UTAWALA WA KIFALME ZANZIBAR

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 185

  • @msellemseif3102
    @msellemseif3102 2 ปีที่แล้ว +3

    Na nyinyi watangazaji munayaita (mapinduzi) matukufu Dohh! INNA LILLAHI WA INNAA ILAYHI RAAJIUUN...

  • @khadijamgambo6874
    @khadijamgambo6874 5 ปีที่แล้ว +10

    Hakuna lenye mwanzo likakosa kua na mwisho.....Naipenda nchi yangu Zanzibar najiskia huru kuishi Zanzibar kuliko sehemu yoyote ile..Mungu Ibariki ZANZIBAR....

    • @albahryonlinetv9319
      @albahryonlinetv9319 5 ปีที่แล้ว +4

      khadija mgambo hata mm kaka naipenda nchi yangu Zanzibari naithamin na Allah atailinda na iko ck itatoka ktk makucha ya tanganyika

    • @anwarally1106
      @anwarally1106 4 ปีที่แล้ว +1

      @@albahryonlinetv9319 aaamin inshallah

    • @masoudmasoud8138
      @masoudmasoud8138 4 ปีที่แล้ว

      Amin

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 ปีที่แล้ว

      @@albahryonlinetv9319 Ila sultan hatumtaki tena Zanzibar

  • @mwatumsaidi5104
    @mwatumsaidi5104 4 ปีที่แล้ว +7

    Zanzibar bado haijapata uhuru wake imetawaliwa na wakoloni watanganyika

  • @saidali7331
    @saidali7331 5 ปีที่แล้ว +14

    Zanzibar riyal , dah, wapi tena ni ndoto, zanzibarian kutumia riyal opportunity never come twice.

  • @afrabiakisope6743
    @afrabiakisope6743 4 ปีที่แล้ว +3

    Assalam alaykum tunafaidika Sana na historia zenu ila tungependa kujua historia ya utumwa mwanzo mpaka mwisho ahsanteni

  • @saidomar6806
    @saidomar6806 4 ปีที่แล้ว +2

    Zanzibar imetoka mbali Mungu wabarik waasisi wa Zanzibar na watu wote wa Zanzibar pia wenu Asmu Sai Amani fresh

  • @simbomart6186
    @simbomart6186 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamaani kumbe Zanzibar ilikuwa ni nchi kubwa kabisa! Natamani hizi pwani za Zanzibar zirudishwe zote kama hawalipi hiyo kodi... Mombasa Dar kote warejeshe

  • @fatmakhalid755
    @fatmakhalid755 5 ปีที่แล้ว +6

    Mtukufu Allah Subhanawataala tu pekee

  • @lenniefei6710
    @lenniefei6710 5 ปีที่แล้ว +10

    Vp Sultan auze ama kukodisha nchi bila kushauri wananchi?!! Karume alidhulumu wazanzibari mwishowe nae yalimpata!!

    • @bennymochiwa4800
      @bennymochiwa4800 4 ปีที่แล้ว +1

      kbs kaka na dhambi hiyo ndio inamtafuna karume na znz mpk leo

    • @omarsaid4702
      @omarsaid4702 2 ปีที่แล้ว

      Kweli aliua waislamu nayeye akauliwa

  • @pastoryconrad7313
    @pastoryconrad7313 5 ปีที่แล้ว +3

    Hao wageni na wavamizi wa kiaraabu na kizungu kutoka mwakao huko uarabuni na uulaya kulipokuwa na njaa ndio waliokuja kuiangamiza afrika iliyokuwa na neeema sana hapa duniani.
    Hawa waarabu na wazungu wangebakia makwao tu huko kwenye mabarafu yao na majangwa yao . maana wametuletea adha kubwa tangu walipokuja kutafuta maisha wakitokea makwao.

    • @khamissaleh921
      @khamissaleh921 4 ปีที่แล้ว

      Pastory Conrad wewe unjuwa nini mjinga wewe kwani zanzibar ilivyotawqliwa na warona na wakaazinwake waislaam 100 % ulifikiria walete ukristo wenu zanzibar ndio maana utawala wa kiarabu ulikuja kurudisha imani ya kislaam hamna chochote zaidi ya WAKRISTO KUTAKA KULETA FITINA ZANZIBAR ETI WATAWALA WA KIARABU WABAYA NA WAZUNGU NDIO WAZURI ILA MMEONA TAFAUTI SOMA SALAHADIIN AYOUBI NA NCHI YA YERUSALEM

    • @mansooralmahruqi885
      @mansooralmahruqi885 4 ปีที่แล้ว

      Hata sasa kuna mali,je umefaidika nini?

    • @inuyashasgirlsmao5084
      @inuyashasgirlsmao5084 4 ปีที่แล้ว +1

      Hao warabu ndo wamekufundisha ustarabu ao ungekua mpaka leo huvai nguo.

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 2 ปีที่แล้ว

    Hawa waloanda haya makala Mazezeta wa Ccm hi karne nyengine ukweli n uwazi mutaenda kutamka mbele y Allah hayo mapinduzi tukufu munayoita kwa Mauwaji y Karume kwa tamaa z kidunia yye n nyerere n Wengereza n Marecan kwa Allah haki itapatikna insha Allah kila mtu atahukumiwa alichokichuma insha Allah

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 ปีที่แล้ว

      Zuzu la ACT katika ubora wako!!!

    • @gangmore9091
      @gangmore9091 ปีที่แล้ว

      @@jumakapilima7295 aaaah weye chini nimeona unatuka watu kweli Ccm mazezeta kwanzia raisi wao adi nyie kondo wao😅😅🤣🤣

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 ปีที่แล้ว

      @@gangmore9091 zuzu la ACT wewe!!

  • @yussufzanzibar2591
    @yussufzanzibar2591 2 ปีที่แล้ว +1

    Historia ya zanzibar inababaishwa tu tusdandanyane bwanaa mnatupakia hii nchi isengekuwa hapa bwana

  • @ahmedelalawi6143
    @ahmedelalawi6143 4 ปีที่แล้ว +4

    Mauwaji ya waislamu . Vp yawe mapinduzi matukufu? Ndio maana zanzbar ina njaa kali kwa laaana hii ya kumwaga damu

  • @hatimmohamed4299
    @hatimmohamed4299 4 ปีที่แล้ว +2

    Mbona hamzungumzii mtawala wa Zanzibar wa sasa tanganyika?
    Muungano uvunjike

  • @feiz3180
    @feiz3180 5 ปีที่แล้ว +5

    Sio kamilifu. Uwongo ni mwingi mno.

