MZEE AMEIR BIN AMEIR BIN SUDI WA BWEJUU AIMWAGA UWANJANI HISTORIA YA ZANZIBAR!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • MZEE AMEIR BIN AMEIR BIN SUDI WA BWEJUU AIMWAGA UWANJANI HISTORIA YA ZANZIBAR AKIMJIBU MHE. ALI ABIED AMANI KARUME KUTOKANA NA HOTUBA YAKE KWENYE BARAZA LA UWAKILISHI MJINI ZANZIBAR. KATIKA HOTUBA YAKE HIO MHE. ALI KARUME ALISEMA KUWA WAPO WATU WANATAKA KUMREJESHA SULTANI ZANZIBAR.
    (VIDEO KWA HISANI YA MACKAY98)
    • ALI KARUME: WANATAKA K...

ความคิดเห็น • 122

  • @ds7891
    @ds7891 3 ปีที่แล้ว +15

    SMZ kina Sheini na Husein mmepata nini kumtesa huyo Mzee Amer wa miaka75 mpaka mkampotezea maisha yake. Mungu hakopeshwi atawalipa mtayapata machungu na nyinyi hapa duniani.

  • @rayaalhabsi1725
    @rayaalhabsi1725 25 วันที่ผ่านมา

    Mwenye Enzi Mungu akurehemu atujaalie katika as'habul yamiin. Allahumma Ameen Yaarabil Aalamiin

  • @AA-yr7sr
    @AA-yr7sr 3 ปีที่แล้ว +6

    Allah akupe nuru ktk kaburi lako kwa haika dunia nimpeto tu mzee wetu ukweli wako ndio sababu ya kifo chako Innalilah Waina ilahi Rajiun SubhanaAllah SubhanaAllah

  • @ahmedalbalooshi8518
    @ahmedalbalooshi8518 3 ปีที่แล้ว +5

    Allah atawalipa hao waliofanya na kutekeleza uovo wa kumpiga mpaka kupoteza maisha yake.

  • @ahmedsaidi850
    @ahmedsaidi850 4 ปีที่แล้ว +3

    Dah me nabaki naona tu maisha haya yani tunaowaona viongozi ndo wafki wakwanza hongera mzee nimejifunza ALLAH akubarik

  • @saudmohammed3390
    @saudmohammed3390 3 ปีที่แล้ว +3

    Mungu amlaze pema peponi Amin Yaarabi.
    Tumempoteza Mzee wetu mwebye hekma na ushupavu hakujali wala hakuogopa kusema ukweli.
    Huyu ndiye Mzanzibari halisi Mungu akupe pepo upumzike

  • @111dudi
    @111dudi 3 ปีที่แล้ว +3

    Mungu amrehem huyu mzee, alisema kweli kabisa. znz ilivurugwa na wasiokuwa wazanzibari.

  • @Visit_zanzibar
    @Visit_zanzibar 3 ปีที่แล้ว +4

    Mungu akulaze mahali pema mzee amer bin amer

  • @maulidmtowi3937
    @maulidmtowi3937 4 ปีที่แล้ว +10

    Historia safi sana na yupo makini haswa kwel kwel👍

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 4 ปีที่แล้ว +10

    Mungu akueke mze kuelewesha wanao potosha uma kua warabu ndio wameleta utumwa n kutawala zanzibar kumbe sivo

  • @misscoast3174
    @misscoast3174 3 ปีที่แล้ว +14

    Who's here after his death??? Innalillah wainna ilayhi rajiun... Allah amsamehe na amuingize jannatul firdaus... aamin yaa rabby 🤲

  • @amourhasaan7242
    @amourhasaan7242 3 ปีที่แล้ว +3

    Hilii jamaa kubwa bichwaa tuu lkn hanaa kimojaa akijuwalo mzee Amer bin Amer Allah akulaze mahalipema

  • @zanzibaryakale9002
    @zanzibaryakale9002 3 ปีที่แล้ว +3

    Allah amrehemu ajaalie kaburi yake iwe miongoni mwa viwanja vya pepo

  • @klischcafe394
    @klischcafe394 3 ปีที่แล้ว +3

    mmesha muuwa mzee wetu amir sasa uweni historia zake.

