Huu wimbo nimeukabidhi ukawe wimbo wangu mwaka huu 2022. I declare this my 2022 song. God bless you abundantly Gospel Survivor choir yaani huu wimbo unanibariki najisikia nipo binguni na malaika tukisifu.
I can prove that this song is inasikizwa Kenya Sana than the most places in the world,tiktok lead to the growth and most views .🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Much love from +254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Sauti za vijana wa Yesu, zinainua mioyo ya vijana wengi waliokata tamaa 🙏, Mungu awafungue zaidi katika huduma ya kumtumikia Mungu kwa njia ya uimbaji, Amina 🙏
From 254 🇰🇪🇰🇪 hii wimbo is a blessing to many here..every morning I play it...huku kuna raha,kukaa na yesu napendaga...the lady with bewitching gap..my favourite
This One... This One.... This One... This One.... Oooooh heaven is smiling....Iam so blessed. After a Break up of my marriage and loss of all I had worked so hard to acquire.. To see everything go.... Every time I feel like crying again... I will put it up... So loud.. With a big bass.... Aaaaaay... Bwana ameniondelea haya.... Haleluhyaaaa
So last week I had a bad day at work alot of unfinished workload,prayed throughout the night to God to give me knowledge to finish the tasks,woke up listened to this song for the first time and my spirit was renewed and felt energized got to work and finished my work. Bwana kwa kweli alinipa kicheko
Saw this from friend's WhatsApp status,did a guess work searching for it,nimeland hapa😍😍😍, woow. Ukweli tu usemwe, there's something unique with tanzania's singing. Nyimbo zenu ni za kipekee. Love this.
Sometimes we forget that God loves so much that he gave up his only son to die for our sins especially when we are going through hardship . This is to encourages us that God still loves us even in our darkest times
Wimbo ni mzuri na MUNGU awaongoze mnakoelekea. ANGALIZO: Huwa kuna shida nyingi sana jinsi ya kuongoza (ku-manage) kundi la vijana. Kundi hili nalifananisha na kundi lililowahi kuja na kuondoka bila habari lilikuwa linaitwa "GLORIOUS CELEBRATION" waliimbaga wimbo mmoja ulikuwa mzuri sana, very famous, "NIGUSE". Waangalie wasije wakabebwa na hizo changamoto za ujana.
TikTok directed me to your channel guys and here I'm so blessed with this mashamsham 🔥so heart melting 🙏 be blessed guys. Likes za Kenyans zikuje kwa wingi tubarikiwe pamoja
Haya twendeni nayo December 2024..Bwana amenipigania❤
Asante Mungu kwa zawadi ya Uhai.
Kenyans 🇰🇪 let's mark the register kama ile ngoma ya chini chini chini..
Another dope song..
amen barikiwa san amtumishi
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
From tiktok
🇰🇪
🇰🇪🇰🇪
Naomba likes because this will be my song coming 2024💃💃💃nina imani🙏🙏🙏
Masham sham wimbo wangu ntakaoingia nao kwenye usiku wangu
Tanzanian mko wapi...sioni likes zenu . 🙄🙄🙄anyway much love from 254 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪. A nice 🎵 🎶 🎵
Tupo kma hatupo 😂😂🇹🇿👌🏽🙏🏿
Ila majirani 🇰🇪 mmetisha 🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Yaani tupo busy tunasikiliza tumesahau comment😊😊😊
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Love from Kenya 🇰🇪
Eisshhhh,Tanzania give us the secret to you guys coming up with good/Touching songs, love this song from Kenya
Reading the a Word💯
izi raha ndio nazsikia leo kwa yesu kuna raha sana
Who else is coming from TikTok to confirm ❤️❤️❤️❤️❤️. Much love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Who is still boarding in 2024..👌👌👌
You guys umnaweza mnoooooo kazi yenu njema mnooooo Mungu awabariki ama kweli masham sham
Amina tunashukuru sana
Us Kenyans are fast on Good Vibes 🔥🔥
We 🇹🇿 respect and appreciate your support thanks sooo much our neighbours
@@billgussy6099🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Receive lots of love ❤ 😍 from your neighbor kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 we love Tanzania 🇹🇿 ❤
We love you too
thanks, we love u too!
