"LAITI MAALIM SEIF ANGEKUWA HAI..!"(EXclusive) Na Ahmed Omar - Msaidizi wa Maalim Seif Sharif Hamad

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 27

  • @RukiaAmin-zk9to
    @RukiaAmin-zk9to 8 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana kwake

  • @mishiharun5073
    @mishiharun5073 8 หลายเดือนก่อน +1

    Shukraan sana Bwana yussuf Kwa mahojiano ya kuelimisha ni matumaini yetu tutaelimika zaidi na Exclusive mbali mbali Ndani ya Swahili voice.....

  • @lilianmakwati5228
    @lilianmakwati5228 8 หลายเดือนก่อน +2

    Umtoa darsa nzuri sana

  • @MWIGAADAM-r3e
    @MWIGAADAM-r3e 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akusimamieshe tena bwana Omar

  • @mariamSaffari
    @mariamSaffari 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mahojiano mazuri sana. Kongole 👏🏼

  • @salumhassanallymkurdistan7006
    @salumhassanallymkurdistan7006 8 หลายเดือนก่อน +1

    ALLAH ATAKUAFU INN SHAA ALLAH

  • @saadamar6712
    @saadamar6712 8 หลายเดือนก่อน +1

    🌹👏🏼👏🏼👏🏼🌹

  • @salimabbasiali6824
    @salimabbasiali6824 8 หลายเดือนก่อน +1

    Good. Nice interview

  • @JumaDoce
    @JumaDoce 8 หลายเดือนก่อน +1

    Yeye mwenyewe alishasema tokeya maalim yupo alitakakurudi nyuma alibaki kwa sababu ya maalim tu

  • @alijuma8009
    @alijuma8009 8 หลายเดือนก่อน +1

    Jamaa atiliwe mashaka

  • @salyali7807
    @salyali7807 8 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu jamaa hamjui Hassan Mwinyi .. ashukuru Magufuli Allah kamuondosha.. mungeijua his true colour

  • @fatmasaid4721
    @fatmasaid4721 8 หลายเดือนก่อน +1

  • @JumaDoce
    @JumaDoce 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kama unaamini misimamo yako maalim alipo kudai barua yake si ulikuwa umkabidhi tu hunamsimamo wowote nenda kaungane na Hamadi masuudi m

  • @MohdIkra-d7s
    @MohdIkra-d7s 8 หลายเดือนก่อน +2

    Eeee jamaniii eee jamani mtu aliekaaa na maaalim seif anaongea hivi eh jamani emu tumuangalie ndugu Adoo Shaibu kakaaa na maalim kwa muda gani lakini hemu angalia madini aliyo kua nayo kichwani mwakee

  • @MohdIkra-d7s
    @MohdIkra-d7s 8 หลายเดือนก่อน +1

    Na ili lithibitike ilo ukimsikiliza vizuri haitumiii vizuri elimu yake na ana kebehi iyo itikadi ya iyo kinacho aminiwa na ubepari

  • @JumaDoce
    @JumaDoce 8 หลายเดือนก่อน +1

    Kama humjui Hussein mwinyi subir utakapofika uchaguzi utamjuwa vizu nnapata mashaka na wewe

  • @MohdIkra-d7s
    @MohdIkra-d7s 8 หลายเดือนก่อน +1

    Utabaki apo apo na mawazo yako kwamawazo yangu kwamawazo yangu

  • @Kokhaako
    @Kokhaako 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nivyema alivyojitokeza hadharani na kujuilikana yeye ni nani.
    Mimi nirudie kimpa pongezi ndugu Pmar tumekuelewa ukataja mirengo ya wahafidhina au usiitaje maelezo yako yamenyooka nahayakupinda popoye.
    Yameonrsha moja kwa moja kuwa wewe una upande mwengine unatumikia na kamwe si ACT.

  • @MohdIkra-d7s
    @MohdIkra-d7s 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi namuambia ndugu kaka yangu ISMAIL JUSSA LADU, akuchambue wewe ni nani na ni mtu wa namna gani hassa

  • @MohdIkra-d7s
    @MohdIkra-d7s 8 หลายเดือนก่อน +1

    Na huyu kwa namna anavoongea anasema kitu kisha apo apo anajitoa kama hilo la utu uyo anajigonga gonga tusio mzowefu bali ni mzogaa ushaoozaa

  • @JumaCarrick-mq3bq
    @JumaCarrick-mq3bq 8 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu siku alotembelewa na yule kikobe. Nilijua tu. Kwani malim alipongia kweny maridhiano kip kimetngenezwa . Ccm mariadhano wameyafnya nni . Haytaki au ndo kupeana Veo ndo maridhaino

  • @MohdIkra-d7s
    @MohdIkra-d7s 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hapana huyo hajawa creticaly kashafuatwa na kuekwa chini na anaonesha haswa kua kashaekwa chini kupewa donge nene ili atuvuruge taratibu

  • @MohdIkra-d7s
    @MohdIkra-d7s 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hueleweki kabisaaa huelekii wewe wewe sio ACT hapana wewe umeshakua na namna fulani

  • @MohdIkra-d7s
    @MohdIkra-d7s 8 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe umeshaaathika na athari za ki ccm tulia utaekwa pembeni

  • @salyali7807
    @salyali7807 8 หลายเดือนก่อน +1

    Simfahamu huyu jamaa anasema nini... nahisi jazba zaidi kuliko hikma

  • @MohdIkra-d7s
    @MohdIkra-d7s 8 หลายเดือนก่อน +1

    Wewe Omar bwana sikilizs huna cha kuongea wewe ni ts

  • @jordan.3109
    @jordan.3109 8 หลายเดือนก่อน

    IVI MNAHISI ANAJIBU KWELI ANACHO ULIZWA?