  • @arafahassan5257
    @arafahassan5257 3 ปีที่แล้ว +3

    Dah! Hainishi ham kuisikiliza dah! Kasema kweli maskin wakaamua kumdhulum nafsi ama kweli sema kweli japokua chungu na ndoo maana hawataki kumpa nchi seif

  • @khalidibrahim4579
    @khalidibrahim4579 3 หลายเดือนก่อน

    Wamemuwa
    Hesabu kesho kiyama
    Dunia tunapita njia

  • @hamadrajab8042
    @hamadrajab8042 ปีที่แล้ว

    Asante bwana mkubwa, hao hawakujui ila mie nishakuJua mbwana B H. BORA UJIFICHE IVO IVO WASHENZI HAWA HAWAUPENDI UKWELI WATAKUMALUZA

  • @aminaomar9675
    @aminaomar9675 3 ปีที่แล้ว +5

    Hatashemegi zake niwaarabu hanafadhila mlevi huyu

  • @saidhamad7504
    @saidhamad7504 4 ปีที่แล้ว +4

    If ccm come to power under the shadow of lies we will remove it under the shadow of truth.. Allah bless our country and make it great again

    • @AA-pd4pz
      @AA-pd4pz 3 ปีที่แล้ว

      Dont mix siasa na dini ..unguja itakuwa ya unguja

  • @ABUUALLY-j7k
    @ABUUALLY-j7k 11 หลายเดือนก่อน

    Maaa shaa Allah huyuu mzee kaongea ukweli kabisa japo kuwa watu walopandikizwa chuki wanaone ni ya uwongo ! Na kama ni ya uwongo kwanni serekali wakamtesaaa ! Kwa sababu hakutukana serekali bali kaongea kwa heshimaa na kaeleza historia ya kweli !

  • @suleimanbakar3429
    @suleimanbakar3429 3 ปีที่แล้ว

    Allah atalingarisha KABURI lako mzee wetu walie kudhulumu roho yako madhalim wa ccm Allah awalaani duniani na akhera

  • @kamalbashir5127
    @kamalbashir5127 4 ปีที่แล้ว +3

    Hongera babu ameir 'waelimishe

  • @arafahassan5257
    @arafahassan5257 3 ปีที่แล้ว +3

    Subhanallah innalillah wainnailayh rrajiuun

  • @MohamedAli-en9xh
    @MohamedAli-en9xh 3 ปีที่แล้ว +4

    Ccm mmetuondolea hazina kubwa sana

  • @111dudi
    @111dudi 2 ปีที่แล้ว

    Mungu amrehem na amuingize peponi. Kayapata aliyoyapata kwa kusema kwake ukweli.

  • @mohammednassor3081
    @mohammednassor3081 2 ปีที่แล้ว

    Allah atakulipia mzee kwa ubaya uliofanyiwa

  • @ilyaaswambi1622
    @ilyaaswambi1622 2 ปีที่แล้ว

    Sawasawa mzee Ameir, chuki kwa waarabu haina maana, sote ndugu, wangapi wamekufa baada ya uhuru, nani wauaji, si sisi wenyewe, mengi mabaya yamepita bali na mema yapo, Mungu atunusuru

  • @ahmedissa7882
    @ahmedissa7882 4 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana mzee wangu

  • @selwanmohmmed8792
    @selwanmohmmed8792 3 ปีที่แล้ว

    Wamezoea kuua wawatu bila hatia Allah anakungojeni akulipeni kwa dhulma zenu mnazozitenda

  • @jumaakida5951
    @jumaakida5951 2 ปีที่แล้ว

    Jamani jamani Allah! Walipe wazanzibar kila la kheri. Mmepoteza wanazuoni wengi mno.

  • @MuzneOthman-l7i
    @MuzneOthman-l7i 3 วันที่ผ่านมา

    HUDUMA NDIO NINI..SI UPUUZI HUO NI KAMCHUKUWE MTU NIMLETE.KWANGU HALAFU NIMHUDIE . HUJAELEZA MAANA YA UHADIMU SEMA KWELI USIFICHE. NI TUSI

  • @abdullahmechanical60
    @abdullahmechanical60 3 ปีที่แล้ว

    Daahh!! Inasikitisha sana. Allah amrehemu.

  • @MohamedAli-en9xh
    @MohamedAli-en9xh 3 ปีที่แล้ว +4

    Ndio mana waka muuwa kwa kusema ukweli na ndio tatzo la nchi hii uksema ukweli utapotezwa kwa namna yeyote

    • @mukrimkhamis678
      @mukrimkhamis678 3 ปีที่แล้ว +1

      Sio nchi hii tu Africa nzima Sema ukweli uuliwe

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 3 ปีที่แล้ว +2

    ALI KARUME ALIPKIMBIZWA NA BABA YAKE KWA SABABU ALIMUUA MTU KWA KUMTUPA GOROFANI, YAANI ALI KARUME NI MUUAJI NA MSHENZI SANA!