  • @bakarisakawa6979
    @bakarisakawa6979 2 ปีที่แล้ว

    Nyerere fisadi mkubwa katiharibiya nchi yetu bora tungebaki kutawaliwa na waarabu au waengereza

  • @alimuhamed1830
    @alimuhamed1830 4 ปีที่แล้ว

    Allah tuokowe na tupe uhuruwetu ZANZIBAR

    • @bennymochiwa4800
      @bennymochiwa4800 4 ปีที่แล้ว +2

      tatzo la madaraka ndio linaitafuna znz km kina karume wasingefanikiwa kufanya Mapinduzi, znz mpk leo ingekuwa nchi inayojitegemea yenye maendeleo makubwa tu

  • @liberatusulaya2269
    @liberatusulaya2269 5 ปีที่แล้ว +3

    Matukio hayajapangwa vzr

  • @sultansaid8790
    @sultansaid8790 4 ปีที่แล้ว +1

    Sultan Co jina kma majina mngne sultan ni Cheo.. 💪

  • @MohammedAli-up6cu
    @MohammedAli-up6cu 5 ปีที่แล้ว +1

    Zimebaki story,,,iwapo Zanzibar kulikuwepo balozi za nje hususan Mataifa makubwa,kama vile Marekani,Uingereza,Ufaransa n.k,,,hayo yote yamepotea balozi pekee aliebakia Zanzibar ni Balozi wa Kitope,mh,Seif Ali Iddi...angalau tunafarijika kwa yeye kubakia ni balozi pekee aliebakia Zanzibar,,,,Mungu atuwekee balozi wetu.

  • @calvinjuwenisefuccmnakuhas1132
    @calvinjuwenisefuccmnakuhas1132 4 ปีที่แล้ว +1

    Hakunaanoifahamu historiayazanzibar

  • @ahmadseif7241
    @ahmadseif7241 4 ปีที่แล้ว +5

    Kama Zanzibar ilipata uhuru mwaka 1963 sasa huo mwaka 1964 walimpinduwa nani? Nchi yenye uhuru inahtaj tena mapinduz?? Karume hakumpindua muengereza, waseme ukweli

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 4 ปีที่แล้ว

      Ahmad Seif kwani Ghana si I lipata Uhuru mwaka 1947 na kwame Nkrumah akawa rais wa kwanza na kapinduliwa je siyo Uhuru 1947

    • @mansooralmahruqi885
      @mansooralmahruqi885 4 ปีที่แล้ว +2

      Wakiua waarabu walioleta maendeleo zanzibar kwa miaka

    • @mangofish9079
      @mangofish9079 4 ปีที่แล้ว

      @@hassanmfaume4522 hapana sio uhuru ni mapinduzi tu ya mabadiliko

  • @kassimmohammed4949
    @kassimmohammed4949 5 ปีที่แล้ว +6

    Damu iliomwagika 1964

    • @mansooralmahruqi885
      @mansooralmahruqi885 4 ปีที่แล้ว

      Kassim Mohammed hio ndio damu inayo isumbua sasa hivi zanzibar

  • @MwinyiBurhan
    @MwinyiBurhan หลายเดือนก่อน

    Yani huku mwisho ndiko mlikonharibu kwa kutia uongo na sio mapinduzi marukufu Bali ni mauwaji ya dhulma

  • @simbomart6186
    @simbomart6186 2 ปีที่แล้ว

    Zanzibar

  • @shimuld6721
    @shimuld6721 5 ปีที่แล้ว +12

    Wanasema mapinduzi matukufu ni nini utukufu wake htujaona huo utukufu wake. Tuna ona ni dhuluma watu wana dhulumiwa Mali zao na hata roho zao Hasbiya Allah waniimal wakiil

  • @zahorrashid5459
    @zahorrashid5459 4 ปีที่แล้ว +3

    Zanzibar ilikua tajiri.sn. lkn watanganyika wamechukua uchumiwetu wametuletea siasa mbovo ili watutawale. vzr .

  • @mussadaud3011
    @mussadaud3011 5 ปีที่แล้ว +6

    Nampaka sasa tumetawaliwa na watanganyika mbona hamjamaliza Hadithi malizeni msitufiche vizazi

    • @amevuai8724
      @amevuai8724 5 ปีที่แล้ว +2

      😀😀😀 wenyewe wanaulinda utawala wao kama pesa, kwaio ukiutaja tu unastukia upo jela tena utaitwa gaidi

  • @saidsalim9526
    @saidsalim9526 2 ปีที่แล้ว

    Zile temple hazipaswi kuitwa miskiti

  • @fatmahamad2156
    @fatmahamad2156 5 ปีที่แล้ว +12

    Halafu Leo watanganyika wataichukuwa nchi yetu,kwa kujisemea Zanzibar sio nchi ,hapo mwanzo ilikuwa nini?ilikuwa na kila kitu chake mpaka kujiunga na mataifa ya ujerumani na mengineyo
    neo ,kuungana tu ,ndo wanstuibia ivi ivi sasa ,sasa uuu ni udugu gani,?wakutaka kuwatawala. wenzio,hawana hata aibu na wala hawana huruma,tushatawaliwa tushapotawaliwa lkn bado na wao wataka watutawale ,aaaaah hatutokubaliana na hili kamwe,kama hawataki muundo wa serikali tatu,ni kuvunja tu muungano ,maana izo serikali mbili wanazoziongelea kwa mdomo sizo,nia yao iwe moja,tuu na kwa hili no,watanganyika munatumia neno Tanzania kuwa ni kivuli cha koloni LA Tanganyika, hili hatutokubaliana nalo ,Zanzibar iwe Zanzibar na Tanganyika iwe Tanganyika, kimataifa ijuulikane Tanzania, kila mmoja ajitegemeee kiupande wake na mamlaka yake,kamil,ya nchi yake na muungano yabaki mambo ambao tumeungana tuu ,na ayo mambo tuliyoungano pawe na usawa uyu 5na uyu,5sio kumdhulumu mwenzio hapa,

    • @mohameda.i.baranyikwa6551
      @mohameda.i.baranyikwa6551 5 ปีที่แล้ว +2

      Dada yangu nakuelewa walakini suala la Zanzibar au nchi ile yoyote kujitenga limepitwa na wakati Kwa hivi sasa new generetion twatakiwa kupigania United States of Afrika sio mtengano. Mimi nimeishi Canada zaidi ya miaka 20. WaAfrica msipo harakisha kuunda United States of Africa, jeshi, polisina na uchumi imara mtatawaliwa tena na mabeberu wala hamtokuwa na mataifa tena, bali watumwa wa Fikira. Tumwombe Muumba umoja wa Africa na atulinde kutawaliwa na wakoloni tena.

    • @abuutasniym2675
      @abuutasniym2675 4 ปีที่แล้ว +1

      @@mohameda.i.baranyikwa6551
      Africa bado imetawaliwa hadi leo hii wala hawawezi kua kitu kimoja kwasababu wote walio ktk madaraka nivibaraka, wengine bwana wao Mmatekani, wengine Muingereza, mwengine Mfaransa, mwengine Mportugal, wengine Wachina n.k.
      Gaddafi alitaka sana lakini kilichomkuta kila mmoja anakijua hakuna nchi ata moja Afrika iliyokwenda kumsaidia kapigwa ndani ya nchi yake Mfaransa na Mmarekani wakammaliza mbona hio AU ama African Union (Umoja wa Afrika) hatukuuona umoja wao kumsaidia?
      Hawakwenda kwasababu mabwana wao hawakutoa amri yakufanya hivyo, lakini ktk visiwa vya Comoros walienda kuua Afrika yakati wanaenda kwasababu bosi wao kawapa ruhusa.
      Lakini kumsaidia Gaddafi ilikua nitishio kwamabosi kwasababu yeye alitaka Afrika ijitegemee nahilo mabwana hawalitaki ndio maana wakabakia kimnya

    • @gamerabossb1777
      @gamerabossb1777 2 ปีที่แล้ว

      Nchi wani iba!