Jaman huyo kaka anaeimba mashamsham kwa mara ya kwanza hadi ananisisimua
Just came to know this song this year wow....much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Masham sham Mungu amenipa kicheko …aibu kaniondolea🥰😂😂😂kwa Yesu raha Amina.
Nna raha moyoni...Bwana umenipa kicheko😘😘😘🙌🙌
Barikiwa
BOOOOOOOOOOOOOOOOONGE LA SONG HONGERENI SANA SANA JAMANIIIIIIII
Thanks our Bishop sifa na utukufu apewe MUNGU hakika
Nice song
Amina tunashukuru sana Bishop. Sifa na utuku kwa Mungu
Nimejikuta nalia hakika mnaweza Sana mungu awabariki sana
Nmebarikiwa sna nkiwa tz MUNGU azid kuwainua zaid na zaid🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Bana hii wimbo inanipa mashamsham
Mapenzi tele kutoka🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
This song is dope listening from 🇰🇪
Waaaaaaow.. from TikTok to here....this will be my testimony before the year ends ... So help me Lord.. beautiful voices there
Just from TikTok too. Hii wimbo inapea mtu motisha
Amen
Amen, I claim this too
Me too
Me too
Huu wimbo nimeukabidhi ukawe wimbo wangu mwaka huu 2022. I declare this my 2022 song. God bless you abundantly Gospel Survivor choir yaani huu wimbo unanibariki najisikia nipo binguni na malaika tukisifu.
Ooh my God.
This song is a blessing..
Where was it until today 10/11/2024?? Am blessed 🙏🙏🙏
I tap the blessings jamanu msicheze na Yesu yeye hutuliza shwari.....Kenya tume kubali🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mnanibariki .. nimekolea masham sham. Mungu leo amenibariki kunipa hii zawadi🙏🙏😍😍😍😍
Kenya 🇰🇪 tuko wengi ama nko pekee huku?
Tupo wengi saaana
Wow! The song is beautiful. Tanzania music never disappoints. Lots of love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Thanks jiran, God Bless you Uzidi kufanikiwa zaidi maishani mwako...
@@sylvestermtweve2895 Amina Amina nawe pia
@@lilywhite8029 barikiwa sana
@@lilywhite8029 yohh
Karibu tz lily unajina kama la mdogo angu
Nawapenda sana the Survivors mnaimba vizuri sana Mungu aendelee kuwatumia viwango vya juu sana
I can prove that this song is inasikizwa Kenya Sana than the most places in the world,tiktok lead to the growth and most views .🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Much love from +254🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
In love with this song niliitwa tasa Sasa nanyonyesha💖💖💖💖💖💖💖💖💖
🎉 nyonyesha wengi
Am here because of TikTok💃the song is so 🔥🔥🔥🔥🔥
Me too
Me too, great song to start 2022
Mm pia 🔥🔥🔥
Same here...its an awesome song
@@jenifamuia2286 allowed it m
Whatsapp status brought me here today a blessed Monday.... I feel blessed and favored 🙏❤️🇰🇪
Same case here 🙏🙏
Same case ❤️
Same here,i had to search for the song
Huku kuna raha wewe , mashamsham kukaa na yesu Amen yamenikolea mashamsh am yamenikolea Amen🎉🎉
I'm here before 1M. Thanks to TikTok
So what Tigress????
Tanzanians never disappoint when it comes to gospel, kofia nimewavulia🙏🇰🇪
MUNGU MWAMINIFU SANA. BARIKIWA
Glory to God
Your welcome
They are tanzanians? Beautiful!
@@mariaconsolata1563 yes they areee
Sauti za vijana wa Yesu, zinainua mioyo ya vijana wengi waliokata tamaa 🙏, Mungu awafungue zaidi katika huduma ya kumtumikia Mungu kwa njia ya uimbaji, Amina 🙏
Amen
Amen
Aki mdada aloanza na kumaliza your voice ni unique. Nimependa 😘
Sanaaa, ni mnomaa
Who is here in December 2024
Mashamsham 🇰🇪🔥🇰🇪🔥🇰🇪❤❤. Nakuru People kujeni tu mark Register.
Mungu aendelee kuwatumia watumishi wa Mungu....kazi nzuri sana
Amina tunashukuru
Vipaji vipaji vipaji, hapo kila mmoja ni solo singer Mungu awabariki muendelee na kazi hii ya kuinjilisha tunasubiri wimbo wenu mpya...
