NAMI NIMO- THE SURVIVORS GOSPEL CHOIR (Official Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 196

  • @allenstian3719
    @allenstian3719 3 ปีที่แล้ว +5

    kama na wewe umo kwel gonga like..😃plz kama na ww umo kwel lkn😊

    • @marytemba-c7y
      @marytemba-c7y 8 หลายเดือนก่อน +1

      NAMI nimo ww

  • @pettermwamposa7339
    @pettermwamposa7339 4 ปีที่แล้ว +6

    salome i see u ma friend nawe uwo bc nami nimo nice song

  • @witomwakilema8936
    @witomwakilema8936 4 ปีที่แล้ว +8

    Hakika Mungu anawatumia nyenyekeeni ili azidi kuwapandisha nimebarikiwa sana na wimbo

  • @aisperstylish_4923
    @aisperstylish_4923 4 ปีที่แล้ว +6

    nimesubiri saana jmn ....Mbarikiwee🙏🙏#Nami Nimo

  • @rehemamlaponi216
    @rehemamlaponi216 4 ปีที่แล้ว +4

    Fire kabsaaa

  • @mwalimdenis2768
    @mwalimdenis2768 4 ปีที่แล้ว +1

    Nimemwona mungu kwenye wimbo huu mbarikiwe wapendwa mm niko dar naweza nikaja tabata mkanipa albaham ya wimbo huu naitwa isaya sonelo

  • @emmymwaisela9664
    @emmymwaisela9664 4 ปีที่แล้ว +7

    Uwiii♥️♥️♥️🔥🙌🏻🙌🏻🙌🏻jamn mmetisha

  • @jophunimwalufunda5536
    @jophunimwalufunda5536 4 ปีที่แล้ว +7

    Hili ni bonge la jimbo na bonge la video kuliko la wale majirani zetu
    #nawamikono

    • @thesurvivorsgospelchoir
      @thesurvivorsgospelchoir  4 ปีที่แล้ว

      Mungu mwaminifu sana , tunashukuru

    • @gloriousnp
      @gloriousnp 4 ปีที่แล้ว

      Majirani tena, kumbe ni competition .....am outer here

  • @idrisammuhongelwa5470
    @idrisammuhongelwa5470 4 ปีที่แล้ว +6

    Safi sana watumishi wa mungu

  • @miicahremmy
    @miicahremmy 4 ปีที่แล้ว +2

    mzidi kubalikiwa

  • @ms.sainajohn410
    @ms.sainajohn410 4 ปีที่แล้ว +3

    💥💥💥 Na mi nimo

  • @samwelmwaijumba6018
    @samwelmwaijumba6018 4 ปีที่แล้ว +2

    Hahaha nami nimo asante Yesu kwa kunikumbuka nami nimo....

  • @lome04bed82
    @lome04bed82 4 ปีที่แล้ว +5

    Nami nimo nimebarikiwa kazi nzur.

  • @marymyonga3808
    @marymyonga3808 4 ปีที่แล้ว +1

    Jamani Hawa wadada Wana sauti nzuri Sana Mungu awabariki sana

  • @leajohn7314
    @leajohn7314 4 ปีที่แล้ว +5

    Ooooooh mubarikiwe mnooo nami Nimoooooo🙌🙌🙌🙌

  • @jordanmweluka5490
    @jordanmweluka5490 2 ปีที่แล้ว

    Na Mimi nimo, nawapenda Sana nyie watu

  • @noberto_brown8549
    @noberto_brown8549 4 ปีที่แล้ว +1

    Mpo vizuri keep up the nice work love you😍

  • @geliajohn163
    @geliajohn163 4 ปีที่แล้ว +2

    Nami Nimo jamani mambo ni fireeee

  • @sethlawranceanthony3893
    @sethlawranceanthony3893 4 ปีที่แล้ว +6

    Hata mie nimoooo 😍😍🔥🔥🔥

  • @tusajigwekatobe6321
    @tusajigwekatobe6321 4 ปีที่แล้ว +3

    Mungu awabariki nawapenda sana

  • @lubigisadaud8990
    @lubigisadaud8990 3 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri

  • @florencemwakikao5714
    @florencemwakikao5714 4 ปีที่แล้ว +8

    Hongera sana Survivors choir kazi nzuri sana 👏👏👏

  • @gladnesfuraha9868
    @gladnesfuraha9868 4 ปีที่แล้ว +5

    Hongereni sana nawapenda sana marafiki zangu na me nimo,kihome home

  • @florenceakyomo4319
    @florenceakyomo4319 4 ปีที่แล้ว +5

    Nami nimo,, Mungu awainue kwa viwango vya juu zaidi

  • @danielangasisye3309
    @danielangasisye3309 3 ปีที่แล้ว +1

    Nataman kila mwanadamuu aisikilze hii nyimboo
    NAMI NIMOOO OOHOOOO OHOOO katika wateule 💪💪💪💥💥💥💥

  • @sarahwawuda5164
    @sarahwawuda5164 4 ปีที่แล้ว +1

    Ajabu kwenye baraka zake MWENYEZI MUNGU nami nimo🙏🙏🙏🙏

  • @AICNyankumbuChoir
    @AICNyankumbuChoir 4 ปีที่แล้ว +1

    Mwl wa wimbo huuu pole sana kwa mengi yaliyokupata naamin ccc walimu hupewa kitu kwa ajiri ya weng, be blessed

  • @angelmartine3965
    @angelmartine3965 4 ปีที่แล้ว +8

    Mungu azidi kuinua kazi yenu Ni njema mno ,
    #NamiNimo

  • @maryikhalah8377
    @maryikhalah8377 4 ปีที่แล้ว +1

    Nami nimo🙌🙌🙌

  • @jofreynasson8202
    @jofreynasson8202 4 ปีที่แล้ว +2

    asee nyie watu wimbo wenu ni mzuri sana nabarikiwa sana nao,Mungu awabariki mno

  • @neemajonh9320
    @neemajonh9320 4 ปีที่แล้ว +5

    Mungu aendelee kuwaongoza

  • @jestinakatobe8286
    @jestinakatobe8286 4 ปีที่แล้ว +8

    Nami nimo, 😍😍😍😍much respect!!! Wakatishwao tamaa nami nimo wooooh, kazi njema Mungu awabariki

  • @zakariamsokwa9616
    @zakariamsokwa9616 3 ปีที่แล้ว

    Hongeeera hakika nmeamin nami nmo miongoni mwawaleeeee barkiwen wateule

  • @fahilanendjo2841
    @fahilanendjo2841 4 ปีที่แล้ว +3

    Amen mungu awabariki sana

  • @angelmartine3965
    @angelmartine3965 4 ปีที่แล้ว +6

    Tunashukuru Mungu kwa vipawa hivi🙏🏻

    • @thesurvivorsgospelchoir
      @thesurvivorsgospelchoir  4 ปีที่แล้ว +1

      Amen

    • @tricykalukwa5697
      @tricykalukwa5697 4 ปีที่แล้ว

      Vaeni sare basi watumishi wa Mungu wazuri mnakuwa kama mmetafuta watu sokoni , shuleni, barabarani waje kucheza lol.. Sare ni utambulisho tosha.. Mko vizuri kupita kawaida Mungu awainue zaid Love u...

  • @florandigenze5406
    @florandigenze5406 3 ปีที่แล้ว +1

    Niwekeeni na mimi jmn hykwaya nimeipenda

  • @sarahwawuda5164
    @sarahwawuda5164 4 ปีที่แล้ว +1

    Nice song mbarikiwe

  • @alinanuswemwaitebele6571
    @alinanuswemwaitebele6571 4 ปีที่แล้ว +7

    nice song
    THE SURVIVORS GOSPEL CHOIR mubarikiwe sana Wimbo mzuri sana na unamtukuza Mungu

  • @alexmwakasungu8552
    @alexmwakasungu8552 4 ปีที่แล้ว +9

    Big up Survivors Choir🔥🔥🔥 Mnatupa matumaini ya kuwa ni kweli m’meamua kutupa vitu vizuri muda wote! Mungu akawe nanyi kwa kila hatua🙏🏻

  • @limanyemkondola7149
    @limanyemkondola7149 4 ปีที่แล้ว +4

    Huu wimbo ni🔥🔥🔥

  • @japhetwawa4576
    @japhetwawa4576 4 ปีที่แล้ว +4

    Mbarikiwe kwa wimbo mzuri

  • @deborajemes7501
    @deborajemes7501 4 ปีที่แล้ว +6

    Mungu awabariki sana Nami nimo. Big up survivors Mungu awainue viwango vya juu.