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 ปีที่แล้ว

      @@mohameda.i.baranyikwa6551 Watu wa Biafra wakiongozwa na Chukumweko Odumwego Ojukwu walipigana kujitenga na Federal Republican of Nigeria ya Rais Yakub Gowon.
      Julius Kambarage Nyerere ni Rais wa kwanza kuwaunga mkono Wabiafra na alifuatiwa na Rais Kenneth Kaunda wa Zambia, Rais Albert Bongo wa Gabon na Rais Felix Houphouet Boigny wa Ivory Coast. Rais Albert Bongo alisilim na kuwa Al-Hajj Omar Bongo baada ya Hajj.
      Watu wa Biafra ni Makatoliki na Nigeria ina Waislam wengi kuliko Egypt. Lakini Marais wote waliounga mkono Biafra kujitenga walikuwa Makatoliki.

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 4 ปีที่แล้ว +2

    Sisi wazanzibarians ndio tunajua no ipi historia ya Zanzibar

  • @mbaroukhmza2892
    @mbaroukhmza2892 4 ปีที่แล้ว +2

    Zanzibar hii ndio nzur mara 1000 kuliko iyo ya sultan anatokaje m2 kwao oman anakuja kutawala wazawa kisha watu wanamcfu,

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 3 ปีที่แล้ว

      Uko sahihi!

    • @khatibal-zinjibari6956
      @khatibal-zinjibari6956 ปีที่แล้ว +1

      @Mbarouk Hmza. Bora kutawaliwa na Waislam kuliko Makafiri wa Uingereza au Wanafiki wanaowekwa na Makafiri.
      Ukhusiano wa Zanzibar na Omani ni wa Kidini sio rangi, nchi au ukabila. Ulianza kabla ya Makatoliki kuja Zanzibar kuanza Catholic Crusade (1498-1700) kwa amri ya Chama Cha Makatoliki (CCM), kama walivyofanya Oman sambamba.
      Makatoliki waliposhindwa, Waislam wa Wazanzibari walishangilia na Masultani wa Zanzibar walikwenda Omani kuomba msaada wa kuwaondowa Makafiri.
      1) Kwa nini Watanganyika hawakwenda Zanzibar kuwasadia "ndugu" au jirani?
      2) Kwa nini Masultani wa Zanzibar walikwenda kuomba msaada Oman?
      3) Kwa nini ombi lao lilikubaliwa?
      Waislam wa Oman waliwaondosha Makafiri na kwenda kutawala Nyasaland (1700-1975) alikozaliwa Abeid Karume na sasa ni nchi ya Kikatoliki.
      Pengine kama si Waislam wa Oman leo Zanzibar ingekuwa nchi ya Kikafiri kama Nyasaland (Malawi) kama alivyotaka Mkatoliki Julius Nyerere.
      Na ndio maana Mkatoliki Julius Nyerere aliwalazimisha Waislam kuamini ya kuwa Zanzibar haina Dini (Uislam) kwa mujibu wa Katiba yenye itikadi ya Kiblia.

    • @mawaidha386
      @mawaidha386 ปีที่แล้ว

      @@khatibal-zinjibari6956 uhakika kaka

  • @muhidinali8180
    @muhidinali8180 4 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna shangani kijiji chawavuvi historia yaupotoshaji

  • @shehaabbas8294
    @shehaabbas8294 5 ปีที่แล้ว +2

    Tunatamani sana tena tunataka utawala wa kifalme urudi zanzibar

    • @albahryonlinetv9319
      @albahryonlinetv9319 5 ปีที่แล้ว

      Sheha Abbas kwel kabisa na insha Allah maalim seif akiwa rais tutarudisha ufalme zanzibar

    • @jumakapilima5674
      @jumakapilima5674 3 ปีที่แล้ว

      Maaaaaawe!

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 4 ปีที่แล้ว +1

    Muongo hujuwi historia ya Zanzibar .

  • @masoudrashid8381
    @masoudrashid8381 5 ปีที่แล้ว +17

    Imalizieni vzuri hio story kwann nyerere akamuua babu yetu mzee karume rais wa kwanza wa Zanzibar na kulazimisha muungano wa kibaguzi tuachieni wenyewe wa Zanzibar halafu muone

    • @nduryamwadzaya3972
      @nduryamwadzaya3972 4 ปีที่แล้ว +1

      Wewe si mwenyewe. Wewe mlowezi tokea mashariki ya kati. Zanzibar Ni ya Mwafrika mweusi. Ikiwa wewe Ni mweusi sawa. Ka si hivyo abiri chombo enda Maskati

  • @shehaabbas8294
    @shehaabbas8294 5 ปีที่แล้ว +4

    Tunataka nchiyetu irudishiwe utawala wetu wa kifalme

  • @iliasaliogopen6505
    @iliasaliogopen6505 5 ปีที่แล้ว +1

    Hivi kuna watu hua hawatafakari eeee?

  • @mansamussa2658
    @mansamussa2658 5 ปีที่แล้ว +1

    Tutafutieni Historia ya Shekhe Nassor bachu

    • @albahryonlinetv9319
      @albahryonlinetv9319 5 ปีที่แล้ว

      Mansa Mussa chukuwa no zang unitafute mana nmeshaitaja

    • @mansamussa2658
      @mansamussa2658 5 ปีที่แล้ว

      Nipe kweny whatsapp

    • @albahryonlinetv9319
      @albahryonlinetv9319 5 ปีที่แล้ว

      Mansa Mussa ok kaka pia ilikuwa kuna kipnd maalum hasa cha historia ya wanazuoni wa zanzibar mpaka tukamfka yy, ina p nitest nkuone

    • @mansamussa2658
      @mansamussa2658 5 ปีที่แล้ว

      Mim sijaiona ndio natak na mim natik pia

    • @albahryonlinetv9319
      @albahryonlinetv9319 5 ปีที่แล้ว

      Mansa Mussa ,njoo wasap hala nitumie msg

  • @saidabdala4980
    @saidabdala4980 4 ปีที่แล้ว +1

    Kumamazenu MAPINDUZI MATUKUFU. .WAONGO MMOJA

    • @nduryamwadzaya3972
      @nduryamwadzaya3972 4 ปีที่แล้ว

      @Said A salad Baki na makasiriko yako. Nchi ishakwenda na wenyeji. Kwanza katafute jina la kiAfrika ndiyo tuongee. Pengine naongea na mlowezi toka Yemen 😂😂

    • @nassorali5511
      @nassorali5511 3 ปีที่แล้ว

      @@nduryamwadzaya3972 baba bandilisha jina lako

    • @nduryamwadzaya3972
      @nduryamwadzaya3972 3 ปีที่แล้ว

      @@nassorali5511 niliiteje sasa, barghash? Not in this lifetime.

    • @nduryamwadzaya3972
      @nduryamwadzaya3972 3 ปีที่แล้ว

      @@nassorali5511 wewe ndiyo ubadilishe jina. Hilo lako ni la kuja.

