NIPE TANO- THE SURVIVORS GOSPEL CHOIR ( OFFICIAL MUSIC VIDEO)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
- NIPE TANO is Another Hit Song from the THE SURVIVORS GOSPEL CHOIR.
Song Written by: CHRISTIAN SONELO
Music Composer- Justine Yegela
Solo guitar : DVD
bass guitar : Peter Nyarusi
studio; LUBIGA PRO
Audio Mixing and Mastering by: YUSUPH MANAMBA
video script writer : kadevstar
Video Directed by: RAHIM
I watched this song as the 80th viewer… watch it get to 8,000; 800,000; 8 million plus more while we are in this land of the living.
Amen
I think I have personally added 100 views since it was released. I can't stop playing it.
Now, I know it word for word.
Baba naomba 5 kwaajili yangu...wape tano pia kwa kila mmoja watoto wangu Saraphina, Suzan, Gabriel, Collins, Festo, Doreen Mariam, Gian na Meshack . Tunaenda kuzalisha kwa jina la Yesu. Kwako kila kitu kitakuwa maradufu
Amen kawaimani umepokea
Na iwe hivyo kwako katika jina la Yesu
Amen
My Lovely kenyans tufanye ile kitu like yako hapa❤❤
Wow I like it
Hawa watu Wana sauti Mungu huyu jaman
Daah mnajuaa atarii tangu mashamsham hadi 5 Mungu awee na nyieeee
Sifa na utukufu kwa Mungu
Agera umetisha sana um ndani navile unasauti ya kumtoa nyoka pangoni Nakubali sana huu wimbo noma💪
Agnes Mutalemwa 🔥safi sanaaaaa dada yang!kiwango kinazid kukua! Mungu akutunze cz unr the next best female sioloist
I have to return to God because 9 months of not walking was worst days but God is not a man
Mnajua mnajua mpaka mnajua tena
Director mwenyewe napitisha huuu wimbo kabisa.karibu Kenya mwenzenu toka mwanza
Amen 🙏 tutakuja
@@fredmwakataghe147 +254115310599 WhatsApp
Msitengane Kama zabron singer's , twawaombaaa
Sjuiii milonuerewaaa au
Aliyekwambia Zabron wametengana mwambie aamke Usingizini
@@DominicMakamba zabron kulikuwepo na mgogoro ukaisha kimyakimya uwe unafuatilia ata TH-cam Kaka
Mungu awabarki sana kwa kz nzur
Safi sana
am blessed talanta tano
Hakika nipe tano ni wimbo nilio usikiliza leo wakati mkiwa kwenye interview na umenibariki sana.. HAKIKA UTUNZI UNA BARAKA TELEEEE..
MAONI YANGU UPANDE WA VIDEO TOENI TOLEO LA PILI LITAKALO KUWA KATIKA MFUMO WA LIVE RECORDING.. itabambaa saaaana..
na mnaweza kuandaa tamasha dogo tu la NIPE TANO LIVE GOSPEL RECORD na wadau tukawaunga mkono.. kwa chochote.
Amen
Safiiiiiii kaka tutalifikisha
Amina amina. Tunashukuru sana sana barikiwa. Tunalifanyia kazi
Hii sio kwaya ni zaidi ya kwaya!! Janaa kuna jamaa kapigaa bar watu tulichezaa 😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Safiiiiiii
Jaman mungu hawabaliki nami natak baba anipe tano
baba nipe tano aiseee mafunuo makubwa sana safii wimbo umenigusa sana
Kwaya nzima masoro barikiwen saaana
Hakika Mungu kupitia Wimbo huu nipe tu hizo tano nikafanyie kazi...
Mungu akakupe hitaji la moyo wako
The first lady to solo is fire... And the song is amazing
I come again for the amaizing voice of the second male ,guy its so amazing
Kazi nnzuri sna,baba nipo 5nikachakalike nirudishe 5
😍😍😍😍😍baba nipe tano niongezapo nami nirudishe tano
Hongereni wimbo mzuri . Tukumbuke kuzalisha kweli kwa mwaka ukivuna hata wa wili inatosha 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mungu awabariki Sana kwa kazi njema na nzuri
Amen 🙏
Ebwanaeeeeeh hii moto! barkiwa xaana watumixhi wa Mungu
🙏🙏🙏🙏 Nakupenda survivors gospel choir ❤️❤️❤️❤️
Nita zalisha tano nitarudisha tano
Ubunifu wenu 💥💥💥
Tunashukuru sana
Jamani watumishi napenda huduma yenu na barikiwa mno sichoki kuwa sikiliza Mungu awa bariki sana
Mmekuja kufanya mapinduzi na kuliteka soko la muziki wa gospel
❤ongera sana my dearAggie na waimbaji wote MUNGUawabariki zaidi
Mnajua sanaa
Baba nipe Tano,nitarudisha Tano na Kwa hiyo Tano nitahakikisha nimeongeza Tano nyungine zaidi ya Ile Tano ya Kwanza 😭🙏
Very nice nimeipend
Barikiwa sana
Wooow BABA NIPE TANO 🔥🔥🔥(baba nipe tano nikafanyike mfano 💃)
Enheeeh! Baba nipe tano, nakuahidi sitozifukia.
