ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Amazing
This is a very unique family
Excellent singers!!
Amen !barikiwa sana Kwa hili nyimbo,kweli upendano hujenga ndugu wakaapo pamoja
Namuomba Mwenyezi Mungu anijalie jambo kama hili na familia yetu🙏🏾Ni jambo njema hili na ni utukufu kwa Mungu❤️
Nimependa wimbo huu sana Mungu awabariki sana
Tazama ilivyo vyema na kupendeza.
Naupenda sana huu wimbo jamani
Mungu azidi kuitunza familia hii ipendanayo hi i
AMEN❤
Nime bari kiwa sana na wimbo huu hakika Mungu awatunze mno
Blessings
I admire the family.,wow God bless you abundantly ❤
So powerful and great
♥️🎶💯👏
Usiku wa leo nimeipata nguvu ya kuomba kwakusikiliza huu wimbo
Tamu sana. Wazee wa Bass wameutendea haki huu wimbo
❤
❤❤❤
🔥
Wow nimeipenda hii desturi ya hii familia, Mungu atukutanishe mbinguni
Kati ya mibaraka itokayo na Muunganiko na kusanyiko la familia iliyojengwa katika misingi imara, hili kusanyiko limenibariki sana. Natamani kufanya kusanyiko la familia yangu kama hili. Amina
Haleluya!! Mungu ni Mwema sana. Mmemaliza mwaka vyema na muendelee vyema na hiyo mibaraka katika mwaka 2023.
Wow Hallelujah Hallelujah hakika imependeza Ndg kukaa P1 kwa Umoja kwa Kumshukuru na Kumsifu Mungu.🙌🙏🙏🙏
Amina. Barikiwa
Safi sana
What a blessing!!
Mahali ni pazuri
Hakika inapendeza. Mmenibariki mno. Na sio dhambi kuiga kitu kizuri hivyo na Mimi nimeiiga hii nitaipeleka kwa familia yangu.
Amina Tutafurahi kuona jambo hilo likitokea
Amen
Blessed
That's awesome may God keep this unit it's a great blessing.💕👌
Amen. May god bless you too as you continue enjoying this music with us
Walikuwa Tm music
May God bless you all
Amina amina amina.
haya ya wachagga
Amazing
This is a very unique family
Excellent singers!!
Amen !barikiwa sana Kwa hili nyimbo,kweli upendano hujenga ndugu wakaapo pamoja
Namuomba Mwenyezi Mungu anijalie jambo kama hili na familia yetu🙏🏾
Ni jambo njema hili na ni utukufu kwa Mungu❤️