    • @fatmamansour2369
      @fatmamansour2369 3 ปีที่แล้ว

      Ndo mana hapewi kuongeza nchi huyo muuzaji hata maisara alimuua mme kisa kakataa tu

  • @TeamKRX
    @TeamKRX 3 ปีที่แล้ว +3

    Hawa uko wa karume na ukoo kumbe si wanzanzibar subhanallah mi nilisikia na mama yangu kwamba ni wakuriya 😁😁😂😂😂sasa wanakata kwao

    • @fahadfaraj1822
      @fahadfaraj1822 3 ปีที่แล้ว +1

      Zanzibar kiasili wengi wahamiji so wala si jambo la kumcheka mtu hata we ukiangalia utakuta unaasili yako nje ya zanzibar

  • @ahmedalbalooshi8518
    @ahmedalbalooshi8518 ปีที่แล้ว

    Ukweli unauma kwa wengine .
    Hassan,kusema maalim Seif ni chotara ama hapo unaonesha dhahir kuwa hujui unachokisema

  • @theroots2743
    @theroots2743 3 ปีที่แล้ว +2

    Yarabi tunakuomba ni wewe tu pasipo na mwengine wa kumuomba ilaa llah hawa walio mdhulumu huyu mzee uwape malipo yao yaanzie hapa hapa duniani na huko tunapokwenda mbele ya haki

  • @alimuhamed1830
    @alimuhamed1830 3 ปีที่แล้ว +3

    Hakuna propaganda hapo makavu live inshllah allah akupe kauli thabit inshllah

  • @yanamwisho871
    @yanamwisho871 3 ปีที่แล้ว +4

    Huyu Mzee kwa sasa ametekwa na vikosi vya smz

  • @allychale2885
    @allychale2885 ปีที่แล้ว

    Uyo Ali Karume mjinga babayake kauliwa na nyerere

  • @Visit_zanzibar
    @Visit_zanzibar 3 ปีที่แล้ว

    Sheikh.Abdallah saleh Al farsy na weng tumewapoteza visiwan mwetu :yalikua ni mapinduzi ya kuondoa watu wema na wasomi!

  • @ABUUALLY-j7k
    @ABUUALLY-j7k 11 หลายเดือนก่อน

    Allah akulaze mahali pema peponi hakika wewe ni shujaa wa kihistoriaa ! Hata kama watu wamecomment ujinga ila ulichoongea ni cha kweli

  • @TeamKRX
    @TeamKRX 3 ปีที่แล้ว +2

    Inaliza kusikia majina duuuu 😭😭😭😭😭

  • @allykoboko1952
    @allykoboko1952 6 วันที่ผ่านมา

    Unapewa kinaga ubaga leo

  • @TeamKRX
    @TeamKRX 3 ปีที่แล้ว +2

    Duuuu hiii si ya ki toto Zanzibar kumbe wako kutudanganya warabu ukitizama warabu tele wamewaowa 🤣🤣🤣

    • @saadaissa2524
      @saadaissa2524 3 ปีที่แล้ว

      Wote hao wameoa waarabu hana kheri

  • @alihijiiddi8977
    @alihijiiddi8977 3 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 MAPESA YANAMTIYA WAZIMU NA NA ULEVI DARASA ZURI LINAMTOSHA

  • @omarynassor6313
    @omarynassor6313 3 ปีที่แล้ว

    Hatari sana

  • @froma3732
    @froma3732 2 ปีที่แล้ว

    Hao ni vizazi vinatoka Malawi lkn hawataki kukubali

  • @meekman1805
    @meekman1805 2 ปีที่แล้ว

    Kumbe ee!

  • @theroots2743
    @theroots2743 3 ปีที่แล้ว

    Ali karume ndie muhusika wa kifo cha mzee Ameir bin sudi mikono yake inanuka damu na kuuwa kwake sio mara ya kwanza

  • @OmarMohamed-zf8dp
    @OmarMohamed-zf8dp 2 ปีที่แล้ว

    mm kama huyu mzee angeli kuwa hay.ningeli muuuliza huyu saa joji morini alikuwa ni nanani hapa zanzibar napia uhuru wa mwaka 63 ambao uliitwa uhuru bandia tuliupataje na uhuru wa 64 ulipatikana vp

  • @mohdkhatib223
    @mohdkhatib223 2 ปีที่แล้ว

    Huyu alikufa baada ya kupigwa na kuteswa na watu wasiojulikana Zanzibar .
    Hawa wasiojulikana na wanaowatuma wanajua kama ipo siku ya hisabu,?