Waliinita tasa Leo nanyonyeshaaa wow! Baruk Adonai can't stop listening to this song...injili ya bwana isonge mbele
The energy is top notch! Thank you Agnes for performing this today in church 🎉🎉🎉
I will sing this song till God remembers me🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Amen
Amen such an inspirational song
Amen, he surely will. 💯
From 254 🇰🇪🇰🇪 hii wimbo is a blessing to many here..every morning I play it...huku kuna raha,kukaa na yesu napendaga...the lady with bewitching gap..my favourite
🇰🇪🇰🇪 Team Kenya sign register here January 2024
This One... This One.... This One... This One.... Oooooh heaven is smiling....Iam so blessed. After a Break up of my marriage and loss of all I had worked so hard to acquire.. To see everything go.... Every time I feel like crying again... I will put it up... So loud.. With a big bass.... Aaaaaay... Bwana ameniondelea haya.... Haleluhyaaaa
One, day, one step at a time and never loose Faith
Hugs mama 🥺🥺🥰
Mashamsham. Soon
Hugs Mummy... Bwana atakupa kicheko juu anakupigania
God is in control. Trust in him
I was just wondering ni Wakenya wagani wamiiva hivi Kiswahili... Kumbe ni our brothers from Tz👏👏👏👏👏👏👏
Mwalimu wa kwaya hii, Mungu akutunze, ujumbe mzuri kwakwel
Wooooooow❤️❤️❤️❤️❤️sweet voices, good message, wooow, God bless you guys🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪From Kenya,, we love you so much,, this song is just sweet,
So last week I had a bad day at work alot of unfinished workload,prayed throughout the night to God to give me knowledge to finish the tasks,woke up listened to this song for the first time and my spirit was renewed and felt energized got to work and finished my work. Bwana kwa kweli alinipa kicheko
🙏🏽🙏🏽
Saw this from friend's WhatsApp status,did a guess work searching for it,nimeland hapa😍😍😍, woow. Ukweli tu usemwe, there's something unique with tanzania's singing. Nyimbo zenu ni za kipekee. Love this.
This is Kenyan
Their voice utadhani ni south Africa wanaimba....Gai you have beautiful voices jamani
Naupenda sana wimbo huu, kukaa na yesu napendaga
Barikiweni sana watu wa Mungu,mwimbo wa viwango jamani,I wish ningekuwa mmoja wenu hapo..love u all.
Amina tunashukuru unakalinishwa
Sometimes we forget that God loves so much that he gave up his only son to die for our sins especially when we are going through hardship . This is to encourages us that God still loves us even in our darkest times
you made it all but the second boy bless me a lot made watch millions of times
Wimbo ni mzuri na MUNGU awaongoze mnakoelekea.
ANGALIZO: Huwa kuna shida nyingi sana jinsi ya kuongoza (ku-manage) kundi la vijana. Kundi hili nalifananisha na kundi lililowahi kuja na kuondoka bila habari lilikuwa linaitwa "GLORIOUS CELEBRATION" waliimbaga wimbo mmoja ulikuwa mzuri sana, very famous, "NIGUSE".
Waangalie wasije wakabebwa na hizo changamoto za ujana.
Mungu atusaidie. Mungu atusaidie sana Amen
Naomba wimbo huu uwe wangu huu mwaka2024 a beautiful song indeed
JAMANI NAONDOLEWA MSONGO WA MAWAZO NA WIMBO HUU
🔥 🔥 Mungu ni mtoshelevu kwetu hakika tumeona Mashamsham
Amina. Yametukolea Mashamsham
Lots of love from Kenya....a beautiful song it is from TikTok
Oh thought it was. Kenyan choir! Oh sweet blessed TZ
A CALM LAND
I never knew it was a gospel song... thanks be to God.
