TABIBU MKUU - THE YONAZI FAMILY CHOIR AND FRIENDS
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
- Wimbo huu umeimbwa wakati wa mkutano wa nusu mwaka wa Familia ya Mchungaji Yonazi na Mama Naamini Salehe uliofanyika Mbweni Dar es Salaam Tarehe 27 Agosti, 2023.
Waimbaji ni Familia hiyo pamoja na marafiki zao.
Tabibu Mkuu (Nyimbo za Kristo 111)
The Great Physician (SDAH254)
1. Tabibu mku-u huyu, Yesu mwenye huruma:
Atuletaye faraja Yesu, Mwokozi wetu.
CHORUS
Imbeni, Malaika Sifa za Bwana wetu;
Jina la pekee kwetu, ni la Yesu Bwana.
2. Mwana Kondo-o msifuni Mwokozi:
Hatia zote na dhambi Huziondoa Yesu.
3. Hakuna jina jingine Linalofa-a sifa;
A-u kutufurahisha, Isipokuwa lake.
4. Naye atakapokuja Na utukufu wake,
Tutafurahi milele Kuka-a kwake Bwana.
Kwanini wimbo huu umechaguliwa kuimbwa na familia na marafiki?
Wimbo huu ni moja ya nyimbo ambazo Mama Naamini Yonazi Salehe, aliupenda sana hususan alipokuwa mgonjwa hawezi kitandani. Aliamini kwamba, Yesu ndiye Tabibu na mponyaji wake. Na hata kama hataponywa katika mwili huu, basi atapewa mwili mpya Yesu atakaporudi.
Familia inakumbuka nyakati hizo na mafunzo yake.
Katika kuuimba wimbo huu, familia inakumbuka kumtumainia TABIBU MKUU HUYU YESU MWENYE HURUMA katika hali zote.
Amina , Atukuzwe Mungu wetu
Amen mtumishi wa Mungu. Ubarikiwe kwa kazi ya Mungu
Mungu akubariki kwa mawazo mazuli kiasi hiki
Nabarikiwa sana
Amen karibuni katesh
Haleluya God bless you
Hii Familia inanibariki sana. Mungu aendelee Kugulu da Umoja huu kwa vizazi vyenu Hadi ajapo Mara ya pili