  • @samsonhaule5422
    @samsonhaule5422 3 ปีที่แล้ว

    Hakuna kitu kinacho kela kama kumuona MSwahili Anajipendekeza kwa Wazungu Au Waraabu Au Wachina Au Wahindi. Pumbavu sana, lazima Waswahili tujitambue.

    • @pascalgiyam9476
      @pascalgiyam9476 3 ปีที่แล้ว

      Mpumbavu wewe tena kafiri huwezi kuelewa mambo ya historia

    • @khamissaleh921
      @khamissaleh921 2 ปีที่แล้ว

      Wewe mjinga sana Unajuwa maana ya mswahili labda hujui , hakuna mtu anaezungumza hii kugha asie tumia lighabya kiswahili halafu akawakataa waarabu au wazungu , kumbuka ustaarabu wa afrika hasa ya mashariki ni kutokana kuja kwa wageni wa nje na kuustarabisha hata wenyewe wanaijiita waswahili lugha wameipokea huko kwa wageni basi kama wanawakataa , watumie lugha zao za kienyeji tu , ila ukweli ni kuw waarabu ndio wastarabu hata ULAYA WALITEKA SPAIN MAIKA 800 wakawafundisha ustaarabu wazungu !

  • @christophermahawi4920
    @christophermahawi4920 3 ปีที่แล้ว

    Umeme wa majenereta ya mkaa wa mawe yaliletwa Zanzibar 1908 hadi 1954 yakaletwa ya mafuta ambayo mwisho wake 1980 baada ya kupitisha waya wa hydropower kutoka Tanganyika. Narekebisha tu ili msipotoshwe.

    • @zuheraaziz9343
      @zuheraaziz9343 3 ปีที่แล้ว +1

      Babu ndio aliesema ukweli ndio mana wakamuuwa

  • @Saidykj
    @Saidykj 4 ปีที่แล้ว +2

    Mpe ukweli huyo mbaguzi asie na fadhila (Baniani mbaya kiauti chake dawa) muelimishe mzee huyo, yeye mwenyewe mkimbizi idiot.

  • @mohammedlaabry5799
    @mohammedlaabry5799 3 ปีที่แล้ว

    Kwani Ali Abeid Amani karume yeye anajikomba kwa mabwana zao Tanganyika Basi

  • @issasaidmbarouk8275
    @issasaidmbarouk8275 3 ปีที่แล้ว

    Innaalillahi wainaailayhi rajiun

  • @salamakhamis8092
    @salamakhamis8092 3 ปีที่แล้ว +2

    Hakuna kitu kinachonikera kama kuwa ninahamu yakusikiliza kitu nikasikia miziki kwachini

  • @himnajuma8463
    @himnajuma8463 3 ปีที่แล้ว +2

    Wote hawajui uyo ulowataja mtoto xn tu uyo Ila afya yake inmtia kiburi ole wake pumzi zikimbana kwa kifo .

  • @msakuzikondo536
    @msakuzikondo536 2 ปีที่แล้ว

    Mzee kalewa pombe

  • @alihijiiddi8977
    @alihijiiddi8977 3 ปีที่แล้ว

    KAOTA SHEMERE TAYARI

  • @emmydzoo8729
    @emmydzoo8729 3 ปีที่แล้ว

    Weweee mzeee ,umepagawa au

    • @suafaahsuafaah345
      @suafaahsuafaah345 3 ปีที่แล้ว

      Achana nasis wew angalia yakwako sio ya znz

    • @aminaomar9675
      @aminaomar9675 3 ปีที่แล้ว

      Ww kafiri nenda kwenu bara kabla hatuja kukufanya vibaya

    • @samsonhaule5422
      @samsonhaule5422 3 ปีที่แล้ว

      @@aminaomar9675 Wee Amina Una mikwara?? Unge kuwa mke wangu tungepigana kila siku.