  • @prizzle_photodesign2344
    @prizzle_photodesign2344 4 ปีที่แล้ว +1

    Nami nimo 👍👍👍🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️🕊️👍

  • @lucymwamasangula7052
    @lucymwamasangula7052 4 ปีที่แล้ว +7

    Wimbo mzuri nimebarika🙏

  • @priscakenedy5336
    @priscakenedy5336 2 ปีที่แล้ว

    NAMI nimo kwenye baraka

  • @nkundwenjoba8790
    @nkundwenjoba8790 4 ปีที่แล้ว +3

    Be blessed Moravian big up kazi nzuri

  • @elkanamtangoo9768
    @elkanamtangoo9768 4 ปีที่แล้ว +6

    Nice song,ujumbe mzuri,relaxed, simple,Kuna somo sio lazima kuonyesha ubingwa kuvaa uniforms nyingi ili video yako ipendeze. YESU JUU!

  • @annamkondola1323
    @annamkondola1323 4 ปีที่แล้ว +6

    Whoooh wimbo mzuri sanaa nami nimo 🔥🔥🔥

  • @denniskalumba2087
    @denniskalumba2087 4 ปีที่แล้ว +3

    Nami nimooo🥰🥰🔥🔥

  • @faithtimothy6396
    @faithtimothy6396 ปีที่แล้ว

    Mme ubariki sana, moyo wangu nami nimo niliyepitishwa pagum 😭😁🔥

  • @enock7591
    @enock7591 2 ปีที่แล้ว

    Kwakwer huu wimbo umekuwa baraka sana kwangu ubarikiwe ulie uandika joooooooo na mimi nimo

  • @rhodamwahimu6461
    @rhodamwahimu6461 4 ปีที่แล้ว +4

    Nami nimo, good song good vocal mubarikiwe sanaa

  • @amosijuma3324
    @amosijuma3324 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu awatie nguvu

  • @livinusmuganizi461
    @livinusmuganizi461 2 ปีที่แล้ว

    Bwana azidi kuwapaka mafuta na vikombe vyenu vifurike, mbarkiwe saana

  • @jefredyfrednandy5880
    @jefredyfrednandy5880 4 ปีที่แล้ว

    Kiwango sana aiseeee

  • @gideonjames6998
    @gideonjames6998 4 ปีที่แล้ว +4

    waoh be blessed wapendwa. kazi njema sanaaaa

  • @marryciousben3803
    @marryciousben3803 3 ปีที่แล้ว

    Nami nimo 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @neemajonh9320
    @neemajonh9320 4 ปีที่แล้ว +4

    Mbarikiewe
    Sana

  • @angelmartine3965
    @angelmartine3965 4 ปีที่แล้ว +5

    Wheeeew🔥🔥

  • @denniskalumba2087
    @denniskalumba2087 4 ปีที่แล้ว +1

    Mmetisha kiukweli my lovely church

  • @abiadhasmassawes3984
    @abiadhasmassawes3984 4 ปีที่แล้ว +5

    Nami nimo

  • @zabronnswila6809
    @zabronnswila6809 4 ปีที่แล้ว +7

    Big up Survivors choir

  • @constansialanjau153
    @constansialanjau153 4 ปีที่แล้ว +5

    Hongereni kwa wimbo mzuri 🔥🔥

  • @gj4202
    @gj4202 4 ปีที่แล้ว +4

    Nawapenda sana nabarkiwa kwa nyimbo zenu

  • @syliviamgeta8131
    @syliviamgeta8131 3 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏🙏nami nimo🤞

  • @samuelkiama975
    @samuelkiama975 3 ปีที่แล้ว

    Blessings,naomba jina la huyu dada wa kwanza

  • @kelvinngamilaga4962
    @kelvinngamilaga4962 4 ปีที่แล้ว

    Nimeicheki mara ya kwanza nimeipenda aisee,,arrangement ya Music iko vizuri

  • @SuzimeryMilanzi
    @SuzimeryMilanzi 5 หลายเดือนก่อน

    Nimebarikiwa sana! Kupitia wimbo huu.

  • @dorcasjoseph5266
    @dorcasjoseph5266 3 ปีที่แล้ว

    Naupenda Sana u wimbo mbarikiwe wapendwa

  • @chrismbogo1415
    @chrismbogo1415 4 ปีที่แล้ว

    Yeeeeeees, nami nimo

  • @hezrongudaga5036
    @hezrongudaga5036 4 ปีที่แล้ว

    Nami nimo👍🔥🔥♥️♥️♥️♥️

  • @mercymungai812
    @mercymungai812 2 ปีที่แล้ว +4

    I'm glad to discover this lovely choir, such a blessing, beautiful songs and voices, melodious.

