Baba amri tunakupenda sana tena sana kwasabau wewe ni mtenda haki na mungu atakubariki na akupe afya njema ingekua wapo watu kama wewe basi pasingekua na dhulma wewe unastahiki kila kheri mimi niko nje ya Zanzibar lakini nnaniya yakuja kukuona wewe tu siku hizi za karibu na mungu anakupenda sana
Uongo uliokalishwa kwenye akili zetu taratbu unaanza kuondoka... mungu akubariki mzee ameir na uendelee kutupa somo siku bada ya siku.... usiiache watu wnao nufaika na matatzo tulionayo wakiendelea kutudanganya.. wakat ww upo
Hivi ukweli wa historia zako za nchi ndio chuki na sababu ya kifo chako? Hivi history tunayopewa skuli ndio ukweli au tunapandikizwa chuki , hivi warabu Ni Nani hapa Zanzibar Ni adui zetu au walikua wezetu hasa? Mungu akuweke pahala pema peponi Amin.
Ushashibishwa chuki hao waarabu hayo waliyoyafanya ya maana pia mbona munajifanya hamuyasikii? Barghash ndie alievuta maji kutoka mwanyanya kuja stone stown na alikataa wananchi wasitozwe kodi hivi leo watu tunatozwa kodi ya maji na hao waswahili au waafrika wenzetu. Taka usitake waarabu wamefanya mema mengi tu znz wewe bakia na kasumba za uarabu na utwana na uhadimu.
Mtume s a w angelikua hai nadhani ungemkataa wewe kwa jnsi ulivyonywishwa chuki zidi ya waarabu kuruani yako kiarabu dini yako kiarabu lugh'a siku yamalipo kiarabu utakufa tu nachuki zako
Rehema juma Tatizo ubongo wako ukifunguliwa tuuone Basi tutakuta umejiandika CCM Sasa hili ndio gonjwa kubwa linalotusumbua sisi hapo tena unakuwa huwelewi huoni hata uambiwe ukweli Basi hukubali wala huamini
Historia pia inasema ZNZ ilikua ni soko kubwa la watumwa na ushahidi upo,sasa je kumuuza mtu hio ilikua kheri au shari? Au pia si kweli kwamba wazanzibari wavamizi kutoka Asia na baadhi wa asili ya Afrika walikuwa wanafanya biashara hio haramu? Naomba jibu hapo.
@@fatmamansour2369 “sitaki mwenzake basi” sasa elewaneni kisha mpate jibu moja tu juu ya muungano kama mnautaka au hamuutaki. Msituhumu Tanganyika kwa kauli chafu,maana hivi mnavyofanya sasa madhara yake ni makubwa sana kuliko haya mauaji ya watu wachache yanayotokea kila uchaguzi.
@@fatmamansour2369 nilijua halitopatikana jibu maana ukweli mumeugeuza kuwa uongo, dunia nzima inajua biashara ya kuuzwa waafrika ilishamiri zaidi ya miaka 400,pia masoko makuu ya watumwa inajulikana yalikuwa wapi.
@@christophermahawi4920 hio historian ulosoma wwe ya kusema watu Wa hata darasa I na sie tumesoma kmnsoko binadamu au si binadamu sie tuna sikiliza mengine sio hayo unayotulazimisha wwe
SubhannalLah alLahu Akbar!!! 😢Inna lilLah Wainna ilahi rajiun Mzee wetu hana unafik,
Huyu mzee Ameir bin Ameir bin Soud Mungu amlaze mahala pema Peponi Aamiin Yaarab 🤲 kiukweli Mzee wetu huyu ilikua tumtuze kiukweli!
Mashallah historia nzuri sana shukran mzee Ameir unatujuza mengi kutoka kwako
Baba amri tunakupenda sana tena sana kwasabau wewe ni mtenda haki na mungu atakubariki na akupe afya njema ingekua wapo watu kama wewe basi pasingekua na dhulma wewe unastahiki kila kheri mimi niko nje ya Zanzibar lakini nnaniya yakuja kukuona wewe tu siku hizi za karibu na mungu anakupenda sana
Inna lilah wainna ilaih rajighun 'inshalla Allah amlaze mahali pema peponi 'nawale woote walomdhulumu Allah awahukumu' tulikupenda saana lkn mungu alikupenda zaid'Allah akulaze mahali pema pepono🤲🤲😭
M,mungu akulaze pahala pema peponi mzee wetu,, mzee Ameir,, dhulma za utawala mbovu hazimbakishi kila mtu mwema nchi hii
Amin yarab
Kweli
Allah akusamehe makosa yako akupe kauli thabit ,akujaalie pepo akuepushe na moto yaarab.na sie atupe mwisho mwema yaarab.