  • @nassraal-riyyami8387
    @nassraal-riyyami8387 3 ปีที่แล้ว

    😭😭😭

  • @abiboseleman1649
    @abiboseleman1649 2 ปีที่แล้ว

    Kwani nyie waarabu mnawaonaje lkn

  • @MarcoPolo-ol2lz
    @MarcoPolo-ol2lz 3 ปีที่แล้ว

    Mzee anavyowapamba waarabu utafikiri watu wazuri kweli. Hawa ndio walikuwa viongozi wa utumwa zanzibar na hadi leo mataifa yao ndio ya mwisho kukomesha biashara ya utumwa. Saudi arabia hadi miaka ya 1950 kulikuwa na watumwa. Libya juzi tu baada ya mapinduzi tayari walianza kufanya biashara ya utumwa. Sielewi haya mapenzi juu ya waarabu ambayo mzee huyu anayo yanatoka wapi?

    • @mjakamjaka5759
      @mjakamjaka5759 3 ปีที่แล้ว

      Wacha kupoteza watu wewe kwa maneno yako kusema kwamba waarab ndio walioleta utumwa
      Unapotea sanaa

    • @MarcoPolo-ol2lz
      @MarcoPolo-ol2lz 3 ปีที่แล้ว

      @@mjakamjaka5759 niambie kabla hawajaja nani alikuwa anafanya biashara ya utumwa? Lakini tufanye hawajaleta je ni uongo kwamba waarabu ndio walikuwa na bado wanaendelea kuwa vinara wa watumwa duniani? Kuna ugonjwa unaitwa stockholme syndrome ndio unaowasumbua. Angalia youtube slaves in saudi arabia utaona, angalia libya utaona na maeneo mengine. Haya mapenzi yenu juu ya waarabu yanatokana na udini lakini katika akili ya kawaida sioni unaanzia wapi kuwatetea waarabu kwamba ni watu wema

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 2 ปีที่แล้ว

      Hata kama warabu wabaya lakini nyinyi watanganyika ni wabaya zaidi, hasa nyinyi watanganyika makafiri

    • @mohdkhatib223
      @mohdkhatib223 2 ปีที่แล้ว

      @@MarcoPolo-ol2lz ubaya wa warabu si uzuri wa mabwana zenu wazungu walikuleteeni ukafiri wa kikristo.
      Soma historia mabwana zenu wazungu walikuwa wakiwachukua katika nchi za ulaya na amerika kulimishwa mashamba na wasioweza waliuliwa.
      Pia rejea vita vya majimaji huko kwenu Tanganyika, watanganyika wangapi waliuliwa?
      Warabu waliokuja Zanzibar waliitwa na wazanzibar wenyewe ili kuwaondoa washenzi wa Kireno.

    • @AllyMassud
      @AllyMassud ปีที่แล้ว

      wy kichogo wazania wazazibar hwakuwa watwa

  • @aviwaomar439
    @aviwaomar439 3 ปีที่แล้ว

    Umlaze maaalim mzee huyu kwa kweliii 🤦🤦🤦😭😭😭

  • @machintangachibwena5922
    @machintangachibwena5922 3 ปีที่แล้ว

    Ally karume pombe nyingi hana lolote

  • @ibrahimsheha215
    @ibrahimsheha215 4 ปีที่แล้ว

    Ali mkimbizi hajuwi ki2

  • @samsonhaule5422
    @samsonhaule5422 3 ปีที่แล้ว

    Mswahili yeyote Anaye mfuata Mzee Amer basi Nina Mashaka naye, Kama si Mtoto Rizki !!! basi Ni Mswahili Asiye jitambua.

  • @samsonhaule5422
    @samsonhaule5422 3 ปีที่แล้ว

    Huyu Mzee Amer bin Amer, ina onyesha Waarabu walikuwa wakimshughu likia. Maana hata sauti yake Pia mtihani.

  • @saidmaulid523
    @saidmaulid523 3 ปีที่แล้ว

    Babu waelimishee

    • @tifumunguatamlipaaliendewa4927
      @tifumunguatamlipaaliendewa4927 3 ปีที่แล้ว

      Ewe mola wahukumu wabaya wazanzibari hususan Shein na mwnyi na bollzi idi we Ali karume ww huna kitu Zanzibar wenyewe warabu kima ww

    • @realmadrid7823
      @realmadrid7823 3 ปีที่แล้ว

      Sana

    • @Abdulrahman-is2di
      @Abdulrahman-is2di 3 ปีที่แล้ว

      Ukwel utabakia uwe ukweli tu. Na Hasidi hana sababu. Nenda salama babu Allah akuthibitishe.