    Magu vip unamsikia mzee mpendwa na watu jk

  • @coffeemuya618
    @coffeemuya618 6 ปีที่แล้ว +1

    Never ever a president like jakaya

  • @ambakisyejeremia4204
    @ambakisyejeremia4204 2 ปีที่แล้ว

    Tujikumbushe