  • @fatmanasornasor9047
    @fatmanasornasor9047 5 ปีที่แล้ว +1

    Karume hakupindua warabu alipindua wazanzibar wenzake Kwa tamaa ya madaraka lakini mungu akamlaani na yeye akasalitishwa Kwa wanyamwezi bongo eti mungano aawapi wakamuulia mbalini nasie Leo wanatumaliza tena saiv karibu kitambulisho cha mzanzibari hakitakiwi tena Cha mtanzaniatu siujinga uwo

  • @aishajuma7739
    @aishajuma7739 3 ปีที่แล้ว

    Kumbe yena akaanza kuuza watu hiyu srutani

  • @hemedimussa8087
    @hemedimussa8087 3 ปีที่แล้ว

    Uongo mtupuuuuuuu

  • @fahadfahmy
    @fahadfahmy 4 ปีที่แล้ว

    Riyal yazanzibar

  • @princeganji2779
    @princeganji2779 5 ปีที่แล้ว +2

    Masultani 12 was kumi nambili tanganyika

  • @ahmeidyoung2410
    @ahmeidyoung2410 4 ปีที่แล้ว

    Salim Abdallah Salim

  • @wahidashabaz5982
    @wahidashabaz5982 5 ปีที่แล้ว +2

    kweli mimi siomzanzibar ila nimegundua zanzibar mnanyimwa sana haki yenu kama mliweza ata kumiliki pesa rial saiv hamna kitu dahh

    • @isaacm1852
      @isaacm1852 5 ปีที่แล้ว

      Ww nawe huelew hiyo ni pesa ya mwarabu wakati wa utawala wake kama ilivyokua pesa ya muingereza tanganyika mwarab alikua anapendelea watu wake tu wale asilia zanzibar wanateswa utumwa ufikirii ilikuaje had wakadai uhuru wao kutoka kwa mwarab na hata muungano ni kitu cha kawaida hiv unafikiri muungano uvunjike machafuko yatayotokea zanzibar kama Sudan kusin muungano una faida yake acha kupotosha watu wanadhurumiwa huyo mwarab na hao wazungu walikua wanafanya nn ingekua ukolon faida basi tanganyika pia tusingeda uhuru mana tulikua tunatumua pound ya tanganyika

    • @lageettamim4415
      @lageettamim4415 4 ปีที่แล้ว

      Sio pesa tu Zanzibar ilikuwa na umeme kabla ya London ndo jengo likaitwa Bayt al Ajab pia lift mwanzo ya umeme afrika mashariki na tv ya rangi Znz mwanzo VITA vya pili vya dunia Znz imetoa masada wa ndege za kivita kwa Allie forces (UK,USA,USSR) aina ya p51 mustang na spitfire

    • @abuutasniym2675
      @abuutasniym2675 4 ปีที่แล้ว

      @@isaacm1852
      Nipe majina alau mawili yawazanzibari waliofanywa watumwa au kuteswa kama watumwa.
      Nakwanini huyo Waziri wenu Lukuvi anasema wazi kua: "Hatuwezi kuwaacha wazanzibari wajitawale kwasababu asilimia 95% kule niwaislamu, tukiwaacha wajitawale watatangaza dola yakiislamu kule.... kwasababu athari yake nikubwa".
      Sasa fikiria hayo maneno ndio utajua kua lengo kuu nikuitawala Zanzibar ili Uislamu uporomoke kwasababu ilikua tishio ktk kusambaza Uislamu Afrika Mashariki nakati.

    • @isaacm1852
      @isaacm1852 4 ปีที่แล้ว +1

      @@abuutasniym2675 mfalme wa mwisho wa zanzibar katekwa na waingereza na ndio sababu ya zanzibar kuingia ukristo na makanisa wakajenga lien na na wazungu kwanza ndio waliotaka kuumaliza uislam zanzibar na hata ingekua dollar ya kiislam hakuna athari kwan kuna nchi nying tu ukiacha middle east Gambia washa declare kua nchi ya kiislam hakuna athari ila zanzibar inajulikana nchi kisiwa cha maadili ya islam ila hao watalii wenu mnaowafurahia ndio waharibifu wa din na uzuri wote wa zanzibar hakuna hata mzanzibari utamkuta sehem ya maana

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 ปีที่แล้ว

      @@lageettamim4415 Uongo wa wazi kabisa!

  • @muhidinali8180
    @muhidinali8180 4 ปีที่แล้ว

    Uoongomwingi umohumu historia ya znzibar isiouhusisha mji wa makutani tumbatu mgodo na uvinje fukuchani

  • @sabraabdalla4985
    @sabraabdalla4985 5 ปีที่แล้ว +1

    Usisema kuwa mauwaji ya waislamu wasiwokuwa na hatiya yoyote
    Kuwa ni matukufu

  • @muhidinali8180
    @muhidinali8180 4 ปีที่แล้ว

    Waongo

  • @muhidinali8180
    @muhidinali8180 4 ปีที่แล้ว

    قال علماء التاريخ. لكل قاعدة شذوذ هذا التاريخ فيه كذب. وافتراء. كل التاريخ. تتحدث عن زنجبار ولا تذكر جزيرة تومباة. فهو ناقص لايعتبر

    • @imash04tv20
      @imash04tv20 3 ปีที่แล้ว

      hem ongea kiswahili usijifanye wajua lugha kwani wanaoongea hapa warabu mbona watu wengine mnakua hamuendelei akili yani mtanzania akipata kitu kidoogo anaona yy ndio wao

  • @rwakakagaramajohnjacob6295
    @rwakakagaramajohnjacob6295 5 ปีที่แล้ว +1

    Eti Waingereza waliamua kuichukua Zanzibar wakiwazuia Wajerumani walioitaka. Unasema walifanya hivyo ili kuinusuru Zanzibar. Je, ni kuinusuru kweli? Kwa simba kumkamata swala alotakiwa na chui akamkosa, Je, hicho ni kitendo cha kumnusuru swala?

  • @hassamfariis1754
    @hassamfariis1754 5 ปีที่แล้ว +2

    Wazanzibar walifirwa kinoma mapinduzi walifirwa wao na watoto zao wanaume na wanawake

    • @isaacm1852
      @isaacm1852 5 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣

  • @eddyharman9445
    @eddyharman9445 5 ปีที่แล้ว

    katume alikua kibaraka wa nyerere na ndo mana akaizamisha zanzibar alichukia sana elimu na aliwachukia sana wasomi ametulia sana wasomi wetu na nchi kaipeleka tanganyika na ndo mpaka leo

  • @salemjamal6762
    @salemjamal6762 4 ปีที่แล้ว

    Historia ya uongo

  • @homeboybeyondtheborders4935
    @homeboybeyondtheborders4935 4 ปีที่แล้ว

    Nchi au koloni

  • @abdullahjihaad453
    @abdullahjihaad453 4 ปีที่แล้ว

    Hakika baada ya dhiki faraja
    Nakupenda Zanzibar nchi yangu

  • @saidabdala7446
    @saidabdala7446 5 ปีที่แล้ว +7

    Wacheni unafik nyie..hizo sauti zenu kutoka bara. Shenzi rijp. Kumamazenu. . Mbona wareno hamsemi. Leteni picha ya kupiga.picha zote mnazosema.kuwa mwarabu alikuja wauza watumwa mtalipa roho za watu mlowauwa .