Amiiin
👊✌👍.
Uongo uliokalishwa kwenye akili zetu taratbu unaanza kuondoka... mungu akubariki mzee ameir na uendelee kutupa somo siku bada ya siku.... usiiache watu wnao nufaika
na matatzo tulionayo wakiendelea kutudanganya.. wakat ww upo
Idhaa nyanganya Al manyungunya thuma inyanganya😂
Inalillah waina ilayh rajiun maskin ukwel wako umekutoa roho allah ndo.mlipaji yarrab pepo iwe makazi yk inshallah
Ameen
Asalam alaikum, Shukran
Usitutoe machozi babu
Allahumma gh'ufirllahu warhamhu
Allah ukuweke Mahali pema Amin
Mungu akurehemu
Sasa tunauliwa Kwa mapembe
Zanzibar wazungu waliita paradise Island
ukweli unauma
Hivi ukweli wa historia zako za nchi ndio chuki na sababu ya kifo chako? Hivi history tunayopewa skuli ndio ukweli au tunapandikizwa chuki , hivi warabu Ni Nani hapa Zanzibar Ni adui zetu au walikua wezetu hasa? Mungu akuweke pahala pema peponi Amin.
Ndio mana wakamuua hawataki watu wasikie historia kama hizi isipokuwa uongo mwingi.
.
.
Huyumzeekazaiwa mwakaganikwani
Masha Allah tabaraka Rahman asa yaarab irudi kama hapo mwanzo
Hizi akheri zama naapo walipokuepo wao warab maisha yalikua magumu ivo was Asia watoke wake watawale kwetu afrika omani yote Mali kutoka znz
Kuitwa muhadimu in utumwa waarab washenzi ata ikawaje izo chizao zote hazikaliki wanaenda ulaya wabaya warab kataa ukubali
Ushashibishwa chuki hao waarabu hayo waliyoyafanya ya maana pia mbona munajifanya hamuyasikii? Barghash ndie alievuta maji kutoka mwanyanya kuja stone stown na alikataa wananchi wasitozwe kodi hivi leo watu tunatozwa kodi ya maji na hao waswahili au waafrika wenzetu. Taka usitake waarabu wamefanya mema mengi tu znz wewe bakia na kasumba za uarabu na utwana na uhadimu.
Mtume s a w angelikua hai nadhani ungemkataa wewe kwa jnsi ulivyonywishwa chuki zidi ya waarabu kuruani yako kiarabu dini yako kiarabu lugh'a siku yamalipo kiarabu utakufa tu nachuki zako
Rehema juma Tatizo ubongo wako ukifunguliwa tuuone Basi tutakuta umejiandika CCM Sasa hili ndio gonjwa kubwa linalotusumbua sisi hapo tena unakuwa huwelewi huoni hata uambiwe ukweli Basi hukubali wala huamini
Hakika usemayo warabu wabaya mpk leo Dubai watutesa hatar waumia dada zetu na kuwadhalilisha watu weusi history hio utoi
Historia pia inasema ZNZ ilikua ni soko kubwa la watumwa na ushahidi upo,sasa je kumuuza mtu hio ilikua kheri au shari? Au pia si kweli kwamba wazanzibari wavamizi kutoka Asia na baadhi wa asili ya Afrika walikuwa wanafanya biashara hio haramu? Naomba jibu hapo.
Hakuna wakukujibu mana wengi wetu humu ndo tunafumbuka masikio
@@fatmamansour2369 “sitaki mwenzake basi” sasa elewaneni kisha mpate jibu moja tu juu ya muungano kama mnautaka au hamuutaki. Msituhumu Tanganyika kwa kauli chafu,maana hivi mnavyofanya sasa madhara yake ni makubwa sana kuliko haya mauaji ya watu wachache yanayotokea kila uchaguzi.
@@fatmamansour2369 nilijua halitopatikana jibu maana ukweli mumeugeuza kuwa uongo, dunia nzima inajua biashara ya kuuzwa waafrika ilishamiri zaidi ya miaka 400,pia masoko makuu ya watumwa inajulikana yalikuwa wapi.
@@christophermahawi4920 we mjinga nni usilete upuuzi wako hapa sie tuna sikiliza anayo zungumza mzee sio upuuzi wako