  • @evamakula2850
    @evamakula2850 3 ปีที่แล้ว

    Hakika NAMI NIMOOOOO mbarikiwe

  • @actormkoma5285
    @actormkoma5285 3 ปีที่แล้ว

    Judith mungu aendelee kukuinua ktk viwango vingine, Jane mwamakula

  • @jimmymwakyejaima2051
    @jimmymwakyejaima2051 4 ปีที่แล้ว +4

    nami nimo

  • @tumainisojo6020
    @tumainisojo6020 4 ปีที่แล้ว +6

    Awesome 😍😍😍🙏

  • @petermagesa3005
    @petermagesa3005 4 ปีที่แล้ว +5

    Excellent stuff here

  • @sophiamika8201
    @sophiamika8201 4 ปีที่แล้ว +2

    Ik poa san

  • @MajaliwaBitomwa-qu7mc
    @MajaliwaBitomwa-qu7mc ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki kwaujumbe mzuri sana

  • @janethkusakalah6867
    @janethkusakalah6867 4 ปีที่แล้ว +11

    This song is fire, you are blessed ,survivors

  • @radhiatmgozi4446
    @radhiatmgozi4446 3 ปีที่แล้ว

    Nami nipo🙏🏻❤️💎

  • @floranyefwe3464
    @floranyefwe3464 2 ปีที่แล้ว

    Nami nimo Yesu wangu. Be with me Jehovah

  • @mgayamgaya
    @mgayamgaya 4 ปีที่แล้ว +1

    Na mi nimo

  • @elizahjohn4685
    @elizahjohn4685 2 ปีที่แล้ว

    Mungu awatie nguvu mnaimba vizur sana natamani niwe kama nyie lkn cjui nianzie wapi jamn

  • @bryanlwaya
    @bryanlwaya 3 ปีที่แล้ว

    Ameen... Nami nimo katika mateso ya Yesu na hata katika baraka zake...
    Nimo nawe Yesu Bwana🙌🙌🙌❤️

  • @emmymwaisela9664
    @emmymwaisela9664 4 ปีที่แล้ว +6

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @jaredmkioko
    @jaredmkioko 4 ปีที่แล้ว +1

    Yabariki sana!

  • @annadaniel1041
    @annadaniel1041 2 ปีที่แล้ว

    Hongereni Sana Mungu awabariki

  • @eugenejr.8844
    @eugenejr.8844 4 ปีที่แล้ว +4

    Nyimbo Mzurii nikihitaji Audio Mp3 naipataje. Google haipoo

  • @benedictmolel7441
    @benedictmolel7441 4 ปีที่แล้ว +1

    NAMI NIMO

  • @godlistenlaban9933
    @godlistenlaban9933 3 ปีที่แล้ว

    Huu Wimbo sina maneno ya kutosha kuulezea. Mungu awabarikini sana kwa utumishi huu.

  • @mkamboimaganga5690
    @mkamboimaganga5690 3 ปีที่แล้ว

    Hata mimi NiMo!

  • @lyovajr.768
    @lyovajr.768 4 ปีที่แล้ว +3

    Niceeeee gudJob

  • @estherlabanghuliku4668
    @estherlabanghuliku4668 ปีที่แล้ว

    Wow Mbarikiwe Sn

  • @perpetuadalei2405
    @perpetuadalei2405 3 ปีที่แล้ว

    Naminimooo,Mungu awatie nguvu

  • @mosesmasibo5023
    @mosesmasibo5023 4 ปีที่แล้ว +14

    Wow this choir is coming too fast ,,, i love the way they plan vocols❤❤❤❤

  • @shigglr90
    @shigglr90 4 ปีที่แล้ว +3

    Nice song NAMI NIMO 👍🏻👍🏻

  • @asibwenekalulunga7936
    @asibwenekalulunga7936 4 ปีที่แล้ว +6

    🔥🔥🔥

  • @angelineperfectus2529
    @angelineperfectus2529 4 ปีที่แล้ว +6

    Nice!

  • @bahatipaschal9347
    @bahatipaschal9347 4 ปีที่แล้ว +9

    very inspiring song! big up The survivors choir!