    • @albahryonlinetv9319
      @albahryonlinetv9319 5 ปีที่แล้ว +1

      Said Abdala kabisa kaka hawwez kutulipa roho zetu wametuulia wazz wetu mm ami zangu babu zangu ma wajomba zangu kibao wamewauwa mji mkongwe na kianga xheman

    • @MultiJd4
      @MultiJd4 4 ปีที่แล้ว

      hakuna mbara kati ya hao wawili.
      na hii historia mbona iko sahihi sana.
      sema kipi kilochokosewa

    • @albahryonlinetv9319
      @albahryonlinetv9319 4 ปีที่แล้ว

      MultiJd4 , ww Kijana wacha ujnga huwo we Kijana mzma unakuwa hujielewi bas lipen zle roho za babu zenu muliowauwa mapinduz lipen bas mumewauwa wakiwa na serikal yao zanzibar Leo mwasema yenu bas kulen dhulik mpaka kiama labda aje Maalim seif kuwa rais ila hatukusamehen kwa damu zetu mulizo zichicha kama kuk

    • @MultiJd4
      @MultiJd4 4 ปีที่แล้ว

      @@albahryonlinetv9319 wewe si mzima wa akili kabisa

    • @albahryonlinetv9319
      @albahryonlinetv9319 4 ปีที่แล้ว

      MultiJd4 ,nakubal ila iko ck unatajuwa nan sio mzama wa akil KT ya mm au ww, duuu damu za watu zilzo mwwgwa Leo wafurahiya halaf waletta dharau

  • @ariscordova6184
    @ariscordova6184 5 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna matata

  • @seifrengwe2542
    @seifrengwe2542 5 ปีที่แล้ว +7

    wow wow wow..stop...,
    nyinyi vijana mnaojaribu kutukana na kuzungumza mambo machafu hapana nafikiri hamuelewi historia ya zanzibar na jinsi zanzibar ilivyo sasa.
    1. kama mnavyoona hii histori ya zanzibar inavyooelezwa kwenye hii video, ni hakika inasema wazi kwamba zanzibar au unguja kilikuwa ni kisiwa cha mapumziko ya wavuvi watokao kwenye mwambao wa afrika mashariki.
    2.sasa kama nyinyi vijana wenye miaka 25-30 mnataka kuzungumza habari za zanzibari ndani ya siasa mnazoamini hakika basi lazima kuzingatia haya yafuatayo
    A. yeyote ajigambae kwamba ni mzazibari basi aidha ni mchanganyo wa mwarabu mweusi, muhindi au mbara
    B. historia yasema kuhusu visiwa hivyo kama sehemu ya mapumziko kwa wavuvi toka sehemu tofauti ndani ya mwambao (Wagunya, wahiyao,wasomali,wagirima,wabanglani) na hao wote walikuwepo hapo kabla ya mwarabu.
    C.siasa za sasa na maendeleo ya wananchi ni muundo uliyopo ndani ya serekali ya zanzibar na matatizo ni kwamba zanzibar haina utaratibu mzuri wa viwanda, lakini ina nyenzo tukufu za utalii LAKINI siasa za DINI ndani ya zanzibar ndizo zinazosababisha ukosefu wa maendeleo ya ajira na uchumi (labda ufukuaji wa mafuta yatasaidia hayo)
    D. wabara hakika wameisevu zanzibar ndani ya muungano kwa mambo tofauti tu ya kibiashara na uchumi.
    E. Hakika mapinduzi yalikuwa matukufu kuondosha utumwa, hata hivyo sera za kuendeleza maendeleo ya wananchi ni jambo jengine kwani aliyeweza alikuwa ni KARUME tu, na waliofatia, walikuwa ni wanasiasa wa BONGA BONGA tu
    F:zanzibar ni kisiwa kilichopo ufukweni wa AFRIKA mashariki, na kwa maana hiyo akina SULTANI hawana cha kutafuta hapo, ingawa wapo wanaoomba nyakati zile za warabu weusi zirudi tena,(ni ukosefu wa hoja za kimaendeleo tu)
    Kwa kumalizia tu ni kwamba Dunia inaenda mbele na mambo yanabadilika, matatizo yaliyokuepo hapo zanzibar, yapo duniani pote ulimwenguni
    Siasa siyo jambo la kuamini ..,siyo zanzibar siyo Marekani...,wanasiasa (kwa ujumla) ni maneno matamu na kuwafanya watu wawachague...,ilikua hivyo na ndo hivyo na itabakia kuwa hivyo;
    Jambo mnalotakiwa kufanya vijana wa kisasa ni kutengeneza sera za kuingia kwenye siasa ili mungoze hicho kisiwa (NDANI YA MUUNGANO) kwa mtazamo wa KISASA na siyo...,;kuandikiana matusi ya kipuMbavu kwenye mtandao ni kupoteza TIME: mtabaki hivyo daima milele kama hamtogombania majukwaa kueleza sera za KISASA; na wala msijali kama kugombania kupitia kwenye vyama VIKUU au vya UPINZANI ..,la muhimu ni kupata jukwaa kutangaza SERA zinazolingana na mambo ya KISASA ili kutoka kwenye hizo Dhulma
    (nimezaliwa makadara nimeishi- mikunguni mama yangu mhiyao(znz) baba yangu Muha(kigoma) ,nimesoma shauri moyo-Haile selassi-Mikunguni Tech collage
    nimetembea karibu Dunia Nzima na sasa niko Ritered Ugenini na Bado ni MTANZANI na Pass yangu Imetolewa kisheria hapo ZANZIBAR.

    • @shakurkimboka4621
      @shakurkimboka4621 5 ปีที่แล้ว

      Umeongea karibu kila kitu kiongozi binafsi nimepata mengi ya kujifunza kutoka kwako kikubwa vijana tupate elimu ya kujitambua maana wengi tunaongozwa na chuki na siyo maarifa
      story za vijiweni zinashika akili zetu kutokana na ugumu wa maisha ila ukijaribu kuchanganua hakuna sehemu duniani ambayo hakuna changamoto.