Have been searching for this song but today nimeipataaaaa mashamsham tele
Wow, Tanzania 🇹🇿😍 were the best on Gospel songs. Proudly Tanzanian 👌👌💯💯🥰
What is Mashamsham
@@murokidavis excitement
Asante Yesu Kristo Kwa kuniponya magonjwa yangu ikiwemo KORONA!!😘😘👏👏👏👍👍🥰😍💖
Nimeshtuka sana kuona hiyo sauti haikuwa Joel Lwaga.. Mungu ambariki sana kaka yangu. Amen🇰🇪
TikTok bring me here the song is wow ❤️❤️❤️❤️❤️💯💯💯💯💯keep it up guys so amazing I love the so ,,,
🤝🤝👏🏾👏🏾
Just when I thought the first lady killed it then comes the gentleman..then everyone else 🔥🔥🔥. Amazing voices
Everybody is 👌
Ameen
Same here!
Can't count the number of times I've played this song, it's amaaaazing!
Me too..
Its on auto rewind on my side, will listen to it 100 times na sitachoka!
❤❤❤❤❤
Everytime someone like this I will come and rewatch
I just watched again for the 1 like
Ni kweli nina raha moyoni maana Yesu amenipigania 🙏🇰🇪🇰🇪🇩🇪🇩🇪
Aki nitachizi na hizi nyimbo jamen nice song mubarikiwe watu wa mungu🇰🇪🇰🇪
Am n lov with this choir 😂😂nmefunuliwa naeza pata mchumba apa 😂😂 Atu au nadanganya
😅😅😅😅 mafunuo Safi kbsa
@@meshackfesto215 😂😂ngoja niendelee kusambaza link huwez jua nitapata collable 😂😂
Umefunuliwa jmniii eee tuambiee
@@edwinkamala 😂😂😂
Nawakubali sana mashamu Shamu,Mungu awabariki sana
Amina mboka
Nyie nyie🙌🏾🙌🏾🔥🔥🔥🔥🔥mnatisha
Sifa na utukufu kwa mungu
Today i was in a mathree and got introduced to this banger buana this song is just greeeeaaat!!!
Tik Tok brought me here. Lots of love From Kenya. Yamenikolea mashamsham
That lady who starts the song makes me watch this video atleast once everyday ♥️ i love her voice
Wuwiiii the voice
Same here! Whats her name?
Kazi yenu ni njema sana Mungu azidi kuwainua
At 1:26 "nina raha moyoni Bwana amenipa kicheko
Me too..have nice deep voice..
Tanzania is really blessed with artists ✅
Which Tanzanians
Still the biggest gospel song in +254🇰🇪
Amen. We thanks you so much
Am from Rwanda be blessed guy's
Receive lots of love ❤ 😍 💖 ❣ from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪...
Am from Kenya, am blessed ❤❤❤❤
the slim lady with the boy in red jacket did it💯
Am out of isolation ward this afternoon. Am coming out swinging and singing this song 🎵😭😌😩 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Celebrate In Jesus and rejoice
God is faithful
Mashamsham Avery inspiring song .am in love with that song
Mashamsham najionaaa niko juu ya yoteeee,nimetewa mashamsham, ni kitu ganiiiiii ni jambo ganiiiiiiiii,
How have landed here from my friends whatsup status,weeeeeh from 3pm I'm still replaying this,God God I need this energy to worship you Daddy
Hongeran kwa ubunifu 😍 mko vzr mungu awabariki
Twenty Four
Ahsante sana
TikTok directed me to your channel guys and here I'm so blessed with this mashamsham 🔥so heart melting 🙏 be blessed guys.
Likes za Kenyans zikuje kwa wingi tubarikiwe pamoja
Another song is out known as Nipe Tano
Walete waleteeeeeeee naisubili kwa ham sana yan
Nmeipata iyoooooooo Yan mashamsham kweli
❤️❤️🥰 listening from Germany 🇩🇪
Nice song, Love from 254
Be blessed vijana
Mungu awainue hatua moja kwenda nyingine 🙏🏻
Masham sham on 🔥🔥🔥🔥
Amina tunashukuru sana
I come from tiktok to download this song and play it on repeat........thank you and I love.
Their voices omg. ANGELS!🇰🇪love from Kenya🇰🇪🇰🇪..can't wait to show my mum this song..she will be full of mashamsham
Karibu tanzania
Nilitembea huko once Zanzibar ❤
As a mom, I love your comment ❤🥰
@@AfricanBliss254❤️❤️❤️🙏🏾
Wooooow this was very wonderful ❤️💥💯💯;💥;;💥💥💥💥
Kumbe ndo nyie mmeimba huu wimbo du you did it wel