Hawa watu wanaimba jamani, sauti zao sio za kawaida kabisa , hizo key ndio kabisaaaa
Wao! Bless you guyz.
Nyimbo nzuri kbs
Tano nipatie nikachakalike nazo🙏🙏🙌
Barikiwa sana
Baba nipe 5
Amazing!
When God gives you 5 talents..... invest and get another 5 talents.
Matthew 25:14-30
Yaani umenifanya niulewe zaidi wimbo ❤️❤️❤️
@@danielasangalwisye6203 I'm glad.
The song is derived from Matthew 5
My peopleeeeeeeee 🔥🔥🔥🔥 you guys your doing great
Good song
Mungu amewapa kipawa hiki kwa kizazi Cha sasa
Mungu wa mbinguni azidi kuwa wainua juu zaidi
Nawapenda sana
Amina. Barikiwa sana sana
The best
Safi sana .. Nakuona ndugu yangu Benjamin Mungu awatumie zaidi
I am very blessed with this song, God bless you 💝💐💝💐💝💐💝💐💝💐
Bwanaaa bwanaaa lisongi atariiiii cheee
Here were rock iy🙋🙋
Mungu anatoa vipaji vya kuimba 🙌🙌🙌
Barikiwa
Eee Baba NAMI nipe Tano👊🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 guys mbarikiwe mnooo👏🙌
Hiii ngimbo mliuwaaaaaaa nawaona mbali
Ebhnaaaaaaaeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee n balaaaaaaa zitoooooooooooooooo
Sifa na utukufu kwa mungu
@@thesurvivorsgospelchoir Hongereni sana Survivors Gospel Choir Mungu awabariki na azidi kuwatumia ili nasi tupate kubarikiwa kupitia vipaji vyenu
Waooh.!mna energy fulani hivi😍😍
Huku mjengoni Boresha Radio tunawapongeza sana chukua tano
Barikiwa sana sana mtumish. Ahsante sana
Mungu awabariki sana, you are so creative
Baba nipe Tano...Nigongee Tano🙌🙌🙌🙌
keep good work
Nikachakalike nazo
Nce song Mungu awabariki wapenz
nakuona 🔥🔥
Very Biblical, and an honest prayer👏👏👏👏 prompts accountability + stewardship
Sina ulegevu,sina mchezo kazini sina masihara waooooh wonderful song 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🎼
Mbarikiwe kwa huduma nzuri watu wa Mungu🙌🇨🇩🇨🇩
Loving you always
We love u more
I'm blessed, your productions are always a blessing 🙌, much love from 🇰🇪 🇺🇸
Hii ni moto moto 🔥 🔥
Amen 🙌🙏🙌
Mungu awabariki survivors
Nani katunga huu wimbo
Timely prayer for us Kenyans.....As voters and those seeking our votes
Sure
Nawaelewa saaana mungu awabariki
🔥🔥🔥🔥
Woooooow
🔥🔥🔥🔥🔥
Wimbo mzuri na bora kabisa ,Nipe tano babaaaa ndio habari ya walio okoka
Hii Kali xn Hongera sana
Wow!♥️
Ahsante
Ukinipa Tano, Nitazalisha Tano, Nitarudisha Tano🔥🔥🔥#UghweUmenye👊🏽
Ughweumenye. Barikiwa sana
Ni ombi langu pia Baba nikambithi tano nikafanyishe kazi na kuzalisha🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Good 👍 job
⛪⛪⛪ Mungu wabaraka sana
Kazi nzurrrrrrr tano muhimu👊🏻🤛🏻🤛🏻🤛🏻🤛🏻🤛🏻🤛🏻🤛🏻🤛🏻🤛🏻🤛🏻🤚🏿🤚🏿🤚🏿🤚🏿🤚🏿hakika mungu ni mwema
My best choir of all the time...you never disappoint 👏👏👏
🔥🔥🔥🔥Baba nipe tano nikafanyike mfano🙏
Huhuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
U guyz u just kill it🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nipe 5 on 🔥
MUNGU AWABARIKI SANAAAAA
one step everyday
Barikiwaaaaaaaa✨
Woooooooo🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Yaani nimewapenda bure nyie vijana wa Yesu, aiseeeeee!!!!
Karibu sana
Wow! Wowwwww nipe Tano so blessing barikiweni sana Watumishi wa Mungu
Amen. Barikiwa na ww pia
Nice work guys..
Hongereni sana 👏
📌🔨nipe tano nikazalishe tano wao mkabarikiwe sana 🔥🔥🔥🔥💃💃💃💃💃
The song is very lit🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🥰. But whre is my crush in tht song. I can't see her. ?
Glory to God
👊🏽👊🏽 great👏🏽👏🏽
Wooooo gwala gwalaa haleluyaaaaaaa mpk nilipo Dom mpe tan
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
May God bless you guys ....its Holy Holy Holy.
When it comes to the title ......oooh my God ..
Mungu awainue kwa viwango vingine.
Amen. Tunashukuru sana , barikiwa
Barkiwa Sana watumishi
choir imetosha ama🤗
Jamani mbarikiwe nawapenda mno
Wow wow, yan nyie watu mnajua mpaka mnajua tena 🔥🔥🔥🔥🔥
Jamani jaman Edina huyoooo , Mungu awabariki sana
Amazing, nipe Tano nami nirundishe tanoo motoooo