    • @mohamedothman9769
      @mohamedothman9769 5 ปีที่แล้ว +2

      Ndugu yangu huna hata moja ulijualo, umejaza uongo tu kichwani mwako. Kwa kukusaidia, na kama unataka kujua kuhusu Zanzibar, nenda katafute na usome kitabu kinaitwa 'DEVELOPMENT OF EAST AFRICA COMMUNITY SINCE....' huenda ukabadili ujinga ulio nao kaka

    • @travelwaka770
      @travelwaka770 5 ปีที่แล้ว

      Ulicho kiandika ndio ukweli halisi ambao wazanzibar wengi hawataki kiisikia. Nashangaa sana kuona mtu akiamini utumwa ni bora kuliko kua huru aibu sana. Kama tutaendelea kulalamika bila kufanya kazi hakuna kitakacho badilika

    • @mawaidha386
      @mawaidha386 ปีที่แล้ว

      Duh umesema wee lkn cjaona Cha mana ata kimoja chengine nimeona uongo ulioandika et mapinduz yameondosha utumwa duh we kweli ata form 4 umefika?? unjua biashara ya utmwa imepigwa marufuku mwaka Gani? Abolition of slave trade... Nenda kwenye Vitabu kasome halafu ndio uje apa kuandika .. wacha kupotosha history

  • @kassimmohammed4949
    @kassimmohammed4949 5 ปีที่แล้ว +2

    Bado hujui lolote kuhusu Mapinduzi 1964 Kama wajua usingesema kamwe"Mapinduzi matukufu"" Dhulma Na damu iliomwaga bila ya hakki Uislamu na Waislamu wote wanajua lilotokea Wewe umeficha ukweli Na kuogea uongo mtupu

  • @alisaid2410
    @alisaid2410 4 ปีที่แล้ว

    eti mapinduzi matukufu pumbavu

    • @nduryamwadzaya3972
      @nduryamwadzaya3972 4 ปีที่แล้ว

      Utapata tabu sana. Ninyetu sasa. MAPINDUZI OYEEEEEEE¡

    • @alisaid2410
      @alisaid2410 4 ปีที่แล้ว

      uyaabudu basi

    • @alisaid2410
      @alisaid2410 4 ปีที่แล้ว

      mbona aliyepindua nae akapinduliwa kwa chuma cha moto yangekua matukufu asingechezea

    • @nduryamwadzaya3972
      @nduryamwadzaya3972 4 ปีที่แล้ว

      @@alisaid2410 Hakuna shida kupinduliwa Kwa Muheshimiwa Karume maana ufalme uko nje. Na mweusi anaongoza mbele Kwa mbele nchi yake. Hata hao masultan wenu si walikuwa pia wanapinduana, kwani? Hoja ni viongozi walowezi hawapo tena. mwarabu anamwongoza mweusi. Ishatoka

    • @alisaid2410
      @alisaid2410 4 ปีที่แล้ว

      kama unapanic hoja huziwez sasa masultan wanani? hoja ni mapinduz sass unapanic tena

  • @deusmauka9626
    @deusmauka9626 5 ปีที่แล้ว +5

    Waafrika wote waliokuwa Zanzibar walikuwa ni watu kutoka bara, waarabu kutoka Oman, sasa wapuuzi wanataka warudishiwe nchi yao, Tanzania iirudishe nchi kwa watu gani? waarabu au waafrika? Hivyo ni visiwa vya Tanganyika mtake msitake.

    • @maalimmaulid4016
      @maalimmaulid4016 5 ปีที่แล้ว

      Kama huna la kusema bora ukae kimya si vizuri kuchimba watu..tanzania ni nini na zanzibar na tanganyika ni nn?!?!?

    • @corrolesscps
      @corrolesscps 5 ปีที่แล้ว

      Deus Mauka . Ni kweli bara la Africa lilikuwa Bara huru lisilo na mipaka Wenyeji wote wa hapo walitoka bara na wengine walifika hapo ni kutokana na vile biashara ya utumwa ilishamili miaka hiyo, na wageni wengine wa kutoka mabara mengine. Wengine walikuja kwa ajili ya biashara ya utumwa miaka hiyo ilishamili na wengine walihamia tu kwa kuwa walivutiwa na huo mwambao wa kisiwa hicho kilichopo barani Africa, ambacho kipo karibu sanaaa na bara Africa lilipo, ilikuwa Sio ngumu kwa mkazi wa Manland miaka hiyo kusail kwa Saa chache tu yupo hapo, kama si masaa2 au saa moja na nusu, Angalau kutokana na mwingiliano huo wa wageni kutoka mbali ukapelekea kuwa Nchi ya Zanzibar.

    • @zahormazruiy5635
      @zahormazruiy5635 5 ปีที่แล้ว +1

      Wewe jina lako deus na akili yako pia nyeusi

    • @travelwaka770
      @travelwaka770 5 ปีที่แล้ว +3

      Wazanzibar ni watumwa kamwe hawawezi kubali kua huru daima watapambana kurudi utumwani. Utumwa ni asili yao

    • @TheMrgoodmanners
      @TheMrgoodmanners 5 ปีที่แล้ว

      wasidhubutu hata, tutawakamua sote vilivyo na naongea hivi kama mkenya

  • @deusmauka9626
    @deusmauka9626 5 ปีที่แล้ว +1

    Kilichowaleta ni pembe za ndovu tu.

  • @habibumallanga6392
    @habibumallanga6392 5 ปีที่แล้ว +1

    Nzur story ime2lia

  • @sabraabdalla4985
    @sabraabdalla4985 5 ปีที่แล้ว

    Wewe inavyoonekana hukijuwi kilichofanyika wakati huwo unaosemwa ni mapunduzi laiti kama ungelikijuwa ungeliya
    Na hata usengelitamani kuyataja

    • @shakurkimboka4621
      @shakurkimboka4621 5 ปีที่แล้ว

      Bibi sabra, rudi shule ujifunze kuandika vizuri

    • @fatmanasornasor9047
      @fatmanasornasor9047 5 ปีที่แล้ว

      Nendazako uko wee mwenyewo sijui kama si myamwezi

  • @fugameza6011
    @fugameza6011 4 ปีที่แล้ว

    Waaahahaha kizungu kweli kweli mtangazaji unasemaje weweeee Zanzibar ilikuwa hee yaani leyo waandishi nyooote mmekusudiya kumtukana muhishimiwa rais Matukufu shuweni

  • @deepsea2141
    @deepsea2141 5 ปีที่แล้ว

    Lamu walikuwa na Sultan wao, hawakuwa chini ya Usultan wa Zanzibar. Kuanzia Lamu hadi Kismayu ilikiwa na Sultan tofauti. Kuanzia chini ya miji ya Lamu, yaani Malindi (Kenya) hadi Mozambique ilikuwa ni Zanzibar colony

    • @abubakarrahim8482
      @abubakarrahim8482 4 ปีที่แล้ว

      Deep sea katafute kitabu kinaitwa Zenji utapata ufunufu zaidi

  • @godisgreat1845
    @godisgreat1845 4 ปีที่แล้ว

    Waondgo nyie zanzibar sio Unguja na Pemba hatutaki kuendelea kutudanganya hakuna ramani yoyote Duniani ili andikwa zanzibar ni unguja na Pemba nyie mnalazimisha muungano wa Zanzibar na Pemba

    • @ramyali6347
      @ramyali6347 3 ปีที่แล้ว

      Usitumia ubongo kama mzigo wa kichwa.

  • @fugameza6011
    @fugameza6011 4 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe watumwa walikuwa wakitoka nchi nyengine mbona ccm wa nasema mama zao ndiyo waliuzwa nadhani wamekoseya wanao towa hii story

    • @MohammedAli-up6cu
      @MohammedAli-up6cu 4 ปีที่แล้ว

      Siku watakaposema ukweli juu ya hili utakua ndio mwisho wa utawala wao.

  • @saheedaliali8676
    @saheedaliali8676 5 ปีที่แล้ว +3

    😨😨 mapunduzi matukufu dah inamaana hao waliowauwa raia wa zanzibar ndio watukufu waliouliwa ndio watukufu . tafuteni lugha yakuupa huo udhalimu uliofanyika bila ya kuchukua sifa ya muumba wetu ALLAH ili tuepukane na laana zake.

  • @asilclub
    @asilclub 3 ปีที่แล้ว

    بسم الله الرحمن الرحيم
    للاسف الشديد قام الشيخ بطمس التاريخ العماني ودور العمانيين في دحر القوة الاستعمارية البرتغاليه من الخليج العربي ولا ادري لماذا هل حبا في الانجليز ام هكذا يريد طمس التاريخ العماني الناصع البياض فمشكلة المشايخ من هذا النوع ويقتاتون من المساعدات المالية من موائد الملوك والامراء يريدون من المواطن العربي ان لايعرف تاريخه وان يعيش العربي في جهل وأن يصفق للاعداء فالشيخ عاش في العبودية ويصعب عليه التحرر فماذا استفدت من كذبك للمتابعين فأغالبهم لم تصلهم الحقيقة فالعمانيون شاركوا في دحر البرتغاليون وأجلوهم من الخليج العربي ومن الهند ومن شرق افريقيا لن تستطيع ان تغطي الشمس بغربال فسيره الامامين الحربية تدرس في أكبر الجامعات الاوروبية والامريكية كيف استطاعوا من هزيمة جحافل البرتغاليين ثم ايها الشيخ اليوم بضغطة زر في الانترنت الصغير قبل الكبير سيعرف الحقية لن ينتظر الجيل العربي الجديد محاضرات من مشايخ ( المال ) امثالكم
    لقد طولت عليكم واترككم مع نبذة بسيطة من الويكيبيديا عن الامامين الجليلين ناصر بن مرشد اليعربي وسلطان بن سيف اليعربي قيد الارض
    وقع الإختيار على شخص اسمه :
    ناصر بن مرشد اليعربي
    وهو أول إمام من أئمة دولة اليعاربة .. وجد الإمام ناصر نفسه أمام تحديات كبيرة داخلية منها و خارجية و عليه فلا بد من توحيد البلاد أولا و إخضاعها لحكمه قبل أن يتفرغ لمحاربة المحتل البرتغالي و الذي بدا تواجده في البلاد منذ العام 1508 مسيطرا على أجزاء هامة في كبرى المدن الساحلية و فارضا الرسوم على أهل عمان أثناء سفرهم بحرا ناهيك عن التواجد الفارسي في أجزاء أخرى من عمان و هو إحتلال آخر منذ منتصف القرن الثالث عشر الميلادي .
    قام الامام ناصر بحملات داخلية لاخضاع القبائل الداخلية لحكمه و دخل في حروب داخلية متعددة من أهمها محاصرة قلعة الرستاق التي كان يحكمها ابن عمه مالك بن أبي العرب فاحتلها ثم تقدم نحو مدينة نخل و التي كان يحكمها ابن عمه الآخر سلطان بن أبي العرب فاحتلها ثم تقدم إلى مدينة سمائل ثم مدينة نزوى ثم مدينة منح ثم أرسل جيشا إلى مدينة سمد الشأن و هكذا حقق الإمام ناصر بن مرشد الانتصارات الداخلية بتعاون أهل تلك المدن معه و بفضل تأييد العلماء العمانيين له من مدرستي ( الرستاق و نزوى ) حتى دانت أغلب المدن له في عام 1634 بإستثناء مدينة صحار و مسقط حيث كانتا تحت الاحتلال البرتغالي .
    و في عام 1644 دخلت قوات الإمام ناصر في حرب مع البرتغاليين بشكل متقطع لم تستطع القوات العمانية من إجتياز السور العالي الذي بناه البرتغاليين حول مسقط و بنوا في داخلها قلعتي الجلالي و الميراني ثم في عام 1648 قامت القوات العمانية بفرض حصار على مسقط من أجل تحريرها و في سبتمبر من هذا العام و بعد حصار استمر منذ أغسطس وقع الامام ناصر إتفاقية مع البرتغاليين من خمسة بنود أهمها إلغاء القانون المتعلق بالضريبة على العمانيين .
    كان هذا الإتفاق هو أول إتفاق تفرضه قوة وطنية على المستعمرين و هنا لجأ البرتغالييون إلى قادتهم في الهند من أجل التسريع في طلب المعونة للقضاء على الإمام ناصر بن مرشد حيث أستشعروا بخطورة هذه القوة الصاعدة التي من الممكن أن تطردهم ليس من عمان فقط بل من الخليج العربي الذي كان يحتلون جزءا كبيرا منه .
    و في العام 1649 توفي الإمام ناصر بن مرشد بعد أن قام بتوحيد البلاد تحت رايه واحدة و حاول طرد البرتغاليين و نجح في العديد من المدن بإستثناء مسقط و صحار .
    الإمام سلطان بن سيف اليعربي
    بطل من أبطال الأمة العربية، إن لم يكن من أبرز قادتها العسكريين، فهو الذي حرر مسقط من حكم البرتغاليين، وأوقع شر هزيمة بهم، وطردهم من مطرح، وقاتلهم في البر والبحر، فحرر منهم أرض عُمان وإمارة ساحل عمان، بل أراضي الخليج العربية إلى مدينة البصرة في العراق. كما أنه حارب البرتغاليين بنجاح في شرق أفريقيا، فقد استطاع الإمام سلطان أن ينقذ مسقط من أيدي البرتغاليين حيث استولى قائده سعيد بن خليفة على قلعة الميراني المشهورة في مسقط. وعلى عهده قويت الدولة العمانية كثيراً حتى إنها شنت هجوماً على منطقة ديو قرب خليج بومباي بالهند، وقام ببناء قلعة نزوى الشهيرة التي موَّل بناءها من الغنائم التي حملتها القوات العمانية من معركة ديو، وقد دام بناؤها حوالي 12 سنة. وهي تعدّ من أروع وأضخم المآثر الحضارية والتاريخية في عمان التي قام ببنائها الإمام سلطان بن سيف بن مالك اليعربي (1059هـ - 1649م) واستغرق بناؤها اثني عشر سنه ، وانفق الإمام على بنائها ما غنمه من إحدى غزواته التاريخية المعروفة بــ(ديو) وتعدّ ديو أحد أكبر المراكز البرتغالية البحرية في الشرق . وتتميز قلعة نزوى بعلوها وحصانتها وموقعها الفريد حيث تتوسط مدينة نزوى وملاصقه لمركزها القديم. واستطاع أن يسترد سواحل عمان من الغاصبين ما بين جلفار (رأس الخيمة )وظفار. ففي عام( 1060هـ / 1650م) قام العمانيون بمهاجمة البرتغاليين في قاعدة ارتكازهم مسقط وبعد معركة بطولية بقيادة الإمام سلطان بن سيف اليعربي (1649-1679) وفر من نجا منهم إلي سفنهم بعد أن أسر 700 بحار برتغالي، ومما لاشك فيه أن هذا النصر الحاسم قد ألهب حماسة العمانيين وأدي إلي خلق حالة من الاندفاع والثقة في النفس لم تتمثل في التصدي للبرتغاليين بحرا فحس كان من نتيجتها ترنح البرتغاليين ( سادة البحار الشرقية طوال أكثر من قرن من الزمن) وانهيارهم وفقدانهم لقواعدهم الواحدة تلو الأخرى، وبروز عمان كدولة بحرية قوية غرب المحيط الهندي، وساعد العمانيون في ذلك تسلحهم بنوع جديد من السفن الحربية الحديثة، وزيادة عدد وقوة المدافع فيها، وتخلوا إلي حد كبير عن سفنهم التقليدية واستخدموا سفنا كبيرة الحجم من الطراز الأوروبي، بني معظمها في الهند. وزودت بالمدفعية الحديثة.
    ومن اراد المزيد ادعوكم لمشاهدة مقاطع الفيديوا
    عمان وطرد البرتغاليين من الخليج العربي
    th-cam.com/video/rw365HjN1XY/w-d-xo.html
    عمان وطرد البرتغاليين من الخليج العربي
    th-cam.com/video/yvd38abi1bM/w-d-xo.html
    عمان وطرد البرتغاليين من الخليج العربي
    th-cam.com/video/dm6c6Oz9yNI/w-d-xo.html
    عمان وطرد البرتغاليين من الخليج العربي
    th-cam.com/video/UC7C5JZT-Eo/w-d-xo.html
    عمان وطرد البرتغاليين من الخليج العربي
    th-cam.com/video/Z041HSEuqL8/w-d-xo.html
    عمان وطرد البرتغاليين من الخليج العربي
    th-cam.com/video/TO3MtcgIHdc/w-d-xo.html
    عمان وطرد البرتغاليين من الخليج العربي
    th-cam.com/video/t1T04rXIBgo/w-d-xo.html
    عمان وطرد البرتغاليين من الخليج العربي
    th-cam.com/video/y9-a7tHKJKQ/w-d-xo.html
    عمان وطرد البرتغاليين من الخليج العربي
    th-cam.com/video/S7ez6qaCmCE/w-d-xo.html
    عمان وطرد البرتغاليين من الخليج العربي
    th-cam.com/video/fUp90L_MzvY/w-d-xo.html
    عمان وطرد البرتغاليين من الخليج العربي

  • @hassamfariis1754
    @hassamfariis1754 5 ปีที่แล้ว +1

    Wazanzibar mpaka leo wamekuwa wasenge tangu mapinduzi walifirwa kinoma.

    • @abdillahmohamed9818
      @abdillahmohamed9818 5 ปีที่แล้ว +1

      Hassam Fariis hata mama ako alifirwa

    • @hassamfariis1754
      @hassamfariis1754 5 ปีที่แล้ว

      Jamani mimi nasema ukweli unanitukana wewe umesikilia lini wasomali tunataka usenge

    • @abdillahmohamed9818
      @abdillahmohamed9818 5 ปีที่แล้ว

      Hassam Fariis mm nikikupata nakufira

    • @hassamfariis1754
      @hassamfariis1754 5 ปีที่แล้ว

      Umfiree nani nyie wenyewe nshazowea kufirwa

    • @namisgiggah1571
      @namisgiggah1571 5 ปีที่แล้ว +1

      Nandio sisi tulowafira baba yako na babu yako walivyokuja kutafuta kazi zanzibar mpaka tuliwatoa futuru, mpaka Leo mnatuogopa wazenji, Kuma wewe

  • @asilclub
    @asilclub 4 ปีที่แล้ว

    HISTORIYA NI KWELI SIYO UONGO WATU WANGAPI WAMULIWA ZANZIBAR SASA ZANZIBAR EMETAWALWA NA WATANGANYIKA MEKUA WATUMWA KULIKO MLLIKUA MNA HUKUMIWA NA MASULTAN MZANZIBAR HAWEZI KUINUA KICHWA CHAKE KABISA

  • @nduryamwadzaya3972
    @nduryamwadzaya3972 4 ปีที่แล้ว

    BAKINI NA HISTORIA. NCHI YA WAAFRIKA SASA.

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว +1

      WEWE NI MNYASA WA MALAWI HAIKUHUSU HII STORI NCHI ZA KIAFRICA KAZI KUUWANA NA MZUNGU ANA CHUKUWA MALI ZENO FALA WEWE.

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 ปีที่แล้ว +1

      JINA LAKO NI LA KIRUNDI MTUMWA WA WAZUNGU KAZI KUUWANA KAMA MBWA

  • @MrKhatibu
    @MrKhatibu 5 ปีที่แล้ว

    Makomredi ndio walioleta mapinduzi Zanzibar. Na hao Makomredi wote ni warangirangi au machotara wa kiarabu. Huo ndio ukweli, baadae Makomredi haohao ndio waliomuua mzee Karume.

    • @shakurkimboka4621
      @shakurkimboka4621 5 ปีที่แล้ว +3

      Very interesting maalim japo nna ukakasi na stori yako maana sijawahi ifuatilia vizuri

    • @MrKhatibu
      @MrKhatibu 5 ปีที่แล้ว

      @@shakurkimboka4621 hatupendi kuongelea ukweli, hebu jiulize au fanya utafiti mdogo, kinanani waliopata mafunzo ya kijeshi Cuba miaka ya 1950s! Utakuta ni makomredi au wajijulikana warangirangi kwakuwa ni wamechanganya damu ya kiarabu na kiafrika. Sasa hawa jamaa walifukuzwa katika chama cha Hizbu wakaunda chama chao kikiitwa Umma Party. Kwa kuwa walifukuzwa kwa kubaguliwa na wakaweka kisasi. Waliwatumia wafrica wa ASP ili kuipindua serikali ya Hizbu. Hivi enzi zile hao kina Kaujore na Kina Natepe na wenziwao wa ASP hata ndege hawakuwa wakiijua ndani mkoje seuze kusafiri kwenda kupata mafunzo ya kijeshi Cuba! Google kitabu cha Ali Sultan na Seif Sharif, utapata muangaza kidogo wa ukweli huu.sasa kwakuwa Umma Part chini ya Abrahman Babu walihitaji support ya wafrica wa ASP ili kutimiza Mapinduzi. walipoona Karume kadindisha mbavu ndio wakaina he must to go!

    • @zahirhaji9857
      @zahirhaji9857 5 ปีที่แล้ว

      karume kauliwa na baba ako nyerere

    • @MrKhatibu
      @MrKhatibu 5 ปีที่แล้ว +1

      @@zahirhaji9857 wewe mpuuzi kweli, hio wanasema ili kuficha ukweli. Nisawa na kauli wanayosema kuwa watanganyika ndio walopindua zanzibar. Funguka ndugu, fanya research utapata ukweli. Waliomuua Karume ni makomredi, walioleta mapinduzi ni makomredi

    • @shakurkimboka4621
      @shakurkimboka4621 5 ปีที่แล้ว

      Maalim ningepata kujua jina la hicho kitabu na mahali naweza kupata nakala au link yake kama itawezekana

  • @nothingtoworry4558
    @nothingtoworry4558 5 ปีที่แล้ว

    Fake history

  • @fatmakhalid755
    @fatmakhalid755 5 ปีที่แล้ว +12

    Mtukufu Allah Subhanawataala tu pekee

  • @fatmakhalid755
    @fatmakhalid755 5 ปีที่แล้ว +18

    Mtukufu Allah Subhanawataala tu pekee